Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jokakuu,

Hapo kwenye RED unaweza kuorodhesha angalau baadhi ya madai ya haki za Waislamu? natanguliza shukrani kwako kwa kukiri tatizo na huu ni mwanzo mzuri! hata kama hatuna uwezo wa kuleta mabadiliko lakini kukiri kuwa kuna tatizo ni sehemu ya utatuzi!

Kadogoo,

Na mie pia natoa shukrani kwa Jokakuu, kwa kukiri kuwa kuna dhulma dhidi ya Uislam.
 
Nguruvi,

Angalia nini kimepita hadi Abdu akapewa
medali na Kikwete.

Kikwete asingeweza kuzuia historia ya Abdu
hasa baada ya watu kujakujua nini Abdu
kafanya kwa Nyerere mwenyewe na nini Abdu
kafanya katika TAA na TANU.

Ikiwa Prof. Haroub Othman hakumjua Abdu vipi
Mwinyi atamjua?
Nadhani Kikwete alipata mwangaza baada ya kusoma kitabu chako. Iweje kama Mwinyi hakumjua Abdu Kikwete amjue?
 
Kwenye definition nshamaliza, huna. Nipo katika bandiko lako nimejibu hoja zako. Hii ni njia yako ya kukwepa hoja

Nguruvi,
Sipo hapa kujibu maswali yako kama unavyotaka.

Wakati mwingine hupenda wengine wakujibu.

Is it

Christian Hegemony?
Christian Lobby? (has there ever been a formal lobbying system in tz)
Christian Government?
Christian pupet leadership?
...

What is it really, this 'mfumo kristo'? And that is a very principal question if we are going to get to the bottom of this or else you are writing conspiracy theories.
 
Ritz, Kadogoo,

..malalamiko kuhusu elimu ni ya msingi.

..lakini tunapoteza muda ktk kutuhumiana na kutafuta mchawi.

..mimi ni muumini wa dhana ya EQUAL ACCESS TO QUALITY EDUCATION FOR ALL.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna dhulma dhidi ya Waislamu Tanzania; this whole premise is flawed and in fact has never been proven by anyone. Ukifuatilia sana utaona absurdity yake. Ukiangalia sana utaona kuwa walioanzisha madai haya (kikundi cha vijana wa Kiislamu) walikuwa Chuo Kikuu (kina Hamza Njozi, Dau, n.k). Ni hawa ambao leo wamefanikiwa na hawajawahi kudhulumiwa wao wenyewe!

Lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa ukitaka kujua kuna dhulma waulize Waislamu wote ambao wamefanikiwa - Kina Mohammed Said, Kikwete, Dau, Boko Haram n.k - ni kwa jinsi gani Kanisa au Wakristu waliwasaidia kufika hapo walipofika. Kwa maneno mengine mfumo Kristu umewasaidia vipi wao kufikia mafanikio waliyokuwa nayo?
 
Is it Christian Hegemony?Christian Lobby? (has there ever been a formal lobbying system in tz)
Christian Government?Christian pupet leadership? What is it really, this 'mfumo kristo'? And that is a very principal question if we are going to get to the bottom of this or else you are writing conspiracy theories.
Ndiyo maana hataki kujibu.
Anafaham kuwa ni delusion na majibu yataodoa dhana nzima kutokana na kukinzana na ukweli au ushahidi.
Nimepitia maandiko yake yote nakuhakikishia hakuna mahali palipoeleza nini maaana ya mfumokristo.

