Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nahiki ndicho kilichotufikisha hapa, ndugu Moha ed kaandika mawazo yake nakuyaita historia bila kusimama kwenye njia halisi ya historia hiyo.
Bado unadaiwa ule uthibitisho wa uchochezi wa Mohamed.
Ahadi za audio umeziyeyusha mpaka leo.
 

Mandown,
Angalia na hii:

Marehemu Prof. Haroun Othman si mtu mjinga.

Alipokisoma kitabu changu na kugundua mengi ambayo kwake yalikuwa mapya
aliathirika sana. Khasa kuwa harakati za kuwakusanya wananchi kuwa kitu kimoja
chini ya African Association ilianzwa na baba yake Abdulwahid Sykes Mzee Kleist
mwaka wa 1929.

Pili aliposoma kwa ushahidi wa nyaraka kuwa Abdu Sykes alikichukua chama
alichoasisi baba yake na kuanza mipango ya kuuunda TANU mwaka 1950.

Tatu kuwa hata ile hotuba iliyosomwa na Nyerere UNO 1955 chanzo chake
kilikuwa TAA Political Sub Committee katibu akiwa Abdu Sykes. TAA Political
Sub Commiittee ndiyo iliyoandika hotuba ile waandishi wakiwa Sheikh Hassan
bin Amir, Abdulwahid Sykes, Hamza Mwapachu, Stephen Mhando, Dr Vedasto
Kyaruzi na Said Chaurembo.


Lakini zito kwake Prof. Haroub ni pale aliposoma njama za Nyerere katika kupiga
vita historia hii na kuhujumu juhudi za Waislam katika kujenga taasisi za elimu.

Prof. Haroub alipitia ushahidi wote nilioweka katika kitabu na kama haitoshi
alikwenda kuzungumza na Ahmed Rashad Ali rafiki yake Abdulwahid Sykes toka
1939 kutafuta ukweli wa maneno yangu. Huko nako alishibishwa.


Siku nilipokutananae uso kwa uso Prof. Haroub alikuwa kapwelewa kwani kwake
yeye Nyerere alikuwa kila kitu.

Kiongozi muadilifu atoae haki kwa raia wake wote bila ubaguzi, hana udini nk. na nk.

Aliniuliza mengi na mimi nilimjibu kila swali lake alilouliza.


Kwa mara ya kwanza mimi ambaye nilikuwa mwanafunzi wake Mlimani akinisomesha
"Theories of Development" sasa nikawa namsomesha prof. wangu historia ya kweli ya
Tanganyika.

Prof. Haroub alikuwa kama wengi walivyokuwa - hawakumjua Nyerere wala historia ya
kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nilikuwa nimemfungulia mlango ambao hakuwahi kupita hata siku moja.

Sishangai hapa JF ninaposoma kejeli na matusi.

Hakika hawa wenzetu wana haki ya kupata mshtuko.

Kuja kujua ukweli baada ya miaka 50 si jambo dogo.

Inahitaji wapewe muda wasafishe bongo zao ili ziwe tayari kupokea elimu mpya.

Baada ya miaka 50 Rais Kikwete anatoa nishani kwa Abdulwahid Sykes na Ally Sykes.

Kwanini hakutoa nishani kwa baba yao Kleist Sykes au kwa Hamza Mwapachu, Stephen
Mhando, Zubeir Mtemvu, Sheikh Hassan bin Amir na wengine hili ni swali linalohitaji
majibu.

Historia hii bado inahitaji utafiti zaidi na iandikwe.
 
Ritz, mapovu ya nini? Jibu hoja ya Mag3, kama huwezi mwachie mzee wako chauchochezi acheze muziki wake yeye mwenyewe.
 

Nguruvi,

Tunaanza darsa la kumjua mwalimu wangu Sheikh Malik (Allah amrehemu).
Nitakupa vipande awamu baada ya awamu Insha Allah:

The Legacyof Sheikh Muhammad Hussein Malik

Dr. Hussein Malik came to Tanzania from Pakistan in 1970s as an expatriate teacher of mathematics employed by the government.

