Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ritz,
Hebu muuliza huyu ndugu yetu wapi nilipoandika
kuwa msako wa gazeti ulikuwa nyumba kwa nyumba?
Gazeti unalisaka nyumba kwa nyumba au unayanunua
kutoka kwa wauzaji?
Wameelemewa.
Samahani wanajamvi nilikuwa naweka rekodi vema.
Ameruka kimanga anasema ni Mayanja wa CCM! Tumemuuliza Mayanja ndiye alitoa amri ansema hapana ni CCM. Kwamba CCM inaweza kutoa maagizo tu Polisi wakusanye.
Hanajibu kwasababu hesabu zake zilikuwa kwa Nyerere, kwa bahati mbaya sana anaongozwa na chuki bila ukweli mara zote anajikuta akitaja mwaka ambao Nyerere au mtu mwingine hakuhusika.
Ni huyu huyu Mohamed alituambia kuwa makamu wa kwanza wa rais mwaka 1988 kwenye maulidi Tabora alikuwa ni Kawawa. Aliongozwa na fikra tu na wala si ukweli na sidhani kama alijua nani alihudhuria! highly doubt
Hili la kukusanywa magazeti na kuchomwa moto si kweli eti ni kwasababu ya Mohamed Said! Ney uzushi tu kama ule wa Kawawa kuwa makamu wa rais mwaka 1988! Ni uzushi kama namba za mitihani. Ni uzushi kama Nyerere kuja Dar mwaka 1950, ni uzushi kama AA kuanzishwa na Sykes n.k. orodha inajaza kurasa 47.53 kwa kutaja tu.
Mohamed kama una lingine leta hili la AE limeshadhihirika kuwa ni uzushi tu.
Umeshindwa kulielezea na kudai Mayanja ndiye alichoma magazeti ya Africa Events moto!
please stop this Mo ! too low Mzee Said.
J
Na miaka 20 baadae nilipomwandika Abdu Sykes
1988 katika Africa Events (London) magazeti yote
yakakusanywa na kutiwa kibiriti.
Hili nishalieleza hapa JF.
Kiwanuka alikuita "mbilikimo?" Ngoja nicheke. Hivi kapotelea wapi jamaa huyu? Last time I met him alikuwa akisoma Syracuse.
Sijapaliwa na povu ndio maana nimekufikisha hapa ambapo unakubali kuwa huna majibu ya mambo uliyoyasema. Lakini pia kuwa na povu yaweza kuwa ni kutokana na upotoshaji wa mchana usiohitaji hata kibatali kuuona.
Mohamed, swali linajibiwa kwa jibu hakuna kitu kinanchoitwa swali na swali. Mitaani yes katika intellectual discourse it is anachronism! Kama ulikuwa na maswali hayo ungeuliza kwanza na si kuyafanya yawe majibu ya maswali.
Ritz,
Hebu muuliza huyu ndugu yetu wapi nilipoandika
kuwa msako wa gazeti ulikuwa nyumba kwa nyumba?
Gazeti unalisaka nyumba kwa nyumba au unayanunua
kutoka kwa wauzaji?
Wameelemewa.
Aliyekuwa RAis mwaka 1988 ni Mzee Ally Hassan Mwinyi - Muislamu. Aliyekuwa Waziri wa Habari (ambaye angekuwa ndiye aliyetoa agizo la kuzuia gazeti hilo) unakumbuka alikuwa nani?
Mwaka 1988 Nyerere alikuwa hana cheo chochote?
Kama ile ya takwimu za waislam vs Wakristo UDSM? Kama ile ya waliochaguliwa darasa la saba DSM!Nguruvi,Nimekubali sina jibu!Wapi nimeandika hivyo?Unaweza kuonesha?Au wewe hukubali majibu yangu?Unataka unifunze mimi kuhusu discourse.Unachekesha.Hebu wewe weka hapa paper hata moja uloandika?
Kama ile ya takwimu za waislam vs Wakristo UDSM? Kama ile ya waliochaguliwa darasa la saba DSM!
Unaulizwa sali unajibu kwa swali, hapo kuna discourse knowledge kweli!
Need say more!Mohamed Said;5964085]Nguruvi,Nimekubali sina jibu!Wapi nimeandika hivyo?Unaweza kuonesha?Nguruvi,Swali hilo unatafuta jibu kwangu?Umelielekeza sipo.
Mohamed Said,
Hayo maneno wala usiangaike nayo na maneno yao tu ya kujiliwaza na kujifariji lazima waweke ngano zao.
