Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Unashangaza sana,na unatia kichefu chefu hata kuendelea kukisoma hiko ulichokiandika..

Umeingiza maneno mengi sana katika andiko lako ya uzushi na uzandiki ili uendeleze na harakati zako za kuwatoa wasomaji walio wengi kuupata ujumbe unaostahiki,hivi kama kweli una nia ya kukosoa kwanin sasa ukosoe kwa kutumia uzushi?

wapi katika kitabu cha Mohamed Said aliposema yeye anashikilia maandiko yake na kile anachokieleza eti kwa kuwa wazee wake walikua mstari wa mbele katika kupigana uhuru basi na vizaz vyao vipewe jazaa ya aina fulan?kama vyeo na kadhalika?wapi ilipooneshwa hivyo katika mantik ya kitabu chake..

Na ni wapi alipoandika kitabu ku-attack christians?mbona unapotosha sana?

Kumbe sasa upo hapa ukipigana vita ya msalaba kutetea christians wenzako si ndiyo?

Na siwez kushangaa,kwa kila nimuonaye katika nyie mnaopinga wote ni christians,hakuna hata mmoja ambae kajitambulisha au kujionesha yeye ni mtu wa iman ya uislam,ni waz kbs nyinyi mmeamua kupigana Crusade war,lakini haitosaidia,kwan mliyoelezwa mmeelezwa kwa ushahid uliojitosheleza kabisa..
Hamna lolote mnalosi mamia zaid ya chuki zenu za kidini,wakati hapa kinazungumzwa kitu chenye uhalisia uliotukuka..
Haitawasaidia
Uislam ni akili na fikra na imeandikwa wajinga pepo ni ndoto. Hutakiwi kuwa mjinga ili ku-qualify kuwa mwislam. Uislam ni dini yenye misingi yake. Haihitaji kusoma kitabu cha mwanadamu kuwa mwislam.

Mwislam ni muumini anyefuata Kuran, sunna na hadithi na yule aliyepwekesha maisha yake kwa kumcha mwenyezi mungu.
Waumini wa kiislam wameusia kushikamana katika kamba ya mwenyezi kwa mema na yenye heri.
Uislam si Simba au Yanga na wala hauhitaji simulizi au ngano.

Kuhusu uzushi kwa maneno ya Mohamed, nadhani unajua wazi kuwa si kitabu tu bali paper za Mohamed zinaeleezea jinsi waislam na hasa wazee wake walivyonyimwa nafasi katika maendeleo na hata nafasi za uongozi.

Mohamed anasema wapo wasomi waliopewa menial job kwasababu tu ya imani yao. Ameendelea kusema mgawanyo wa vyeo serikali umezingatia dini na si sifa hasa ikizingatiwa kuwa waislam ndio waliopigania uhuru wa nchi hii.
Orodha ni kubwa sasa sijui ulitaka nieleze kipi. Kitabu cha Mohamed usikisome kama chenyewe, bali kisome ukiangalia maandishi yake mengine.

Ama hili la kuwaondoa watu katika kupata ujumbe, hakika sina nia ya kumuondoa yoyote anayekubali kupewa na kumeza tu ili tuna nafasi ya kuuonyesha ulimwengu ikiwa ni pamoja na 80K wapi peye mapungufu, kasoro na upotoshaji.
In the end kila msomaji ataamua mwenyewe.
 
King...
Amin.

Leo ninapopitia matokeo haya ya hawa wazee wetu ndivyo
ninavyozidi kuona tabu iliyowagubika wale waandishi wa historia
rasmi.

Kuweka historia kama hii kwa kweli kwao ilikuwa ni kuwatwisha
mzigo ambao siyo makamo yao.

Wao walianza na msimamo wa TAA chama cha starehe...
Sasa ukijamtia Abdu na Kenyatta katika mikutano ya siri tena
wakati wa Mau Mau...


Kazi unayoifanya ni kubwa sana,
Nasisi tunajivunia sana kuwa na hazina ya mtu kama wewe,kwa hakika tunakuthamin sana..
 
Shekh MS,

Mama Lucy Lameck alikuwa na mahusiano yoyote na kupigania uhuru au ni baba ake? naomba kujua habari hii maana kuna vumishwa habari ya kukanusha historia yako juu ya Mzee Yusufu Olotu na akina Mama Halima Selengia na kudai wapigania uhuru wa kutoka Kilimanjaro walikuwa Shangali, Marealle, Lucy Lameck Nsilo Swai na Mbowe! ni kweli?

TK,

Abdiel Shangali alikuwa kwanza ni chifu na kisha memba wa Baraza
la Kutunga Sheria.

Wapi angeingia TANU?

Thomas Marealle na yeye chifu na ana taasisi nzito Chagga Council.
Hivi TANU inaweza kukolea hapo?

Lucy Lameck alitiwa TANU na Yusuf Olotu mapema sana.

Nsilo Swai aliingia TANU mambo yamewiva mnyama keshalazwa chini
anasubiri kuchinjwa.

Eikaeli Mbowe kidume na nyumba katoa iwe ofisi ya TANU.

Bi Halima Selengia na Yusuf Ngozi hao waasisi kama mtu anabisha ni kule
kutoijua historia ya TANU Moshi mjini.
 
Ilitokea kitu gani baada ya uhuru Mwalimu Nyerere na Wazee wa Dar es Salaam wakawa tena maadui wakati hapo mwanzo kuanzia mwaka 1950 walikuwa kitu kimoja.
 