It is the irony of history that Prof. Malik was to be brought into the country by the government because had the Christian bureaucrats dominating the government known the influence which he would have to have upon Muslims particularly the young generation surely they would not have given him contract to serve in the country.

After completion of his contract with the government Dr. Malik was employed by BAKWATA.

Apart from teaching mathematics he also volunteered to teach religion to all secondary schools of Dar es Salaam and surrounding areas.

Accompanying him in his rendezvous around schools and mosques were his ardent students, Mussa Mdidi, Burhani Mtengwa, Hamza Soko (all deceased) to mention only a few, who translated for him.


These young men would later come to exert great influence not only instudents but also in the traditional sheikhs who reflecting on the hostile political environment of that time distanced themselves from politics.

Thesewere the bridge between the thoughts and strategies of Sheikh Malik and the sheikhs.

In any important gathering like the maulid Sheikh Malik would be one of those who would deliver nasaa to Muslims together with other sheikhs.

Sheikh Malik being an employee of BAKWATA he and his students had access to the state owned radio.

Sheikh Malik and his students became de facto leaders of Muslims in Tanzania Mainland and Muslim students looked up to them for guidance.

This was the time that "darsa duara"were introduced to students in schools particularly in boarding schools and in various mosques in Dar es Salaam.

These darsa took in any students even those as children did not go through the madras.

In these darsa students were exposed to the realities facing Muslims in Tanzania as a result of Christian hegemony.

Dr. Malik taught Islamic knowledge in a way that no other scholar had done before him in Tanzania.

There was a distinct system of teaching Islamics pursued by all sheikhs in East Africa.

The tradition was to take students through the basics, first learning the Qur'an and fikh.

No attempt was made to intertwine the teaching in the Islamic history with the reality of social and political issues of the day as they affected the society in which the students and Muslims in general were part of.

Most of the students and the sheikhs themselves had barely gone beyond lower primary school.

Due to inferior secular education of both teacher and student they could not articulate and translate the teachings beyond what had been recited in the basics.

They found world issues alien to them and unrelatedto their predicament.

Further still they were warned by the post-independencegovernment not to mix politics and religion.

Those who had ventured into politics much as to criticize the government were detained, ostracised or declared prohibited immigrants if they happen not to be indigenous.

There had been incidences where prominent sheikhs like Mufti Sheikh Hassan bin Ameir and Shariff Ahmed Badawy were banished and declared prohibited immigrants by Nyerere's government.

It was through these darsas and the teaching of Prof. Malik that Muslims particularly the new generation came to understand itself and came to be aware of the anti-Muslim force against Islam.

Malik made the young Muslims understand the purpose of their creation and the high value of absolute integrity in Islam which leave no room for one class to oppress another.

Through such teachings and drawing parallels from the Holy Qur'an and the traditions (hadith) of the Prophet, Peace be Upon Him, the young men began to look at the Tanzanian society in context of equality and justice to all.
Dr. Malik began first by helping his students overcome the inferiority complex which was a result of colonial propaganda and histories taught in schools.

Students were taught of scientific achievement and accomplishment of Muslim scholars of the past and present.

He taught a contrasting history of Islam as a religion which did not begin with Muhammad (Peace be Upon Him), but with Adam.

Dr. Malik taught his way down to the time of Jesus and the Jews emphasising of the fact that Jesus like Muhammad was a Muslim.

His most interesting and captivating topic was the history of the Jews how they turned religion into nationality and vice-versa.

Dr. Malik taught his students about exploits and achievements of Muslims scientists and scholars.

He concluded his course of study by showing the imprecision in Christianity.

Prof. Malik wiped out colonial histories ofMuslims as blood thirsty, raving through Spain on horse backs with swords blazing killing and forcing Christians to embrace Islam.

But he taught also his student the meaning of jihad and its value and what it can achieve to an individual, and to a people under subjugation.

He taught his students the value of education to a Muslim to consider education in whatever its form as their top priority and should not fall into the trap of demarcating between secular and religious knowledge because all source of knowledge is one.

These teachings found their way to the darsa duara. P
reviously it was not common for students to take Islamic knowledge seriously.

