Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwanza kabisa samahani kabla sijachangia chochote hivi mfumo kristo unakuaje? Na mfumo islam unakuaje? Na huu tunaosema wa kidemokrasia upoje? Samahani lakin
 
Mdondoaji, unajaribu kisichowezekana; unajaribu kukataa uwepo wa jua wakati linakumulika! Wewe umeshajiamulia kuwa Vatican City si nchi na hivyo ushahidi wote hata uwekwe mbele yako vipi utaukataa. Utatafuta 'wanasheria' wanaotetea msimamo wako wakati wapo wengi wanaoenda kinyuma na huo (na hivyo hutojitofautisha na M. Said).

Sasa sijui tukusaidia vipi kujua historia ya Vatican City - Papa alitawala Papal States kwa karibu miaka 1000! Ukumbuke kuwa Vatican kama makao makuu ya Papa imekuwepo kabla ya ujio wa Uislamu. Papa kama kiongozi wa kidini na kiserikali amefanya hivyo kama halifa wa Petro. Suala la dini na serikali kama sehemu moja ya mfumo wa utawala imekuwepo kwenye Ukristu kabla ya kuwepo kwenye Uislamu.

Leo hii ukisikia Waislamu wanasema kuwa dini na serikali havitofautishwi watu wanadhania ni dhana mpya au imekuja na Uislamu. Dhana hiyo imekuwepo kwenye Kanisa kwa muda mrefu. Hata hivyo, baada ya migongano ya kihistoria Kanisa Katoliki liliamua kujikita katika "ufalme wa Mbinguni" kuliko "Ufalme wa Duniani" na hivyo kujikita kwenye masuala ya kiroho na maisha ya duniani hapa bila kudai haki za kiutawala wa kidunia. Baada ya Italy kuunganishwa (Unifikication) kulikuwa na uadui uliodumu kwa karibu miaka sitini kati yake na Vatican City (chini ya Papa) kwa ardhi kubwa ya nchi za Papa yalichukuliwa na ufalme wa Italy hadi mkataba wa Lateran mwaka 1929. NImeshakudokeza hapo nyuma juu ya historia hiyo.

Vatican City basi haijawahi kuwa chini ya nchi ya Italy; imezungukwa na Italy kama Lesotho au Swaziland zilivyozungukwa na Afrika ya Kusini. Vatican City haijawahi kuwa chini ya Mfalme wa Italy bali hata Roma yenyewe (ambayo ni makao makuu ya Italia) imewahi kuwa chini ya Papa.

Sasa ukweli huu unaweza kuudhi, unaweza kuuchukia lakini ni ukweli wa historia. Siyo ukweli wangu mimi au kusema nasema hivyo kwa sababu nami ni Mkatoliki la hasha. NI ukweli wa historia kwa sababu huwezi kutumia historia kuupinga. Kama unaweza naomba ujibu maswali haya:

a. Vatican City ina uhusiano gani na Italy?
b. Mkuu wa Vatican City ni nani?
c. Holy See ina uhusiano gani na Vatican City na vyote viwili vinauhusiano gani na Papa?
d. Je, Vatican City inajitambuaje yenyewe (ni mkoa, kijiji, au sehemu ya Italy)?
e. Je Papal States zilikuwa ni nini?

Jaribu tu kutafuta majibu haya kwenye historia uone kama yatapingana na nilichosema mimi. Sasa, unaweza kuwa na hoja kuwa hutaki Nchi ya Papa iwwe na uhusiano na Tanzania kwa sababu ni nchi ya Kidini au ya Kikristu. Hii ni haki yako na unaweza kuanzisha mwamko wa kutaka Tanzania ivunje uhusiano nayo. Unaweza kujaribu.

Jibu la pumba zako zote ni hili,

Vatican sio nchi na hivyo kama si nchi Tanzania inakuwaje inakuwa na uhusiano nayo wakati ni taasisi ya dini? Pia kama Tanzania ina uhusiano na taasisi ya kidini suali jengine linakuja je Tanzania ina dini?

