Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed, kadri unavyoongea ndivyo unavyowatoa mashaka wale waliokuwa nayo.
Nyerere alitoa nishani hizo kwa akina nani katika kundi la wazee wako na kumsahau Abdul?
Je, Mwinyi aliyemfuata Nyerere alitoa ngapi na kwa akina nani na kwavipi alimsahau Sweet abdul.

Endapo hutakuwa na jibu basi nitakuomba urudi nyuma post# 10828 umpongeze yule muungwana aliyesema kuhusu jaribio dhaifu.

Nguruvi,
Hujui ihsani kati ya Abdu na Nyerere.

Hili ndilo tatizo lako.
 
Mzee ms,Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.Tatizo lako kubwa ni mdini sana, laiti usingekuwa mdini una mengi ya kujifunza kutoka kwako.Kingine kama we ndo unaetoa hili darsa, basi usikwepe maswali.ili sie tusojua tupate ilim. Jibu kila kitu kwasababu upo hapa kueleza yale yaliyofichwa.

Mgashi,
Mimi siwezi kujua kila kitu.

Hivyo usistaajabu ninapokuwa sijibu maswali mengine.
 
Lile tulishalimaza nilikuwa naweka sawa tu kuhusu kauli yako kuwa nauliza tu.Hilo lisikutie wasi wasi.

Tuendelee na hili la mfumokristo, je, kwa ufupi sana nini definition halisi. Tumekuwa tunasikia tu mfumokristo kila mtu akija na lake, sasa wewe maalim mtoa darsa unaweza kutupa maana tu kwa uchache ili wakati mnakasha unaendelea basi tujue tunaongelea nini.

Nguruvi,
Nikitoa maana haitakuwa na tija si kwako wala kwa watazamaji.

Mimi Insha Allah nakuwekea hapa vipi mfumokristo unavyofanya kazi.

The Reign of Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995

But after years of Muslims being reduced to third class citizens the Tanzania polity had drastically changed, the country was confounded with religious animosity.

Pressure had begun building up since Nyerere was in power and Muslims had begun agitating against the government.
President Ali Hassan Mwinyi found himself facing a religious problem which he did not bargain for.

Under such a politicalclimate President Mwinyi could not augur well with a Christian dominated cabinet and the civil service as the bureaucrats in these institutions deep intheir hearts resented a Muslim head of state.

Soon opposition to Mwinyi's rulewithin his cabinet and ruling party, CCM surfaced into the open.
Joining in this anti-Mwinyi anti Muslim campaign was the newly established free press controlled by the Christian lobby.

In a daring and dramatic encroachment of the Church into politics, the Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church.

In that press luncheon of the Tanzania Press Club Mtikila attacked Mwinyi's government as being corrupt echoing Nyerere's speech of February that year.
[1]

Mtikila was not a new name in this anti-Mwinyi campaign.

In 1987 during the CCM-NEC conference in Dodoma he distributeda document which among many allegations to Mwinyi he accused him of supporting "Muslim fundamentalism" and slotting Muslims into important positions in his government.

Dar es Salaam University also hosted Mtikila and was allowed to talk at the prestigious Nkrumah Hall, the centre of serious debate and lectures by reputable personalities.

Mtikila spit his venom by concluding his speech by saying that "the Church must show the way."
[2]

The Christian lobby wanted to give an impression that all was not well with Mwinyi's government.
It was possible for this to happen during Mwinyi's rule because Mwinyi was a gentleman president.

What was happening could not have taken place under Nyerere because his was an authoritarian regime in which opposition was completely stifled.

Disssent was discouraged through statutes and rarely was Nyerere required to use actual physical force to counter opposition.

To the outside world the country gave an impression of unity and stability- arole model for other African countries engulfed with persistent internal strife to imitate.

But why was Nyerere quite while this was happening?

Nyerere never liked Mwinyi simply because he was not his preferred choice for presidency.

When he failed to sideline Mwinyi from the presidency post he imposed JosephWarioba on Mwinyi as Prime Minister.

While handing over power to Mwinyi, hes ubmitted a proposal to for the new cabinet in which an unknown and new face in the cabinet with no CCM credentials whatsoever, Joseph Sinde Warioba from Nyerere's home area was chosen as First Vice President and Prime Minister.

