Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hizo ni sehemu ya ngano unazowapumbaza vijana wetu na kupandikiza chuki na uasi,

Kipi cha mafaa kwa tungo hizo? Manti ya kweli hazisimami sambamba na historia ya uhuru bali zinazaa tabaka puuzi ndani ya historia halisi ya uhuru.

Rejea ushauri wangu kwenye mchango wangu hapo juu, unamafaa kwako na kwa vizazi vyako bila kuwasahau maamuma uliowabeba katika mjadala wetu.

Mimi nimejifunza mengi kutokana na mjadala huu, mengi kutoka kwa wenzangu na mie wenye mlengo wa kati lakini hata mengine kutoka kwenu wenye mlengo kushoto na wenye msimamo mkali.

Simama kama mtanganyika/mtanzania, usisimame kama mpita njia, kumbuka na elewa fika kuwa,

"Mchuma janga hula na wakwao"

Yericko, Mag3,

Hamuwezi kupambana na mimi katika medani ya usomi kwa kuwa
nyinyi mna maneno mimi nina vitabu na papers.

Mimi nimeandika vitabu na mada nimewasilisha katika vyuo ndani
na nje ya nchi yetu.

Hapa JF hapatoshi andikeni mtambulike ndipo mtaweza kusema
kitu mkasikilizwa na dunia vinginevyo mtakuwa mnamwaga vumbi
bure.

Hamna kitu.
Aminini maneno yangu.

Kama hicho kitabu kweli mnaandika ni mwanzo mzuri.
Kwa hali hii mie nimeingia uvivu kujadiliana na nyinyi.

Tunajadili nini baada ya miaka 15 kitabu kinasomeshwa?

Itabakia mwimbo maarufu wa uchochezi, uchochezi,
uchochezi...
 
Narudi pale pale Skuli ni muhimu sana na kujua utafiti ni nini lazima upite skuli na kujua haya.

Kwa wataalamu tunakwambia kwa kinywa kipana sana UTAFITI WOWOTE DUNIYANI TENA KAMA HUU UNAOFANYIWA REVIEWS NA VYUO VIKUU MBALIMBALI VYENYE KUSOMESHA HISTORIA YA AFRIKA BASI UNAPINGWA KWA UTAFITI KWA MAANA NA WEWE UANDIKE KITABU KUPINGANA NAE NA SIO MISTARI MICHACHE KATIKA JF.

Jiulize ni wangapi watasoma uzi huu wote bandiko kwa bandiko lakin kitabu kinauzwa na kitasomwa mpaka na vizazi vijavyo. sasa punguza uvivu andika kitabu tuone kama kitaweza review hata moja katika University yoyote hapa Duniyani

Barubaru, nani alikuambia Havard wanaijua manzese vizuri kuliko mimi. Nani anajua kuwa kuna kabila la Wayao.
Ninachotaka kukuambia hapa ni kuwa kuna vitu ambavyo mtu huwezi kuvifahamu isipokuwa mhusika.

Na hapa wahusika ni sisi. Mohamed amewakilisha data zake huko unakosema.Ni Mohamed huyo huyo amekubali kuwa yapo makosa ambayo kwa miaka 15 na matembezi ulaya hakuna aliyewahi kumuuliza au kumonyesha.
Sasa wewe unakariri tu kutembea kwa mzee kama ndio ushahidi wa maandishi yake.

Tumeonyesha kwa mistari wapi Mohamed anapotosha umma, wewe bado hujaona na kama umeona kwanini basi usituonyeshe sisi kama tuna makosa? umebaki kusema andikeni kitabu.

Kikiandikwa kitabu si kumpinga Mohamed bali kuweka record straight, perfect and clear.
Ukipinga kitabu cha Mohamed ni kupinga hadithi ya mtu jambo ambalo si sahihi.
Kufanya hivyo tutajikuta tunapinga James Hardley Chase au Mario Puzzo.

