Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi3 na Mwanakijiji mmefafanua spinning za mzee Saidi kiasi kwamba hakuna hoja wala majibu yanayotolewa tena kuhusu hizi recent spins. Si kwa MS wala vijana wake. Sasa mkitaka kujua kuwa mzee huyu ni mtata subirini ataibuka na topiki mpyaaaa kabisa ili kukwepa kuendelea kudhalilika na spinning alizofanya hapa karibuni yaani eti mapokezi makubwa ya John Garang mlimani ilitokana na dini yake??? Hivi ni nchi gani south of Sahara Garang singepewa mapokezi makubwa? Sasa what about pale aliposomea? Hili jingine la kum - portray Malima kama hero huwa linakwama mara kwa mara ukiingiza jina la JK, Na Marmo eti alikuwa mbunge wa Monduli?????? Warioba was an unknown face? Hivi ukifanya ulingaanifu wa Warioba na Pinda katika mtizamo huo huo nani alikuwa ni unknown face wakati wa uteuzi wake? Au kwa sababu Pinda aliteuliwa na JK? Mzee Saidi kweli unazeeka vibaya.Ila hulitendei haki kabisa taifa la Tanzania.

Mzee mo,
Tafadhali njoo utupe jibu kati ya warioba na pinda wakati wa kuteuliwa kwao nani alikuwa maalufu zaidi ya mwenzake?
 
Wewe Gwalihenzi nina uhakika huwezi kujibu lakini utakuwa umetufanyia wema kama utaweza kumshawishi Nguruvi ajibu HOJA HII YA SENSA.
Kwa kifupi alitaka kuhalalisha kudhulumiwa waislamu kupitia sensa.Sensa ya 1967 ilionesha waislamu walikuwa 67% sasa yeye alitaka kukanusha uwingi wa waislamu kwa kutumia porojo zake badala ya kuunga mkono sensa nyengine.
Wewe Gwalihenzi unayetumia akili yako tuambie wapi umeona sensa ikapingwa kwa porojo.
Kwani uislam si imani tu, mtu si anaweza kubadiri dini na kuwa dini nyingine? Uwingi au uchache wa waislamu katika nchi unakuzaje uchumi wa nchi hiyo na kuleta maendeleo? Ndio maana nakwambia wewe ni mjinga wa kutupwa na huna ubavu wa kushindana na Nguruvi3 katika hoja! baki unasherehesha ujinga na uchochezi wa mzandiki wenu Mohamed Saidi maana hiyo ndio kazi pekee unayoiweza.
 
Dah Ami huyu Nguruvi eti kampa huyu mjinga like kwa lipi la maana aliloandika halafu hapo kwenye RED kumbe walikuwa wanataka mzee MS abaki mwenyewe lakini wao wako kama milioni wanamsaidia huyu wanaomuona ni malaika wao huku mbululas at work.
Boko haram, unajidanga sana kuamini kwamba upo hapa kumsaidia mzee wenu mchochezi Mohamed Saidi, ukweli ni kwamba wewe na huyo mpumbavu mwenzio Ami hamna hoja na mnamharibia sana Mohamed. Na yeyeMohamed Said kwa kuwa amezidiwa SANA na hoja anafarijika kuona nyie wapumbavu wake mnakuja kushangilia upuuzi wake hapa! na anafurahi zaidi mnapokuja kumuuliza maswali ya kijinga ambayo yanampa ujiko. Hata nyie wenyewe mnajua wazi mnashangilia Mohamed Saidi kwa uislam wake na wala sio kwa hoja zake.
 
Mdondoaji,
Tatizo la ndugu zetu ni adab.

Mimi nimejiuliza sana kwa nini wanakuwa hivi.
Wakizungumza ni jeuri, kebehi, dharau nk.

Labda ni kwa kuwa hawana asili ya barza kuwa
watu mtakaa na kuzungumza na mkabishana mengi
lakini kwa adabu na heshima.

Hapakuwa na haja ya yeye kukukebehi.

Labda sasa amekujua umesoma Marekani ataweka
heshima.

Kuna Charles Dickens humu ndani kaniandikia Kiingereza
cha Victorian England.