Nyerere passed experienced people with support of the party like Rashid Kawawa,Cleopa Msuya and Daudi Mwakawago.

The very act of Mwinyi ignoring some of the suggestions put to him by Nyerere must have angered the Father of the Nation.

But what angered Nyerere most was that
amidst all the interference and Nyerere's influence,President Mwinyi appointed Prof. Malima as his closest advisor and topa ssistant and confidant in government affairs by making him Minister of State in the President's Office responsible for Cabinet Affairs and InternationalCo-operation.

Mwinyi inherited a state in condition of crisis in which the single party system with all its paraphernalia of authoritarian and monopolistic tendencies had resulted in political and economic stagnation.

President Mwinyi inherited a state characterised by economic and social decadence.

The close relationship that existed between Prof. Malima and President Mwinyi, which dated back to their days when they were both Ministers of State in the Vice-President's Office, came into effect. Nyerere was extremely unhappy on this appointment and so was the Christian lobby.

That position was the domain of the Christian lobby as it was its main channel of authority and means of the controlling all government affairs and was effective tool against Muslims.

The Christian lobby felt as ifit has been locked out.
[3]


[1]Business Times, 22 June, 1990.
[2]In October,1989 the Chairman of the Sudan People's Liberation Movement (SPLM) Colonel John Garang visited Tanzania. Garang received a very warm reception from the University Community which is predominant Christian. The academic staff as well as students went out of their way to potray Garang as a "true son of Africa", and a crusader against Muslim hegemony in Sudan. And Garang cherished every moment of it. The ten percent Muslims at Dar es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation. It was not a wonder that Garang was receiving military assistance and moral support from Christian controlled governments Tanzania being one of them. Garang really felt at home. Garang himself a Marxist Christian was speaking in a Marxist School and among fellow Christians. Probably in response to this visit by Garang, theg overnment of Al Bashir sent its official delegation to try and explain to the people of Tanzania its own point of view to the conflict. The Sudan government delegation was coldly received at the University. Protocol was flouted shamelessly. While Garang was accorded all the honours fit for a head of state, the Vice Chancellor himself receiving him, the Sudanese government delegatio nwas received by one of the academic staff in the Department of Political Science. The Vice Chancellor was conspicuously absent. Garang spoke in the famous Nkrumah Hall, the venue for all visiting dignitaries. The Sudanese government delegation was ushered hurriedly into a lecture theatre. The University administration knows who can speak in the lecture theatre and who cannot speak in Nkrumah Hall. The University community made sure that the Sudan government delegation understands that it had walked into an alien territory,where Islam in whatever form was not tolerated. Hostility through rhetoric in the question posed to the delegation was evident from every angle. But the speakers were not intimidated they were cool and composed taking everything in their stride. The audience seemed only interested in painting the delegation as descendants of Arab slave traders presenting an anti- Christian regime. Islam was taken to be synonymous to Arabism by the born-again Christians in thea udience who posed questions, while the Marxists thought the conflict in Sudan could be solved through class struggle and advised the delegation that the problem could be understood better through class analysis. It was clear that the audience was either ignorant of the background to the conflict or was so much taken by anti-Muslim sentiments portrayed by international press that it lost allobjectivity, untypical trait of academicians.


[3]This was the time that Mwinyi confided to Prof. Malima that there were people within the office of the president who had duplicates keys to his drawers and were stealing documents. Mwinyi, Prof. Malima confided to my informant looked scared and while he was reporting this to Prof. Malima, Mwinyi was speaking in very low tones, whispering as if fearing his office was bugged.Prof. Malima advised President Mwinyi to transfer that entire staff and bring in new people who would have allegiance to him. At this time Prof. Malima started to receive hate mails which he turned over to the Intelligence for investigation but nothing came out of those investigations.
 
Ze...

Zipo DVD zangu zinauzwa nazungumzia haya.
Zitafute.

Sina darsa lolote.