Siku zote zitaanza hadithi na katkati ndipo msomaji anapochomekewa mfumo kristo kwa sana bila kuwa na ufahama wa definition ya mada halisi. Soma hii hapa chini uone mfumo kristo ulivyozuka from no where na kuwa centre of the whole discussion
Mohamed Said;6019051]Nguruvi,Nikitoa maana haitakuwa na tija si kwako wala kwa watazamaji.Mimi Insha Allah nakuwekea hapa vipi mfumokristo unavyofanya kazi.
The Reign of Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 But after years of Muslims being reduced to third class citizens the Tanzania polity had drastically changed, the country was confounded with religious animosity
Hapa anamfanya msomaji ajihisi kuwa ni raia wa daraja la tatu. Alichokificha ni kueleza daraja la kwanza na la pili ni akina nani! Halafu akachomeka neno religious animosity. Hakujawahi kuwa na animosity anayoisema, alichokifanya ni kujenga mazingira ya daraja la tatu kuhisi kuwa tayari daraja hilo lilishakuwa imara kupingana na kitu ambacho hajakiweka wazi. Wasoma hadithi hadi hapa ni jazba tu!
Under such a politicalclimate President Mwinyi could not augur well with a Christian dominated cabinet and the civil service as the bureaucrats in these institutions deep intheir hearts resented a Muslim head of state
Psychologically anaelewa kuwa hakutaja raia daraja la kwanza, sasa taratibu baada ya kumfanya raia daraja la tatu ajihisi dhalili na kumtia ushujaa kuwa tayari alishaanza kupambana na ''adui'' ndipo anaweka wazi hiyo Christian dominated. Bado hajatengua kitendawili cha raia daraja la pili ni nani.
Joining in this anti-Mwinyi anti Muslim campaign was the newly established free press controlled by the Christian lobby
Kafanikiwa ku-insinuate hoja yake na sasa anaweka wazi kile alichokificha kiuandishi hapo mwanzoni. Kwa vile watu wameshajawa na jazba, kwake ni mteremeko kutumbukiza hoja akijua hakuna nafasi ya kufikiri tena.
In a daring and dramatic encroachment of the Church into politics, the Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church
Keshafanikiwa kuzunguka na sasa ameweka wazi kuhusu Church. Hapo keshamvuta mtu aliyesoma tu bila ufikiri kuingia katika hoja yake ya mfumokristo, si tayari keshataja kanisa na Christians.!
Nyerere never liked Mwinyi simply because he was not his preferred choice for presidency.When he failed to sideline Mwinyi from the presidency post he imposed JosephWarioba on Mwinyi as Prime Minister. While handing over power to Mwinyi, hes ubmitted a proposal to for the new cabinet in which an unknown and new face in the cabinet with no CCM credentials whatsoever, Joseph Sinde Warioba from Nyerere's home area was chosen as First Vice President and Prime Minister
Mohamed anaonyesha kuwa Nyerere alishindwa kumuondoa Mwinyi. Akamweka Joseph Warioba mtu ambaye ni sura iliyokuwa haijulikani katika baraza la mawaziri.
Na kwamba hakuwa na sifa zozote ndani ya CCM ili awe makamu wa rais na waziri mkuu.

Apparently unaweza kuona kama ni kweli.
Tukienda kwenye ukweli Mohamed ni mpotoshaji mzuri sana kwa kujua kuwa tayari ameshapandikiza fikra zake za mfumo na madaraja ya uraia hivyo mtu hawezi kufikiri nje ya hapo (out of box)

Ukweli kuhusu warioba ni huu hapa:
Warioba alihitimu UDSM mwaka 1966. Kwa kumbu kumbu tu, yeye ni mmoja wa wale vijana waliompa Nyerere Ultimatum.
1966-1968 alikuwa wakili wa serikali, na mwaka 1968-1970 alikuwa solicitor wa jiji.

Mwaka 1976-1983 alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali wakati huo ya Nyerere.
Kuanzia mwaka 1983 hadi alipochaguliwa na Mwinyi Warioba alikuwa Waziri wa sheria.

Ikumbukwe kuwa alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali, Warioba alikuwa anaingia bungeni kwa wadhifa huo.
Alipokuwa waziri wa sheria tayari alishakuwa mbunge.
Hadi hapo unaona kuwa si kweli kuwa warioba alikuwa ''unknown new face katika cabinet'' wala credential ndani ya CCM.

Hapa panatosha sana kumuonyesha Mohamed kuwa kila mara amekuwa anaongopa, narudia anaongopa
(kama si kweli aje akanushe habari hii).

