Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mtu yeyote anayefikiri ataona wazi kwamba huna ubavu wa kushindana na Nguruvi3 katika hoja! hutumii akili hata kidogo zaidi ya ushabiki wa kijinga! halafu unakuja hapa na majigambo kwamba una hoja!Kama ungekuwa na hata chembe ya kuelewa mambo basi ungemwacha Mohamed Said aucheze huu msondo na sio wewe maana unamharibia mtiririko wa hekaya zake. Hujui kitu na kwa ujinga wako hujui kuwa hujui!

Dah Ami huyu Nguruvi eti kampa huyu mjinga like kwa lipi la maana aliloandika halafu hapo kwenye RED kumbe walikuwa wanataka mzee MS abaki mwenyewe lakini wao wako kama milioni wanamsaidia huyu wanaomuona ni malaika wao huku mbululas at work.
 
MM
Usisahau Maalim keshaweka takwimu nyingine, anasema 10% ya Muslim UD hawakumuuliza maswali Garang. Labda MS atusaidie hiyo 10% ya Muslim imetokana na utafiti upi?

Mzee MS bado nina kiu ya kufahamu "definition" ya Mfumo Kristo, usiwaachie wengine.
Kuna wanafunzi wako pia humu jukwaani wanasubiri "definition" ya Mfumo Kristo ili wapate
pa kushikia, usiwape mzigo mzito wewe ndiyo muasisi wa dhana ati!
Mwenzenu nimesoma katika mfumo wa elimu ambao huwa haushughuliki sana na definition bali maana ya jambo husika.
Kwani hata definition haiwezi kuwa moja.Kwa mfano :
Question: What Is Chemistry?
Answer: If you look 'chemistry' up in Webster's Dictionary, you'll see:
"chem·is·try n., pl. -tries. 1. the science that systematically studies the composition, properties, and activity of organic and inorganic substances and various elementary forms of matter. 2. chemical properties, reactions, phenomena, etc.: the chemistry of carbon. 3. a. sympathetic understanding; rapport. b. sexual attraction. 4. the constituent elements of something; the chemistry of love. [1560-1600; earlier chymistry]."
My glossary definition is short and sweet: Chemistry is the "scientific study of matter, its properties, and interactions with other matter and with energy".An important point to remember is that chemistry is a science, which means its procedures are systematic and reproducible and its hypotheses are tested using the scientific method. Chemists, scientists who study chemistry, examine the properties and composition of matter and the interactions between substances. Chemistry is closely related to physics and to biology. Chemistry and physics both are physical sciences. In fact, some texts define chemistry and physics exactly the same way.!

Kwa mfano huo hata mfumokristo hauwezi kuwa na definition moja lakini maana yake kwa kila muislamu itakuwa na maana ile ile ya dhulma ambazo huwa zinabadilika na kuongezeka kulingana na wakati
Wakati wa Nyerere Kanisa lilipewa fursa za kuingiza bidhaa kwa matumizi yake lakini wengine waliofanya hivyo waliitwa ni wahujumu uchumi.Biashara nyingi za waislamu zikataifishwa na wengine wakaamua kuhama nchi.
Wakati wa Mwinyi Mabucha ya nguruwe yalilalamikiwa sana kwa namna tofauti lakini hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka pale zilipotokea fujo na hasira za serikali zote zikaenda kwenye matukio lakini hawakuona sababu za kushughulika na chanzo.
Wakati wa Mkapa mfanyabiashara muislamu aliyesadikiwa kuunga mkono chama cha upinzani alichomewa moto bidhaa zake kwa kuzushiwa ubovu na hata waliosafirisha walipothibitisha ubora hakuna lililotokea..Baadae Mkapa aliamua kupambana na hicho chama kwa kuamrisha jeshi liue bila huruma katika maandamano ya chama hicho
Kwa upande wa Kikwete mfumo kristo ulimpeleka kwenye kanisa lililochomwa moto jirani na msikiti huko Mbagala na kumfanya atoe tamko kali dhidi ya waislamu.Mfumokristo katika utawala wa Kikwete umekuwa na kiburi kuliko hata tawala zilizopita kwa kuamua kupambana na waislamu wazi wazi.
Matatizo ya waislamu NECTA yako wazi lakini hawezi kuinua mdomo kuyatafutia ufumbuzi kwa hofu iliyomjaa na watu wa mfumokristo ambao huanza kupambana naye kupitia vyombo vya habari.!
Hizo zangu zitakuwa ni definition au maana chache kati ya nyingi ambazo wenzangu watakuwa wanazifahamu na zitakuwa zimemtosheleza Nguruvi.Pindi ikiwa bado atasema na tutaendelea kujadiliana nazo
 