Fikra yake ni kunitisha mimi kwa Kizungu.
How I wish he knew.

Nashindwa kumwambia nishawafedhehesha wengi kama yeye
kwa lugha hiyo hiyo kwa kunidhania mimi Mswahili wa Kariakoo
ntajua nini?

Hajui ukishasoma Qur'an hushindwi kujifunza lugha yoyote na
ukaisema kwa lafidhi ya kupendeza sana.

Ahsante kwa jibu la kiungwana ulompa.
Hakika hawawi sawa wenye kujua na wale wasiojua.

Ahaaaha nani tena huyo anakunyanyapaa na kiingereza maalim hana adab!!

Ukiwa mdau kama mwandishi husika
tunaomba urasimishe jopo lako hapa kwa kulitambulisha rasmi sasa. wale walio katika baraza hii ili tutambue nani anahusika na hariri nani yupo ktk errata n.k (niwie radhi au nijuze nikikosea kiswahili fasihi maana kiswahili sio lugha yangu ya kwanza wala kiingereza lugha ya mwisho kama ada ya waafrika wengi).
Naomba itifaki Ili tusiwe na gugumizi lolote katika muktadha wa baraza hili. Kwasababu mamalamiko ya wengi ni kwamba hi hali wewe ndiye muhusika wa maandiko tajwa huwajibiki kujibu maswali ya msingi ya wana jamvi hasa wale tulotatizwa nawe. weye washughulika na kila anayekulisha maneno na kukupamba tu kucha kutwa na sie wasomaji tuliotatizwa watutupa namna hivyo.
 
kazi ya Mfumo Kristo kwenye bold wote Wakirsto


ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI





MAWAZIRI


1. OFISI YA RAIS


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu , Stephen M. WasiraMb.,


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,



2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,



3. OFISI YA WAZIRI MKUU



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,



4. WIZARA


Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,


Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,



Waziri wa Katiba na Sheria

Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,



Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,



Waziri wa Kazi na Ajira
NduguGaudentia M. Kabaka, Mb.,



Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,



Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,


Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,



Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,





Waziri wa Uchukuzi

Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,



Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,


Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,


Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,


Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,



5. NAIBU MAWAZIRI



OFISI YA RAIS
HAKUNA NAIBU WAZIRI


6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS


Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,



7. OFISI YA WAZIRI MKUU


Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,


Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry,Mb.,



8. WIZARA MBALIMBALI


Naibu Waziri wa Kazi na Ajira

Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,



Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,



Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,



Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,



Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,

Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,



Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,



Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,



Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu e,Gerson Lweng Mb.,


Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,


Naibu Waziri wa Nishati na Madini

Ndugu George Simbachawene, Mb.,



Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,


Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,



Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Ndugu Amos Makala, Mb.,



Naibu Waziri wa Maji

Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,



Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,



Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,



Naibu Waziri wa Fedha

Ndugu Janet Mbene, Mb.,



Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.


Angalieni "Ratio" hiyo Waislam wapo wa ngapi na Wakirsto wapo wangapi.
 
Ahadi zako za aina hii ziko nyingi mno lakini hakuna kitu. Unaona ugumu gani kutaja chaguo la Mwalimu wakati ilikuwa rahisi kusema kuwa Alhaj Mwinyi halikuwa chaguo lake? Kumbuka humu JF unajadiliana na watu ambao mko level moja kielimu, kiumri na kiuelewa wa siasa na mambo ya nchi hii. Usitudanganyie pipi au kutufanya kama kuku na ahadi yake kwa vifaranga kuwa watanyonya maziwa!

Wild Card,
Mwenye pupa hadiriki kula mbivu.
Unaniharakisha kukupa habari?

Sipigiwi nacheza sembuse leo mkole
uko uwanjani kwangu?

Napenda kulichukua darsa awamu baada ya awamu, awamu baada ya awamu.

Huo ndiyo mwendo.
Unajua hili jina Mohamed ni la nani?

Jina hili ni la babu yangu mzaa mama Sheikh Mohamed Mvamila.
Msomi wa Kizaramo aliyekwenda kusomesha dini Musoma baada ya Vita Kuu ya Kwanza akitokea Mkamba.