Ndio maana Rais mstaafu aliuliza swali kama Tanzania haina dini inakuwaje inakuwa na uhusiano wa kidiplomasia na Vatican? Saa zengine Mwanakijiji unaongea pumba just kutetea dini yako what you are suggesting and talking is pure non-sense to me narudia tena ikiwa mnadai Tanzania haina dini basi Vatican wanabidi waondoke. Hamna hoja ya kisomi yenye mashiko kutetea Vatican ni nchi zaidi ya pumba tu.
 
Geeky,

Utakaporudi jamvini pata darsa hapa kutoka kwa wataalamu wa sheria. Wanasema hivi:-

the Vatican City's capacity to enter into relations with other states is difficult to assess. The Vatican City has no foreign service of its own and no foreign ministry distinct from that of the Holy See.[SUP]37 [/SUP]Article 3 of the Constituent Laws of the Vatican City reserves "to the Sovereign Pontiff, by means of the State Secretariat, . . . the right of representation of the Vatican State, with foreign powers, for the conclusion of treaties and for diplomatic relations."[SUP]38 [/SUP]A state wishing to enter into official relations only with the Vatican City would have to deal first with the Holy See.

Sasa niletee hoja nyengine hii nishaipukutisha .

Nilikuwapo
 
I was thinking the same thing,ni sawa na uende nchi zilizotawaliwa na waarabu waislam na si wazungu,halafu uulize kwanini mokoni huyu wa kiislam utamaduni wake umekubalika kuliko mkoloni yule wa kikristo/kizungu nk.

Sijui kama unajua Uislam umeitawala Ulaya miaka 800.
 
Geeky,

Utakaporudi jamvini pata darsa hapa kutoka kwa wataalamu wa sheria. Wanasema hivi:-

the Vatican City’s capacity to enter into relations with other states is difficult to assess. The Vatican City has no foreign service of its own and no foreign ministry distinct from that of the Holy See.[SUP]37 [/SUP]Article 3 of the Constituent Laws of the Vatican City reserves “to the Sovereign Pontiff, by means of the State Secretariat, . . . the right of representation of the Vatican State, with foreign powers, for the conclusion of treaties and for diplomatic relations.”[SUP]38 [/SUP]A state wishing to enter into official relations only with the Vatican City would have to deal first with the Holy See.

Sasa niletee hoja nyengine hii nishaipukutisha .

Nilikuwapo

Holy See inaweza kuwa na mahusiano ya kibalozi na nchi yoyote duniani? Ukizingatia hicho ulichokinukuu hapo.
 
Holy See inaweza kuwa na mahusiano ya kibalozi na nchi yoyote duniani? Ukizingatia hicho ulichokinukuu hapo.

Mwanakijiji,

Kwani nilichomueleza Geeky ni kitu gani? Holy See ndio na wanamahusiano ya kidiplomasia na nchi mbali mbali duniani na sio Vatican. Ila tatizo lililopo ni kuwa kuwa Holy See sio nchi ni taasisi ya wakatoliki duniani. That is why it is controversial issue na baadhi ya nchi zimekataa kuwa na uhusiano wao wa kidiplomasia kwa kuhofia nchi zao zinaweza kuwa matatizoni kwa kuendekeza udini kwa kuipendelea dini moja na kuacha nyengine hazina uhusiano wa kidiplomasia na na serikali.
 
Holy See inaweza kuwa na mahusiano ya kibalozi na nchi yoyote duniani? Ukizingatia hicho ulichokinukuu hapo.

Ahsante sana Mzee Mwanakijiji kwa kumsaidia huyu bwana kunyoosha maelezo.
Mie sishangai kwa hulka yetu ya kisiasa watanzania tukawa na taabu kuelewa siasa za ulaya magharibi. sishangai.
 
Ahsante sana Mzee Mwanakijiji kwa kumsaidia huyu bwana kunyoosha maelezo.
Mie sishangai kwa hulka yetu ya kisiasa watanzania tukawa na taabu kuelewa siasa za ulaya magharibi. sishangai.