Jamani nimepitia shajara zangu zilizochakaa chakaa sikuona mahali ambapo Mwinyi na Kighoma Malima walifanya kazi katika nyadhifa alizosema Mohamed.
Lakini inawezekana pia kuwa kiingereza changu ambacho ni cha alam alam kinanipa tatizo kuelewa.

Bi idhin Llaah mwenye ufahamu wa hili jambo atusadie. Mohamed nisaidie kidogo hapa nimekwama.
Ni lini Mwinyi na Kighoma ''were both ministers in vice president's office''

Swali zuri sana nalo linahusiana na "facts". Katika mazungumzo yake yote kumhusu Malima, Mzee Said "amesahau" kuwa ni Malima aliyemtuhumu Kikwete kuwa alikuwa anamfanyia mambo mabaya (baada ya Kikwete kuchukua nafasi ya Malima kama Waziri wa Fedha). Lakini utamsikia Nyerere ndiye alikuwa na shida na Malima lakini siyo Kikwete! Na Kikwete yupo hai na hujawahi kusikia watu wakikumbushia tuhuma za Kikwete dhidi ya Malima zilizomfanya Malima alipe kodi ya yale magari mawili aliyoyaingiza bila kulipia kodi!

Hili la Mwinyi na Malima kuwa Ofisi ya Makamu wa Rais; jinsi ninavyoona ni lazima iwe kati ya 1981-1984 labda watu watusaidie kidogo; Rais wa Zanzibar alikuwa na baraza lake la Mawaziri anateua watu wake na Malima alikuwa wa bara. Labda kuna kitu nina miss hapa.
 
Definition ya Terrorism ni nini mwenye jibu naomba anisaidie.
 
Ndiyo maana hataki kujibu.
Anafaham kuwa ni delusion na majibu yataodoa dhana nzima kutokana na kukinzana na ukweli au ushahidi.
Nimepitia maandiko yake yote nakuhakikishia hakuna mahali palipoeleza nini maaana ya mfumokristo.

Siku zote zitaanza hadithi na katkati ndipo msomaji anapochomekewa mfumo kristo kwa sana bila kuwa na ufahama wa definition ya mada halisi. Soma hii hapa chini uone mfumo kristo ulivyozuka from no where na kuwa centre of the whole discussion Hapa anamfanya msomaji ajihisi kuwa ni raia wa daraja la tatu. Alichokificha ni kueleza daraja la kwanza na la pili ni akina nani! Halafu akachomeka neno religious animosity. Hakujawahi kuwa na animosity anayoisema, alichokifanya ni kujenga mazingira ya daraja la tatu kuhisi kuwa tayari daraja hilo lilishakuwa imara kupingana na kitu ambacho hajakiweka wazi. Wasoma hadithi hadi hapa ni jazba tu! Psychologically anaelewa kuwa hakutaja raia daraja la kwanza, sasa taratibu baada ya kumfanya raia daraja la tatu ajihisi dhalili na kumtia ushujaa kuwa tayari alishaanza kupambana na ''adui'' ndipo anaweka wazi hiyo Christian dominated. Bado hajatengua kitendawili cha raia daraja la pili ni nani.Kafanikiwa ku-insinuate hoja yake na sasa anaweka wazi kile alichokificha kiuandishi hapo mwanzoni. Kwa vile watu wameshajawa na jazba, kwake ni mteremeko kutumbukiza hoja akijua hakuna nafasi ya kufikiri tena.Keshafanikiwa kuzunguka na sasa ameweka wazi kuhusu Church. Hapo keshamvuta mtu aliyesoma tu bila ufikiri kuingia katika hoja yake ya mfumokristo, si tayari keshataja kanisa na Christians.!Mohamed anaonyesha kuwa Nyerere alishindwa kumuondoa Mwinyi. Akamweka Joseph Warioba mtu ambaye ni sura iliyokuwa haijulikani katika baraza la mawaziri.
Na kwamba hakuwa na sifa zozote ndani ya CCM ili awe makamu wa rais na waziri mkuu.

