Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi,

Sikuzungumza deportation ya Sheikh Malik kwa kuwa hapakuwa na haja.
Haja sasa ipo tunalizungumza.

Umesema kweli kabisa hakika roho uliniuma sana kwa mwalimu wangu
kufukuzwa
.

Kuhusu ''deportation'' ya sheikh usifanya haraka sijamaliza darsa utasoma
yote hapa jamvini.

Unajua Nguruvi wewe hujapita chuoni kama nilivyopita mimi na hii ndiyo
advantage yangu kubwa kwenu nyote.

Si unaona ninavyoshusha paper baada ya paper na paper ambazo nimezitoa
kwenye viwanja vya uhakika.

Maalim Haruna kanifunza adab ya majadiliano na kanifunza ukweli katika
mnakasha.

Ukiwa na vitu hivi unawavuta watazamaji.
Insha Allah tunakimbilia 100,000.

Unadhani nini kinawavuta hawa?
Wanamfuata nani?

alifukuzwa kwa udhalimu wake .. Wewe ulitaka aachwe kisa ni mwalimu wako.

Nchi na umoja wa kitaifa ni zaidi uhusiano wenu wa mwalimu na mwanafunzi.
 
Kwa Mbwembwe haujambo . Huitaji kusema watu 100000 wanakufuata, siye hadhira ndiyo tunajua.
Na wanapoandika wengine na wewe unakuwa sehemu ya hadhira.

Usiteswe na hofu ya kuonekana umeshindwa au kushinda wewe jibu hoja. Hapa ni kama upo kizi
mbani. Kwa wengine ambao hawakukujua kabla ya 2013 sasa watakujuwa na wengine wamekujua
wewe ni mtu wa namna gani na misheni zako.

Endelea kukaa JF sio tukujue (tumeshakujua) ila tufahamu zaidi kuhusu misheni zako ovu.
Na kwa bahati huwa unajisahau, bahati iliyoje!

Platozoom,
Mie ndiye wakuhimizwa kukaa humu?

Angalia nimekusomesheni mangapi mliokuwa
hamyajui.

Mie nipo wala usiwe na wasiwasi.
Shida yangu moja tu...

Ukinitukana ndiyo mwisho sikujibu chochote.

Mimi si mtu wa hofu.
Mimi si muoga.

Ushahidi ni huu.
Nimeingia hapa na jina langu kamili.

Wala sijisahau.
Niko hadhir.

Platozoom hawa 100,000 wakufate wewe kwa lipi?
Kwa kuniuliza maswali kama haya yaliyojaa vitisho?
 
alifukuzwa kwa udhalimu wake .. Wewe ulitaka aachwe kisa ni mwalimu wako.

Nchi na umoja wa kitaifa ni zaidi uhusiano wenu wa mwalimu na mwanafunzi.

Remote,

Sheikh Malik hakuwa dhalim.
Umoja uko wapi leo ndugu yangu?
 
Platozoom,
Mie ndiye wakuhimizwa kukaa humu?

Angalia nimekusomesheni mangapi mliokuwa
hamyajui.

Mie nipo wala usiwe na wasiwasi.
Shida yangu moja tu...

Ukinitukana ndiyo mwisho sikujibu chochote.

Mimi si mtu wa hofu.
Mimi si muoga.

Ushahidi ni huu.
Nimeingia hapa na jina langu kamili.

Wala sijisahau.
Niko hadhir.

Platozoom hawa 100,000 wakufate wewe kwa lipi?
Kwa kuniuliza maswali kama haya yaliyojaa vitisho?

Sheikh Mohammed,

Kuna ombi limewekwa hapa na member Matola la picha yako. Je, unaweza kukidhi ombi hilo?
 
Last edited by a moderator:
Platozoom,
Mie ndiye wakuhimizwa kukaa humu?

Angalia nimekusomesheni mangapi mliokuwa
hamyajui.

Mie nipo wala usiwe na wasiwasi.
Shida yangu moja tu...

