Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ilmu sawa wacha wachote lakini siyo Elimu.Hazina maana kwako wengine wanachota Ilm kutoka kwa Mohamed Said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilmu sawa wacha wachote lakini siyo Elimu.Hazina maana kwako wengine wanachota Ilm kutoka kwa Mohamed Said.
Nguruvi,
Sikuzungumza deportation ya Sheikh Malik kwa kuwa hapakuwa na haja.
Haja sasa ipo tunalizungumza.
Umesema kweli kabisa hakika roho uliniuma sana kwa mwalimu wangu
kufukuzwa.
Kuhusu ''deportation'' ya sheikh usifanya haraka sijamaliza darsa utasoma
yote hapa jamvini.
Unajua Nguruvi wewe hujapita chuoni kama nilivyopita mimi na hii ndiyo
advantage yangu kubwa kwenu nyote.
Si unaona ninavyoshusha paper baada ya paper na paper ambazo nimezitoa
kwenye viwanja vya uhakika.
Maalim Haruna kanifunza adab ya majadiliano na kanifunza ukweli katika
mnakasha.
Ukiwa na vitu hivi unawavuta watazamaji.
Insha Allah tunakimbilia 100,000.
Unadhani nini kinawavuta hawa?
Wanamfuata nani?
Wanajamvi someni na hii pia
Nguruvi,
Sijabadili chochote.
Niamini ndugu yangu.
Ile ya mwanzo si uliweka Muslim and Christian, mpaka wengine wakauliza humo hawakuwemo
wasiokuwa kwenye dini hizi mbili?
Leo kuna Muslim na Non Muslim!
Kwa Mbwembwe haujambo . Huitaji kusema watu 100000 wanakufuata, siye hadhira ndiyo tunajua.
Na wanapoandika wengine na wewe unakuwa sehemu ya hadhira.
Usiteswe na hofu ya kuonekana umeshindwa au kushinda wewe jibu hoja. Hapa ni kama upo kizi
mbani. Kwa wengine ambao hawakukujua kabla ya 2013 sasa watakujuwa na wengine wamekujua
wewe ni mtu wa namna gani na misheni zako.
Endelea kukaa JF sio tukujue (tumeshakujua) ila tufahamu zaidi kuhusu misheni zako ovu.
Na kwa bahati huwa unajisahau, bahati iliyoje!
Ile ya mwanzo si uliweka Muslim and Christian, mpaka wengine wakauliza humo hawakuwemo
wasiokuwa kwenye dini hizi mbili?
Leo kuna Muslim na Non Muslim!
Ndugu yangu,
Nimekueleza ukweli wangu.
Ikiwa huniamini sina la kufanya.
alifukuzwa kwa udhalimu wake .. Wewe ulitaka aachwe kisa ni mwalimu wako.
Nchi na umoja wa kitaifa ni zaidi uhusiano wenu wa mwalimu na mwanafunzi.
Platozoom,
Mie ndiye wakuhimizwa kukaa humu?
Angalia nimekusomesheni mangapi mliokuwa
hamyajui.
Mie nipo wala usiwe na wasiwasi.
Shida yangu moja tu...
Ukinitukana ndiyo mwisho sikujibu chochote.
Mimi si mtu wa hofu.
Mimi si muoga.
Ushahidi ni huu.
Nimeingia hapa na jina langu kamili.
Wala sijisahau.
Niko hadhir.
Platozoom hawa 100,000 wakufate wewe kwa lipi?
Kwa kuniuliza maswali kama haya yaliyojaa vitisho?
Sheikh Mohammed,
Kuna ombi limewekwa hapa na member Matola la picha yako. Je, unaweza kukidhi ombi hilo?
Platozoom,
Mie ndiye wakuhimizwa kukaa humu?
Angalia nimekusomesheni mangapi mliokuwa
hamyajui.
Mie nipo wala usiwe na wasiwasi.
Shida yangu moja tu...
Ukinitukana ndiyo mwisho sikujibu chochote.
Mimi si mtu wa hofu.
Mimi si muoga.
Ushahidi ni huu.
Nimeingia hapa na jina langu kamili.
Wala sijisahau.
Niko hadhir.
Platozoom hawa 100,000 wakufate wewe kwa lipi?
Kwa kuniuliza maswali kama haya yaliyojaa vitisho?
Ilmu sawa wacha wachote lakini siyo Elimu.
