Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yericko, Mag3,

Hamuwezi kupambana na mimi katika medani ya usomi kwa kuwa
nyinyi mna maneno mimi nina vitabu na papers.

Mimi nimeandika vitabu na mada nimewasilisha katika vyuo ndani
na nje ya nchi yetu.

Hapa JF hapatoshi andikeni mtambulike ndipo mtaweza kusema
kitu mkasikilizwa na dunia vinginevyo mtakuwa mnamwaga vumbi
bure.

Hamna kitu.
Aminini maneno yangu.

Kama hicho kitabu kweli mnaandika ni mwanzo mzuri.
Kwa hali hii mie nimeingia uvivu kujadiliana na nyinyi.

Tunajadili nini baada ya miaka 15 kitabu kinasomeshwa?

Itabakia mwimbo maarufu wa uchochezi, uchochezi,
uchochezi...
 
Barubaru, nani alikuambia Havard wanaijua manzese vizuri kuliko mimi. Nani anajua kuwa kuna kabila la Wayao.
Ninachotaka kukuambia hapa ni kuwa kuna vitu ambavyo mtu huwezi kuvifahamu isipokuwa mhusika.

Na hapa wahusika ni sisi. Mohamed amewakilisha data zake huko unakosema.Ni Mohamed huyo huyo amekubali kuwa yapo makosa ambayo kwa miaka 15 na matembezi ulaya hakuna aliyewahi kumuuliza au kumonyesha.
Sasa wewe unakariri tu kutembea kwa mzee kama ndio ushahidi wa maandishi yake.

Tumeonyesha kwa mistari wapi Mohamed anapotosha umma, wewe bado hujaona na kama umeona kwanini basi usituonyeshe sisi kama tuna makosa? umebaki kusema andikeni kitabu.

Kikiandikwa kitabu si kumpinga Mohamed bali kuweka record straight, perfect and clear.
Ukipinga kitabu cha Mohamed ni kupinga hadithi ya mtu jambo ambalo si sahihi.
Kufanya hivyo tutajikuta tunapinga James Hardley Chase au Mario Puzzo.

Nisichokubali na nadhani wengi hawakubali ni kutumia majina, nyakati na matukio kuetengeneza ngano halafu kuiita ukweli. Hilo no! Hadithi ibaki kuwa hadithi, historia ipewe heshima yake na ukweli usimame panapostahili
 
Uchochezi uchochezi.
Uko wapi?.Mbona hawajauonesha.!.
:frusty:
 

Wengi hawakubali kina nani, Mag3, Nguruvi3, Mwanakijiji.

JF kuna vituko sana.

Kitu kingine kinachofurahisha mnaompinga Mohamed Said huku mmejificha kwa majina ya bandia hata maandishi yenu yanakosa ushawishi kwa kuwa hamjulikani.

Sijui hata hicho kitabu chenu mtakiandikaje wakati nyie wote ni Invisible.
 
ha ha haa mkuu G umeliona gaidi la kikurya hii dunia inamambo mimi nilijua waislamu tuu ndio magaidi kwasababu hawajasoma kumbe hata wasomi nimagaidi mhh makubwa.
Sheikh Ubwabwa wewe unaishi dunia gani? Osama, gaidi aliyekubuhu duniani alikuwa na shahada ya uhandisi, ulikuwa hujui hilo?
 
Sheikh Ubwabwa wewe unaishi dunia gani? Osama, gaidi aliyekubuhu duniani alikuwa na shahada ya uhandisi, ulikuwa hujui hilo?
Naamini ATHIEST wetu hata katibu wetu ana dr ya theology lakini mamboyake mhhh bora madrasa wasomi safari hii wame buggie man
 
mkuu umewasahau akina Muammar Gaddafi ,Zine El Abidine Ben Ali,,Omar al-Bashir,Hosni Mubarak.....orodha ni ndefu acha niishie hapa kwa leo.
 
Wewe ndio uko chakani.Mohammed yuko nyumbani bukheri wa afya.
Ujanja wenu hauwezi kufanya kazi enzi hizi.
Eti sisi tuende Arabuni tukale tende na halua tuwaache nyinyi mle keki ya uhuru peke yenu?.
Tutaendelea kula kashata na kahawa hapa kwetu huku tukidai keki yetu mliyotuibia.
Wezi wakubwa nyiee!.
Wezi wa fadhila na keki ya uhuru.