There we go again. No evidence no right to speak. Mutual contact? The guy took you to the cleaners.
The book is not there in Nyerere's library.

Jasusi,
Kuna mambo si ya hapa.

Wala kwangu hilo nilokwambia si kubwa nilikazanie.
 
Ilitokea kitu gani baada ya uhuru Mwalimu Nyerere na Wazee wa Dar es Salaam wakawa tena maadui wakati hapo mwanzo kuanzia mwaka 1950 walikuwa kitu kimoja.

Kwa sababu ya kwaheri Mkoloni kwaheri Uhuru! walikubaliana kumwondoa Mkoloni ili wafurahie matunda ya uhuru lakini badala yake kamatakamata ikaanza ili keki ya uhuru wale baadhi ya watu tu!
 
Ilitokea kitu gani baada ya uhuru Mwalimu Nyerere na Wazee wa Dar es Salaam wakawa tena maadui wakati hapo mwanzo kuanzia mwaka 1950 walikuwa kitu kimoja.

GG,

Kuna mengi ya chokochoko yalitokea Kigoma na Bukoba.
Wakatoliki waliweka watu wao katika chaguzi za serikali
za mitaa kuwapinga wagombea Waislam walowekwa na
TANU.

Waliwapinga wakisema Waislam walowekwa na TANU
hawana elimu.

Lakini kubwa liloleta uhasama ni ule mpango wa kujenga
Chuo Kikuu chini ya uongozi wa EAMWS.

Yapo mengi.
 
Hiyo ni ngano yako. Nimekwenda Butiama pale kwenye library yake hakipo! Ulimpa wewe au ulitumia messenger?

Jasusi,

Ndugu yangu yote haya ya nini na tukubaliane kuwa wala
hakupatapo kukisikia kitabu changu.
 
Mzee wako Mohamed Saidi kakwambia yeye hakuandika kitabu kile kushindana, ila aliandika kueleza histohisia ya wazee wake wa Tandamti na Gerezani, sasa wewe na ushabiki wako unakuja na upuuzi wa ushindi. Tuamini umeamua kwenda kinyume na matakwa ya nabii wako?

Exactly!! I think you get the point

Kwa maana hio na wewe usingetokwa na povu kusema kuna uchochezi wakati yeye kaandika kuhusu wazee wake.

Unaweza na wewe kuandika kuhusu wazee wako au huna wazee?
Au wazee wako hawana jambo ambalo ni zuri kusikilizwa na watu wa JF na Tanzania nzima kwa ujumla au penginepo baadhi ya nchi za nje.
 
Exactly!! I think you get the point

Kwa maana hio na wewe usingetokwa na povu kusema kuna uchochezi wakati yeye kaandika kuhusu wazee wake.

Unaweza na wewe kuandika kuhusu wazee wako au huna wazee?
Au wazee wako hawana jambo ambalo ni zuri kusikilizwa na watu wa JF na Tanzania nzima kwa ujumla au penginepo baadhi ya nchi za nje.


Umempa Jibu zuri sana huyo mpumbavu.,

Kama anakiri hayo yote sasa povu linalomtoka ni la nini??

Mazuzu sana hao jamaa..
 
Gwalihenzi, achana nae huyo Boko Haram, atakusababishia ban tu, anakupandisha mori ili umpe za uso kisha ukutane Na rungu la jf,
Twende kwenye hoja za msingi na mzee wao mstaarabu mchochezi Mohamed Said
Kumbe waliopewa ban walikua wanamipa za usoni ;-)
 
GG,

Kuna mengi ya chokochoko yalitokea Kigoma na Bukoba.
Wakatoliki waliweka watu wao katika chaguzi za serikali
za mitaa kuwapinga wagombea Waislam walowekwa na
TANU.

Waliwapinga wakisema Waislam walowekwa na TANU
hawana elimu.

Lakini kubwa liloleta uhasama ni ule mpango wa kujenga
Chuo Kikuu chini ya uongozi wa EAMWS.

Yapo mengi.
Mohamed, hili la chuo kikuu tumeshakueleza na umeshindwa kulitetea nashangaa sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa! Umeeulizwa EAMWS ilikuwa na makao Mombasa nani ali iua na kwanini haikujenga chuo Mombasa?

Je, Jamiatuli Issilamiya fil Tanganyika walijenga kitu gani kwasababu wao walikuwepo kabla ya Wapakistan hawajaingia Mombasa na Dar es Salaam. Hebu tuambie kitu kimoja tu kama alama ya elimu/afya iliyoachwa na Jamiatul lsamiyya.

Tumekuuliza kama EAMWS ilipigwa marufuku kwa tangazo la serikali, tangazo gani lilipiga marufuku Jamaiatul Isslamiya fil Tanganyika

Mlezi alikuwa Agakha kwanini narudi kujenga chuo pale alipodhulumiwa?

Kwanini tatizo liwe la wamatumbi na siyo Shia, Bohara, Ismailia n.k.

Unajua kuna vitu unadani ni main point kwako bila kujua ni weak point. Hili la EAMWS ni dhaifu sana maana ukiulizwa chuo hicho walikuwa wasome akina nani, sitaki kusikia jibu.

Na kila mara nasema Mohamed kuongea sana siyo maarifa maana unaji contradict sana.
Endapo ugomvi ulianza na kifo cha EAMWS, je AMNUT walikuwa na ugomvi upi na Nyerere!
 
Back
Top Bottom