Nisichokubali na nadhani wengi hawakubali ni kutumia majina, nyakati na matukio kuetengeneza ngano halafu kuiita ukweli. Hilo no! Hadithi ibaki kuwa hadithi, historia ipewe heshima yake na ukweli usimame panapostahili
 
Yericko, Mag3,

Hamuwezi kupambana na mimi katika medani ya usomi kwa kuwa
nyinyi mna maneno mimi nina vitabu na papers.

Mimi nimeandika vitabu na mada nimewasilisha katika vyuo ndani
na nje ya nchi yetu.

Hapa JF hapatoshi andikeni mtambulike ndipo mtaweza kusema
kitu mkasikilizwa na dunia vinginevyo mtakuwa mnamwaga vumbi
bure.

Hamna kitu.
Aminini maneno yangu.

Kama hicho kitabu kweli mnaandika ni mwanzo mzuri.
Kwa hali hii mie nimeingia uvivu kujadiliana na nyinyi.

Tunajadili nini baada ya miaka 15 kitabu kinasomeshwa?

Itabakia mwimbo maarufu wa uchochezi, uchochezi,
uchochezi
...
Uchochezi uchochezi.
Uko wapi?.Mbona hawajauonesha.!.
:frusty:
 
Barubaru, nani alikuambia Havard wanaijua manzese vizuri kuliko mimi. Nani anajua kuwa kuna kabila la Wayao.
Ninachotaka kukuambia hapa ni kuwa kuna vitu ambavyo mtu huwezi kuvifahamu isipokuwa mhusika.

Na hapa wahusika ni sisi. Mohamed amewakilisha data zake huko unakosema.Ni Mohamed huyo huyo amekubali kuwa yapo makosa ambayo kwa miaka 15 na matembezi ulaya hakuna aliyewahi kumuuliza au kumonyesha.
Sasa wewe unakariri tu kutembea kwa mzee kama ndio ushahidi wa maandishi yake.

Tumeonyesha kwa mistari wapi Mohamed anapotosha umma, wewe bado hujaona na kama umeona kwanini basi usituonyeshe sisi kama tuna makosa? umebaki kusema andikeni kitabu.

Kikiandikwa kitabu si kumpinga Mohamed bali kuweka record straight, perfect and clear.
Ukipinga kitabu cha Mohamed ni kupinga hadithi ya mtu jambo ambalo si sahihi.
Kufanya hivyo tutajikuta tunapinga James Hardley Chase au Mario Puzzo.

Nisichokubali na nadhani wengi hawakubali ni kutumia majina, nyakati na matukio kuetengeneza ngano halafu kuiita ukweli. Hilo no! Hadithi ibaki kuwa hadithi, historia ipewe heshima yake na ukweli usimame panapostahili

Wengi hawakubali kina nani, Mag3, Nguruvi3, Mwanakijiji.

JF kuna vituko sana.

Kitu kingine kinachofurahisha mnaompinga Mohamed Said huku mmejificha kwa majina ya bandia hata maandishi yenu yanakosa ushawishi kwa kuwa hamjulikani.

Sijui hata hicho kitabu chenu mtakiandikaje wakati nyie wote ni Invisible.
 
ha ha haa mkuu G umeliona gaidi la kikurya hii dunia inamambo mimi nilijua waislamu tuu ndio magaidi kwasababu hawajasoma kumbe hata wasomi nimagaidi mhh makubwa.
Sheikh Ubwabwa wewe unaishi dunia gani? Osama, gaidi aliyekubuhu duniani alikuwa na shahada ya uhandisi, ulikuwa hujui hilo?
 
Naamini ATHIEST wetu hata katibu wetu ana dr ya theology lakini mamboyake mhhh bora madrasa wasomi safari hii wame buggie man
 
100 Greatest Africans.

Kuna wapuuzi wengi tu ngoja niwataje kidogo.

