Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kwa kweli endelea kutusoma. Kati ya Wazee wa Kiislam wa Tanganyika, mwaka 1962/63 kuna aliyekuwa na elimu ya chuo kikuu? Tanganyika yenyewe haikuwa na chuo kikuu chake wakati huo.
Waambie FBI wamkamate na kumhoji kwanini hampi heshima Julius!
Kwa tafsiri yako tu kaka. Wazo la kuasisi TANU ni lazima liendane na wazo la kudai UHURU. TANU iliasisiwa kwa sababu hiyo tu.WC,
Mifano yako haiendani na mantiki ya jambo lenyewe.
Kuna moderator mmoja alitaka kuwaokoa Mzee Mwanakijiji na Yerico kutokoana na aibu iliyowakumba lakini admin.akaona hii sasa itaua JF akakufungulia.Asalaam Aleykum.
Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".
Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Hali ya nchi na uhuru wa maoni ni mbaya.Yaani agizo la Kikwete kwa waislamu linafanya kazi mpaka kwenye mitandao ya kijamii.
Ama kweli FBI wamekuja kazini Tanzania.
Hapa mwisho wake mpaka Mohammed atakula ban abakie Mwanakijiji na akina Yerico peke yao.Huko mitaani akina Mohammed na Ritz pia hawatokuwa salama.
Wazee wapigania uhuru wakirudi watashangaa watamani kurudi walikotokea kama ashabul Kahfi.
Umefanikiwa kiasi gani katika hili la kuwaweka kwenye historia ya Tanganyika? Wamebaki na watabaki kwenye kitabu chako tu. Hao wasikilizaji 90,000 tumechangia sote kuwavuta humu au wanakusoma wewe tu?
Wewe ulikuwa kinda tu wakati tamaa hiyo inaanza. Mwaka wa 28 sasa tangu Mwalimu ang'atuke. Chuo Kikuu cha Waislam kiko wapi? Ali Hassan Mwinyi angeanza na hilo. Sio kukimbizana na mabucha ya nguruwe na kumtafuta Kadhi!WC,
Hilo halikutuzuia sisi kutamani kuwa na Chuo Kikuu.
Hii falsafa yako inakutetea mwenyewe.Kiuhalisia historia mbali mbali haziundiwi tume kuandikwa .Ukiona historia ya aina hiyo basi ni ya kutetea uongo kama ile ya Kigamboni.Itaitwa ngano/simulizi
Histiria ni huwa inajiumba, na haisimuliwi kwa makengeza hata siku moja,
Na zaidi historia ya NCHI haiandikwi na mtu mmoja tena mwenye mlengo wakipekee.
Wenzetu Waislam hawakuupokea Uislam pekee, wakapokea na Uarabu pia. Mipaka ya Uislam na Uarabu haijalikani hadi leo. Mila na tamaduni za Kiarabu zikawekwa humo kwenye Uislam. Hili limewaathiri sana.
Hili la kutotahiri wanaume tuliache. Makabila mengi tu hapa nchini wanaume hawatahiriwi! Hakuna anayekwenda Vatican kuhiji. Kule ni makao makuu ya Wakatoliki. Kwa nini Quran tukufu haijatafsiriwa kwa kiswahili hadi leo?Nanyi wenzetu Wakristo mkaupokea ukristo na uzungu! mfano, kuingia na suti, tai na viatu kanisani! kukubali Yesu alikuwa Mzungu! badala ya kuhiji Nazareti alipozaliwa Yesu, mnaenda kuhiji Vatikani, na Kwa Malkia wa Uingereza! kutotahiri Wanaume na sasa mnatairiwa ukubwani baada ya gonjwa la ukimwi kumaliza watu! nk!nk!
Hili la kutotahiri wanaume tuliache. Makabila mengi tu hapa nchini wanaume hawatahiriwi! Hakuna anayekwenda Vatican kuhiji. Kule ni makao makuu ya Wakatoliki. Kwa nini Quran tukufu haijatafsiriwa kwa kiswahili hadi leo?
Kwa tafsiri yako tu kaka. Wazo la kuasisi TANU ni lazima liendane na wazo la kudai UHURU. TANU iliasisiwa kwa sababu hiyo tu.