Assalm alaikum wanajamvi....
Naomba kuwa rational...nitakapokosea naomba kukosolewa!
Nimefuatilia mjadala huu tangia unaanza mpaka muda huu!
Kama umenipita basi ni kwa uchache!
Hakika nimejifunza mengi kutoka kwa wengi ndani ya huu mnakasha!
Kutoka kwa mzee wangu mohammedi said nimejufunza historia ambayo kwa hakika cjawahi kuijua kabla na amenipa moyo wa utambuzi kusoma zaidi ya nilichosoma darasani!
Pia jinsi ya kujibu,hekima na busara!
Ritz,bigshow na wengineo ni jinsi wanavyo sherehesha na kutoa darasa ndogondogo!
Mwanakijiji,gwalihenzi na wengineo nimejifunza jinsi ya kuargue na kuchemsha akili!
Kubwa ni ile ansard iliyoletwa na member mmoja hiv!
Naomba huu mjadala uendelee ila hekima,heshima na busara iendelee kuwepo!
Hakika najifunza mengi hasa kwa mzee mohammedi said cha ajabu hata ukimdharau yeye bado anakupa darasa hakika hii ni hekima na busara ya kipekee!
Waislam tuzidi kumuomba MUNGU,KUSOMA KWA BIDII,KUFANYA IBADA ZAIDI YA TUFANYAVYO,TUSAFISHE NYOYO ZETU KWANZA,NA TUTOE HUKUMU VILE APENDAVYO ALLAH AMBAE NDIO HAKIMU WA DUNIA HII!
PIA TUSIDHARAU DINI NYINGINE KWA HALI YEYOTE ILE!
hata kama aya ni chungu kwa namna gani tuiseme na tuifanyie kazi ili ujumbe ALLAH ufike!
Note;najifunza tu ndani ya mnakasha huu!
Kitabu na cd naomba MUNGU anijaalie nivitafute na nivipate kwa kuwa nia hio ninayo!
Akhsanteni!
 
Mdondoaji,

..tuanzishe mahusiano ya kidiplomasia na OIC. sioni tatizo hapo.

..pia sikubaliani na hoja kwamba mahusiano yetu na Vatican yanatufanya tuwe nchi ya Kikatoliki.

..mimi nadhani watetezi wa hoja ya OIC kwa upande wa ndugu zetu Waislamu are not good enough.

..kuna madai mengi sana ya haki ya Waislamu lakini tatizo yanabebwa na watu wasio na weledi wa kujenga hoja, matokeo yake wanatoa kauli za kizushi-zushi, na kuharibu hoja nzima.

cc: Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Ritz, Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Mdondoaji; soma mada yangu kuhusu OIC niliyoandika mwaka 2007; mimi sina tatizo na Tanzania kuwa na Ushirikiano wa kibalozi na OIC as a matter of fact labda nilikuwa mtu wa kwanza kutaka hilo lifanyike kwa kanuni hiyo hiyo ya kuwa tuna ushirikiano na Holy See. Tatizo ni kuwa kwenye kauli yako umechanganya mambo; "kujiunga" kuwa mwanachama wa OIC siyo sawasawa na kuwa na uhusiano wa kibalozi. Nakuhakikishia hutakutana na mtu yeyote anayeelewa mambo ambayo anaweza kupinga Tanzania isiwe na uhusiano wa kibalozi na OIC; none. At least not among those I know.

Hili la kuwa na uhusianow a kibalozi lilikuwa ni jambo rahisi sana na lilipaswa kufanywa tangu zamani. Tatizo ni kuwa wapo wanaotaka Tanzania iwe mwanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu. Tanzania siyo Mwanachama wa Holy See au wa Vatican City State! Sasa kwanini unalinganisha maembe na samaki? Kama unataka Tanzania iwe na uhusiano wa kibalozi na OIC jiunge kwenye treni wengine tulishaitisha hilo miaka mingi imepita sasa!
Tanzania haijajiunga na Vatican au Holy See kwanini ijiunge na OIC? Unataka Tanzania iwe na uhusiano wa kIbalozi na OIC kama ilivyo kwa taasisi nyingine za kimataifa au unataka Tanzania iwe mwanachama wa Nchi za Kiislamu? Well, angalau umesema unataka uhusiano wa kibalozi (a position that I had taken many years back) lakini wengine hawataki uhusiano wa Kibalozi; wanataka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kwa kujiunga na OIC (kuna masharti ya uanachama mwanachama anatakiwa kuyakubali na baadhi ya masharti ya OIC ni ya kidini).


