Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Kadogoo,
Wachapaji takriban wote walikuwa na hofu na serikali.

Waliogopa huenda wakapata matatizo kutoka serikalini.
Insha Allah nitaweka habari za Prof. Malima.

Katibu umemkusudia Omar Alhadi.

Huyu bwana alipata ajali hivi sasa ni mgonjwa.
 
Kadogoo,
Wachapaji takriban wote walikuwa na hofu na serikali.

Waliogopa huenda wakapata matatizo kutoka serikalini.
Insha Allah nitaweka habari za Prof. Malima.

Maalim,
Je Dar es Salaam una ofisi au shule?
Wadau wakitaka darasa lako "live" kuna utaratibu gani?
 
Kadogoo,
Wachapaji takriban wote walikuwa na hofu na serikali.

Waliogopa huenda wakapata matatizo kutoka serikalini.
Insha Allah nitaweka habari za Prof. Malima.

Katibu umemkusudia Omar Alhadi.

Huyu bwana alipata ajali hivi sasa ni mgonjwa.

Naam, nilimkusudia Alhadi. Kuna bwana mmoja wa IPC alinidokeza kuwa huyo bwana alikuwa pandikizi la Nyerere kuna ukweli wowote?
 
Ze...

Zipo DVD zangu zinauzwa nazungumzia haya.
Zitafute.

Sina darsa lolote.

Ni vizuri kuwepo kwa DVD, lakini ni vema kuanzisha darasa la uso kwa uso. Ikiwezekana executive class kwa wanasiasa chipukizi.

Kuna tofauti kati ya DVD na live talk. Tafadhali fikiria hili...
 
Kitabu cha Mohamed Said kinakuumiza sana kinakukwaza wewe endelea kuchukuia na kuandika kila maneno kutoka kwenye fikra zako lakini haina maana kuwa utaweza kukizuia.Maneno yako yanazidi kukipa soko kitabu toka mwaka 1997 kitabu kipo madukani, maofisini, majumbani, mashuleni, vyuoni, kwenye computers za Watanzania kitabu kinakwenda toleo la tatu sasa kitabu kimeingia JF.Kitabu kinaitajika mikoani sasa mawakala wanakitaka kitabu.Huwezi kuzuia mvua...
 

Ritz,
Ni ahadi ya Allah kuwa haki daima itakuwa juu ya batil.
 

Marehemu Salum Abdallah wa Cuban Marimba Cha Cha Band
ameimba akasema:

"Mwalimu anasomesha we chukua.
Acha acha wako ubaya we nakwambia..."

Chuo Kikuu Cha California, West Coast hiyo...
Anamsoma Abdulwahid Kleist Sykes...
rafiki zake kwa ajili ya ukarimu wake walimpa
jina wakimwita "The Sweet Abdu."

Leo anasomwa katika kitabu alichoandika Mohamed
Said.

Mtoto wa Nyerere anahimiza uzi udumu...
Allah ana miujiza kwa hakika.

Abdu aliyekujapewa medali na taifa hili miaka
50 baada ya uhuru.

Nyerere alitoa medali 3979 jina la Abdu
halikuwapo.

Kasahaulika.
Allah una miujiza.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]''On 27 th April, 1985, Julius Kambarage Nyerere, now known as the ‘Father of the Nation', in a colourful ceremony at the State House grounds, conferred a total of 3,979 medals to Tanzanians who had contributed to the development of the nation.

Among those honoured was Sheikh Abdallah Chaurembo.
None of those patriots who have appeared in this work was in that list of honour.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]A few days later as an afterthought Nyerere invited Dossa Aziz to the State House.

Dossa Aziz, once a flamboyant townsman, now his fame and wealth gone was leading a simple life at Mlandizi, a few miles outside Dar es Salaam.

In a private ceremony Nyerere presented a medal to Waziri Dossa Aziz, his old friend.''

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwenye ile orodha ya mwanzo ya medali jina la Dossa Aziz halikuwapo kabisa.
Haijulikani kilipitika kitu gani hadi akaitwa siku ya pili kupewa medali yake peke yake.
 
Mohamed Said is so delusional about his fictional rantings and insinuations that, the poor chap, actually believes in them...! Though he is fighting tooth and nail to defend his lies, Great Thinkers of JF like always, wont give him a pass. I therefore advise him to renounce his delusional hypotheses and revert to thinking of himself as a human of more conventional circumstances and return to mathematical research. Confused by delusion, inflamed by obsession, consumed by hate and incenced by anger, he, overcome by all four, has his mind bewildered and his reasoning destroyed. Surely life is too short to have nothing but delusional notions about oneself...
 