Dr. Malik was able to teach the subject in such a way that the subject was interesting and was always adding new knowledge.

His students looked forward to his classes.

In a period of ten years Dr. Malik was able tomould a strong following of disciplined and committed young men who began to see the injustices committed to Muslims in the Tanzanian society.

Dr. Malik's teachings went beyond schools; he made rounds in mosques to lecture on different topics with his students interpreting for him.

Once free of complex and armed with the teachings of correct version of Islam as a superior culture to any other, Dr. Malik laid a heavy burden to his students that they have an obligation to change the society and restore back the honour denied to Islam and Muslims not only in Tanzania but throughout the world.

His students in turn now began to hold classes in different schools and mosques.

The effect was noticeable.
 
Ritz, mapovu ya nini? Jibu hoja ya Mag3, kama huwezi mwachie mzee wako chauchochezi acheze muziki wake yeye mwenyewe.

Mimi na wewe nani anatoka povu wewe si unatuita sisi wajinga wapuuzi.

Nashangaa unaangaika na wapuuzi.

Adhabu yako wewe ni kukupuuza tu.
 

Mohamed Said,

Huu mpini wa Sheikh Dr Malik hatari Allah ampe neema kwa kuacha Ilm.

Nguruvi3,

Ulituambia utatupa habari za Sheikh Dr Malik mtu hatari tunasubiri utujuze.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Huu mpini wa Sheikh Dr Malik hatari Allah ampe neema kwa kuacha Ilm.

Nguruvi3,

Ulituambia utatupa habari za Sheikh Dr Malik mtu hatari tunasubiri utujuze.

Ritz,

Lakini wewe mtu mbona mkorofi?
Huachi?

Mimi si mtu wa nongwa ndiyo maana sikuona haja ya
kumkumbusha Nguruvi habari ya Sheikh Malik na mambo
yake ya ''hatari.''
 
Na wala ukweli usipindwe. Leo nani alijua kuwa Maryknoll walitoa ticket kwa Nyerere.

Ukisoma ngano nzima ni juu ya wazee wa Mohamed na Michango yao. Ukweli ulipindwa kuwa K.Sykes ndiye aliasisi AA bila mtu mwingine, sisi wengine tunasema hapana alikuwepo Cecil Matola na Ramadhani Ally.

Ukweli unasukwa kwa lazima umma uamini ni Wamanyema, Wazulu na Wanubi ndio walikuja kulikomboa taifa hili tena kwa kutumia Uislam. Yaani mchango wa mtu mwingine ni hovyo mbele ya wazulu, wamanyema na wanubi.

Ukweli ukapindwa eti Nyerere alitamka neno siasa kwa mara ya kwanza alipoonana na Sykes Dar es Salaam.
Ukweli upo wazi kuhusu Nyerere na siasa na kwamba elimu yake ilikuwa kubwa kuhusu siasa kuliko Kiyate.

Bila kudhalilisha mchango wa Kiyate, ni udhalilishaji kusema kina Chaurembo ndio walimwandikia Mwalim wa sekondari Nyerere hotuba ya UN bila mwalim kujua kimeandikwa nini, Tukubali tu!!!

Sasa ana single ya Darul Iman ambayo tunajua kuwa ulaji ulianza na waislam na wala hawakupigwa marufuku.
Tunajua kuna Islamic foundation imejenga misiskiti 700 sasa iweje serikali iwazuie kujenga chuo cha ufundi.

Kwamba elimu inayodhaniwa kutolewa mwisho wake ni kujenga mazingira ya jamii moja kuwa dhalili.
Mohamed ameshasema kuwa waislam ni raia daraja la pili. Kauli hii ni mbaya sana kwa mustakabali wa taifa.

Ubaya wake ni pamoja na kuaminisha kuwa nchi hii watu wanapiga kwa unafuu wa dini jambo ambalo haliingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu.

Hatima ya maandishi ya Mohamed ni kutaka Wamanyema, Wazulu wapewe nafasi za upendeleo kimadaraka.
Kama taruhusu hilo kutokea basi tuwe tayari kwa kusikia madai ya kuwa kwanini kuna maaskofu wengi makanisani na ni wakati masheikh nao wafikiriwe.

