Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Kuna binti ameajiliwa kazi NMB tawi la Kilwa kwa sababu anajina la kiislam, walio muajili walipogundua jina hilo alisomea shule tu na sio mwislam wameanza kumuandama ile mbaya!Nina mdogo wangu kamaliza chuo cha ardhi leo mwaka wa tatu hana kazi kaishapeleka CV zake Wizara ya Ujenzi hajapata kazi wale aliowaacha chuo saizi wamepata kazi hapo Wizara ya Ujenzi.
Kwa sababu rais Jakaya Kikwete hajui kwanini Tanzania ni maskini!
Hapo ni seafood buffet tu.
Ritz,
Unataka kumjua Judith Listowel.
Tuanze na cheo chake.
Huyu anaitwa Lady Judith Listowel.
Alikuwa mke wa Listowel ambae alikuwa gavana Ghana.
Huyu mama alikuwa ''entertainer'' wakati wa ujana wake na aliachana na
mambo haya alipoolewa na huyu Listowel ambae alilkuwa anatoka katika
koo za juu ''upper class'' za Kiingereza.
Judith Listowel asingelimjua Ally Sykes ila alipojulishwa kwake na Peter
Colmore.
Ally Sykes na Peter Colmore ''two of a kind'' wana kisa kirefu.
Nina makala nzima kuhusu watu hawa ukipenda naweza kukuwekea hapa.
Mie nikimjua Colmore toka utoto wangu kwa kuwa ofisi yake ya Dar es Salaam
ilikuwa nyumba ya tatu kutoka kwetu.
Akija kutoka Nairobi alikuwa pale.
Ilikuwa ni nyumba yake cum office.
Ally Sykes na Peter Colmore walikuwa marafiki toka 1942 wakiwa watoto kabisa
Nairobi na wakaja kufanya biashara pamoja na wote wakatajirika kufru kiasi Peter
Colmore aliwezakununua ndege yake binafsi na Rolls Royce Nairobi katikia miaka ya
1950.
Ally Sykes haitaji maelezo anafahamika.
Lady Judith Listowel alipotaka kuandika kitabu chake ''The Making of Tanganyika''
Listowel akendaNairobi kwa Colmore na Colmore akamuagiza kwa Ally Sykes Dar es
Salaam.
Hii ilikuwa 1962.
Nina mdogo wangu wakati huo ana miaka 8 yeye alimwona Judith Listowel kwa
macho yake mwenyewe na anasema alinipa hela na akafanya kituko kidogo.
Alikudua nguo mbele yake akatoa fedha katika nguo yake ya ndani.
Huyu mdogo wangu anasema alishtuka lakini Lstowel akamwabia asiogope.
Listowel alipokuwa Dar es Salaam akifanya utafiti wake mwenyeji wake alikuwa
Ally Sykes na Ally Sykes ndiye akimzungusha na gari yake huko na huko.
Binafsi nimesoma barua za mkono ambazo Listowel alimwandikia Ally Sykes akimuuliza
kuhusu hili na lile katika historia ya Tanganyika.
Abdu Sykes alipokutana na Listowel nyumbani kwake Magomeni Mikumi Abdu hakufunguka
kuhusu mchango wake katika kuasisi TANU.
Kisa nini?
Kisa kilikuwa Abdu na Kleruu walipokuwa wanaandika historia ya TANU baada ya uihuru
palitokea msuguano kidogo kwa kuwa Nyerere hakupenda historia ya TANU ianze nyuma
yake na kuasisiwa kwa African Association 1929.
Abdu hakusema lolote la maana kwa Listowel katika utafiti ule.
Nadhani haya yanatosha.
Kama umekisoma nitajie waandishi wake.
Hao Wakristo wasiomtukuza Nyerere hawakubaliani naye si kwa sababu ya Ukristo au Ukatoliki wake bali kwa kutofautiana kwa hoja, falsafa, na misimamo yake.Hii kitu unapenda sana kuileta hapa.Hata upande wa wakristo si wote wanaomtukuza Nyerere.
Hebu naipigwe kura ya maoni kwa waislamu pekee bila serikali kujihusisha na tume zake tuone ni wapi wengi watakaomtukuza Nyerere una wangapi watakaomponda.Baada ya hapo labda ndipo iangaliwe iwapo kweli Nyerere anapasa kuitwa baba wa taifa au la.
hebu kanawe miguu ulale... Unaulizwa badala ya kujibu, nawe unaleta viswali vyako vya kitoto
Na wengine wanaobambikiwa makosa na kusingiziwa kesi na Mahakimu kuthibitisha hivyo na si Waislamu utaandika kitabu?Winama,
Haya mambo yana historia.
Umesoma kitabu changu?
Ulisikia kwa nani? Mohamed Said alikwambia?Kabla ya Kikwete kuwa rais nasikia Tanzania ilikuwa Tajiri sana raia wake walikuwa wanalipwa mishahara kila mwezi.
Na wengine wanaobambikiwa makosa na kusingiziwa kesi na Mahakimu kuthibitisha hivyo na si Waislamu utaandika kitabu?
Usinielewe vibaya Sheikh, bali ni kwa kuwa unasisitizia kitabu na unatumia kitabu chako kutojibu naadhi ya hoja za wadau.
Mzee Ms,Mgashi,
Usifananishe matatizo hayo na historia ya dhulma dhidi ya Waislam.
Hivyo ni vitu viwili tofauti sana.
Athari ya ubaguzi wa dini inakwenda mbali na ni hatari zaidi.
Inawezekana wewe ni mtu muadilifu na huamini kama tuna
wabaguzi ndani ya jamii yetu.
Zungumza na Waislam na fanya utafiti wako mwenyewe bila
hofu.
Utapata ukweli.
Huu uchochezi na uwongo wapelekee wajinga wenzako wanaoshinda kwenye mihadhara kutetea uwongo kama huu! eboo!Ushahidi kaambiwa kabisa wakati anapeleka CV zake kaambiawa kabisa nyie watu wa madrasa mnamatatizo.
Dogo katafuta kazi online kapata Japan saizi yupo huko.
Sijui unataka ushahidi gani tena.
Kuwa na adabu kijana na kauli zako unaweza kuwa unamjibu mtu ambaye amesoma na mzazi wako wa kike au wa kiume na wamesaidia vitu vingi shuleni na kwenye mabweni.
Mzee Ms,
kwa Tz,Hii linapokuja swala la dhuluma mafisadi wote wanashikamana kuwafanyia uonevu wa Tz, bila kujali dini wala kabila ni dhuluma kwa kwenda mbele tu.
Hosp ziko za wene nacho na wasio nacho, shule hivyo hivyo.
Mzee Ms, hakuna dhuluma kwa waislam ila kuna dhuluma kwa wtz.