Apparently unaweza kuona kama ni kweli.
Tukienda kwenye ukweli Mohamed ni mpotoshaji mzuri sana kwa kujua kuwa tayari ameshapandikiza fikra zake za mfumo na madaraja ya uraia hivyo mtu hawezi kufikiri nje ya hapo (out of box)

Ukweli kuhusu warioba ni huu hapa:
Warioba alihitimu UDSM mwaka 1966. Kwa kumbu kumbu tu, yeye ni mmoja wa wale vijana waliompa Nyerere Ultimatum.
1966-1968 alikuwa wakili wa serikali, na mwaka 1968-1970 alikuwa solicitor wa jiji.

Mwaka 1976-1983 alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali wakati huo ya Nyerere.
Kuanzia mwaka 1983 hadi alipochaguliwa na Mwinyi Warioba alikuwa Waziri wa sheria.

Ikumbukwe kuwa alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali, Warioba alikuwa anaingia bungeni kwa wadhifa huo.
Alipokuwa waziri wa sheria tayari alishakuwa mbunge.
Hadi hapo unaona kuwa si kweli kuwa warioba alikuwa ''unknown new face katika cabinet'' wala credential ndani ya CCM.

Hapa panatosha sana kumuonyesha Mohamed kuwa kila mara amekuwa anaongopa, narudia anaongopa
(kama si kweli aje akanushe habari hii).

Anafanya hivyo akijua kuwa katika hasira na chuki ni ngumu mtu kufikiri tofauti.Ni kosa alilofanya kwasababu ameingia chumba cha mkutano B badala ya A na kwa miaka 15 amekuwa anaaminisha watu hivyo Si kweli !
Kawawa alishakuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa rais, Msuya alishawahi kuwa waziri mkuu na Daudi Mwakawago alishapewa nyadhifa za ubalozi.

Katika kipindi cha Mwinyi ilikuwa ni muhimu kuwa na damu tofauti na sioni kwanini Mohamed alidhani experience ya watu hao ilidharauliwa. Hapa ni kutaka kumdunisha Nyerere kama alivyowahi kufanya huko nyuma, unfortunate the history denies him unequivocally
Mo anataka watu waamini kuwa nafasi ya waziri katika ofisi ya rais ilikuwa nyeti sana kuliko ile ya waziri fedha na waziri wa biashara na viwanda alizokuwa nazo hadi anajiuzulu.

Mo anamtaja Nyerere kama mtu aliyepiga vita serikali ya Mwinyi na Kighoma Malima.
Mo anasahau kuwa Malima alisema kuwa aliyemrithi katika nafasi hiyo Jakaya Kikwete ndiye alikuwa anafanya character assassination dhidi yake.

Mohamed ameficha ukweli kuhusu JK na jinsi alivyobana pesa za Malima pengine jambo lilopelekea stroke.
Kwa vile jicho lake lipo katika mfumokristo hayo mengine yapo chini ya kapeti.
Je, umuhimu wa nafasi hiyo umefikia kikomo lini? JK naye ame lock out kama Nyerere. Hapa ndipo sasa anakomelea msumaria alioukusudia wa mfumokristo kitu asichojua maana yake lakini anajua kinafanyaje kazi.

Geeky kwa mtazamo huo hapo juu ambao umejaa upotoshaji na spinning za kiwango cha kimataifa ni ngumu sana kupata definition ya mfumokristo.

Jambo ambalo ni la hatari sana ni kuwa wapo wanaoongelea mfumo huo bila kujua maana yake na hawa ndio tunawaalika hapa wajue kuwa wanaongelea dude lisilo na miguu au kichwa lakini linatisha sana. Lazima uogope tu!

