Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Boko haram,

Chizi mmoja alitoroka mirembe akakutana na chizi mwenzake mitaani yule chizi akamuuliza vipi umepona mbona upo mitaani yule chizi akamjibu chizi mwenzake kule hospitali nilikuwa boarding sasa nipo day.

Ritz,

Nakupa mji.
Chagua wapi nikupeleke!
 
ujumbe wa UNO,ambao ulikuja mahusus kumuuliza Nyerere kwamba unaweza kuongoza nchi??????? The rest is history

 

Mohamed Said,

Tumefaidi wengi kuhusu hiki kisa tutakuwa wachoyo wa Fadhwila tusipokushukuru.

Tunashukuru sana kwa darsa ingawa kuna wengine hawapendi.
 
W,

Hapo alipokamatwa huyu kijana hapakuwa na maandamano.
Ikiwa unasema kulikuwa na maandamano siku ile siwezi kubisha.

Lakini siku ile hawakutoka Waislam katika maandamano.
Misikiti yote ilikuwa shwari.

Hii ndiyo taarifa niijuayo mimi.
Nikukumbushe tu, suala l Polisi "kuonea" sio la jana wala leo , shida yako na bahati mbaya kwako na wanaoamini kila unachosema na kukihusisha na "uonevu" dhidi ya Waislamu ni kuwa limemkuta Muislamu ambaye unaamini maelezo yake kuwa kaonewa.
MS, ni bahati mbaya sana kuwa ktk umri wako unahusisha kila baya linalowakuta Waislamu unahusisha na udini.
 
Wangekuwa na uwezo hao wasomi wenu wa Kikirsto Tanzania isingekuwa nchi masikini wa kutupwa duniani.

Labada nisaidie kunijibu kwa nini Tanzania bado ipo kwenye kundi za nchi 20 duniani kwa umasikini.
Kwa sababu rais Jakaya Kikwete hajui kwanini Tanzania ni maskini!
 
Je, siku watanzania wote watakapo amua kuacha imani zao nyingine na kuingia uislam Tanzania itapata maendeleo?
 
on Nyerere,s right ni dada yake,on his left Bibi Titi and Rupia


Son...

Huyo ni Bi. Sophia ambaye alikuwa mke wa Lawrence Gama.

Nishamtaji bibi huyo mara kadha hapa JF kuwa yeye na mumewe
walikuwa marafiki wakubwa wa Abdu Sykes.
 

Na wapo watu wana akili timamu wanaweza kabisa kuamini kuwa 'nyerere hakupenda historia ianze kabla yake'! Ukiulizwa ulijuaje hakupenda, utasema 'nisemayo ni kweli, kama unaamini sawa huamini siyo sawa'. Halafu unajitambulisha kuwa ni kazi ya kiacademic!

Kwenye maandishi ya Abdulwahid Sykes ambayo umeyaona kuna barua yoyote au ushahidi wowote ambao alipewa maelezo na Nyerere jinsi ya kuandika historia ya TANU? Of course we don't need any evidence.. neno lako tu linatosha kutengeneza facts!
 
uhuru day,nyerere,s car sorrounded by well wishers-back then it was all harmony unlike now,whereby a few bogus elements are pushing on a distabilising agenda

 

Winama,

Haya mambo yana historia.
Umesoma kitabu changu?
 
Son...

Huyo ni Bi. Sophia ambaye alikuwa mke wa Lawrence Gama.

Nishamtaji bibi huyo mara kadha hapa JF kuwa yeye na mumewe
walikuwa marafiki wakubwa wa Abdu Sykes.

mbona huko nyuma,ulikuwa hutaki kutaja ni mke wa nani???? change of heart imetoka wapi???
 
Mohamed Said,

Tumefaidi wengi kuhusu hiki kisa tutakuwa wachoyo wa Fadhwila tusipokushukuru.

Tunashukuru sana kwa darsa ingawa kuna wengine hawapendi.

Ritz,

Kuna jamaa ananichokonoa.
Simuopoi hiyo ndiyo dawa ya safii.
 
mbona huko nyuma,ulikuwa hutaki kutaja ni mke wa nani???? change of heart imetoka wapi???

Son...

Hii ni mara ya pili namtaja.
Nilimtaja siku ile Yericko alipomtukana Abdu Sykes.

Nikamwambia hujui ihsani ilopitika kati ya watu hawa.

Ndipo nikamtaja jina mume wa shangazi yake nilitaka
ajue kuwa wazee wake na wangu walikuwa ndugu.

Sasa si ndiyo mie nakuambia wewe Son... una nongwa?
Mbona hukuniuliza?

Unaamini sasa kama mie nimeishi na hawa wazee?
 
uhuru day,people go berserk-kwa mbali naona ki bajaj kumbe hizi bajaj ni za siku nyingi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…