Marehemu mama yangu nilipokuwa mdogo siku akifurahi alikuwa akiniita, ''Mwallimu Mohamed nifanyie hiki...''
alikuwa heshi kunikumbusha usomi wa marehemu baba yake kuwa alikuwa akidarshisha na yeye akimuona kakaa
mbele ya wanafunzi wanamsikiliza akisomesha.

Jina la Hayati Sheikh Mohamed Mvamila ndilo nilotunukiwa mimi unaenisoma hapa:

With Jumbe out of the way after his resignation in 1984 as ''enemy number one of the union'', the road was now clear for Sokoine to take over the leadership of the country from Nyerere.

Sokoine had all the necessary qualifications as per CCM's standards to lead the government and later when the time was appropriate, the Party. Although Sokoine was awarded top marks by Nyerere, his education was mediocre;[1] it needed some up-grading.

Nyerere advised Sokoine to resign his post as Prime Minister on medical grounds to go to Yugoslavia for studies.

Sokoine came back from Yugoslavia with a diploma and Nyerere wasted no time and appointed him Prime Minister for the second time.

Sokoine did not waste time either; he enrolled at the Dar es Salaam University as a post-graduate student.

This is how powerful and influential the Christian lobby is.

Sokoine did not obtain his masters degree as he was killed in a freak road accident in 1984 while travelling from Dodoma to Dar es Salaam.


Nyerere shed tears openly for all and sundry to see.

His succession plan had crumbled.
The race for the presidency was now open for all.

Nyerere was at loss as how to shuffle his cards once again as the card game was becoming too elusive for his intelligence.

Nyerere had to look for another candidate to groom fast to succeed him.

If he had a choice he could have by pass Salim Ahmed Salim but the political scenario as at was at that time, there was no way he could have passed Salim.

Short of options and the elections being around the corner, Nyerere backed Salim Ahmed Salim against Mwinyi who was at that time the President of Zanzibar.

Salim was the most able than any other person in the whole cabinet.
He settled for Salim as the person to succeed him after his retirement.

A constituency was established for Salim in Pemba, his home area.
Salim was elected Member of Parliament and Nyerere included him in his cabinet.

Nyerere's plan was torpedoed at the last minute when CCM NEC members refused to bypass Mwinyi then president of Zanzibar for Salim.


It is said that in a stormy meeting of the CCM in Dodoma, the original members of Revolutionary Council of Zanzibar led by Seif Bakari, Hassan Nassor Moyo and others which ousted Sultan Jamshid bin Abullah, refused to endorse Salim because of what they considered his "Arab blood."

Nyerere had Mwinyi in the highest office in the land from such a perspective.



[1] This is how powerful the Christian lobby is. If by a very remote chance a Muslim would have raised to that position with that kind of education that would have been the topic for the papers that he was a person with inferior capabilities and therefore the nation cannot entrust him with such a high position. Mustapha Nyang'anyi one of the Muslim ministers was a focus of ridicule for what the Christian lobby perceived as his inferior education.

Wild Card,
Unasemaje kaka?
Nimetimiza ulotaka?
 
Ami,
Ahsante sana ndugu yangu.Siku ya siku watakaotupatanisha hawatauliza definitions.
Watataka kujua nini kimesababisha matatizo yote haya.Sasa ukiwa utakuja upande wa kutaka kupata definitionkabla hawajaeleza chanzo cha matatizo hapo itakuwa raha kusikia jibu la wapatanishi.Siku hiyo hapatakuwa na muda wala wakati wa kucheza na
nahau.Wafungue macho watazame na wafungue masikio wasikize.Kuna watakaokuja na hoja na kusema kuwa walikuwapo katikaumma wa Waislam waliotahadharisha lakini dhalim hakutakakusikia.
Mohamed, nimekushauri usioge na watoto mtoni hutatakata. Mohamed, katika uandishi kuna kitu unachokifahamu ambacho ni lazima uweze ku-define terminology unazotumia.

