Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wengi hatujamwelewa Mzee wetu Mohamed Said. Anaposema TANU haikuasisiwa na Mwalimu ana maana kuwa wazo na jina la chama hiki limekuwepo tangu akina Abdu wakiwa Burma. Hata wale waliomchagua Mwalimu kuwa RAIS wa KWANZA wa TANU badala ya Abdu walifanya kosa kubwa la kihistoria ambalo mzee wetu huyu makini sana anajaribu kulirekebisha.
 

There is a point WC,

Ila wengi wana jicho la boriti la udini linawasumbua ah mie nimeacha kujadili maana watu mapovu yanawatoka.
 
kiuhalisia sifahamu mkuu kama hutojali waweza nijulisha walikuwa wangapi?

Kuna mtu mmoja kaleta bandiko la Mushi akielezea historia ya Tanganyika kuwa kabla ya uhuru Wakirsto walikuwa wanashindana kupeleka watoto wao shule na watu wa mwambao walikuwa hawataki shule.

Baada ya uhuru Nyerere anakuwa rais Tanzania nzima kulikuwa na watu 11 tu wenye diploma.

Tanzania kulikuwa hakuna chuo kikuu sijui hao wasomi walikuwa wanashindana kusoma walisoma wapi.
 

Kwani Nyerere alisoma wapi kabla ya uhuru?
 

Nashukuru kwa taarifa yako mkuu but kule kwenye hoja ilyohusu Mushi, tatizo langu ni kuwa wewe hukujibu hoja but uli "attack" mazingira ambayo Mushi anatokea na kuhitimisha kuwa kile alichozungumza si sahihi kutokana tu na mazingira so kwa fikra zangu mimi naamini hatuendi hivyo bali hoja inajibiwa kwa hoja ka ambavyo umeelezea hapo juu na si kwa kuangalia mazingira aliyotokea mtoa hoja tukifanya hivyo tutakuwa tunaendeleza kitu kinachoitwa "fallacy".
 

Historia ya mgogoro wa waislamu kutokushiriki zoezi la sensa 2012

"fallacy".
 
Huu utaisha tena kwakushinda vita kati ya wema na ubaya,

Na kwa halihalisi uzi husika tu hapo juu tayari tumeshawashinda hawa wachochezi
Wewe mwenyewe mwanzilishi wa uzi na jinsi ulivyo mchoyo umeikuza bandiko lako la mwanzo kwa zaidi ya nusu page ili watu waweze changia wachache.kabla hujatabili ushindi wako nafikiri ulikuwa ni wakti wako muafaka kuthibitisha tuhumu zako kwa umsafisha ndugu yako JKN na sio mistari miwili mitatu kwenye JF.Kumbuka kuwa mwenzako MS amefanya utafiti na kuandika kitabu. sasa na weweunatakiwa uandike kitabu kupingana na MS.kwani utafiti unapingwa kwa utafiti na sio vingine
 
naomba uwe msomi kidogo na kuilimika kwa kisomo chako kabla kutoa maamuzi. Toka lini tafiti ambayo ipo kwa zaidi ya 15 yrs na kupata review kutoka vyuo vikuu mbalimbali ikapingwa kwa mistari 2 au 5 ya JF.Kumbuka tafiti inapigwa kwa tafiti sasa ni wakti wenu nanyi mtope kitabu chenu kupingana na hichi cha mohamed Said na sio kuleta bla bla
 
Barubaru, ni vizuri umekumbuka shuka...bahati mbaya kumekucha tayari! Incidentally, kujenga kunaweza kuchukua siku nyingi lakini kubomoa ni sekunde chache tu! Ni kweli giza lilitanda muda mrefu lakini sasa mwanga umeingia...giza hilooo, linafungasha lipende lisipende!

Mohamed Said's house was built on nothing but a foundation of lies...it could only stand until the day the truth set in and that day is here with us in JF and its effect is spreading like wildfire! Dont ever try to stand on its way, you may not last long enough to even fathom the gravity of it!