Watu wanatusoma wanatuelewa kuwa hatuna ajizi wala husuda na Mohamed kuorodhesha familia yake, majirani zake na wazee wake wa Tandamti. Tatizo ni kuwa asifanye hivyo kwa kudhalilisha wengine na wala asitafute au kufukia ukweli.
Kila kitu kiwekwe wazi na kwa mujibu wa historia na si fikra za mtu.
 
Mohamed Said,

Huu mpini wa Sheikh Dr Malik hatari Allah ampe neema kwa kuacha Ilm.

Nguruvi3,

Ulituambia utatupa habari za Sheikh Dr Malik mtu hatari tunasubiri utujuze.
Haaa!!!! mpini upi tena unautaka kutoka kwangu? Kila nilichosema amekisema Mohamed na nashukuru kuwa sikusema uongo.

Lakini pia lazima utambue kuwa Mohamed ni mwanafunzi wa Maliki sasa sijui unatgemea akuambie nini kuhusu deportation yake! Not everything you see is roses, read between the lines you will see sharp thorn

Ile tafiti maarufu ya Warsha kwa mujibu wa Mohamed ilisimamiwa na nani?
Ni kwanini Mpakistan aje kufundisha social and political subjects katika misikiti?
Kwanini Mohamed ambaye amekiri ni mwanafunzi wake hakujiorodhesha miongoni mwa wanafunzi aliowataja? do you know why!
 

Nguruvi,

Maneno mengine unanitilia kinywani sijayaweka hivyo
unavyosema.

Lakini kama ungeweza ukaandika kitabu kusahihisha
hiki changu tungeweza kuwa katika "equal footing" na
nani ajuaye nawe ungeingia labda katika reviews za
Cambridge Journal of African History...

Lakini mistari 10 JF haiwezi kujibu kitabu changu.
 
Ritz,

Lakini wewe mtu mbona mkorofi?
Huachi?

Mimi si mtu wa nongwa ndiyo maana sikuona haja ya
kumkumbusha Nguruvi habari ya Sheikh Malik na mambo
yake ya ''hatari.''
Kuna hoja za Mag3 umezikubali vizuri tu. Halafu wewe utaeleza nini kuhusu Malik Mwalim wako?
Si utafanya kama ulivyoficha utaifishwaji wa Nyumba ya D.Cameron na familia ya Sykes. Wapi uliwahi kutueleza kuwa nyumba ile walifasidi zaidi ya kusema walijenga jumapili. Sasa utatueleza nini kuhusu Malik. Mbona hukumalizia aliondokaje
 

Nguruvi,

Utapata sana shida na mimi.
Unasema sijajiorodhesha mimi kama mwanafunzi wa sheikh?

Unasoma vizuri?
Sasa najiorodhesha MIMI NI MWANAFUNZI WA SHEIKH MALIK.

Kwani inakatazwa kusomeshwa politics katika misikiti?
Lakini kwa taarifa yako hiyo yote ni Qur'an.

Uislam haubagui baina ya mataifa naona Mpakistani inakukera.

Kuhusu tafiti tulia ndiyo kwanza tumeanza darsa yote nitaweka
hapa wewe na wasikilizaji wasikie.

Kuhusu PI ya sheikh yote utasikiliza hapa.
Insha Allah nitakuwekea kila kitu kuhusu mwalimu wangu.

Muhimu kuwa na subra punguza hamaki watazamaji wataburudika.
 

Mpakistani anakuja kuwafundisha Watanzania juu ya yanayoendelea Tanzania... ukiuliza yeye aliyajua vipi hutajibiwa...
 
Mimi na wewe nani anatoka povu wewe si unatuita sisi wajinga wapuuzi.

Nashangaa unaangaika na wapuuzi.

Adhabu yako wewe ni kukupuuza tu.
Nipe adhabu yoyote unayoitaka, lakini hoja ya wakuu Mag3 na Nguruvi3 inatakiwa kujibiwa. Wewe kama wewe huna ubavu na ndio maana nakwambia mziki huu wewe huuwezi mwachie mwalimu wako chauchochezi Mohamed Said aucheze!
 