Bob Marley, Pele, Maria Mutola, Michael Jackson, Miriam Makeba, Jay Okocha, Bill Cosby, Oliver Mthukuzi, Venus William, Serena William, Luambo Makaidi, Manu Dibango.

Ngoja niishie hapa nisitaje wengine.
mkuu umewasahau akina Muammar Gaddafi ,Zine El Abidine Ben Ali,,Omar al-Bashir,Hosni Mubarak.....orodha ni ndefu acha niishie hapa kwa leo.
 
Mohamed Said, mbona unatokwa mapovu bila sababu ya maana? Hoja zilizowekwa hapa na wana JF hukuzijibu zaidi ya kutuletea maneno ya kihuni na kejeli! sasa unalilia kitabu! eboo! Jibu hoja hizo kwanza kwa uadilifu na ueledi, wacha kujibu kwa ujanja ujanja wa kisungura... mara oh! andikeni kitabu... oh nimeandika historia ya mababu zangu... oh, Nyerere alikuwa adui wa uislam, oh, Matola hakuanzisha AA, .. Ondoka huko chakani tuachie Tanzania yetu, ama vipi mfuate Barubaru uarabuni mkale tende na halua mkituachia amani yetu watanzania.
Wewe ndio uko chakani.Mohammed yuko nyumbani bukheri wa afya.
Ujanja wenu hauwezi kufanya kazi enzi hizi.
Eti sisi tuende Arabuni tukale tende na halua tuwaache nyinyi mle keki ya uhuru peke yenu?.
Tutaendelea kula kashata na kahawa hapa kwetu huku tukidai keki yetu mliyotuibia.
Wezi wakubwa nyiee!.
Wezi wa fadhila na keki ya uhuru.

Barubaru, nani alikuambia Havard wanaijua manzese vizuri kuliko mimi. Nani anajua kuwa kuna kabila la Wayao.
Ninachotaka kukuambia hapa ni kuwa kuna vitu ambavyo mtu huwezi kuvifahamu isipokuwa mhusika.

Na hapa wahusika ni sisi. Mohamed amewakilisha data zake huko unakosema.Ni Mohamed huyo huyo amekubali kuwa yapo makosa ambayo kwa miaka 15 na matembezi ulaya hakuna aliyewahi kumuuliza au kumonyesha.
Sasa wewe unakariri tu kutembea kwa mzee kama ndio ushahidi wa maandishi yake.

Tumeonyesha kwa mistari wapi Mohamed anapotosha umma, wewe bado hujaona na kama umeona kwanini basi usituonyeshe sisi kama tuna makosa? umebaki kusema andikeni kitabu.

Kikiandikwa kitabu si kumpinga Mohamed bali kuweka record straight, perfect and clear.
Ukipinga kitabu cha Mohamed ni kupinga hadithi ya mtu jambo ambalo si sahihi.
Kufanya hivyo tutajikuta tunapinga James Hardley Chase au Mario Puzzo.

Nisichokubali na nadhani wengi hawakubali ni kutumia majina, nyakati na matukio kuetengeneza ngano halafu kuiita ukweli. Hilo no! Hadithi ibaki kuwa hadithi, historia ipewe heshima yake na ukweli usimame panapostahili

Nguruvi,

''But what could be the cause of this rift between us?

This was a question, which even my mother, Bi. Mluguru asked me
before she passed away.

I too did not have an answer then nor do I have it now.

The life history of my late brother concealed from the people by TANU
the party he founded has already been written and published.

I believe there is now no dispute as to his role in founding of TANU in
order to end foreign domination in Tanganyika.

I believe no one now will have the courage to ridicule our efforts.

Yet still there are many patriots who as I speak more than fifty years
aftter founding TANU, still remain forgotten.

I have now decided to tell my story because I believe I have something
to share with those who were not there in those difficult days when our
country was under colonial rule.

I have deliberately tried although with much difficulty to avoid repetitions
of events which appear in my brother's biography.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.