Ukinitukana ndiyo mwisho sikujibu chochote.

Mimi si mtu wa hofu.
Mimi si muoga.

Ushahidi ni huu.
Nimeingia hapa na jina langu kamili.

Wala sijisahau.
Niko hadhir.

Platozoom hawa 100,000 wakufate wewe kwa lipi?
Kwa kuniuliza maswali kama haya yaliyojaa vitisho?

Sijakutukana. Lakini ujue na kwa yakini kabisa hata akiingia Joseph Kony au Kiongozi wa Alshabaab
post zinaweza kupindukia 200,000. Si kwamba watu wanavutika na "darsa" lao, ila wanavutika
misheni zao. Wakitaka kujua ni watu gani hawa nk nk.

Kuhusu miye nani anijue mpaka anifuate humu. Misheni zako tofauti na zangu.
Hila zako tofauti na zangu. Na pengine shughuli nazozifanya tofauti na zako. Lakini
hilo halinizuii kama Mzalendo kupinga nia ovu.

Na nisisahau moja kubwa, Umenizidi umri, ni sawa na wa Babu yangu. Kwa kweli hilo
siwezi kupingana nalo!
 
Ilmu sawa wacha wachote lakini siyo Elimu.

Kabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,
 
Mohamed sina sababu ya kusoma bold za maneno yako.
Kwanza tafiti zako hazina kiwango chochote cha utafiti. Source of data na kuondoa sehemu ya study kunaifanya inakosa maana nzima. Halafu data zako haionyeshi wanafunzi wangapi walifaulu na kunyimwa nafasi za kuingia chuo.

Kama Kilwa wamefunga shule definite statistics za mwaka 2011/12 zitaonyesha upungufu kwa wanafunzi waliotoka kilwa kujiunga na elimua ya juu achilia mbali sekondari.

Mohamed, hapa si mahali pa kutupa data za uani. Kuna watu wamefanya research nadhani wengi hawana mbavu sasa hivi. Hii ni absolute professional abuse!
Niliposoma hapo juu nikashtuka,khaa! Mohammed katoa data zisizo na source lakini niliposoma MAJIBU YAKO uliyomnakili Mohammed nikajua kichwa chako kimevurugika.
Baada ya kuona kumbe source zipo ukaja na hoja nyengine kabisa.Eti wakristo hawawezi kubeba lawama za non muslims.
Muhimu kwanza ilikuwa ni kuonesha dhulma kwa waislamu hata ikiwa mlishirikiana na non muslims.
Swali kwako:Hizo source ni genuine au fake?.Na nani aliyezinakili ni Mohammed Said au ni wewe?.
Zaidi ni kuwa unapotishia kuna watu wamefanya tafiti na hapa wanacheka,hizo ni mbwembwe zako tu.Utafiti ni ule wenye athari na matumizi kwa jamii.Utafiti kama wako Nguruvi unaoishia uvunguni unaona haya kuuonesha hatuna haja nao.
Mbali na hivyo wewe Nguruvi huna heshima na source yoyote.Wale watu wote aliowataja Mohammed Said ikiwa ni pamoja na wazazi wake ambao wengine wako hai au watoto wao bado wewe unaona si source.
 
Kabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,
Kuna swali nimeuliza ni nini maana ya Islamic Propagation? twende taratibu ndiyo utamu wa Munakasha, usiskip maswali ya kuudhi.
 
Kuna swali nimeuliza ni nini maana ya Islamic Propagation? twende taratibu ndiyo utamu wa Munakasha, usiskip maswali ya kuudhi.

Unamuuliza maswali mwehu unategemea kweli atakujibu.
 
The first option was to deport him to South Africa as a prohibited immigrant..

At thattime during apartheid South Africans were not allowed into Tanzania.

Mzee Said sasa hizi porojo nyingine mbona utawapata vijana ambao walikuwa hawajazaliwa wakati huo... kweli wapo watu wanaojua istoria watasema kuwa ni kweli watu wa Afrika ya Kusini walikuwa hawaruhhusiwi kuja Tanzania?
 