Wengine wanshindwa kujua walisema nini kama mwenzetu aliyetuambia ''Jumbe kasemakama serikali haina dini kwanini ina mashirikiano na Vatican'' alipoulizwa afafanue hoja hiyo, hana jibu.

Amemeza tu kwasababu amesikia mahali mfumokristo.Kila anayejisikia basi neno mfumokristo linatangulia ulimini, sasa wajiulize kama mwasisi hajui maana ya hilo neno wao wanalitumia kwa mantiki ipi?

Mohamed, wasaidie waislam si kuwapotosha, haiendi hivyo na wala hiyo si suluhu ya matatizo.Ulisema uislam ni ukweli, sijui kama unasimama katika hilo kila mara watu wanapokuja hapa na kukuonyesha ''kisicho cha kweli''.

I have to admit this is a turning out to be a very interesting debate but much is to be attributed to the ignorance of some of us in the thread especially when it comes to the history of this beautiful country. Ila tutafika. Thanks to "shule za kata" I hope tume ya Mh Pinda itakuja na mitaala rasmi ili tusijeingiza sumu katika historia na vichwa vya kizazi kijacho.

I know that there is a throng of people that just dont like Nyerere for all kinds of reasons:

Some people will criticize Nyerere for limiting freedom to information eg. the alleged ban on tv imports and Mtikila [a christian]was a voiced and an outspoken critic of this then on his own unlicensed radio station.

yet some have questioned Nyerere's leadership tactics but never in the context of religious intolerance. Things like the culture he left behind : the handling of critics like the alleged assasination of Horace Kolimba note that tanzania is not special in this regard nchi nyingi za kikomunist zina silence critics yet it was a sign that tz was still a 'police state' post single party rule. Labda swali la msingi hapo kolimba ni dini gani?

Yet some will question Nyerere's economic policies and the utopia that we were sunk into but never in the context of religious intolerance. 'kaptula la Max' is a good example and we know what happened to kezilahabi's book hapa ilikua udini au policing the critics wa sera za kikomunisti ? Mkapa (mkristo) alishindana na Mch Munisi (mkristo) kwa sababu hizo hizo, alifunga hakielimu kwa sababu kama hizo hizo za kukosolewa serikali :
ninachotaka kusema ni kwamba tanzania ni police state na imekua hivyo tangu mwanzo kama kawaida ya sera tulizoamua kuzifuata na Nyerere hakutunga communism- thats too much credit - na serikali yetu sio unique katika hilo serikali nyingi sana zilizopo/zilizotokea ktk sera za kikomunist zinafanya hivyo kwa justification ya national interest.
So whatever Nyerere reasons were we can understand he had bigger fishes to fry than squabbling with religion. In fact mie huwa napata shida kuona ni vipi Nyerere was a devout catholic kwa kiwango anachokuwa potrayed na hapohapo akawa statesman wa hadhi aliyokuwa nayo in one person, he must have been agnostic lying to us or rather a political genius kama Julio Caesar wa kitabu chake (shakespeare's caesar). Ukimjua Nyerere vizuri you will believe the later. and yet and he himself admitted that he and his gov were not a company of angels.
No one in his right mind can ever ever question the unyielding love this one man had for this beautiful country. Kama Mwanakijiji alivyotangululia kusema Nyerere aliwahi mkingia kifua Mwinyi kwa jeshi though it was not favourable towards Mwinyi. Ni Nyerere huyohuyo aliyetumia veto kumpitisha mkapa na kumfanya Kikwete atulie na bila shaka tunaona alikua na point kiwete alikua bado. You need a level of nobility and moral authority to pull that before the whole ccm congress. Nyerere aliwahi kuwa na nguvu kuliko bunge lote wakati fulani na alionesha hilo. Pia wapo kina Oscar Kambona, Mzee Mtei na wengine wengi tu wali cross path na Mzee mzima wakaishia pabaya. Sasa nao wakristo wakiamua kuchukua mifano hiyo na kuifanya mitaji ya kihistoria wakasema Nyerere alidanganywa na wazee wa kiislamu akafanya 1, 2, 3 akitumika. hapo kila mtu akamuhadithia mtoto wake kwa context ya dini yake. je kwa hali hiyo anayosema Mohamed kwamba "mie nimeandika ya kwangu na nyie andikeni ya kwenu" kutakalika?

it never occured to me that anybody would level any religious accusations against mwalimu at this scale- je kuna mtu amekemea udini, ukabila na ubara-visiwani kama mwalimu? Guys its not yet 20 years na bado tuliomuona na kumsikia tupo hai Stop it!!
 