In telling my story I believe people will understand the path, which this country
had trodden.

This will lay bare many facts, which were concealed from the people for self selfish
reasons by leaders who took leadership after independence.

I am narrating my story as my father before me did with the view of passing over
our experience to those who were not there so that they too benefit from lessons
of the past.''
 
Mohamed Said,
Bibi Titi Mohamed kwa mujibu wa Historia alikuwa mwanamke shupavu na jasiri! nini siri ya ushupavu wake huo? yeye ni Mwanamke tena wakati wa ukoloni! nani alikuwa nyuma ya hayo yote? ktk wanawake wa karne ya 20 na hii ya 21 ni Mwanamke gani mwingine tunaweza kumlinganisha na Bibi titi? jee, Indira Gandi? Winni Mandela? Margaret Thacher? au Ummu Kulthum? huyu hakuwa muimbaji tu bali alikuwa mwanaharakati na mpigania uhuru wa nchi ya Misri chini ya utawala wa Kiingereza!
 
Nguruvi,

''But what could be the cause of this rift between us?

This was a question, which even my mother, Bi. Mluguru asked me
before she passed away.

I too did not have an answer then nor do I have it now.

The life history of my late brother concealed from the people by TANU
the party he founded has already been written and published.

I believe there is now no dispute as to his role in founding of TANU in
order to end foreign domination in Tanganyika.

I believe no one now will have the courage to ridicule our efforts.

Yet still there are many patriots who as I speak more than fifty years
aftter founding TANU, still remain forgotten.

I have now decided to tell my story because I believe I have something
to share with those who were not there in those difficult days when our
country was under colonial rule.

I have deliberately tried although with much difficulty to avoid repetitions
of events which appear in my brother's biography.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.

In telling my story I believe people will understand the path, which this country
had trodden.

This will lay bare many facts, which were concealed from the people for self selfish
reasons by leaders who took leadership after independence.

I am narrating my story as my father before me did with the view of passing over
our experience to those who were not there so that they too benefit from lessons
of the past.''
Mohamed,
Kitu ambacho hakijaandikwa hakijawa supressed. Ni kwa kutumia maneno kama haya ambapo baadhi wanakuita mchochezi. Kabla ya Daisy na wewe kuandika kuhusu Abdulwahid Kleist hakukuwepo maandishi yeyote juu yake yaliyokuwa suppressed.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.
 
Mohamed,
Kitu ambacho hakijaandikwa hakijawa supressed. Ni kwa kutumia maneno kama haya ambapo baadhi wanakuita mchochezi. Kabla ya Daisy na wewe kuandika kuhusu Abdulwahid Kleist hakukuwepo maandishi yeyote juu yake yaliyokuwa suppressed.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.

Jasusi,

Huyajui ninayojua mimi.
Wakati mwingine hujisemea, ''Ah! ya nini?''

Daisy hakuwahi kuandika kuhusu baba yake.
John Illife alimwambia somo hilo alipe muda.

Mimi ndiyo mtu wa kwanza kumweleza Abdu
Sykes ukimtoa Brendon Grimshaw mhariri wa
Tanganyika Standard aliyeandika taazia yake
baada ya kifo chake 1968 katika Sunday News.

Na miaka 20 baadae nilipomwandika Abdu Sykes
1988 katika Africa Events (London) magazeti yote
yakakusanywa na kutiwa kibiriti.

Hili nishalieleza hapa JF.
 
Jasusi,

Huyajui ninayojua mimi.
Wakati mwingine hujisemea, ''Ah! ya nini?''

Na tazama na mtafute nani anatoa masikitiko
haya.

Si Mohamed Said.

Jasusi,

Katika utafiti na uandishi wa historia ya uhuru
nimejifunza mengi na naendelea kujifunza hadi
leo.

Nina mengi sana tena sana na kwa hakika mengine
yanatia simanzi.
 