Anafanya hivyo akijua kuwa katika hasira na chuki ni ngumu mtu kufikiri tofauti.Ni kosa alilofanya kwasababu ameingia chumba cha mkutano B badala ya A na kwa miaka 15 amekuwa anaaminisha watu hivyo
Nyerere passed experienced people with support of the party like Rashid Kawawa,Cleopa Msuya and Daudi Mwakawago.
Si kweli !
Kawawa alishakuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa rais, Msuya alishawahi kuwa waziri mkuu na Daudi Mwakawago alishapewa nyadhifa za ubalozi.

Katika kipindi cha Mwinyi ilikuwa ni muhimu kuwa na damu tofauti na sioni kwanini Mohamed alidhani experience ya watu hao ilidharauliwa. Hapa ni kutaka kumdunisha Nyerere kama alivyowahi kufanya huko nyuma, unfortunate the history denies him unequivocally
But what angered Nyerere most was that
amidst all the interference and Nyerere's influence,President Mwinyi appointed Prof. Malima as his closest advisor and topa ssistant and confidant in government affairs by making him Minister of State in the President's Office responsible for Cabinet Affairs and InternationalCo-operation
Mo anataka watu waamini kuwa nafasi ya waziri katika ofisi ya rais ilikuwa nyeti sana kuliko ile ya waziri fedha na waziri wa biashara na viwanda alizokuwa nazo hadi anajiuzulu.

Mo anamtaja Nyerere kama mtu aliyepiga vita serikali ya Mwinyi na Kighoma Malima.
Mo anasahau kuwa Malima alisema kuwa aliyemrithi katika nafasi hiyo Jakaya Kikwete ndiye alikuwa anafanya character assassination dhidi yake.

Mohamed ameficha ukweli kuhusu JK na jinsi alivyobana pesa za Malima pengine jambo lilopelekea stroke.
Kwa vile jicho lake lipo katika mfumokristo hayo mengine yapo chini ya kapeti.
That position was the domain of the Christian lobby as it was its main channel of authority and means of the controlling all government affairs and was effective tool against Muslims. The Christian lobby felt as ifit has been locked out.
Je, umuhimu wa nafasi hiyo umefikia kikomo lini? JK naye ame lock out kama Nyerere. Hapa ndipo sasa anakomelea msumaria alioukusudia wa mfumokristo kitu asichojua maana yake lakini anajua kinafanyaje kazi.

Geeky kwa mtazamo huo hapo juu ambao umejaa upotoshaji na spinning za kiwango cha kimataifa ni ngumu sana kupata definition ya mfumokristo.

Jambo ambalo ni la hatari sana ni kuwa wapo wanaoongelea mfumo huo bila kujua maana yake na hawa ndio tunawaalika hapa wajue kuwa wanaongelea dude lisilo na miguu au kichwa lakini linatisha sana. Lazima uogope tu!

Wengine wanshindwa kujua walisema nini kama mwenzetu aliyetuambia ''Jumbe kasemakama serikali haina dini kwanini ina mashirikiano na Vatican'' alipoulizwa afafanue hoja hiyo, hana jibu.

Amemeza tu kwasababu amesikia mahali mfumokristo.Kila anayejisikia basi neno mfumokristo linatangulia ulimini, sasa wajiulize kama mwasisi hajui maana ya hilo neno wao wanalitumia kwa mantiki ipi?

Mohamed, wasaidie waislam si kuwapotosha, haiendi hivyo na wala hiyo si suluhu ya matatizo.Ulisema uislam ni ukweli, sijui kama unasimama katika hilo kila mara watu wanapokuja hapa na kukuonyesha ''kisicho cha kweli''.
 
But why was Nyerere quite while this was happening?

Nyerere never liked Mwinyi simply because he was not his preferred choice for presidency.
[/quote]

Wengi wanaweza kuuita uongo; mie nauita ulaghai kwa sababu swali moja tu - wewe umejuaje Nyerere "never liked" Mwinyi? Yaani Nyerere amuachie mtu nchi tena kwa miaka yote kumi na hata wakati jeshi lilipokuwa linamlalamikia Nyerere alimkingia Kifua Mwinyi unasema alikuwa 'hampendi"? Really?