Nguruvi,

Mimi sina uwezo wa kukulazimisha kuamini niliyoandika.

Kuhusu ujenzi wa nyumba ya African Association nimetoa rejea hapa atakae akasome Maktaba ya Chuo Kikuu, East Africana.

Nimekuwekea tena rejea hiyo kwenye footnote ili uipitie na usome mengi kuhusu African Association na ujenzi wa ofisi ile iliyopo hadi leo ofisi ambayo unasema ilifisidiwa.

Naweka hapa maelezo kutoka ''Under the Shadow of British Colonialism'' kwa ufafanuzi zaidi:

''Part of that history and indeed the history of our family has also been recorded together with the history of Tanganyika itself.
Kleist preserved this history through his own pen.

And it was from Kleist's pen that many years after he had passed away that we now have an accurate account of those days long passed.

Before he died on 23 May 1949 my father left behind his memoirs in his long flowing Germany handwriting picked from a Germany school he attended in Dar es Salaam, as a child in early 1900s. These memoirs [1] were later revisited by Abdulwahid my elder brother with his daughter Aisha Daisy Sykes, then an undergraduate student at Dar es Salaam University under the tutelage of Illife the renowned historian from Cambridge University.

A month before he died on 12 October 1968 Abdulwahid had had already assisted Daisy to complete her research assignment of prominent Africans in Tanganyika for a history seminar on the life of her grandfather.

The aim of this project was to document the life history of our father, Kleist Sykes and his achievement in politics, education and business.
It was from his diaries, personal papers as primary sources and with the assistance of Daisy that Iliffe was able to research and write accurately on African Association and early colonial politics.[2]

This work was submitted to the History Department of University of Dar es Salaam in September 1968.

It was later published in 1973 in a book edited by Illife.[3]

It is a pity that Abdulwahid who was the main informant on the biography did not leave to see the fruits of his work. Prior to publishing of my father's biography, little was known about the founding fathers of the African Association.


[1] A.D. Sykes "The Life of Kleist Sykes," University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15.

[2] See John Illife: A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London, 1977; Also "The Role of the African Association in the formation and Realisation of Territorial Consciousness in Tanzania." Mimeo, University of East Africa Social Sciences Conference 1968.

[3] Illife Modern Tanzanians, (ed), East African Publishing House, Nairobi, 1973.

Nguruvi,

Sasa tuje kwa mwalimu wangu Sheikh Malik.
Nimekwambia vuta subra ndiyo kwanza tumeanza darsa.

Insha Allah nitakuwekea hapa kila kitu nikijuacho kuhusu sheikh awamu baada ya awamu.
 

Nguruvi,

Tuendelee na darsa la mwalimu wangu Sheikh Malik:

These young men having finished their tutorial under Prof. Malik began to see issues in the country in a different light.

They harboured the desire to initiate a political movement in the mainland graced by Muslim sentiments to free Muslims from the bondage of Christian dominance.

It was in their view that a movement similar to the independence struggle initiated by Muslims in 1950s which ousted the British from Tanzania should be organised but this time the struggle had to be different.

This movement instead of pursuing thenationalist-secularist ideology articulated by Muslim founders of ndependence movement should strive to adopt in the new wave, Islam as theideology of genuine freedom. The decision to this change of strategy was that secularism had failed Muslims.

These were by any standards very radical thoughts.

However radical they might have seemed, the teachings received support and very attentive ears.

Most of those who harboured this thought were young graduates who had experienced the discrimination particularly against educated Muslims by Christian bureaucrats who saw in these young educatedMuslims a threat to the status quo.

It happened that by mid 1970s students of Dr. Malik's student werepassing through higher institutions of learning including the University of Dares Salaam where they became active in student politics in their own style.

While there they learned how the Christian lobby had been able to establish itself and what was to be done to expose it so that Muslim become aware of its existence and fight back.

They worked on that.