Last edited by a moderator:
Mohamed, tuanze na hili la mfumo kristo ingawa itatuwia vigumu sana kutofautisha Qisas kwa maana ya Ilunga na mfumokristo unaowaunganisha nyote.

Unasema hujatumia neno ''mfumokristo'' nakuhahikishia umeshatumia, hata hivyo tuanze kujadili hili neno Christian Lobby.
Hivi kwa kiswahili Christian Lobby linasemwaje!
 

Nguruvi,

Nilipoandika kuhusu ushawishi wa Kanisa katika serikali, na hii ni takriban miaka 25
iliyopita sikuwa natumia neno ''mfumokristo.''

Hili neno nimeanza kulitumia miaka hii ya hivi karibuni.

Sijui kwa Kiswahili Christian Lobby inaitwaje.
Mimi nimechukua ''mfumokristo'' ndiyo ''Christian Lobby.''
 

Ritz,
Kuna jamaa anajitahidi kuandika kunitetemesha kwa Kizungu.

Sasa kichekesho ni kuwa anamuiga Charles Dickens.
Utasema unasoma "Great Expectations."

Fikiria mtu asemae Kiingereza kama lugha yake ya pili analazimisha
aonekane na yeye yumo kwa kunakili Kizungu.

Shida zote hizo za nini?
Kweli JF kuna "great thinkers."

Copy Cat.

Naomba mtu afungue uzi wa sampuli hiyo nimuonyeshe mizungu yangu.
Nimfungulie dimba kwa mashairi ya Kizungu.

Ritz,
Si unajua ukenda kumbini unafundishwa zile nyimbo za kufungua dimba?

Ningependa kumwekea vitu hapa.
 

Akijitahidi sana tutamuita katika Kigoda Cha Mwalimu pale mlimani later this year ili atupe mawazo yake mapya juu ya pan africanism na mwalimu n.k
 
Akijitahidi sana tutamuita katika Kigoda Cha Mwalimu pale mlimani later this year ili atupe mawazo yake mapya juu ya pan africanism na mwalimu n.k

Geeky,
Nafanya staha.

Hao Pan Africanists hivi sasa hawapo.
Ipo mada mnasaba na mimi ikiwa nitaalikwa.

Watu wa Kigoda wananijua.
Nafanya staha.
 
Sijui kwanini unasema haya1 ninapokuuliza jambo huwa nina hoja nawewe unalifahamu hilo.
Usisahau nimekuwa natoa hoja na analysis kwa mtazamo mwingine na ndicho kilichomgusa Mgashi.

Mathalani, maalim mtoa darsa umesema katika orodha ya watu waliopelekewa barua na UTP ''Nyerere hakuwemo''
Nimekuuliza kwanini sentensi hiyo na hukuwa najibu.
Baada ya wewe kukosa jibu nikauleleza umma kile ulichokusudia.

Mohamed, ungekuwa mtoa darsa iweje unakimbia darsa mambo yakiwa hot!
Tuyaache hayo tuendelee na mnakasha wasomaji wataamua.

Kwahiyo umesema mfumokristo ndiyo Christian Lobby. In other words hakuna tofauti kati ya kiingereza na kiswahili.
Na kwa mtazamo huo miaka zaidi ya 20 umekuwa unatumia mfumokristo kama ustadhi Ilunga anavyoutumia.

Tukuulize maalim mtoa darsa, huo mfumokristo una definition gani kwa ufupi kwasababu sheikh Ilunga hajawahi kutoa definition. Wewe unayeutumia zaidi ya miaka 20 unaweza kutueleza nini Maalim japo kwa ufupi.
 
Mdondoaji,

..nani kati ya Jumbe na Thabit Kombo aliwahi kufika Vatican na kusalimiana na Pope?

..sasa Aboud Jumbe anadai kwamba serikali ya Tz ina dini kwasababu ina mashirikiano ya kibalozi na Vatican??

..What about mashirikiano ya kibalozi na Iran, Saudia, Cuba? Halafu na mashirikiano yetu na Soviet Union miaka ile??

..Haya mambo ya udini-udini ukiyaendekeza mara nyingine unaishia kuwa kituko, na mfano wa kituko ni kauli unayodai imetolewa na Raisi Mstaafu Aboud Jumbe kuwa Tz ina dini kwasababu ina mahusiano na Vatican.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…