Inashangaza sana watu wanataka kuwasemea Waislam matatizo yao na wengine wanasema hakuna dhulma yeyote waliofanyiwa Waislam wala wanayofanyiwa.

Watu wanapinga hakuna mfumo kirsto.

Lakini hawa hawa wanakubaliana na tamko la Maaskofu kuhusu mfumo.

Kwenye tamko la Maaskofu wanasema Kanisa Tanzania limo katika kipindi cha mateso ya kimfumo (Systematic Persecution).

Huu mfumo ni upi tunaomba kufahamishwa difinition ya Systematic Persecution.
 
Mtu yeyote anayefikiri ataona wazi kwamba huna ubavu wa kushindana na Nguruvi3 katika hoja! hutumii akili hata kidogo zaidi ya ushabiki wa kijinga! halafu unakuja hapa na majigambo kwamba una hoja!Kama ungekuwa na hata chembe ya kuelewa mambo basi ungemwacha Mohamed Said aucheze huu msondo na sio wewe maana unamharibia mtiririko wa hekaya zake. Hujui kitu na kwa ujinga wako hujui kuwa hujui!
Wewe Gwalihenzi nina uhakika huwezi kujibu lakini utakuwa umetufanyia wema kama utaweza kumshawishi Nguruvi ajibu HOJA HII YA SENSA.
Kwa kifupi alitaka kuhalalisha kudhulumiwa waislamu kupitia sensa.Sensa ya 1967 ilionesha waislamu walikuwa 67% sasa yeye alitaka kukanusha uwingi wa waislamu kwa kutumia porojo zake badala ya kuunga mkono sensa nyengine.
Wewe Gwalihenzi unayetumia akili yako tuambie wapi umeona sensa ikapingwa kwa porojo.
 
Mwenzenu nimesoma katika mfumo wa elimu ambao huwa haushughuliki sana na definition bali maana ya jambo husika.
Kwani hata definition haiwezi kuwa moja.Kwa mfano :
Kwa mfano huo hata mfumokristo hauwezi kuwa na definition moja lakini maana yake kwa kila muislamu itakuwa na maana ile ile ya dhulma ambazo huwa zinabadilika na kuongezeka kulingana na wakati

Hizo zangu zitakuwa ni definition au maana chache kati ya nyingi ambazo wenzangu watakuwa wanazifahamu na zitakuwa zimemtosheleza Nguruvi.Pindi ikiwa bado atasema na tutaendelea kujadiliana nazo

Ami,
Ahsante sana ndugu yangu.

Siku ya siku watakaotupatanisha hawatauliza definitions.
Watataka kujua nini kimesababisha matatizo yote haya.

Sasa ukiwa utakuja upande wa kutaka kupata definition
kabla hawajaeleza chanzo cha matatizo hapo itakuwa raha
kusikia jibu la wapatanishi.

Siku hiyo hapatakuwa na muda wala wakati wa kucheza na
nahau.

Wafungue macho watazame na wafungue masikio wasikize.

Kuna watakaokuja na hoja na kusema kuwa walikuwapo katika
umma wa Waislam waliotahadharisha lakini dhalim hakutaka
kusikia.
 
