<br />
<br />
Mkuu ni zaidi ya hoja zenye nguvu za Mwanakijiji zinazo msumbua
Kuna kitu hataki kukikubali kuhusu Mwanakijiji...
Soma katikati ya mistari majibu yake mengi kwa Mwanakijiji utaelewa hasa pale anapobanwa
Tunaendelea kusoma na tunaona nani anaetoka jasho hapa
<br />Ritz, kama misemo ya kiswahili huijui kwanini unaitumia? tangu lini tunafugia nywele akili?
Kitu gani kilikuwa ugomvi wa Mwamwindi na Dkt Kleruu?Alhaj Mwamwindi aliua Desemba/1971 na mapema June/1972 kesi ilikuwa imekwishamalizika...Ni vipi kesi hii ya mauaji iliyohitaji uchunguzi wa muda mrefu iliendeshwa kihara haraka namna hiyo?Ni kweli kwamba Mwalimu alitia saini adhabu ya kifo kwa sababu tu kifo kilimuhusu rafiki yake?Mbona alikawia na hatimaye kumuacha huru Mama Liundi ambaye aliuawa watoto wake wawili kwa kuwatilia sumu kwenye chakula?(wakati hukumu ya mahakama ilikuwa ni adhabu ya kifo?)..Huyu baba wa taifa kama wanavyo muita dah ngoja ni nyamaze kiukweli huyu mzee alikuwa dikteta wakisiri siri.
Unayosema si kweli.Mohamed Said, nilini utaacha visingizio vya kitoto kukwepa hoja? Mwana kijiji amekuja na hoja nyingi sana nzito ambazo zilikuacha mtupu! na kwakuwa hukuwa na majibu muafaka ukaamua kuingia chaka. Onesha wapi Mwanakijiji alipotumia lugha ya matusi dhidi yako! Mwanakijiji ni muungwana sana katika kutoa mawazo yake. Kuna wakati watwana wako akina Ami, Biko Haram, Zomba na THE BIG SHOW wamekuwa wakimpolomoshea matusi Mwanakijiji katika jitihada za kukunusuru wewe, lakini Mohamed Saidi hukuwakemea zaidi ya kuwapongeza tu! Wacha uzandiki mzee wewe.
too much emotions ndo zinakucloud hata kuchambua na kuelewa.Hapo juu umequote uchambuzi wa some lawyers ambao wao wametoa maoni yao. Wewe ukamaliza hapo ndo conclusion kwako. Kuna shida sanathe Vatican City's capacity to enter into relations with other states is difficult to asses.
Huyo Profesa ni mpuuzi tu kama wewe.Yaani huu mjadala umemvutia kwa kusoma hata huu uongo wako!Ndugu zangu wana jf, Nimefarijika kuona mada hii imeangaza sehemu nyingi duniani na inaendelea kuwaangazia wengi zaidi, Juzi niliombwa namba na mdau mmoja akajitambulisha kuwa yeye ni mhadhiri kutoka Chuo kikuu cha California nchini Marekani. Jana akanipigia simu, na tukaongea mengi sana, lakini kubwa zaidi akasema yeye amesoma kitabu cha Maisha na nyakati za Abdul Sykes kilichoandikwa na Mohamed Said ambacho ndicho nilichokipinga katika uzi huu na kuweka ukweli halisi japo kwakifupi tu. Akasema zaidi kuwa yeye alikuwa ni muhanga wa kitabu hicho kwani aliamini habari za Mohamed kwa asilimia fulani lakini kuna mambo yalikuwa yakimtatiza mpaka alipobahatika kusoma uzi huu. Anazidi kusema kuwa amewaambia baadhi ya wanafunzi wake waufuatilie kwaukaribu uzi huu, kwakuwa unamengi mazuri na mapya kwao kwa historia ya harakati za ukombozi afrika. Hii ni heshima kubwa kwa jf na uongozi wake mzima kwakuendelea kuulinda mjadala huu mpaka hapa ulipofika, Nawaomba Mods muendelee kuulinda hivyohivyo kwa mafaa ya historia ya nchi yetu, na ikiwezekana ubadilisheni rangi iwe nyekundu kuonyesha ni zaidi ya STICKY THREAD tulizozizoea.
Nikwambie basi!. Na mimi jana nilipigiwa simu na profesa mwengine wa UK akaniambia Yes nimeona mchango wa waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.Endeleeni kuwakaba koo hao watu wa mfumo kristo wanaokusudia kufuta ukweli ulioandikwa na Mohammed Said.Nikubaliane nae kuwa historia ya nchi yetu inamapungufu na inahitaji masahihisho, lakini kwa hili la Mohamed si masahihisho bali ni upotoshaji mkubwa, Uchochezi na ni Uhaini kwa nchi. Kwa bahati mbaya bwana Mohamed Said histori anayoisimamia ameiakisi kuanzia miaka ya 1950+ tu,.