 


Nguruvi,

''But what could be the cause of this rift between us?

This was a question, which even my mother, Bi. Mluguru asked me
before she passed away.

I too did not have an answer then nor do I have it now.

The life history of my late brother concealed from the people by TANU
the party he founded has already been written and published.

I believe there is now no dispute as to his role in founding of TANU in
order to end foreign domination in Tanganyika.

I believe no one now will have the courage to ridicule our efforts.

Yet still there are many patriots who as I speak more than fifty years
aftter founding TANU, still remain forgotten.

I have now decided to tell my story because I believe I have something
to share with those who were not there in those difficult days when our
country was under colonial rule.

I have deliberately tried although with much difficulty to avoid repetitions
of events which appear in my brother's biography.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.

In telling my story I believe people will understand the path, which this country
had trodden.

This will lay bare many facts, which were concealed from the people for self selfish
reasons by leaders who took leadership after independence.

I am narrating my story as my father before me did with the view of passing over
our experience to those who were not there so that they too benefit from lessons
of the past.''
 
Mohamed Said,
Bibi Titi Mohamed kwa mujibu wa Historia alikuwa mwanamke shupavu na jasiri! nini siri ya ushupavu wake huo? yeye ni Mwanamke tena wakati wa ukoloni! nani alikuwa nyuma ya hayo yote? ktk wanawake wa karne ya 20 na hii ya 21 ni Mwanamke gani mwingine tunaweza kumlinganisha na Bibi titi? jee, Indira Gandi? Winni Mandela? Margaret Thacher? au Ummu Kulthum? huyu hakuwa muimbaji tu bali alikuwa mwanaharakati na mpigania uhuru wa nchi ya Misri chini ya utawala wa Kiingereza!
 
Mohamed,
Kitu ambacho hakijaandikwa hakijawa supressed. Ni kwa kutumia maneno kama haya ambapo baadhi wanakuita mchochezi. Kabla ya Daisy na wewe kuandika kuhusu Abdulwahid Kleist hakukuwepo maandishi yeyote juu yake yaliyokuwa suppressed.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed
in the biography of Abdulwahid since that information although suppressed for
many years is now I believe common knowledge.
 

Jasusi,

Huyajui ninayojua mimi.
Wakati mwingine hujisemea, ''Ah! ya nini?''

Daisy hakuwahi kuandika kuhusu baba yake.
John Illife alimwambia somo hilo alipe muda.

Mimi ndiyo mtu wa kwanza kumweleza Abdu
Sykes ukimtoa Brendon Grimshaw mhariri wa
Tanganyika Standard aliyeandika taazia yake
baada ya kifo chake 1968 katika Sunday News.

Na miaka 20 baadae nilipomwandika Abdu Sykes
1988 katika Africa Events (London) magazeti yote
yakakusanywa na kutiwa kibiriti.

Hili nishalieleza hapa JF.
 
 
Views 10,081 hadi sasa..
Insha allah darsa limewafikia wengi sana kwa kweli,
ukweli umetamalaki...
 
Views 10,081 hadi sasa..
Insha allah darsa limewafikia wengi sana kwa kweli,
ukweli umetamalaki...

Na tumuombee kwa mola inshallah ampe nguvu mwanazuoni na mwanahistoria huyu ili aweze kutujuza historia ya kweli kuhusu inchi yetu hii ya tanzania.
 
Reactions: Ami


Wapi kasema hivyo?
Huo ni uchochezi wa Mohammed Said au ni uongo wako?
 
Views wanaongezeka Mohamed Said anapokaa kitako jamvini akiondoka ukumbi unapwaya.

Naam,
hua wanakuwa kama wanafuata asali vile,
ni wazi kwamba hakuna wanachonufaika na porojo za wengine watokwa mapovu..
moh Said kiboko yao..
 

Wapi kasema hivyo?
Huo ni uchochezi wa Mohammed Said au ni uongo wako?

hapo sasa..!
Inashangaza sana,sisi hatuoni uchochez uko wapi,,
labda yeye ndie mchochezi asietaka historia hii isizungumzwe,,
watu wa hovyo sana hao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…