When he failed to sideline Mwinyi from the presidency post he imposed JosephWarioba on Mwinyi as Prime Minister.

Haya uliyatoa wapi? Maana husemi chanzo chake ni nini; isije kuwa uliota ndotoni tu ukayaamini. Mwinyi yupo hai, Warioba yupo hai! Hujawauliza; unasema "kwanini hawajakanusha"!

While handing over power to Mwinyi, hes ubmitted a proposal to for the new cabinet in which an unknown and new face in the cabinet with no CCM credentials whatsoever, Joseph Sinde Warioba from Nyerere’s home area was chosen as First Vice President and Prime Minister.

Haya ni maoni yako au ni 'fact". Unapoandika kitabu cha historia au kutoa madai ya kihistoria ama onesha chanzo chako (kiwe credible) au onesha ushahidi wa unachodai. How did Nyerere impose the Cabinet on Mwinyi? Hivi si ni Mwinyi aliyevunja baraza lake la Mawaziri au ni Nyerere alimlazimisha Mwinyi kuvunja baraza? Mwinyi yupo hai?

Nyerere passed experienced people with support of the party like Rashid Kawawa,Cleopa Msuya and Daudi Mwakawago.

What on earth!!?

The very act of Mwinyi ignoring some of the suggestions put to him by Nyerere must have angered the Father of the Nation.

Oh boy!.. did you just say that Nyerere "imposed" baraza la Mawaziri halafu unasema Mwinyi ali "ignore"? HOw can one impose something on the other person while the other person has the power to just ignore it? Inawezekana yalikuwa tu ni mapendekezo (assuming unasema kweli)?

But what angered Nyerere most was that
amidst all the interference and Nyerere’s influence,President Mwinyi appointed Prof. Malima as his closest advisor and topa ssistant and confidant in government affairs by making him Minister of State in the President’s Office responsible for Cabinet Affairs and InternationalCo-operation.

HOw do you know "what angered Nyerere most"? Did he confide it to someone from whom you extracted this knowledge? Unajuaje kuwa Nyerere "alikasirishwa sana" na hilo - which still negates your original argument kuwa Nyerere "imposed" the Cabinet! kwenye mantiq inaitwa "internal contradiction". Kitu hakiwezi kuwa au kutokuwepo kuhusiana na kitu hicho hicho kizima kama siyo kipande (falsafa hiyo). Maji hayawezi kuwa maji na wakati huo huo yakawa udongo! Mtu hawezi kuwa anakwenda na wakati huo huo akawa amesimama!

The close relationship that existed between Prof. Malima and President Mwinyi, which dated back to their days when they were both Ministers of State in the Vice-President’s Office, came into effect. Nyerere was extremely unhappy on this appointment and so was the Christian lobby.

Did you just say "both were Ministers of State in Vice President's Office"? Did you just say that or am I reading it backward? Who appointed them into those portfolios? I bet it couldn't have been Nyerere! How can Nyerere mwenye chuki na Waislamu awateue Waislamu hawa wazuri namna hii akiwemo Malima?

Mengine uliyosema yanaangukia kwenye sanduku la "porojo" za vijiweni tu; hakuna cha 'informant' wala shangazi yake 'informant". Just made up stories to spice up your story. Unfortunately, wadogo zetu hapa wasioweza kupepeta wanaamini na kuapa kabisa kuwa ni kweli!
 
This request was granted and the Parliamentary Constitutional and Legal Affairs Committee headed by Philip Marmo, an MP for Monduli.

Ndio maana kama nilivyoonesha kwenye zile facts nyingine nasema hujaandika historia; Unafika mahali you start making up your own history na kutaka watu wengine waamini. Philip Marmo hajawahi kuwa MBunge wa Monduli!! Mzee Said una haki ya kuwa na maoni yako lakini hauna haki ya kuwa na ukweli wako. You have the right to your own opinion but not your own facts!
 