Tafsiri imekubalika? Inatumika misikitini?Hii ni tafsiri ya Quran kwa Kiswahili! soma ndugu yangu huenda Allah akakuongoza! Qur'ani Tukufu
Wewe ulikuwa kinda tu wakati tamaa hiyo inaanza. Mwaka wa 28 sasa tangu Mwalimu ang'atuke. Chuo Kikuu cha Waislam kiko wapi? Ali Hassan Mwinyi angeanza na hilo. Sio kukimbizana na mabucha ya nguruwe na kumtafuta Kadhi!
WC,
TANU ipi unayoizungumzia wewe.
TANU ya St Francis College au TANU ya New Street iliyotokana na jitihada
nyingi kuanzia Burma 6 Battalion ya KAR 1945 ikaja katikaTAA Political
Subcommittee ya 1950 hadi 1954 au ile TANU ya St Francis College, Pugu?
Nakuwekea hapa wazo la kudai uhuru kama alivyoandika Kleist Sykes 1933
katika barua aliyompelekea rais wa African Association Mzee bin Sudi:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]'Kleist Sykes had foretold the role of the next generation. In a letter he wrote in 1933 to Mzee bin Sudi, then president of the African Association, Kleist at the tender age of twenty-nine years had this to write:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]'Let us struggle with all our hearts towards the path of civilization just like other tribes are doing. It does not matter if we do not accomplish everything. Those who will come after us will finish the rest.' [1]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[1] SeeBuruku, op. cit. p. 105.
Kuna kisa kilitokea hata ikabidi Kleist kuandika barua hii na kitu kilichonistua mimi niliposoma
hii barua ni kuwa Kleist kaianza barua hii na ''Bismillah Rahman Rahym.''
Anaependa kusoma maisha ya Kleist anaweza kwenda Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam akajisomea mwenyewe East Africana aangalie Daisy Sykes Buruku, ‘The Townsman:
Kleist Sykes', in Iliffe (ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, pp. 95-114.Akipenda anaweza
kusoma na seminar paper iliyoandikwa 1968 na Daisy Aisha Sykes mjukuu wa Kleist.
TANU ni moja tu. Hiyo ya mioyoni mwa watu huko Burma ni TANU yao wenyewe! Ndio napendekeza tarehe ya UHURU wa Tanganyika irudishwe nyuma kidogo ili akina Abdu waenziwe inavyostahiki. Hii ya 9.12.1961 ni ya akina Mwalimu na TANU yao nyingine ya saba Julai, 1954WC,
TANU ipi unayoizungumzia wewe.
TANU ya St Francis College au TANU ya New Street iliyotokana na jitihada
nyingi kuanzia Burma 6 Battalion ya KAR 1945 ikaja katikaTAA Political
Subcommittee ya 1950 hadi 1954 au ile TANU ya St Francis College, Pugu?
Nakuwekea hapa wazo la kudai uhuru kama alivyoandika Kleist Sykes 1933
katika barua aliyompelekea rais wa African Association Mzee bin Sudi:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]'Kleist Sykes had foretold the role of the next generation. In a letter he wrote in 1933 to Mzee bin Sudi, then president of the African Association, Kleist at the tender age of twenty-nine years had this to write:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]'Let us struggle with all our hearts towards the path of civilization just like other tribes are doing. It does not matter if we do not accomplish everything. Those who will come after us will finish the rest.' [1]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[1] SeeBuruku, op. cit. p. 105.
Kuna kisa kilitokea hata ikabidi Kleist kuandika barua hii na kitu kilichonistua mimi niliposoma
hii barua ni kuwa Kleist kaianza barua hii na ''Bismillah Rahman Rahym.''
Anaependa kusoma maisha ya Kleist anaweza kwenda Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam akajisomea mwenyewe East Africana aangalie Daisy Sykes Buruku, ‘The Townsman:
Kleist Sykes', in Iliffe (ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, pp. 95-114.Akipenda anaweza
kusoma na seminar paper iliyoandikwa 1968 na Daisy Aisha Sykes mjukuu wa Kleist.
WC,
Kuwa nimefanikiwa kiasi gani hilo si mie kusema.
Inatosha tu labda kukuambia baada ya kitabu kile
ndipo nilipotafutwa na kupewa mialiko mingi ndani
na nje ya kuzungumza.
Kuhusu wasikizaji 90, 000 naamini hawa wanasikiliza
yale yanayozungumzwa waliyokuwa hawayajui.
Hawaji humu kusoma maswali.
Tafsiri imekubalika? Inatumika misikitini?