Wanajamvi hapa ndipo kila siku tunasema wakati mwingine watu wanajadili kitu bila kujua wanajadili nini. Mohamed anafahamu wazi kuwa hana definition ya maana kuhusu ndeno mfumokristo na ile aliyokuwa nayo akiitoa haiwiani hata kidogo na madai yake. Amejitahidi kukwepa hoja hiyo muhimu akijua kuwa jibu lake linaweza kumaliza mjadala kabla haujaanza. Ametuwekea mfumo unavyofanya kazi ingawa hatujui mfumo ni nini.
Kwa taarifa ya wasomaji muasisi wa neno mfumokristo ni Mohamed. Neno hilo kwavile halina definition limetumika na watu na kupoteza maana nzima hata pale ambapo kuna hoja ya maana. Jokakuu amenikumbusha kauli yangu miaka miwili niliyoandika hapa kuwa tatizo siyo hoja ni watu wanaoibeba hoja. Tumeona mwenzetu Mdondoaji akijenga hoja na kumnukuu Rais Jumbe wakati huo, tumemuuliza ufafanuzi wa kauli ile kuhusu ''serikali kama haina dini kwanini inamshirikiano na Vatican'' ameshindwa kuitete. Haya ndio matokeo ya kubeba kitu kizima kabla ya kukiangalia upside down.
Pamoja na kukwepa hoja ya definition ya Mohamed Said, hebu tuangalie kule alikokimbilia akidhani ataweza kutuondoa katika hoja. Hata hivyo wanajamvi waelewe kuwa Mohamed hana definition ya mfumokristo ana maelezo.
Kwa maneno mengine Mohamed anajua gari linavyokwenda lakini hawezi kueleza gari ni kitu gani.
Tuendelee hapa.
Ni mwinyi huyo huyo alikuwa sehemu ya serikali ya Nyerere ambayo muslims walikuwa agitated na against. Mo anasema waislam walikuwa raia wa daraja la tatu. Hakueleza daraja la kwanza na la pili akina nani. Hii imewekwa kwanza kujenga hasira kwa msomaji kabla hajalishwa habari inayokusudiwa. Mohamed hakueleza Mwinyi aliwezaje kuwa rais katika serikali iliyokuwa dominated na Chritians. Je alitokea msituni au aliingia madarakani kwa njia za deomkrasi ndani ya mfumo ule ule wa Christian dominated government.
Lakini anapopotosha zaidi ni pale anaposema uwezo wa mwinyi ulififishwa na baraza la mawaziri lililokuwa limetawaliwa na Christians.
Sote tunajua kuwa baraza la mawaziri linachaguliwa na Rais na Rais huyo huo ana uwezo wa kumuondoa waziri asiyekubaliana naye.
Ilikuwaje yeye akaishi katika mazingira hayo magumu akiwa na uwezo wote kama Rais?Na je aliwezaje kumuondoa naibu waziri mkuu Mrema katika hali kama anayoisema?Hapa tunaona CCM ilivyomdhulumu Mwinyi na Waislam. Ni CCM hiyo hiyo ambayo leo unatueleza ulipita na wenzako misikitini mkinong'onezana waichague. Mohamed, position yako katika CCM ni ipi?
Mo ameshau kuwa Mtikila alifungwa kwa kosa la kumkashifu Nyerere tena akiwa Marehemu. Leo anatuaminisha kuwa ni Mtikila huo kwa kupitia Nyerere ndiye alikuwa anatumika. Vipi CCM ikamtosa na kumfungulia mashtaka hadi kwenda Jela.Nani alikuwa chaguo la Nyerere? Kwa sasa tunafahamu kuwa Salim Ahmed ndiye alikuwa chaguo. Je, Salim naye ni sehemu ya Christian Lobby? Mo usiache vitu hewani, ulitakiwa ufunguke na kueleza who Nyerere's choice.Kwanini ndani ya Christian dominated gov Nyerere alishindwa? Na endapo alishindwa kum-sideline Mwinyi je aliwezaje ku-impose nomination ya Joseph Warioba.
Umesema Warioba hakujulikana ndani ya chama. Wakati akichaguliwa alikuwa na wadhifa upi ndani ya ''functionaries'' za CCM.
Hivi aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa nani na aliyewahi kuwa waziri wa sheria alikuwa nani kama si Sinde!
Umesema alimchagua kwasababu wanatoka hometown moja, je ndivyo mwiny alivyofanya kwa Diria au AminaKabla ya uteuzi wa Mwinyi, Mohamed alipaswa kuwaeleza wasomaji Prof Malima alikuwa na nyadhifa gani wakati wa Nyerere.
Tungalie sehemu ya pili....
[1]Business Times, 22 June, 1990.
[2]In October,1989 the Chairman of the Sudan People's Liberation Movement (SPLM) Colonel John Garang visited Tanzania. Garang received a very warm reception from the University Community which is predominant Christian. The academic staff as well as students went out of their way to potray Garang as a "true son of Africa", and a crusader against Muslim hegemony in Sudan. And Garang cherished every moment of it. The ten percent Muslims at Dar es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation. It was not a wonder that Garang was receiving military assistance and moral support from Christian controlled governments Tanzania being one of them. Garang really felt at home. Garang himself a Marxist Christian was speaking in a Marxist School and among fellow Christians. Probably in response to this visit by Garang, theg overnment of Al Bashir sent its official delegation to try and explain to the people of Tanzania its own point of view to the conflict. The Sudan government delegation was coldly received at the University. Protocol was flouted shamelessly. While Garang was accorded all the honours fit for a head of state, the Vice Chancellor himself receiving him, the Sudanese government delegatio nwas received by one of the academic staff in the Department of Political Science. The Vice Chancellor was conspicuously absent. Garang spoke in the famous Nkrumah Hall, the venue for all visiting dignitaries. The Sudanese government delegation was ushered hurriedly into a lecture theatre. The University administration knows who can speak in the lecture theatre and who cannot speak in Nkrumah Hall. The University community made sure that the Sudan government delegation understands that it had walked into an alien territory,where Islam in whatever form was not tolerated. Hostility through rhetoric in the question posed to the delegation was evident from every angle. But the speakers were not intimidated they were cool and composed taking everything in their stride. The audience seemed only interested in painting the delegation as descendants of Arab slave traders presenting an anti- Christian regime. Islam was taken to be synonymous to Arabism by the born-again Christians in thea udience who posed questions, while the Marxists thought the conflict in Sudan could be solved through class struggle and advised the delegation that the problem could be understood better through class analysis. It was clear that the audience was either ignorant of the background to the conflict or was so much taken by anti-Muslim sentiments portrayed by international press that it lost allobjectivity, untypical trait of academicians.
[3]This was the time that Mwinyi confided to Prof. Malima that there were people within the office of the president who had duplicates keys to his drawers and were stealing documents. Mwinyi, Prof. Malima confided to my informant looked scared and while he was reporting this to Prof. Malima, Mwinyi was speaking in very low tones, whispering as if fearing his office was bugged.Prof. Malima advised President Mwinyi to transfer that entire staff and bring in new people who would have allegiance to him. At this time Prof. Malima started to receive hate mails which he turned over to the Intelligence for investigation but nothing came out of those investigations.