Ndiyo maana hataki kujibu.
Anafaham kuwa ni delusion na majibu yataodoa dhana nzima kutokana na kukinzana na ukweli au ushahidi.
Nimepitia maandiko yake yote nakuhakikishia hakuna mahali palipoeleza nini maaana ya mfumokristo.

Siku zote zitaanza hadithi na katkati ndipo msomaji anapochomekewa mfumo kristo kwa sana bila kuwa na ufahama wa definition ya mada halisi. Soma hii hapa chini uone mfumo kristo ulivyozuka from no where na kuwa centre of the whole discussion Hapa anamfanya msomaji ajihisi kuwa ni raia wa daraja la tatu. Alichokificha ni kueleza daraja la kwanza na la pili ni akina nani! Halafu akachomeka neno religious animosity. Hakujawahi kuwa na animosity anayoisema, alichokifanya ni kujenga mazingira ya daraja la tatu kuhisi kuwa tayari daraja hilo lilishakuwa imara kupingana na kitu ambacho hajakiweka wazi. Wasoma hadithi hadi hapa ni jazba tu! Psychologically anaelewa kuwa hakutaja raia daraja la kwanza, sasa taratibu baada ya kumfanya raia daraja la tatu ajihisi dhalili na kumtia ushujaa kuwa tayari alishaanza kupambana na ''adui'' ndipo anaweka wazi hiyo Christian dominated. Bado hajatengua kitendawili cha raia daraja la pili ni nani.Kafanikiwa ku-insinuate hoja yake na sasa anaweka wazi kile alichokificha kiuandishi hapo mwanzoni. Kwa vile watu wameshajawa na jazba, kwake ni mteremeko kutumbukiza hoja akijua hakuna nafasi ya kufikiri tena.Keshafanikiwa kuzunguka na sasa ameweka wazi kuhusu Church. Hapo keshamvuta mtu aliyesoma tu bila ufikiri kuingia katika hoja yake ya mfumokristo, si tayari keshataja kanisa na Christians.!Mohamed anaonyesha kuwa Nyerere alishindwa kumuondoa Mwinyi. Akamweka Joseph Warioba mtu ambaye ni sura iliyokuwa haijulikani katika baraza la mawaziri.
Na kwamba hakuwa na sifa zozote ndani ya CCM ili awe makamu wa rais na waziri mkuu.

Apparently unaweza kuona kama ni kweli.
Tukienda kwenye ukweli Mohamed ni mpotoshaji mzuri sana kwa kujua kuwa tayari ameshapandikiza fikra zake za mfumo na madaraja ya uraia hivyo mtu hawezi kufikiri nje ya hapo (out of box)

Ukweli kuhusu warioba ni huu hapa:
Warioba alihitimu UDSM mwaka 1966. Kwa kumbu kumbu tu, yeye ni mmoja wa wale vijana waliompa Nyerere Ultimatum.
1966-1968 alikuwa wakili wa serikali, na mwaka 1968-1970 alikuwa solicitor wa jiji.

Mwaka 1976-1983 alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali wakati huo ya Nyerere.
Kuanzia mwaka 1983 hadi alipochaguliwa na Mwinyi Warioba alikuwa Waziri wa sheria.

Ikumbukwe kuwa alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali, Warioba alikuwa anaingia bungeni kwa wadhifa huo.
Alipokuwa waziri wa sheria tayari alishakuwa mbunge.
Hadi hapo unaona kuwa si kweli kuwa warioba alikuwa ''unknown new face katika cabinet'' wala credential ndani ya CCM.

Hapa panatosha sana kumuonyesha Mohamed kuwa kila mara amekuwa anaongopa, narudia anaongopa
(kama si kweli aje akanushe habari hii).