Views 10,081 hadi sasa..
Insha allah darsa limewafikia wengi sana kwa kweli,
ukweli umetamalaki...
 
Na tumuombee kwa mola inshallah ampe nguvu mwanazuoni na mwanahistoria huyu ili aweze kutujuza historia ya kweli kuhusu inchi yetu hii ya tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Nimesoma maandiko ya ndugu yangu Mohamed Said aliyoyaweka katika kitabu chake akiitacho Historia ya Uhuru upande wa Pili,
Katika maandishi yake ameonyesha wazi kulazimisha dunia iamini kuwa waislamu wamedhulumiwa katika historia ya Uhuru wa nchi hii,
Katika matakwa yake Mohamed Said anataka historia ya Uhuru ingetazama itikadi za kidini kwanza kabla ya kusimamia maudhui halisi ambayo ni Uhuru,

Nikubaliane nae kuwa historia ya nchi yetu inamapungufu na inahitaji masahihisho, lakini kwa hili la Mohamed si masahihisho bali ni upotoshaji mkubwa, Uchochezi na ni Uhaini kwa nchi. Kwa bahati mbaya bwana Mohamed Said histori anayoisimamia ameiakisi kuanzia miaka ya 1950+ tu,

Katika kufanya hivi msomaji wa historia hii atakutana na nyaraka za Kleist Sykes zinazoeleza hali ya siasa katika Tanganyika katika miaka ya 1920. Mwanafunzi atasoma nini kiliwapelekea wazalendo wa Dar es Salaam waliozaliwa enzi za utawala wa Kijerumani kuasisi African Association mwaka 1929, Kleist akiwa katibu muasisi na nini kilipelekea yeye tena Kleist na rais wake katika African Association, Mzee bin Sudi kuasisi Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) mwaka wa 1933 na ilikuwaje ikawa viongozi na wanachama wa vyama hivi viwili ndiyo walikuja kuasisi TANU mwaka 1954 na kuongoza harakati za kupigania uhuru. Hii ni moja ya ukweli ambao unawatisha na kuwakera baadhi ya watu na hasa viongozi wetu wa sasa ambao hawakunyanyukia na TANU. Katika maelezo haya mwanafunzi wa historia atakutana na historia nyingine kabisa ya Wazulu, Wanubi na Wamanyema walioingizwa nchini na Wajerumani kama askari mamluki. Watoto wa askari hawa kama Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Thomas Plantan, Schneider Plantan, Ramadhani Plantan ndiyo waliokuja kuwasha moto wa ukombozi wa Tanganyika na baadhi yao walishuhudia uhuru wa Tanganyika mwaka 1961. Pamoja na hawa kuna watu kama Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Hamza Mwapachu, Dr Michael Lugazia, Dr Vedasto Kyaruzi, Sheikh Suleiman Takadir, Iddi Faizi Mafongo, Said Chamwenyewe, Iddi Tosiri, Japhet Kirilo na Earl Seaton na wengineo wengi. Kwa ufupi wa maneno ni kuwa hawa niliowataja kila mmoja wao ana mchango mkubwa katika kupigania uhuru Tanganyika hata kabla hawajasikia jina la Nyerere.
Wapi kasema hivyo?
Huo ni uchochezi wa Mohammed Said au ni uongo wako?
 
Views wanaongezeka Mohamed Said anapokaa kitako jamvini akiondoka ukumbi unapwaya.

Naam,
hua wanakuwa kama wanafuata asali vile,
ni wazi kwamba hakuna wanachonufaika na porojo za wengine watokwa mapovu..
moh Said kiboko yao..
 
Wapi kasema hivyo?
Huo ni uchochezi wa Mohammed Said au ni uongo wako?

hapo sasa..!
Inashangaza sana,sisi hatuoni uchochez uko wapi,,
labda yeye ndie mchochezi asietaka historia hii isizungumzwe,,
watu wa hovyo sana hao..
 
Back
Top Bottom