Kanyoosha kitu gani? Sijakuelewa au Holy See nayo ni nchi???? Naona mnakosa hoja mnabakia na mitambo ya kijinga nileteeni hoja za msingi na sio kuzunguka mbuyu. Nasubiri.
 
Mimi nitafurahi sana tukiiona barua hiyo.

Wala usidhani nakataa uwepo wa barua, ninacho hoji ni jinsi ulivyomalizia taarifa yako.
Kama wametajwa watu kadha wa kadha sioni mantiki ya kumchagua Nyerere peke yake miongoni mwa kundi kubwa sana na kuandika ''Nyerere hakupelekewa barua''.

Suala hapa si kuhoji kama barua ilikuwepo au haikuwepo wala majina ya waliotumiwa.
Hoja ni kuhoji kwanini kauli ya ''Nyerere hakutumiwa'' imetumika!
kwanini isiwe Kyaruzi, Mtamilwa au mwingine iwe specific kwa Nyerere.

Ndiyo maana nasema kwa haraka haraka it's ok, kwa fikra hapa hakuna shaka hata kidogo ulidhamiria kumdhalilisha sana Nyerere ili pengine umkweze sana Abdul Sykes na wenzake.

Ulichomaanisha ni;
1. Ima, Kwamba tayari alikuwa na uhusiano na UTP
au
2. Hakuwa muhimu sana katika siasa na hivyo hakukuwa na haja ya yeye kupelekewa barua.

Ni mtindo huo huo uliotumika wakati unasema mwaka 1961 A.Sykes hakuhudhuria sherehe za Uhuru ukiwa na maana mtu muhimu sana kama yeye aliachwa miongoni mwa maelfu, lakini kwa Nyerere umetumia kinyume chake.

Mohamed unajua kuna kitu kinaitwa ''connotation'' tunakifahamu ni vema ukawa unaangalia hadhra unayowasiliana nayo kwanza!!

Hoja hapa ni kuwa ni busara au mantiki ipi ilitumika na ilikusudia nini kusema ''Nyerere hakupelekewa barua''
Hapa sasa umeamua kusoma pamoja nasi kutoka kwa Mohammed kwa yale tusiyoyajua aliyonayo.Iwapo mods wangesikiliza ushauri wangu na hawana maslahi na huu mjadala basi wangeusitisha au kubadili jina kwani Yerico ametuingiza mkenge sote kujadili kitu sicho.Na si uchochezi tu bali tumejadili uongo wake kama alivyoanza utangulizi kwamba Mohammed historia yake imeanza 1954 +.
Huu ni mfano wa watu wanaohukumiwa kunyongwa kutokana na makosa ya watu wengine.
Hapa ingekuwa bora tujadiliane kwa yale tunayotofautiana.Masheikh na maaskofu wangekaribishwa na serikali ikaweka mawakala wao kufuatilia na kuchukua hatua muwafaka.
Hata hivyo tamaa ya hilo ni dogo kwani serikali na JF wanaonekana wana maslahi pindi historia ya waislamu itakapobomolewa kama ingewezekana.

Mkuu Jokakuu, ukiisikiliza ile video ilivyoandaliwa hakika ni seansational tupu. Ilipoongelewa mauaji ya Dr Kleruu utasikia sauti ''akampiga risasi.. ghruuuuuuuuu!'' kuonyesha kilichotokea kwa sauti za risasi. Hakuna uhakiki kuwa sauti za risasi zilirindima kwa namna video inavyoonyesha, kilichofanyika ni kuongeza hamasa na ''ushujaa wa mwamwindi''. Kwa kiongozi wa dini video ile asingeihusisha na mhadhara wake hata kidogo.
Hata kama Dr Kleruu alikosea(assumption) je Ilunga anataka kusema ile ndio njia sahihi waislam wanatakiwa kuifuata?

Labda nikukumbushe kuwa katika maelezo ya kuundwa kwa UTP, Mohamed ameorodhesha majina ya watu waliopelekewa barua za kujiunga ambao wengi ni wazee wake. Hilo halina tatizo!