Anafanya hivyo akijua kuwa katika hasira na chuki ni ngumu mtu kufikiri tofauti.Ni kosa alilofanya kwasababu ameingia chumba cha mkutano B badala ya A na kwa miaka 15 amekuwa anaaminisha watu hivyo Si kweli !
Kawawa alishakuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa rais, Msuya alishawahi kuwa waziri mkuu na Daudi Mwakawago alishapewa nyadhifa za ubalozi.

Katika kipindi cha Mwinyi ilikuwa ni muhimu kuwa na damu tofauti na sioni kwanini Mohamed alidhani experience ya watu hao ilidharauliwa. Hapa ni kutaka kumdunisha Nyerere kama alivyowahi kufanya huko nyuma, unfortunate the history denies him unequivocally Mo anataka watu waamini kuwa nafasi ya waziri katika ofisi ya rais ilikuwa nyeti sana kuliko ile ya waziri fedha na waziri wa biashara na viwanda alizokuwa nazo hadi anajiuzulu.

Mo anamtaja Nyerere kama mtu aliyepiga vita serikali ya Mwinyi na Kighoma Malima.
Mo anasahau kuwa Malima alisema kuwa aliyemrithi katika nafasi hiyo Jakaya Kikwete ndiye alikuwa anafanya character assassination dhidi yake.

Mohamed ameficha ukweli kuhusu JK na jinsi alivyobana pesa za Malima pengine jambo lilopelekea stroke.
Kwa vile jicho lake lipo katika mfumokristo hayo mengine yapo chini ya kapeti.
Je, umuhimu wa nafasi hiyo umefikia kikomo lini? JK naye ame lock out kama Nyerere. Hapa ndipo sasa anakomelea msumaria alioukusudia wa mfumokristo kitu asichojua maana yake lakini anajua kinafanyaje kazi.

Geeky kwa mtazamo huo hapo juu ambao umejaa upotoshaji na spinning za kiwango cha kimataifa ni ngumu sana kupata definition ya mfumokristo.

Jambo ambalo ni la hatari sana ni kuwa wapo wanaoongelea mfumo huo bila kujua maana yake na hawa ndio tunawaalika hapa wajue kuwa wanaongelea dude lisilo na miguu au kichwa lakini linatisha sana. Lazima uogope tu!

Wengine wanshindwa kujua walisema nini kama mwenzetu aliyetuambia ''Jumbe kasemakama serikali haina dini kwanini ina mashirikiano na Vatican'' alipoulizwa afafanue hoja hiyo, hana jibu.

Amemeza tu kwasababu amesikia mahali mfumokristo.Kila anayejisikia basi neno mfumokristo linatangulia ulimini, sasa wajiulize kama mwasisi hajui maana ya hilo neno wao wanalitumia kwa mantiki ipi?

Mohamed, wasaidie waislam si kuwapotosha, haiendi hivyo na wala hiyo si suluhu ya matatizo.Ulisema uislam ni ukweli, sijui kama unasimama katika hilo kila mara watu wanapokuja hapa na kukuonyesha ''kisicho cha kweli''.
[/SIZE]

Nguruvi,
Unapenda sana kusema sina hoja nk.

Si kitu.

Nimeeleza yangu nawe umesema yako ingawa unaandika kwa ghadhabu
kama vile usingependa mie niseme.

Barza ipo tuendelee na mnakasha Insha Allah.
 
Is it

Christian Hegemony?
Christian Lobby? (has there ever been a formal lobbying system in tz)
Christian Government?
Christian pupet leadership?
...

What is it really, this 'mfumo kristo'? And that is a very principal question if we are going to get to the bottom of this or else you are writing conspiracy theories.

Geeky,
Karibu jamvini na ahsante kwa udadisi.

Tutaelezana na kila mtu atayajua ya mwenzake.
Huu ni mwanzo mwema.

Naamini kuna mambo hukuwa umeyasikia kabla.
 
Nguruvi,
Unapenda sana kusema sina hoja nk.

Si kitu.

Nimeeleza yangu nawe umesema yako ingawa unaandika kwa ghadhabu
kama vile usingependa mie niseme.