Tukubaliane tutilie mkazo Tanzania iwe na uhusiano wa kibalozi na OIC kama ilivyo na Holy See (I just noticed the two words rhymes)!?
Karibu upande huu; lakini siyo kujiunga kwani kama

Unasemaje ndugu yangu? Maana ninachoona unachotaka hasa ni equity kuwa kama Tanzania ina uhusiano wa kibalozi na Vatican kwanini isiwe na uhusiano wa kibalozi na OIC. Hili halina shida; lakini humo humo umechanganya na kujiunga; hiyo siyo equity.
Mwanakijiji siku zote na kwambia unachuki sana na uislamu lakini nakusikitikia sana hivi Uganda ni mwanachama wa OIC nayo ni nchi ya kiislamu msumbiji,uingereza ziko nchi nyingi zimejiunga na jumuiya ya OIC likini sio nchi za kiislamu ila hizi propaganda sijui zitakufikisha wapi mkuu hebu jaribu kuwa fear.
 
Mzee ms,Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.Tatizo lako kubwa ni mdini sana, laiti usingekuwa mdini una mengi ya kujifunza kutoka kwako.Kingine kama we ndo unaetoa hili darsa, basi usikwepe maswali.ili sie tusojua tupate ilim. Jibu kila kitu kwasababu upo hapa kueleza yale yaliyofichwa.

Mgashi,
Kwangu mimi dini ndiyo muongozo.

Dini ndiyo inayonifunza nisidhulumu wala nisikubali kudhulumiwa.

Dini ndiyo inayonifunza kuwa mtu mwema kwa binadamu wenzangu
na mengi mengine yenye tija kwa jamii.

Ukiniondolea dini nitakuwa kinyume cha hayo yote Allah apishie mbali.
 
Mdondoaji,
Umenikweza bure.

Mie sijafikia makamu hayo yenu ingawa natamani.
Lakini jua limeshakuchwa Maghrib sasa kwangu mimi.

Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.
 
Mwanakijiji siku zote na kwambia unachuki sana na uislamu lakini nakusikitikia sana hivi Uganda ni mwanachama wa OIC nayo ni nchi ya kiislamu msumbiji,uingereza ziko nchi nyingi zimejiunga na jumuiya ya OIC likini sio nchi za kiislamu ila hizi propaganda sijui zitakufikisha wapi mkuu hebu jaribu kuwa fear.

Boko Haram,
Nakuwekea hapa uone yale ambayo hayapo wazi kwa wengi kuhusu OIC:

The OIC Saga 1993

When the Minister for Foreign Affairs and International Co-operation,Ahmed Hassan Diria was quizzed by the press he denied that Zanzibar had joinedthe OIC.

Diria issued a statement denying those reports.

The ink on Diria's statement was barely dry whencopies of official documents proving Zanzibar's application and acceptance by the OIC were published in the press.

It is believed that the letters which were published by the press which for the first time brought the OIC into public notice were stolen from a confidential file of the Chief Minister's Office inZanzibar.
[1]

What caused concern was the connection between OIC and Islam in Africa Organisation (IAO).

It was reported that the OIC had a secret agenda to annihilate Christianity in Tanzania through the Islam in Africa Organisation (IAO).

Further the problem of Zanzibar membership to the OIC was connected with the so called conspiracy of the OIC to undermine the Church.

The Christian Lobby approached the issue of OIC not as a serious breach of the constitution but also as an hostile act of one part of the union forminga conspiratorial alliance with an organisation which its main objective was to annihilate Christianity in Africa.

In response to this the Church, the pressand the ordinary Christian in the street was up in arms against a Muslim president who allowed his government to conspire against the "peaceful Church."

The Christian Lobby in the Parliament had evidence to prove the allegations.