Mstari wa mwisho akasema ''Nyerere hakupelekewa barua''. Maana yake ni kujenga mazingira ya kumweka Nyerere katika hatia ya ima hakupelekewa kwasababu alikuwa tayari ana uhusiano na kiongozi wa UTP au hakuwa muhimu sana kupelekewa barua kama Abdul Sykes.
Katika watu wote kwanini Mohamed amem ''single out'' Nyerere peke yake na wala si Dr Kyaruzi au Mwingine!
Jibu ni rahisi, Nyerere ni target na jitihada zote ni kumdunisha ili kuwapandisha wengine.

Hapo nyuma kuna post Mohamed kasema ''Nyerere alipewa uongozi na Sykes''. Tunafahamu kuwa kulikuwa na uchaguzi na Nyerere alimshinda Sykes, sasa alipewa uongozi kwa maana ipi?

Mimi nadhani role ya kila mmoja inasimama yenyewe bila kumdhalilisha mtu mwingine.
Uzuri wa historia ya kweli ni kujidhihiri na haihitaji nakshi au utuli.

Pamoja na dunia na vyombo vya habari wakiwemo waandishi na wasomi kuandika kwa nguvu zote mabaya ya Idd Amin na Hitler bado historia inawatetea kwa kila walillofanya kwa nchi zao baya au zuri.
Historia inawatetea na si mtu kwasababu historia inasimama yenyewe haiumbwi au kunyumbuliwa.
Mimi kwa upande wangu ningependa kujua zaidi kuhusu mkasa wa Said Mwamwindi.Isije ikawa tunapishana tu katika upokeaji wa taarifa kumhusu yeye.
Mimi nimewahi kukutana na mtu aliyeiwakilisha mahakama kushuhudia kunyonngwa kwa Mwamwindi.
 
Hapa sasa umeamua kusoma pamoja nasi kutoka kwa Mohammed kwa yale tusiyoyajua aliyonayo.Iwapo mods wangesikiliza ushauri wangu na hawana maslahi na huu mjadala basi wangeusitisha au kubadili jina kwani Yerico ametuingiza mkenge sote kujadili kitu sicho.Na si uchochezi tu bali tumejadili uongo wake kama alivyoanza utangulizi kwamba Mohammed historia yake imeanza 1954 +.
Huu ni mfano wa watu wanaohukumiwa kunyongwa kutokana na makosa ya watu wengine.
Hapa ingekuwa bora tujadiliane kwa yale tunayotofautiana.Masheikh na maaskofu wangekaribishwa na serikali ikaweka mawakala wao kufuatilia na kuchukua hatua muwafaka.
Hata hivyo tamaa ya hilo ni dogo kwani serikali na JF wanaonekana wana maslahi pindi historia ya waislamu itakapobomolewa kama ingewezekana.

Mimi kwa upande wangu ningependa kujua zaidi kuhusu mkasa wa Said Mwamwindi.Isije ikawa tunapishana tu katika upokeaji wa taarifa kumhusu yeye.
Mimi nimewahi kukutana na mtu aliyeiwakilisha mahakama kushuhudia kunyonngwa kwa Mwamwindi.

Alhaj Mwamwindi aliua Desemba/1971 na mapema June/1972 kesi ilikuwa imekwishamalizika...Ni vipi kesi hii ya mauaji iliyohitaji uchunguzi wa muda mrefu iliendeshwa kihara haraka namna hiyo?Ni kweli kwamba Mwalimu alitia saini adhabu ya kifo kwa sababu tu kifo kilimuhusu rafiki yake?Mbona alikawia na hatimaye kumuacha huru Mama Liundi ambaye aliuawa watoto wake wawili kwa kuwatilia sumu kwenye chakula?(wakati hukumu ya mahakama ilikuwa ni adhabu ya kifo?)..Huyu baba wa taifa kama wanavyo muita dah ngoja ni nyamaze kiukweli huyu mzee alikuwa dikteta wakisiri siri.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Rapheri,

Si kweli kuwa sitaki kuona michango ya Mwanakijiji.
Nimeacha kumjibu kwa kuwa kanitukana.