Barza ipo tuendelee na mnakasha Insha Allah.

Inabidi ukubali ukweli; wewe umedai Warioba alikuwa hajulikana kwenye chama; sasa ni hoja hiyo. Lakini haina ukweli - siyo tofauti ya 'mimi nimesema na wewe umesema' ni tofauti ya facts. Unachoweza kusema ni kwanini unasema Warioba halikuwa hajulikani. Isije kuwa wewe ndiye ulikuwa humjui ukahitimisha kuwa alikuwa hajulikani maana ni reasoning hii hii umeitumia kwenye Nyerere alipoingia na kuwa kiongozi wa TANU alikuwa hajulikani! Ndio maana miye ugomvi wangu hasa ninao na Mwalimu wako wa Mantiq! Ndiye ametuletea shida hizi zote.
 
Mzee Mwanakijiji;6022450]Inabidi ukubali ukweli; wewe umedai Warioba alikuwa hajulikana kwenye chama; sasa ni hoja hiyo. Lakini haina ukweli - siyo tofauti ya 'mimi nimesema na wewe umesema' ni tofauti ya facts. Unachoweza kusema ni kwanini unasema Warioba halikuwa hajulikani. Isije kuwa wewe ndiye ulikuwa humjui ukahitimisha kuwa alikuwa hajulikani maana ni reasoning hii hii umeitumia kwenye Nyerere alipoingia na kuwa kiongozi wa TANU alikuwa hajulikani! Ndio maana miye ugomvi wangu hasa ninao na Mwalimu wako wa Mantiq! Ndiye ametuletea shida hizi zote
Mkuu Mwanakjiji siyo kwenye chama tu hata kwenye baraza la mawaziri
Mohamed Said: Nyerere never liked Mwinyi simply because he was not his preferred choice for presidency.When he failed to sideline Mwinyi from the presidency post he imposed JosephWarioba on Mwinyi as Prime Minister. While handing over power to Mwinyi, hes ubmitted a proposal to for the new cabinet inwhich an unknown and new face in the cabinet with no CCM credentials whatsoever, Joseph Sinde Warioba from Nyerere's home area was chosen as First Vice President and Prime Minister
Sasa tumemuonyesha Resume ya Warioba tangu alipomaliza UDSM.
Hivi kweli kuna Waziri wa sheria asiyejulikana katika baraza la mwaziri! Kweli kabisa hili nalo tulikalie kimya au tuliandikie kitabu kulikanusha. Hivi kweli kuna mwanasheria mkuu wa serikali asiyejulikana! Hivi kweli kuna mbunge asiyejulikana na asiye na credentials ndani ya chama aliyeweza kuchaguliwa wakati wa chama kimoja. Real!

Tena kuna mahali kasema Kighoma na Mwinyi walifahamiana wakati wakiwa katika baraza la mawaziri.
Najaribu kutafuta ni baraza gani liliwakutanisha hawa wawili kama mawaziri. Mwenye ufahamu anisaidie kidogo hapa.
 
Geeky,
Karibu jamvini na ahsante kwa udadisi.Tutaelezana na kila mtu atayajua ya mwenzake.
Huu ni mwanzo mwema.Naamini kuna mambo hukuwa umeyasikia kabla.
Mohamed, nakukumbusha tu kuwa wakati wa kumjibu huyo bwana usisahau kumweleza madaraja 3 ya raia wa Tanzania! just a reminder.
 
Ami uko vizuri huyu jamaa asikutishe endelea kumpigilia misumari hata kama ameambiwa akupuuze hiyo haiwezi kuwa hoja kumbe nguruvi kuna watu wana mcontrol nyuma yake huyu mtu ni dhaifu.
Bi Idhni Llaah usitie shaka Boko haram.Mimi niko naye na utaona udhaifu wake mwingi mbali na huu wa kusukumwa na watu wengine nyuma yake.Hao watu bila shaka huwa wanamtahadharisha maeneo asiyoweza kujibu.
 