They also started to work onways to change the leadership in BAKWATA to turn it from a puppet organisationto an effective Muslim institution to represent Muslim interests.

The person who made this possible was Sheikh Mohamed Ali Al Bukhri then secretary ofBAKWATA.
It did not take long for the leadership of BAKWATA to find itselfengulfed in an internal conflict on important matters of principle.

Strangelythe BAKWATA leadership at the headquarters decided to turn the organisationinto a profit making body.

It registered a transportation company and bought trucks for the business.

This became the source of the conflict because reports were received that BAKWATA trucks were transporting alcohol as part of its cargo.

Sheikh Kassim bin Juma who was onthe forefront in the EAMWS crisis of 1968 was this time, on the forefront to condemn the BAKWATA leadership at the headquarters for un-Islamic practises.

Sheikh Kassim Juma has a very interesting history as we will come to learn Insha Allah later on.

Studentof Prof. Malik had by then formed an organisation - Muslim Writers Workshop which came to be popularly known as Warsha.

For strategic purposes this organisation operated without registration and noone exactly knew its leadership (even if they would have applied for registration the government would not have approved).

Judging from the qualityof the papers it published on various topics affecting Muslims and distributedto Muslims there was no doubt whatsoever the authors were highly educated.

They were not ordinary Muslims who the government had dealt with since the banningof the EAMWS.

One did not apply for membership he was recruited into it after thorough scrutiny over time.
In the conflict Warsha saw the opportunity to extricate from BAKWATA the puppet leadership in imposed by the government upon Muslims at the foundingconference of the organisation in Iringa in 1968.

Since its inception a goodnumber of Muslims adopted an apathetic attitude towards BAKWATA.

At that time Warsha's view was that such an attitude was self defeating.

If BAKWATA holdsitself as a Muslim organisation then Muslims should make it serve Muslim interests.

With the help of Warsha Sheikh Mohamed Ali was able tocall for fresh elections under a new constitution.
[1]


A new progressive and independent leadership came into power.

Sheikh Mohamed Ali had managed to conduct not only coup de grace against Chairman Saleh Masasia nd his deputy Sheikh Abdallah Chaurembo from leadership but also against Nyerere who had imposed this leadership upon Muslims.

The only person who remained from the old leadership was Adam Nasib.

Why Adam Nasib was not votedout of BAKWATA is still a misery.

Soon after, members of Warsha, the ardent student of Sheikh Malik moved in to occupy different positions in BAKWATA.


This was 1981.

For the first time since 1968 BAKWATA began to act and behave as a true Muslim organisation.

This infused into Muslims a new sense of hope and direction.


[1]TheBAKWATA constitution of 1968 was a replica of TANU constitution. See P. Van Bergen, Development and Religion, Madras 1981,p.26.
 
"Muslims are demanding the restoration of their history and honour as true liberators of Tanganyika. This is unprecedented. One can only speculate and wonder where this would lead to. Can we identify this phenomenon as corrective and revision of history or is it a lesson of anarchy in recording history?
12 The result of all this is that the Church has been made to stand naked. That the Church did not play any role during Maji Maji13 or during the struggle against the British or that it has worked hand in hand with the government to sabotage Islam and Muslims is now common knowledge."

@Mohamed Said -hapo umedai kanisa halikusaidia-sasa hawa MARYKNOLL SISTERS-waliompeleka Nyerere UNO ni akina nani?? dont you see history inakusuta mchana kweupe

 
Mzee ms,
Umekuwa kila ukiulizwa ukiilejea mifano hiyo hiyo na kusema ni mifano michache kama ya oic na ujenzi wa chuo.
Tupe na madhila mengine c kuludia mifano hiyo hiyo kila siku.
Ukweli hata ukirudiwa mara mia haina tatizo.Badala kutaka ukweli mwengine onesha kuwa huo ukweli usioupenda ni uongo kama utaweza.
 
Mbona hawakuthaminiwa hata kwa utanganyika wao kwa angalau kutajwa na kuelezwa kuwa na wao walikuwa wapigania uhuru.
Wengi hawakujulikana kabisa mpaka Mohammed Said alipoondika historia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…