Wamechanganyikiwa kila mmoja anakuja na lake mwingine alikutisha kuwa sasa imefika wakati wa kumuumbua Mohamed Said alivyoona umeamua akabadili kauli yake analalamika unakesha JF.
Mwingine naye anajifariji eti amekuweka kwenye kona sijui kona gani.
Tofauti kubwa kati yako na wao wewe unakuja na maandishi ya historia wao wanakuja na maneno matupu.
Umelisoma tamko lingine la Maaskofu ngoja taleteta jamvini.
Mohamed Said,
Hayo maneno wala usiangaike nayo na maneno yao tu ya kujiliwaza na kujifariji lazima waweke ngano zao.
Wamechanganyikiwa kila mmoja anakuja na lake mwingine alikutisha kuwa sasa imefika wakati wa kumuumbua Mohamed Said alivyoona umeamua akabadili kauli yake analalamika unakesha JF.
Mwingine naye anajifariji eti amekuweka kwenye kona sijui kona gani.
Tofauti kubwa kati yako na wao wewe unakuja na maandishi ya historia wao wanakuja na maneno matupu.
Umelisoma tamko lingine la Maaskofu ngoja taleteta jamvini.
Katika raundi za mwanzo mashabiki wa Ali walionekana kuwa na fadhaa hasa ikizingatiwa kuwa wakati Ali anaingia ulingoni wengi walikuwa wakiimba ''Ali bumuyee, Ali Bumayee''Ritz,Kinshansa 1974.Ali ulingoni na Foreman.Daktari wa Ali Dk. Pacheco anamwambia Ali unasikia jamaa wa Foreman wanamuhimiza akumalize duru ya tatu?Ali akajibu akasema, ''Kuanzia hapo nitamchukua Foreman kwenye nchi hajapata kufika. Mimi huyu nampiga.''Dk. Pacheco akamwambia basi fanya haraka hili jambo lishe.
Ritz,Mimi naujua uwezo wa hawa jamaa.Wanachokijua ni kuuliza maswali ya ubabaishaji kwa kuwa wamejaa hasira.
Tatizo la Mohamed ni kuwa wakati anaandika tayari pembeni ana script ya kile alichokusudia.Katika kusimulia kuna watu wanaitwa 'masters of hyperbole'; wewe ni mmoja wao. Sentensi zako au hoja zako zimejaa haste generalizations. Huna misamiati kama "baadhi, kiasi, kundi fulani" n.k. Kwako ni "Waislamu" ukimaanisa kikundi kimoja tu cha Waislamu ambao wako nje ya Bakwata n.k Sasa hapa umesema kwa makusudi tu kuwa "magazeti yote". Sasa unaposema "magazeti yote" manake ni kuwa hata ambayo watu walikuwa wameshanunua yalitafutwa yakanyang'anywa; yale ambayo yalikuwa library yakachukuliwa, yaliyokuwa majumbani au maofisini mwa watu nao yalichukuliwa. Unataka watu waamini kuwa kulikuwa na msako mkali wa gazeti hilo la AE kiasi kwamba magazeti 'yote' yalikusanywa na kutiwa kiberiti.
Lakini katika kujitetea ukasema yalikusanywa toka "News Stand" hukusema "news stands". Ukimaanisha kuwa muuza magazeti mmoja alinyanganywa. Na bahati mbaya hauna ushahidi wowote kuwa ni makala yako ndio ilisababisa gazeti hilo lichukuliwe. Ukiulizwa yalichomwa wapi moto (maana una uhakika yalichomwa moto) huwezi kujibu kwa sababu hakuna gazeti lilicohmwa moto maana tutakuuliza nani alichoma moto - usije kutuambia Nyerere alienda na kusimamia kuchoma moto makala yako! Histohisia imekutawala hadi umesahau misingi ya uandisi wa historia!
Yaa, alikuwa rais mstaafu!
Ndani ya CCM?
Ritz,
Kinshansa 1974.
Ali ulingoni na Foreman.
Daktari wa Ali Dk. Pacheco anamwambia Ali unasikia jamaa
wa Foreman wanamuhimiza akumalize duru ya tatu?
Ali akajibu akasema, ''Kuanzia hapo nitamchukua Foreman
kwenye nchi hajapata kufika. Mimi huyu nampiga.''
Dk. Pacheco akamwambia basi fanya haraka hili jambo lishe.
Ritz,
Mimi naujua uwezo wa hawa jamaa.
Wanachokijua ni kuuliza maswali ya ubabaishaji kwa kuwa
wamejaa hasira.
Wala hakuna jazba solution wanatakiwa watoe serikali siyo mimi.