Nguruvi,
Nikitoa maana haitakuwa na tija, nakuwekea hapa vipi mfumokristo unavyofanya kazi.

The close relationship that existed between Prof. Malima and President Mwinyi, which dated back to their days when they were both Ministers of State in the Vice-President's Office, came into effect. Nyerere was extremely unhappy on this appointment and so was the Christian lobby.
Jamani nimepitia shajara zangu zilizochakaa chakaa sikuona mahali ambapo Mwinyi na Kighoma Malima walifanya kazi katika nyadhifa alizosema Mohamed.
Lakini inawezekana pia kuwa kiingereza changu ambacho ni cha alam alam kinanipa tatizo kuelewa.

Bi idhin Llaah mwenye ufahamu wa hili jambo atusadie. Mohamed nisaidie kidogo hapa nimekwama.
Ni lini Mwinyi na Kighoma ''were both ministers in vice president's office''
 
Inabidi ukubali ukweli; wewe umedai Warioba alikuwa hajulikana kwenye chama; sasa ni hoja hiyo. Lakini haina ukweli - siyo tofauti ya 'mimi nimesema na wewe umesema' ni tofauti ya facts. Unachoweza kusema ni kwanini unasema Warioba halikuwa hajulikani. Isije kuwa wewe ndiye ulikuwa humjui ukahitimisha kuwa alikuwa hajulikani maana ni reasoning hii hii umeitumia kwenye Nyerere alipoingia na kuwa kiongozi wa TANU alikuwa hajulikani! Ndio maana miye ugomvi wangu hasa ninao na Mwalimu wako wa Mantiq! Ndiye ametuletea shida hizi zote.

MM
Usisahau Maalim keshaweka takwimu nyingine, anasema 10% ya Muslim UD hawakumuuliza maswali Garang. Labda MS atusaidie hiyo 10% ya Muslim imetokana na utafiti upi?

The ten percent Muslims at Dar es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation.

Mzee MS bado nina kiu ya kufahamu "definition" ya Mfumo Kristo, usiwaachie wengine.
Kuna wanafunzi wako pia humu jukwaani wanasubiri "definition" ya Mfumo Kristo ili wapate
pa kushikia, usiwape mzigo mzito wewe ndiyo muasisi wa dhana ati!
 
Sio kunipuuza bali huwa unashindwa kujibu kwa kukosa hoja.Vyenginevyo unaogopa kunijibu kukwepa aibu.
Nilijua zamani utakapoibuka basi utakuja na dai la kunipuuza.Hata Mwanakijiji alisema hivyo lakini kwa vile nilikuwa niko nyuma yake nikamkamata ndipo akaufyata.
Tofauti na mitaani hapa mimi niko na wewe na wengine kama wewe.Sina shida nyengine yoyote kwako ila kukuonesha jinsi ambavyo unashindwa kutetea hoja zako na huku ukijaribu kumtukana Mohammed kwa sababu za kijinga ilimradi tu kutetea mfumokristo.
Kadri unavyojitia kunipuuza wasomaji watakujua ujinga wako.
Hivi uliponukuu andiko ukasema ni kutoka kitabu cha Mohammed na ulipojibiwa kuwa si hivyo halafu ukakaa kimya bila kuomba samahani hapa umenipuuza mimi au umejifedhehesha?.
Pale uliposhikilia kuhusu jarida la Africa Events halafu jibu ukapewa na ukakaa kimya ulikuwa umenipuuza mimi au uliishiwa na maneno kujitetea?.
Mtu yeyote anayefikiri ataona wazi kwamba huna ubavu wa kushindana na Nguruvi3 katika hoja! hutumii akili hata kidogo zaidi ya ushabiki wa kijinga! halafu unakuja hapa na majigambo kwamba una hoja!Kama ungekuwa na hata chembe ya kuelewa mambo basi ungemwacha Mohamed Said aucheze huu msondo na sio wewe maana unamharibia mtiririko wa hekaya zake. Hujui kitu na kwa ujinga wako hujui kuwa hujui!
 
Back
Top Bottom