Nguruvi3 na Mwanakijiji mmefafanua spinning za mzee Saidi kiasi kwamba hakuna hoja wala majibu yanayotolewa tena kuhusu hizi recent spins. Si kwa MS wala vijana wake. Sasa mkitaka kujua kuwa mzee huyu ni mtata subirini ataibuka na topiki mpyaaaa kabisa ili kukwepa kuendelea kudhalilika na spinning alizofanya hapa karibuni yaani eti mapokezi makubwa ya John Garang mlimani ilitokana na dini yake??? Hivi ni nchi gani south of Sahara Garang singepewa mapokezi makubwa? Sasa what about pale aliposomea? Hili jingine la kum - portray Malima kama hero huwa linakwama mara kwa mara ukiingiza jina la JK, Na Marmo eti alikuwa mbunge wa Monduli?????? Warioba was an unknown face? Hivi ukifanya ulingaanifu wa Warioba na Pinda katika mtizamo huo huo nani alikuwa ni unknown face wakati wa uteuzi wake? Au kwa sababu Pinda aliteuliwa na JK? Mzee Saidi kweli unazeeka vibaya.Ila hulitendei haki kabisa taifa la Tanzania.
 
Kama niliota vile hahahahaha ahahahah!!!!!!!!!!
 
Huwezi tumia neno hata kama lina maana zaidi ya moja/ambiguous huku wewe mwenyewe uko confused at least wewe unayelitumia mara zote waeza eleza ulikua na maana gani au kuna pejorative connotations ambazo hutaki tuzijue. Just spill the beans.
 
Mzee Mohamed,
Kwa kuwa unafahamu kuwa Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa chaguo la Mwalimu kama mrithi wake, bila shaka utakuwa unajua chaguo la Mwalimu alikuwa nani. Sio vibaya ukatufahamisha.

Wild Card,
Vuta subra ndio kwanza darsa linaanza.

Ndugu yangu usinione hivi.
Nina mengi ambayo wengi hamjayasikia.

Hebu niambie unavionaje hivyo vitu nilivyoleta barzani?
Umeiona ya OIC?

Insha Allah tuombe uzima.

"Na hayo mabuku yako hayo ya skuli unatalii huko ndiko
kusoma.Utakuwa mjuzi na katika lolote usemalo utakuwa
rais yaani utatawala uwanja wanakusikiza wewe..."

Huyu ni maalim wangu Sheikh Haruna akituhimiza wanafunzi
wake umuhimu wa kusoma si dini tu na mabuku ya skuli.
 
oh7axl.jpg

Inawezekana na hawa wanamfurahia Garang kwa sababu ya dini yake, hahahaha this is the lowest I have ever seen, halafu eti vijana wanaambiwa ni utafiti wa kisomi my foot!!!!!!!!!!!
 
Huwezi tumia neno hata kama lina maana zaidi ya moja/ambiguous huku wewe mwenyewe uko confused at least wewe unayelitumia mara zote waeza eleza ulikua na maana gani au kuna pejorative connotations ambazo hutaki tuzijue. Just spill the beans.

Geeky,
Niandikie Kiswahili si unajua tena mambo ya Kizungu
siyapatipati vizuri...
 
oh7axl.jpg

Inawezekana na hawa wanamfurahia Garang kwa sababu ya dini yake, hahahaha this is the lowest I have ever seen, halafu eti vijana wanaambiwa ni utafiti wa kisomi my foot!!!!!!!!!!!

Nyambala,
Ulipotea kidogo.

Utafiti wa kisomi utatoka kwangu?
Wala hujakosea ndiyo hivyo tena tunajifunza kwenu.
 
Nguruvi3 na Mwanakijiji mmefafanua spinning za mzee Saidi kiasi kwamba hakuna hoja wala majibu yanayotolewa tena kuhusu hizi recent spins. Si kwa MS wala vijana wake. Sasa mkitaka kujua kuwa mzee huyu ni mtata subirini ataibuka na topiki mpyaaaa kabisa ili kukwepa kuendelea kudhalilika na spinning alizofanya hapa karibuni yaani eti mapokezi makubwa ya John Garang mlimani ilitokana na dini yake??? Hivi ni nchi gani south of Sahara Garang singepewa mapokezi makubwa? Sasa what about pale aliposomea? Hili jingine la kum - portray Malima kama hero huwa linakwama mara kwa mara ukiingiza jina la JK, Na Marmo eti alikuwa mbunge wa Monduli?????? Warioba was an unknown face? Hivi ukifanya ulingaanifu wa Warioba na Pinda katika mtizamo huo huo nani alikuwa ni unknown face wakati wa uteuzi wake? Au kwa sababu Pinda aliteuliwa na JK? Mzee Saidi kweli unazeeka vibaya.Ila hulitendei haki kabisa taifa la Tanzania.