Niliposoma hapo juu nikashtuka,khaa! Mohammed katoa data zisizo na source lakini niliposoma MAJIBU YAKO uliyomnakili Mohammed nikajua kichwa chako kimevurugika.Mohamed sina sababu ya kusoma bold za maneno yako.
Kwanza tafiti zako hazina kiwango chochote cha utafiti. Source of data na kuondoa sehemu ya study kunaifanya inakosa maana nzima. Halafu data zako haionyeshi wanafunzi wangapi walifaulu na kunyimwa nafasi za kuingia chuo.
Kama Kilwa wamefunga shule definite statistics za mwaka 2011/12 zitaonyesha upungufu kwa wanafunzi waliotoka kilwa kujiunga na elimua ya juu achilia mbali sekondari.
Mohamed, hapa si mahali pa kutupa data za uani. Kuna watu wamefanya research nadhani wengi hawana mbavu sasa hivi. Hii ni absolute professional abuse!
Kuna swali nimeuliza ni nini maana ya Islamic Propagation? twende taratibu ndiyo utamu wa Munakasha, usiskip maswali ya kuudhi.Kabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,
Kuna swali nimeuliza ni nini maana ya Islamic Propagation? twende taratibu ndiyo utamu wa Munakasha, usiskip maswali ya kuudhi.
The first option was to deport him to South Africa as a prohibited immigrant..
At thattime during apartheid South Africans were not allowed into Tanzania.
Hivi hili linahitaji Degree kujuwa kwamba ni sisi Watanzania Passport zetu ndio zilikuwa haziruhusiwi kuinga Afrika kusini ila wao waliruhusiwa kuja Tanzania?Mzee Said sasa hizi porojo nyingine mbona utawapata vijana ambao walikuwa hawajazaliwa wakati huo... kweli wapo watu wanaojua istoria watasema kuwa ni kweli watu wa Afrika ya Kusini walikuwa hawaruhhusiwi kuja Tanzania?
Hivi hili linahitaji Degree kujuwa kwamba ni sisi Watanzania Passport zetu ndio zilikuwa haziruhusiwi kuinga Afrika kusini ila wao waliruhusiwa kuja Tanzania?
Matola,
Adabu kitu cha bure.
Ikiwa nimekosea ilikuwa ni kunifahamisha kiungwana bila hizo kejeli
nami ningekushukuru.
Haikuwa nia yangu kukukosea adabu, ila umekosea na ukweli ni huo kwamba wa Afrika kusini waliruhusiwa kuja Tanzania ila sisi Watanzania nchi yetu ndio ilitukataza kwenda Afrika kusini pasipoti yetu ikaandikwa kabisa This passport is valid....... Isipokuwa South Afrika tu.Matola,
Adabu kitu cha bure.
Ikiwa nimekosea ilikuwa ni kunifahamisha kiungwana bila hizo kejeli
nami ningekushukuru.
Nasema hivi mkisoma vitu lazima muangalie vizuri. Hiyo source ni university of Dar es Salaam, sasa soma ** halafu angalia amesemaje.Niliposoma hapo juu nikashtuka,khaa! Mohammed katoa data zisizo na source lakini niliposoma MAJIBU YAKO uliyomnakili Mohammed nikajua kichwa chako kimevurugika.
Baada ya kuona kumbe source zipo ukaja na hoja nyengine kabisa.Eti wakristo hawawezi kubeba lawama za non muslims.
Muhimu kwanza ilikuwa ni kuonesha dhulma kwa waislamu hata ikiwa mlishirikiana na non muslims.
Swali kwako:Hizo source ni genuine au fake?.Na nani aliyezinakili ni Mohammed Said au ni wewe?.
Zaidi ni kuwa unapotishia kuna watu wamefanya tafiti na hapa wanacheka,hizo ni mbwembwe zako tu.Utafiti ni ule wenye athari na matumizi kwa jamii.Utafiti kama wako Nguruvi unaoishia uvunguni unaona haya kuuonesha hatuna haja nao.
Mbali na hivyo wewe Nguruvi huna heshima na source yoyote.Wale watu wote aliowataja Mohammed Said ikiwa ni pamoja na wazazi wake ambao wengine wako hai au watoto wao bado wewe unaona si source.
Ceci Matola aliachwa kwa bahati mbaya na Mohamed. Naye pia hakusikikaKabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,