Hivi hili linahitaji Degree kujuwa kwamba ni sisi Watanzania Passport zetu ndio zilikuwa haziruhusiwi kuinga Afrika kusini ila wao waliruhusiwa kuja Tanzania?
 
Matola,
Adabu kitu cha bure.

Ikiwa nimekosea ilikuwa ni kunifahamisha kiungwana bila hizo kejeli
nami ningekushukuru.
Haikuwa nia yangu kukukosea adabu, ila umekosea na ukweli ni huo kwamba wa Afrika kusini waliruhusiwa kuja Tanzania ila sisi Watanzania nchi yetu ndio ilitukataza kwenda Afrika kusini pasipoti yetu ikaandikwa kabisa This passport is valid....... Isipokuwa South Afrika tu.

Tuvumiliane Mzee, tuendelee na Mnakasha.
 
Niliposoma hapo juu nikashtuka,khaa! Mohammed katoa data zisizo na source lakini niliposoma MAJIBU YAKO uliyomnakili Mohammed nikajua kichwa chako kimevurugika.
Baada ya kuona kumbe source zipo ukaja na hoja nyengine kabisa.Eti wakristo hawawezi kubeba lawama za non muslims.
Muhimu kwanza ilikuwa ni kuonesha dhulma kwa waislamu hata ikiwa mlishirikiana na non muslims.
Swali kwako:Hizo source ni genuine au fake?.Na nani aliyezinakili ni Mohammed Said au ni wewe?.
Zaidi ni kuwa unapotishia kuna watu wamefanya tafiti na hapa wanacheka,hizo ni mbwembwe zako tu.Utafiti ni ule wenye athari na matumizi kwa jamii.Utafiti kama wako Nguruvi unaoishia uvunguni unaona haya kuuonesha hatuna haja nao.
Mbali na hivyo wewe Nguruvi huna heshima na source yoyote.Wale watu wote aliowataja Mohammed Said ikiwa ni pamoja na wazazi wake ambao wengine wako hai au watoto wao bado wewe unaona si source.
Nasema hivi mkisoma vitu lazima muangalie vizuri. Hiyo source ni university of Dar es Salaam, sasa soma ** halafu angalia amesemaje.

Pili, kuna faculty kama za Agriculture, medicine na Vet amesema hazikuwemo. Sasa utaongeleaje utafiti wa UD kwa ujumla halafu data zingine hazimo. Unawezaje conclude kuwa UDSM enrollment ilikuwa na matatizo kama hukuweza kupata data nyingine.

Pengine angesema data za Faculty ABCD hiyo ni tofauti na data za UDSM as whole.

Tatu, Unaweza kuamini kuwa UDSM inaweza kukosa data za enrollemnt katika mwaka fulani?

Nne, sijafanya utafiti kuhusu hili na hilo linanifanya nibaki uvunguni, lakini kwa mtu mwenye akili lazima kila anachotupiwa akitafakari. Mimi sisomi vitu kama ngano nasoma nikitafakari na naweza kukuonyesha kuwa hapo juu tu kwenye ** ni sehemu muhimu sana na msoma mashairi kama wewe huwezi kuona.

Tano, kama lengo lilikuwa kuonyesha dhulma, then dhulma hiyo lazima iwe na ukweli. Ukionyesha dhulma kwa uongo hapo tu utakuwa umefanya dhulma.

Sita, je discrepancy za Muslim/christians/ non muslims umeziona na je ni relevant kwako?
Ukisema unadhulumiwa na wakristo you must show the public where and how!
Ukisema non muslim tayari umeshaondoa dhana ya wakristo kudhulumu waislam na hiyo inaondoa legimate ya madai mengine kwa wakristo katika mtiririko wa tafiti.

Tumeelewana kijana!
 
Kabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,
Ceci Matola aliachwa kwa bahati mbaya na Mohamed. Naye pia hakusikika
 
Back
Top Bottom