Among the objectives of the IAO which caused the concern of the Church were purported to be taken from a "secret document," which carried the following IAO objectives:

1. To ensure the appointment of only muslims into strategicnational and international posts of member nations. To eradicate in all itsforms and ramifications all non-muslims religions in member nations (such religions shall include Christianity, Ahmadiyya and other tribal modes ofworship unacceptable to Muslims).

2. To ensure that only Muslims are elected to all politicalposts of member nations

.
3. To ensure the declaration of Nigeria (the 24th African and 46th World member of the OIC) a Federal Islamic Sultanate at a convenient date any time from 28th March, 1990, with the Sultan of Sokoto enthroned the Sultan Supreme Sovereign of Nigeria.

4. To ensure the ultimate replacement of all member nationbefore the next Islam in Africa Conference. Towards the attainment of these ends, therefore, a Steering Committee, with membership drawn from the following countries as wellas the Islamic Council, London and the Organisation of Islamic Conference, OIC,has began set up, viz: Nigeria, Mauritania, Tanzania, Niger, Senegal, Sudan,The Gambia, Libya, Tunisia...the Steering Committee should also work out detailed plans for transforming a national political party in each member nation into a National Islamic Party...These political parties so approved shall be the only ones to produce leading government (executive and legislative) functionaries... [2]When this "evidence" was presented to the government by the press the President did know what to do.

The OIC issue was not even taken as a government crisis which concerned the cabinet.

In a predominantly Christian government the Christians in the cabinet considered themselves an aggrieved party.

They folded their hands and sat on the fence to see the ship sink.

It was left to the G55, the fiery Christian back-benchers in the Parliament to take President Mwinyi to task.

The Christian Council of Tanzania (CCT) issued a strong worded statement condemning the government.

The Christian Lobby joined by few Muslims in the Parliament demanded immediate withdrawal of Zanzibar from OIC.

The Christian Lobby wrote to the Deputy Speaker, Pius Msekwa demanding an enquiry into thematter.

This request was granted and the Parliamentary Constitutional and Legal Affairs Committee headed by Philip Marmo, an MP for Monduli.

Among the committee members were Joseph Warioba, a former Vice-President and PrimeMinister dropped from the cabinet by Mwinyi.

Apart from two Muslims, the rest in the twelve-man committee were Christians.

Muslims dismissed the committee as "church committee" which could never conduct its affairs with impartiality.

Boko Haram,
Ukipenda naweza kuendelea na darsa Insha Allah....

[1]During Mwinyi's government many confidential documents were stolen and exposed to general public throughthe press. President Mwinyi confided to close associates that he lived underperpetual fear of being bugged by his own security personnel. Indeed a conversation between Principal Secretary Ministry of Foreign Affairs, Dr.Ibrahim Msabaha and the Tanzania Embassy in Washington was bugged and transcript of theconversation published in the private press. Dr Msabaha went to court to contest the publishing of confidential government information and lost the case with costs.
[2] Quoted from a letter fromBaraza Kuu to the Deputy Speaker, The National Assembly, BK/J/1.5/93 of 3February, 1993.
 
Mgashi,
Kwangu mimi dini ndiyo muongozo.

Dini ndiyo inayonifunza nisidhulumu wala nisikubali kudhulumiwa.

Dini ndiyo inayonifunza kuwa mtu mwema kwa binadamu wenzangu
na mengi mengine yenye tija kwa jamii.

Ukiniondolea dini nitakuwa kinyume cha hayo yote Allah apishie mbali.

hapo kwenye red mentor/ilm/alim wako SHEIKH ILUNGA halitambui hilo, ila wewe maamuma kama ulivyojiita hapo nyuma unalitambua.
 
Mgashi,
Kwangu mimi dini ndiyo muongozo.

Dini ndiyo inayonifunza nisidhulumu wala nisikubali kudhulumiwa.

Dini ndiyo inayonifunza kuwa mtu mwema kwa binadamu wenzangu
na mengi mengine yenye tija kwa jamii.

Ukiniondolea dini nitakuwa kinyume cha hayo yote Allah apishie mbali.

Ni kweli mzee MS kuna watu huku ukizungumzia masuala dini wanakuona mjinga kama wewe hakuna yaani wao wamefungua macho wameona dunia ni mahala bora pa kuishi laiti wangelijua dah sijui mzee maisha ya barzakh ni magumu
 
Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.
Kwanini apeleke Marekani na sio Saudia au Somalia?
 
Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.

Mdondoaji,
Ahsante.

Insha Allah ndugu yangu.

Nilifika John Hopkins University Washington lakini nilkwenda kuswali Ijumaa tu
katika ''msikiti'' wao si kwa mipango ya kisomi.

(Msikiti ni chumba cha darasa)

Jamaa yangu mmoja alipatapo kunambia kuwa kwa kuwa wewe ni mvivu wa
kusoma ipo special program ya vilaza kama wewe waone...

Sikufanya hivyo.
 
Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.

Mdondoaji,
Ahsante.

Insha Allah ndugu yangu.

Nilifika John Hopkins University Washington lakini nilkwenda kuswali Ijumaa tu
katika ''msikiti'' wao si kwa mipango ya kisomi.

(Msikiti ni chumba cha darasa)

Jamaa yangu mmoja alipatapo kunambia kuwa kwa kuwa wewe ni mvivu wa
kusoma ipo special program ya vilaza kama wewe John Hopkins waone...

Sikufanya hivyo.
 
Tatizo jengine la Nguruvi na wenzake,ni kulazimisha jibu hata Mohammed akisema jambo fulani halimhusu au hana ujuzi nalo kuliko wengine.


Inakuwaje unamlazimisha Mohammed akupe majibu yanayomhusu zaidi Jumbe na Ilunga?.
Hata kama atakuwa na majibu kulingana na uzoefu wake lakini hakuna mantiki kulazimika kujibu kuhusu watu wengine ambao wako hai na wewe una uwezo wa kuwafikia na kuwauliza kupata undani halafu ukaja nao hapa jamvini na sisi tukafaidika.
Sikiliza ninakupuuza sana ndio maana sijibu hoja zako. Hili nalijibu kwasababu pamoja na kutoa hoja hovyo Mohamed anaonekana kukbaliana na wewe.

Mohamed na Ami, kuhusu suala la Jumbe hakuna mahali nimemuuliza Mohamed. Swali langu lilimlenga Mdondoaji baada ya kuweka hoja kuwa ''Jumbe alisema kama nchi haina dini mbona tuna ushirikiano na Vatican''?

Ami wewe sikujibu kwasababu sina sababu ya kukujibu. Watu wengi walinishauri nipuuze baadhi yenu na ndivyo nifanyavyo. Mohamed, kuna msemo mmoja katika kabila fulani usemao '' Ukioga na watoto mtoni hutakati'' Fikiria
 
Nguruvi,
Hujui ihsani kati ya Abdu na Nyerere.Hili ndilo tatizo lako.
Usikwepe swali, ilikuwaje Mwinyi asimpe nishani Abdul?
Katika wazee waliopigania Uhuru wangapi walipewa nishani na kumuacha Sweet Abdul.

Haya ya hisani na nini hata wewe huyajui. Abdul akifariki wewe una miaka 16. Nyerere akikanyaga Dar utungo wa mimba iliyokuzaa haujatokea! Turudi kwenye hoja
 
Usikwepe swali, ilikuwaje Mwinyi asimpe nishani Abdul?
Katika wazee waliopigania Uhuru wangapi walipewa nishani na kumuacha Sweet Abdul.

Haya ya hisani na nini hata wewe huyajui. Abdul akifariki wewe una miaka 16. Nyerere akikanyaga Dar utungo wa mimba iliyokuzaa haujatokea! Turudi kwenye hoja

Nguruvi,
Inaelekea wewe ni mgeni katika historia ya TANU.
Huifahamu na hutaki kuuliza ukaelezwa.

Ndipo nilipokuambia kuwa hujui ihisani kati ya Abdu na Nyerere.
Wa kumpa nishani Abdu si Mwinyi.

Tuje katika asili yangu ikiwa unataka twende huko.

1920s babu yangu Salum Abdallah na Kleist Sykes wakifanya kazi pamoja
Tanganyika Raiways nyumba zao jirani zinatazamana watoto wao majirani
na wanacheza na kwenda shule pamoja.

