Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar



Justification ya kunena hayo unaipata wakati huu wa awamu ya nne??
 
Huyu Sheikh Kassim Bin Jumaa ndie aliyekutwa na mtoto wa kiume amejichimbia guest house arusha???? tabloid press zikawa na field day????

Son...
Ikiwa utaniahidi uko serious katika kisa cha Sheikh Kassim Juma
nitatoa darsa ambalo nina hakika wana jamvi watafaidika.

Nilitoa pp kuhusu Sheikh Kassim Kenyatta University 2006.

Nimekuwekea sharti hili kwa kuwa shutuma zilizotolewa na magazeti
na wewe umezirudia hapa ni nzito na watu hawakuelezwa upande wa
pili wa taarifa.
 

Tunaomba huo upande wa pili,but lest you forget,kabla hata ya arusha,dar es salaam grapevine ilikuwa inamzungumzia sana huyu mtu kwa ta
 

I think the issue here is not wether or not the christians hold a predominant position it should should be clear by now that they actually do. That christians are much more organised in dealing with the challenges that they face in education and health in particular is also true. The issue should be the legality of those means, which we know is not disputed as it is sanctioned.
Mwanakijiji once addressed this issue fairly in a similar thread that was about christians dominance at government posts in various ministries- huwezi kubali wakristo wamesoma wengi alafu wakati huohuo unategemea wakawa na uwakilishi mdogo katika posts mbalimbali that is just impossible.

This is much like whats happening in America now where you have muslims complaining against the jewish lobby shapping America's foreign policy but when you ask them what they actually do to counter lobby America (noting there are more muslims in America than there are jews) you will find out that muslims actually bomb America and its embassies. Then go around and complain about jewish lobbyists when these guys actually go through proper channels to do what they do.
At least do the descent thing before you lash out against your rivals.
 
 
 
 
 

duh! Mzee Said ana stori, akipiga na zile za Muhammad Ali hapo lazima umkubali ndio maana kina Spike Lee wanakuja wanasoma na kuondoka...
 

Nguruvi,
Hivi unaona shida gani kusoma kwa utulivu?

Hiyo nukuu siyo kutoka katika kitabu.
Nguruvi achana na uzushi na ukaidi wa kijinga.
 
Hapa unajipa sifa ya jambo ambalo hujafanya!.
Mpaka mwisho kuhusu Afica events hatukuona ulipoproove lolote na kuhusu maandamano ndio kabisa umejichanganya.
 
Hiyo sentensi hapo juu ni ya kijinga na kipimo cha wivu wako.
Mangapi ambayo umeyasoma na kuyaamini.Umekuwa na maswali kama ya Mwanakijiji.
Pamoja na hivyo kama ni kuamua kumsikiliza mzungumzaji basi anayepaswa ni Mohammed na si wewe.
 
Ikiwa shule za waislamu zimenyimwa mafao na kufungiwa kinamna ulitaka asome wapi?.Hiki ni kipimo cha jinsi wazee wa Mohammed walivyothamini elimu.Bila shaka hakupenda asome shule hizo,angependa akasome kule kule walikoanzia wazee wake.
Kuhusu kubomoa na kujenga waulize watu wa mfumo walioshikilia kuvunja kila mafanikio ya waislamu na kuzui kupiga hatua kwa kisingizio cha uchochezi.
Wamepania kufanyia uadui hata historia ya waislamu.
 
 
Hii nimeipenda sana.Historia iliyoandikwa imethibitishwa na wahusika walio hai.
Itabaki maswali ya Mwanakijiji Nani alimsikia Waikela?.Jibu sote tumemsikia.
Vijana wanaamini tu hii historia ya Mohammed Said. Jibu hata wazee tumefumbuka na dhulma za Nyerere.
 
HISTORIA anatoa,tunapata faida surprising enough anaipindapinda ili kukidhi agenda yake ya siri-matokeo yake fanatical blind followers yaani yes man amewapata sana
Wasi wasi wenu tu.
Sisi tumekuwa jeshi lisilo na silaha linalowatisha.Hatujajikusanya kwa wito wa Mohammed pekee bali kwa dhulma mnazotufanyia mmoja mmoja.Tunapata nguvu tukisoma kwa Mohammed kumbe hayakuanza leo wala kwetu pekee.
 

Ami,

Mie nimesoma vitabu vya Mohamed Said, Dr Ghassany, Dr Issa Ziddy, Proffessor Gary Thomas Burgess na wengineo wengi. Na anachokizungumza Mohamed Said na magwiji hawa historia ni sawa sawa hutakuta tofauti. Worse enough hata events ni sawa sawa. Vile vile sio tu kumsoma Mohamed Said nimekaa na wazee walioishi na historia ya Tanzania mfano mzee wetu Al-marhum Sheikh Nurdin Al-Shadhily (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Hassan Sheikh (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Ali Comorian (R.A), Mzee wetu Sayyid Ahmad Badawiy (Nanga iliyobakia). Hawa walikuwa wakiyazungumza na sisi tuliokuwa tunakaa nao tunawasikia (Najua nitamkumbusha mbali Mohamed). Ziada ya Mohamed Said ambayo mmungu atamlipa kwa hilo na zaidi ni kuyachukua na kuyaandika katika kitabu. Na vile vile kuja humu jamvini ndio maana ANATEMBEA HUMU KWA TAMBO NA KUJIDAI KWANI ANAYOYASEMA SISI WASWAHILI WA KARIAKOO TUNAYAJUA SIKU NYINGI NA NI UKWELI MTUPU NA PENYE UKWELI HAKUNA WASIWASI. Sheikh Bilal Rehan Waikela amewasha moto mahakamani . Hii kesi ya Ponda inaweza kuleta mengi mazito
 

Mdondoaji,
Nimefurahi kusikia kuwa wewe ni mtu wa Kariakoo.

Kwa ajili hii uzoefu wetu lazima utashabihiana.
Hawa ndugu zetu wana maradhi.

Bongo zao zimejazwa na propaganda kuwa sisi Waswahili
si lolote.

Ndiyo maana kila lililojepesi kwetu likifika kwao linawashtua.

Nimewaambia Abdu Sykes katengeneza Political Subcomittee 1950
na ndiyo iliyoibua TANU 1954 wameshtuka wanasema Nyerere,
Nyerere, Nyerere...

Nawaambia ile hotuba ya Nyerere 1955 UNO utaipata katika mapendekezo
ya katiba yaliyoandikwa na Political Subcommittee 1950 hapo ndipo wazimu
unawapanda.

Mie nikiona haya mambo mepesi tu wazee wetu wamefanya na alipokuja Nyerere
kayakuta.

Wao hawataki wanataka yote hayo tuyafute kama vile hayakuwapo.

Umenikumbusha mbali sana kunitajia watu wangu.

Hivi karibuni Sayyid Hussein Badawiy kaja mtaani kwetu kwenye Maulid
ya Abshy.

Ilikuwa raha juu ya raha.
Kweli yeye ni nanga.

Nina picha nyingi nimempiga Sharifu Hussein Lamu kwenye maulid.
Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…