Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Kuna binti ameajiliwa kazi NMB tawi la Kilwa kwa sababu anajina la kiislam, walio muajili walipogundua jina hilo alisomea shule tu na sio mwislam wameanza kumuandama ile mbaya!Nina mdogo wangu kamaliza chuo cha ardhi leo mwaka wa tatu hana kazi kaishapeleka CV zake Wizara ya Ujenzi hajapata kazi wale aliowaacha chuo saizi wamepata kazi hapo Wizara ya Ujenzi.