Hii ndiyo hulka yangu.
Kwa kuwa sina ujuzi wa matusi mtu akishanitusi namkwepa.

Labda wewe hunijui.
Mimi nausudu sana majadiliano ya heshima.
Mohamed Said, nilini utaacha visingizio vya kitoto kukwepa hoja? Mwana kijiji amekuja na hoja nyingi sana nzito ambazo zilikuacha mtupu! na kwakuwa hukuwa na majibu muafaka ukaamua kuingia chaka. Onesha wapi Mwanakijiji alipotumia lugha ya matusi dhidi yako! Mwanakijiji ni muungwana sana katika kutoa mawazo yake. Kuna wakati watwana wako akina Ami, Biko Haram, Zomba na THE BIG SHOW wamekuwa wakimpolomoshea matusi Mwanakijiji katika jitihada za kukunusuru wewe, lakini Mohamed Saidi hukuwakemea zaidi ya kuwapongeza tu! Wacha uzandiki mzee wewe.
 
Mwanakijiji,

Kwani nilichomueleza Geeky ni kitu gani? Holy See ndio na wanamahusiano ya kidiplomasia na nchi mbali mbali duniani na sio Vatican. Ila tatizo lililopo ni kuwa kuwa Holy See sio nchi ni taasisi ya wakatoliki duniani. That is why it is controversial issue na baadhi ya nchi zimekataa kuwa na uhusiano wao wa kidiplomasia kwa kuhofia nchi zao zinaweza kuwa matatizoni kwa kuendekeza udini kwa kuipendelea dini moja na kuacha nyengine hazina uhusiano wa kidiplomasia na na serikali.
Algeria,Egypt,Chad,Morocco, Iran,Pakistan, Iraq nk ni nchi zenye waislam wengi lakini zina uhusiano na Holy Sea...unaweza labda ukatutajia hizo nchi zilizokataa kuwa na uhusiano na Holy Sea kwa sababu ulizozitaja?
 
Alhaj Mwamwindi aliua Desemba/1971 na mapema June/1972 kesi ilikuwa imekwishamalizika...Ni vipi kesi hii ya mauaji iliyohitaji uchunguzi wa muda mrefu iliendeshwa kihara haraka namna hiyo?Ni kweli kwamba Mwalimu alitia saini adhabu ya kifo kwa sababu tu kifo kilimuhusu rafiki yake?Mbona alikawia na hatimaye kumuacha huru Mama Liundi ambaye aliuawa watoto wake wawili kwa kuwatilia sumu kwenye chakula?(wakati hukumu ya mahakama ilikuwa ni adhabu ya kifo?)..Huyu baba wa taifa kama wanavyo muita dah ngoja ni nyamaze kiukweli huyu mzee alikuwa dikteta wakisiri siri.

Alimuua mtu, point blank, in cold blood na kwa tambo nyingi; alitupunguzia dr mmoja ktk mfumokristo that alone constitutes a capital punishment.
 
Mag,

Naona unahamaki nyingi na lugha yako siipendi.
Mimi si mtu wa shari.

Kuanzia sasa sikujibu.
Humjibu Gwalihenzi, Mzee Mwanakijiji, Mag3 na baadae utamtangaza Nguruvi3, Ngongo, Joka kuu, Remote... Naamini utaendelea kujipendekeza kwa mkuu Jasusi kama ulivyo fanya pale mwanzo au vipi?
 
Algeria,Egypt,Chad,Morocco, Iran,Pakistan, Iraq nk ni nchi zenye waislam wengi lakini zina uhusiano na Holy Sea...unaweza labda ukatutajia hizo nchi zilizokataa kuwa na uhusiano na Holy Sea kwa sababu ulizozitaja?