Wanajamvi huyu Mohamed Said ni mtu wa kuogopa kama ukimwi. Huko nyuma aliwakana Cecil Matola, Dr Vedasto Kyaruzi na Mwalimu Nyerere kama Maraisi waasisi wa AA mwaka 1929, TAA mwaka 1950 na TANU mwaka 1954 huku akiwamwagia sifa makatibu wao Kleist Sykes na baadaye mwanaye Abdulwahid Sykes. Sasa shuhudieni hapa anavyomweka kando Balozi Christopher Tumbo katika harakati za Tanganyika Railway African Union (TRAU) na kummwagia sifa babu yake Salum Abdala kama Mwenyekiti muasisi na aliyeongoza mgomo wa Wafanyakazi wa Reli mwaka 1960. Namnukuu;
Sasa yatubidi tujiulize, hii simulizi ni ya kweli au imetiwa chumvi. Wanajamvi hebu linganisheni hii na ripoti ya mgomo wa TRAU mwaka 1959/1960, mwaka moja kabla ya uhuru. Je "star" wa huu mgomo alikuwa nani? Hapa chini nanukuu kutoka kwa wakoloni wenyewe;
Wanajamvi, yako mengi ningeweza kuyaandika hapa lakini nawaomba mjiulize tu kwamba katika vyama vya wafanyakazi popote duniani, nani ni mtendaji mkuu? Juzi juzi hapa tumemshuhudia Nicholas Mgaya akiandamwa na serikali kuhusu mgomo wa wafanyakazi (ingawa mpaka sasa wameweza kumnyamazisha) lakini wangapi wanamjua mwenyekiti wake? Mohamed Said kama kawaida anamtukuza babu yake na kumpa sifa zoote huku akimweka kando aliyekuwa Katibu na Mtendaji Mkuu wa TRAU, kulikoni?
Je viongozi wakuu wa vyama vya wafanyakazi walioitikisa dunia na kuleta mapinduzi kama Lech Walesa wa solidarity Poland, nani alimjua aliyekuwa mwenyekiti wake? Kwa vyama vya wafanyakazi katibu wake ndiye mtendaji mkuu au hata hili huyu mzushi mkubwa Mohamed Said anayedai amezunguka dunia nzima halijui? Jamani tukubaliane huyu mchochezi ama kwa makusudi au kwa hila, lengo la kumwaga ngano zake ni kuleta machafuko ya kidini nchini na amini usiamini, hata Waislaam wengi hawamuungi mkono.
" In 1989 he became the Secretary-General of the Zimbabwe Congress of Trade Unions"
Huyo Profesa ni mpuuzi tu kama wewe.Yaani huu mjadala umemvutia kwa kusoma hata huu uongo wako!
Nikwambie basi!. Na mimi jana nilipigiwa simu na profesa mwengine wa UK akaniambia Yes nimeona mchango wa waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.Endeleeni kuwakaba koo hao watu wa mfumo kristo wanaokusudia kufuta ukweli ulioandikwa na Mohammed Said.
Umeona Yerico!.
Hao ugomvi wao hasa ulihusu wivu wa mapenzi.Kitu gani kilikuwa ugomvi wa Mwamwindi na Dkt Kleruu?
Ni kweli,but that was then.Sijui kama unajua Uislam umeitawala Ulaya miaka 800.
Mwanakijiji,
Kwani nilichomueleza Geeky ni kitu gani? Holy See ndio na wanamahusiano ya kidiplomasia na nchi mbali mbali duniani na sio Vatican. Ila tatizo lililopo ni kuwa kuwa Holy See sio nchi ni taasisi ya wakatoliki duniani. That is why it is controversial issue na baadhi ya nchi zimekataa kuwa na uhusiano wao wa kidiplomasia kwa kuhofia nchi zao zinaweza kuwa matatizoni kwa kuendekeza udini kwa kuipendelea dini moja na kuacha nyengine hazina uhusiano wa kidiplomasia na na serikali.
Kanyoosha kitu gani? Sijakuelewa au Holy See nayo ni nchi???? Naona mnakosa hoja mnabakia na mitambo ya kijinga nileteeni hoja za msingi na sio kuzunguka mbuyu. Nasubiri.
Mzee ms, Kwahiyo bakwata wanawanyama?Nguruvi,Mimi nikuandikie wewe matusi!Sijapata kutukana mimi ndugu yangu.Unachanganya mambo sana kaka.Nimesema ametumwa kueleza mfumokristo.Wewe unaingiza mengine katika kauli yangu.Ndipo hukuambia mara nyingi.Hamaki imekutangulia sana.Hamaki inavuruga tafakuri.Usipende kughadhibika hapa ni barzani ni majadilianohakuna cha zaidi.Mwisho.Hiki kitu cha kudhani kuwa sisi hatuko pamoja kitakupeni shida sana.Waislam ninapokutajia ujue ni majority.La ikiwa unapenda kujifariji kuwa BAKWATA wana watu mimi siwezikuzuia.
Ritz,JokaKuu,
Ni ngumu kutenganisha Uislam na harakati ya TANU kwa Dar es Salaam labda maeneo mengine.
Masheikh karibia wote ndiyo walikuwa wanaongoza harakati za AA. TAA, TANU, mjini Dar es Salaam Nyerere mwenye amekiri ilo kwenye hotuba yake ya kuaga.
Ukimtaja Sheikh Takadir, Mufti Hassan Bin Amir, Sheikh Bilal Waikela, Sheikh Ramia, umetaja TAA, TANU.
Mzee Mohammed Said, Assalaam alayka warahmatullah, mzee wangu basically the truth imekuwa-exposed and we really thank tumeijua, hawana hoja zaidi ya kupiga lwange sasa wale walokupinga, ni dhahiri wameanza kuja na defensive arguments, ashamed of themselves, jazak Allah kheyr mzee wetu.
Algeria,Egypt,Chad,Morocco, Iran,Pakistan, Iraq nk ni nchi zenye waislam wengi lakini zina uhusiano na Holy Sea...unaweza labda ukatutajia hizo nchi zilizokataa kuwa na uhusiano na Holy Sea kwa sababu ulizozitaja?