Nyambala,

Ikiwa mahali nimekosea ustaarabu unanifahamisha.
Mathalan Marmo hakutoka Monduli bali mahali kadhaa nk.

Tunaendelea na mjadala lakini sasa ukifanya kama kukosea
ni kioja mnakasha hauendi mbele.

Au unaonaje ndugu yangu?
 
Wild Card,
Vuta subra ndio kwanza darsa linaanza.

Ndugu yangu usinione hivi.
Nina mengi ambayo wengi hamjayasikia.

Hebu niambie unavionaje hivyo vitu nilivyoleta barzani?
Umeiona ya OIC?

Insha Allah tuombe uzima.

"Na hayo mabuku yako hayo ya skuli unatalii huko ndiko
kusoma.Utakuwa mjuzi na katika lolote usemalo utakuwa
rais yaani utatawala uwanja wanakusikiza wewe..."

Huyu ni maalim wangu Sheikh Haruna akituhimiza wanafunzi
wake umuhimu wa kusoma si dini tu na mabuku ya skuli.

Mzee Saidi usikumbie, jibu hoja

1. Ni lini Philip Marmo alikuwa mbunge wa Monduli?

2. Ni lini Kighoma Malima na Mwinyi waliserve kwa pamoja in the vice president's office?

3. Ni kwa nini na kwa vipi Warioba alikwa ni unknown face with no credentials alipoteuliwa kuwa Waziri mkuu?

4. Je Malima alipokuwa akilalamika kuwa anahujumiwa na Kikwete kwa nini hakumtaja Nyerere?

5. Ni baraza lipi la mawaziri Malima na Mwinyi walisevu pamoja? Na Malima kiwa waziri wa nini na Mwinyi waziri wa nini?

Kama kawaida Mzee wetu eti sasa hivi ndiyo anakumbuka OIC.
 
Nyambala,

Ikiwa mahali nimekosea ustaarabu unanifahamisha.
Mathalan Marmo hakutoka Monduli bali mahali kadhaa nk.

Tunaendelea na mjadala lakini sasa ukifanya kama kukosea
ni kioja mnakasha hauendi mbele.

Au unaonaje ndugu yangu?

Hahahaha!!!!!!!!! mzee Saidi bana, hii wewe si ndiyo unaita historia ya kweli??????? Ungekuwa muungwana namna hii wala tusingefika mbali hivi. Vipi kuhusu ile 10% pale mlimani katika mapokezi ya Garang umeiderive kutoka wapi?
 
MM
Usisahau Maalim keshaweka takwimu nyingine, anasema 10% ya Muslim UD hawakumuuliza maswali Garang. Labda MS atusaidie hiyo 10% ya Muslim imetokana na utafiti upi?

Mzee MS bado nina kiu ya kufahamu "definition" ya Mfumo Kristo, usiwaachie wengine.
Kuna wanafunzi wako pia humu jukwaani wanasubiri "definition" ya Mfumo Kristo ili wapate
pa kushikia, usiwape mzigo mzito wewe ndiyo muasisi wa dhana ati!

Plato...

Mie si mtu wa ubishi.
Mimi hupenda kueleza upande wangu wa jambo.

Kutafuta kubishana kunaondoa ladha ya mjadala.
 
Masheikh na Waislam wakisema Tanzania kuna mfumo Kirsto na ushahidi upo lakini watu hataki kusikia hayo kutokana na chuki zao dhidi ya Uislam na Waislam.

Rais Mkapa wakati wa kipindi chake aliomba ushahidi Waislam wakampa bado watu wanataka wapewe "definition" ya mfumo Kristo hata wakipewa bado wanapinga.

Maaskofu wametoa Matamko yao wakisema Kanisa Tanzania limo kwenye mateso makubwa sana ya kimfumo (Systematic Persecution.)

Lakini hawa ambao wanaomba "difinition" kwenye mfumo Kirsto wapo kimya kuomba "difinition" mfumo Systematic Persecution kutoka kwa Maaskofu.
 
Back
Top Bottom