1950s mimi nazaliwa Abdu na baba yangu majirani nakua namuona Bwana
Abdu.

Nyerere anakuja kwa Abdu baba yangu anamuona na si mara moja mara
chungu nzima.

Abdu Sykes siku amefariki simu ya kifo chake nimepokea mimi bahati mbaya
baba yangu alikuwa amesafiri.

Nimeishi na kukua katika mazingira hayo hadi leo.
Turudi kwenye hoja.

Nguruvi,

Through memory lane:

Naikumbuka Gerezani kama vile ilikuwa jana.

Kuanzia mitaaa yake hadi nyumba zilizokuwapo palepamoja na wakazi wake ambao kwangu mimi walikuwa baba, mama, shangazi zangu na wajomba ukiachilia watoto wa rika langu tuliokua tukicheza pamoja wengiwao wameshatangulia mbele ya haki wengine katika umri mdogo sana na wengine katika utu uzima.

Lakini sote tulishuhudia harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na tukauona uhuru wenyewe sisi tukiwa kizazi cha mwisho kuzaliwa ndani ya minyororo ya ukoloni.

Mitaa ya Gerazani takriban yote ilikuwa ni barabara za vumbi tupu lakini mchanga, kama mchanga uliopo pwani.

Ingawa hadi sasa hali ni kama ile iliyokuwa miaka ile mchanga hauonekani tena na mahali pale kuna udongo wa tope mvua zikinyesha kitu ambacho hakikuwapo hapa zamani.

Kwa sisi watoto ule mchanga kwetu ilikuwa afueni maana tuliweza kucheza tukakimbizana bila ya madhara ya kuumia sana endapo mmoja wetu ataanguka.

Mchezo tuliokuwa tukiupenda sana ulikuwa mpira wenyewe tukiita "chandimu" na nyakati za usiku tukichezamchezo wa kujificha.

Mtaa wetu ulikuwa unaitwa Kipata Street.

Jina hili wengi hawalijui asili yake lakini ni moja ya vijiji ambavyo "mvumbuzi" DavidLivingstone alivipitia katika safari zake Nyasaland.
 
Sikiliza ninakupuuza sana ndio maana sijibu hoja zako. Hili nalijibu kwasababu pamoja na kutoa hoja hovyo Mohamed anaonekana kukbaliana na wewe.

Mohamed na Ami, kuhusu suala la Jumbe hakuna mahali nimemuuliza Mohamed. Swali langu lilimlenga Mdondoaji baada ya kuweka hoja kuwa ''Jumbe alisema kama nchi haina dini mbona tuna ushirikiano na Vatican''?

Ami wewe sikujibu kwasababu sina sababu ya kukujibu. Watu wengi walinishauri nipuuze baadhi yenu na ndivyo nifanyavyo. Mohamed, kuna msemo mmoja katika kabila fulani usemao '' Ukioga na watoto mtoni hutakati'' Fikiria

Sio kunipuuza bali huwa unashindwa kujibu kwa kukosa hoja.Vyenginevyo unaogopa kunijibu kukwepa aibu.
Nilijua zamani utakapoibuka basi utakuja na dai la kunipuuza.Hata Mwanakijiji alisema hivyo lakini kwa vile nilikuwa niko nyuma yake nikamkamata ndipo akaufyata.
Tofauti na mitaani hapa mimi niko na wewe na wengine kama wewe.Sina shida nyengine yoyote kwako ila kukuonesha jinsi ambavyo unashindwa kutetea hoja zako na huku ukijaribu kumtukana Mohammed kwa sababu za kijinga ilimradi tu kutetea mfumokristo.
Kadri unavyojitia kunipuuza wasomaji watakujua ujinga wako.
Hivi uliponukuu andiko ukasema ni kutoka kitabu cha Mohammed na ulipojibiwa kuwa si hivyo halafu ukakaa kimya bila kuomba samahani hapa umenipuuza mimi au umejifedhehesha?.
Pale uliposhikilia kuhusu jarida la Africa Events halafu jibu ukapewa na ukakaa kimya ulikuwa umenipuuza mimi au uliishiwa na maneno kujitetea?.
 
Back
Top Bottom