Muulize Mohamed Said na kama unawasiliana naye muombe arudi, tafiti zinaendelea na sasa itakuwa dhoruba tu kwani waliokuwa wakoloni walisifika na wanasifika kwa kitu kimoja, kutunza kumbukumbu. Dunia ya sasa waongo na wachochezi kama mwalimu wako hawana chao...you can take that to the bank!

Barubaru, heri wewe uliyeikimbia na kuikana nchi yako, hongera sana ingawa...!
 
Kwanini nisubiri kuandika kitabu ilihali naweza kumzima Mohamed kupitia jf tu?

Watanzania wameujua ukweli na hila ya Mohamed Said, sasa watamuonya kwa namna yao.
 

Mag3,

Nina kawaida moja.
Mtu akinitaja simwachi.

Siko mbali na mjadala nasoma siku zote.
Vitisho unanitisha mie katika uandishi?

Hunijui?

Nilidhani unakuja na kitabu kumbe maneno
matupu?

Nakisubiri kitabu chenu kwa hamu na huo ndiyo
ulikuwa ushauri wangu kwenu siku zote.

Zingatia ushauri wa Baru.
 
Kabla ya sisi kuja na kitabu, bila shaka utakifanyia marekebusho kitabu chako kwenye toleo lijalo, hii ni kutokana na ukweli tuliokupa katika uzi huu ambapo umekuwa muungwana kwakukubali kuwa mengi juu ya uhuru ulikuwa huyajua hasa usharika wa Shehe Issa bin Amir na kasisi Alestide Maranta, vivyo hivyo jitahidi uondoe hisia za udini katika Historia ya nchi hii, kwakuwa kupitia uzi huu tumebaini ukweli kuwa wazee wetu walipinga kwa nguvu zote uhuru wetu usinasibishwe na dini.
 
Kwanini nisubiri kuandika kitabu ilihali naweza kumzima Mohamed kupitia jf tu?

Watanzania wameujua ukweli na hila ya Mohamed Said, sasa watamuonya kwa namna yao.

Yericko Nyerere kumzimisha Mohamed Said ni sawa sawa kuzipambanisha timu mbili.

Fc Barcelona V/S JKT Ruvu hata refa atoke Ruvu mshindi anajulikana.

Wewe Yericko endelea kujiliwaza na kujifariji.
 
Yericko Nyerere kumzimisha Mohamed Said ni sawa sawa kuzipambanisha timu mbili.

Fc Barcelona V/S JKT Ruvu hata refa atoke Ruvu mshindi anajulikana.

Wewe Yericko endelea kujiliwaza na kujifariji.
Watanzania zaidi ya lakimoja ndio waamuzi w vita hii ya wema na ubaya, bila kupepesa macho WEMA umeshinda, hilo shahidi mkuu ni Mohaned Said,


Hila yake kwa taifa tumeizima, na watanzania zaidi ya lakimoja tu wametuunga mkono na wanatushukuru.
 
Watanzania zaidi ya lakimoja ndio waamuzi w vita hii ya wema na ubaya, bila kupepesa macho WEMA umeshinda, hilo shahidi mkuu ni Mohaned Said,


Hila yake kwa taifa tumeizima, na watanzania zaidi ya lakimoja tu wametuunga mkono na wanatushukuru.

Umepata wapi mamlaka ya kuwasemea Watanzania.

Ndiyo maana nakuambia endelea kujiliwaza na kujifariji.

Vipi ile hotuba pale TBC utaileta lini.
 

Yericko,

Katika historia ya masheikh wa Dar es Salaam katika siasa
hapajakuwa na jina la Shehe Issa bin Amir.

Edgar Maranta nikimfahamu na wewe ulikosea jina lake ukamwita
Maranda ni mimi niliyekusahihisha.

Haya mambo nayajua kukushinda ndiyo maana unaona sijibu post
zako.
 
Utapingaje utaifiti usio utafiti?
Barubaru kuna utafiti mtu asioweza kuutetea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…