Last time I checked, Mugabe who has a flight ban on europe alikaribishwa vatican na nchi nyingi akiwemo obama na queen wote wamepeleka uwakilishi/wametuma pongezi katika sherehe za kumpata papa mpya. licha ya hizo scandal wanazodai zimeitikisa Rome. Hata Mwamwindi angemshoot dr kleruu vaticity huenda angepata pardon na bahati ya kuongea na papa kama bonus. Mie sio mkatoliki lakini sipendi unafiki tunawasifia wanapofanya vema. kama kuna papa aliyegusa wengi na wanakubali ali reach out kwa muslims on the cost of his papacy perhaps more than any other pope ni John Paul II na watu kama mother Teresa huwezi kukataa kazi zao hata kama huwapendi.
 
Mag3 sio lazima uchangie kwenye huu uzi wala hata wewe hautunyimi usingizi usipochangia hizi pumba zako si uende kwenye chit chat au jukwaa la mapenzi
Wewe, wacha hizo! nani asichangie? huu ni uchuro. Mag3 na Nguruvi3 ndio wenye hoja za kweli na hakika humu ndani. Achana na huyo mchochezi wako Mohamed anatia kiwingu tu.
 
Kanyoosha kitu gani? Sijakuelewa au Holy See nayo ni nchi???? Naona mnakosa hoja mnabakia na mitambo ya kijinga nileteeni hoja za msingi na sio kuzunguka mbuyu. Nasubiri.

Ngoja nianze kwa salamu unayoielewa.

Son...
The Holy Roman Empire is still intact and invisible and so invincible.
Capiche?
 
Wanaotaka kuleta machafuko ni nyinyi watetezi wa mfumokristo.Kwanini hamko tayari kukubali kasoro za kuwepo ubalozi wa Vatican hivyo ukafungwa au kuvunjwa NECTA na waislamu wakaingizwa.Hata machafuko yakija basi si kutokana na Mohammed bali ung'ang'anizi wa mfumo kristo Tanzania kitu ambacho kwenye nchi nyingi zenye mchanganyiko wa kiimani hakipo.Ushawishi wa mfumokristo unafanya hata mahakama zikose heshima.
Hivi wewe mjinga, NECTA ikivunjwa na kuingizwa waislam ndio mfumo mbovu wa elimu nchini utakuwa umerekebishwa? na je wanafunzi wa kiislam wavivu wasio penda kutafuta maarifa kama ulivyo wewe ndio watafauru mitihani?
 
Mag3,

Mambo ya Ukimwi yametoka wapi tena mbona unajidhalilisha kiasi hicho.

Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri siyo kufugia nywele sasa ili bandiko lako la wakoloni sijui umeliokota wapi ngano tupu, mkoloni kuwaita wazee wetu wajinga ndiyo unaona ushahidi wa mgomo wa wafanyakazi mie nilidhani na wewe ulikuwemo kwenye huo mgomo wa wajinga.

Siku ingine usipende kuokota maneno na kuyaleta JF kuanzia leo tunakuogopa kama Ukimwi.

Vipi leo hauchutami.
Ritz, kama misemo ya kiswahili huijui kwanini unaitumia? tangu lini tunafugia nywele akili?
 
Mohamed Said, nilini utaacha visingizio vya kitoto kukwepa hoja? Mwana kijiji amekuja na hoja nyingi sana nzito ambazo zilikuacha mtupu! na kwakuwa hukuwa na majibu muafaka ukaamua kuingia chaka. Onesha wapi Mwanakijiji alipotumia lugha ya matusi dhidi yako! Mwanakijiji ni muungwana sana katika kutoa mawazo yake. Kuna wakati watwana wako akina Ami, Biko Haram, Zomba na THE BIG SHOW wamekuwa wakimpolomoshea matusi Mwanakijiji katika jitihada za kukunusuru wewe, lakini Mohamed Saidi hukuwakemea zaidi ya kuwapongeza tu! Wacha uzandiki mzee wewe.
<br />
<br />
Mkuu ni zaidi ya hoja zenye nguvu za Mwanakijiji zinazo msumbua

Kuna kitu hataki kukikubali kuhusu Mwanakijiji...

Soma katikati ya mistari majibu yake mengi kwa Mwanakijiji utaelewa hasa pale anapobanwa

Tunaendelea kusoma na tunaona nani anaetoka jasho hapa
 
Back
Top Bottom