Hawa vijana wanaoimba nyuma yako si tatizo, tatizo ni wewe mtu ambaye kwa miaka 20 umekuwa unaelezea jambo ambalo huwezi kulielezea ni kitu gani. Soma vitabu vyote vya historia na tafiti utaona ni wajibu wa mwandishi kueleza kinagaubaga kile kinacholeta utata miongoni mwa wasomaji. 20 years huwezi ku-define mfumokristo ni nini! real halafu unaunga mkono hoja za kitoto za watoto! Mo acha kuoga mtoni na watoto.

Hili la definition au maelezo ''mfumokristo ni nini'' unawajibu kwa jamii kulieleza. Wewe ndiye muasisi sasa ulifikiria nini usichokijua maana yake. Umehadhiri Ulaya, Marekani, Yemeni n.k. Please come forward boldly and define the mfumokrsito, don't pick up simple justification from simple minded kid with ululation.
 
Nguruvi,
Unapenda sana kusema sina hoja nk.

Si kitu.

Nimeeleza yangu nawe umesema yako ingawa unaandika kwa ghadhabu
kama vile usingependa mie niseme.

Barza ipo tuendelee na mnakasha Insha Allah.
Mzee Mohamed, hii katika masumbwi tunasema bondia... katwangwa KO, au vipi babu?
 
Mwenzenu nimesoma katika mfumo wa elimu ambao huwa haushughuliki sana na definition bali maana ya jambo husika.
Kwani hata definition haiwezi kuwa moja.Kwa mfano :
Kwa mfano huo hata mfumokristo hauwezi kuwa na definition moja lakini maana yake kwa kila muislamu itakuwa na maana ile ile ya dhulma ambazo huwa zinabadilika na kuongezeka kulingana na wakati

Hizo zangu zitakuwa ni definition au maana chache kati ya nyingi ambazo wenzangu watakuwa wanazifahamu na zitakuwa zimemtosheleza Nguruvi.Pindi ikiwa bado atasema na tutaendelea kujadiliana nazo
Tukiwaita wajinga mnadai tunawatukana! Sasa hapa umeandika nini kama sio ujinga wako? Waislam wanamatatizo gani na NECTA?
 
Mohamed, nimekushauri usioge na watoto mtoni hutatakata. Mohamed, katika uandishi kuna kitu unachokifahamu ambacho ni lazima uweze ku-define terminology unazotumia.

Hawa vijana wanaoimba nyuma yako si tatizo, tatizo ni wewe mtu ambaye kwa miaka 20 umekuwa unaelezea jambo ambalo huwezi kulielezea ni kitu gani. Soma vitabu vyote vya historia na tafiti utaona ni wajibu wa mwandishi kueleza kinagaubaga kile kinacholeta utata miongoni mwa wasomaji. 20 years huwezi ku-define mfumokristo ni nini! real halafu unaunga mkono hoja za kitoto za watoto! Mo acha kuoga mtoni na watoto.

Hili la definition au maelezo ''mfumokristo ni nini'' unawajibu kwa jamii kulieleza. Wewe ndiye muasisi sasa ulifikiria nini usichokijua maana yake. Umehadhiri Ulaya, Marekani, Yemeni n.k. Please come forward boldly and define the mfumokrsito, don't pick up simple justification from simple minded kid with ululation.

Hii ni "definition" au faida za Mfumo Kristo kwenye bold wote ni Wakirsto watupu usidhani ili limetokea bahati mbaya ni mipango.

MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI




[TABLE="width: 468"]
[TR]
[TD="width: 39"] NA.[/TD]
[TD="width: 240"] JINA[/TD]
[TD="width: 177"] KITUO CHA KAZI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 1.[/TD]
[TD="width: 240"] Novatus Makunga
[/TD]
[TD="width: 177"] Hai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 2.[/TD]
[TD="width: 240"] Mboni M. Mgaza[/TD]
[TD="width: 177"] Mkinga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 3.[/TD]
[TD="width: 240"] Hanifa M. Selungu[/TD]
[TD="width: 177"] Sikonge[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 4.[/TD]
[TD="width: 240"] Christine S. Mndeme[/TD]
[TD="width: 177"] Hanang[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 5.[/TD]
[TD="width: 240"] Shaibu I. Ndemanga[/TD]
[TD="width: 177"] Mwanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 6.[/TD]
[TD="width: 240"] Chrispin T. Meela[/TD]
[TD="width: 177"] Rungwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 7.[/TD]
[TD="width: 240"] Dr. Nasoro Ali Hamidi[/TD]
[TD="width: 177"] Lindi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 8.[/TD]
[TD="width: 240"] Farida S. Mgomi[/TD]
[TD="width: 177"] Masasi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 9.[/TD]
[TD="width: 240"] Jeremba D. Munasa[/TD]
[TD="width: 177"] Arumeru[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 10.[/TD]
[TD="width: 240"] Majid Hemed Mwanga[/TD]
[TD="width: 177"] Lushoto[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 11[/TD]
[TD="width: 240"] Mrisho Gambo[/TD]
[TD="width: 177"] Korogwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 12.[/TD]
[TD="width: 240"] Elias C. J. Tarimo[/TD]
[TD="width: 177"] Kilosa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 13.[/TD]
[TD="width: 240"] Alfred E. Msovella[/TD]
[TD="width: 177"] Kiteto[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 14.[/TD]
[TD="width: 240"] Dkt. Leticia M. Warioba[/TD]
[TD="width: 177"] Iringa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 15.[/TD]
[TD="width: 240"] Dkt. Michael Yunia Kadeghe[/TD]
[TD="width: 177"] Mbozi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 16.[/TD]
[TD="width: 240"] Mrs. Karen Yunus[/TD]
[TD="width: 177"] Sengerema[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 17.[/TD]
[TD="width: 240"] Hassan E. Masala[/TD]
[TD="width: 177"] Kilombero[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 18.[/TD]
[TD="width: 240"] Bituni A. Msangi[/TD]
[TD="width: 177"] Nzega[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 19.[/TD]
[TD="width: 240"] Ephraem Mfingi Mmbaga[/TD]
[TD="width: 177"] Liwale[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 20.[/TD]
[TD="width: 240"] Antony J. Mtaka[/TD]
[TD="width: 177"] Mvomero[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 21.[/TD]
[TD="width: 240"] Herman Clement Kapufi [/TD]
[TD="width: 177"] Same[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 22.[/TD]
[TD="width: 240"] Magareth Esther Malenga[/TD]
[TD="width: 177"] Kyela[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 23.[/TD]
[TD="width: 240"] Chande Bakari Nalicho[/TD]
[TD="width: 177"] Tunduru[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 24.[/TD]
[TD="width: 240"] Fatuma H. Toufiq[/TD]
[TD="width: 177"] Manyoni[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 25.[/TD]
[TD="width: 240"] Seleman Liwowa[/TD]
[TD="width: 177"] Kilindi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 26.[/TD]
[TD="width: 240"] Josephine R. Matiro[/TD]
[TD="width: 177"] Makete[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 27.[/TD]
[TD="width: 240"] Gerald J. Guninita[/TD]
[TD="width: 177"] Kilolo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 28.[/TD]
[TD="width: 240"] Senyi S. Ngaga [/TD]
[TD="width: 177"] Mbinga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 29.[/TD]
[TD="width: 240"] Mary Tesha [/TD]
[TD="width: 177"] Ukerewe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 30.[/TD]
[TD="width: 240"] Rodrick Mpogolo[/TD]
[TD="width: 177"] Chato[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 31.[/TD]
[TD="width: 240"] Christopher Magala[/TD]
[TD="width: 177"] Newala[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 32.[/TD]
[TD="width: 240"] Paza T. Mwamlima [/TD]
[TD="width: 177"] Mpanda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 33.[/TD]
[TD="width: 240"] Richard Mbeho [/TD]
[TD="width: 177"] Biharamulo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 34.[/TD]
[TD="width: 240"] Jacqueline Liana [/TD]
[TD="width: 177"] Magu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 35.[/TD]
[TD="width: 240"] Joshua Mirumbe[/TD]
[TD="width: 177"] Bunda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 36.[/TD]
[TD="width: 240"] Constantine J. Kanyasu[/TD]
[TD="width: 177"] Ngara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 37.[/TD]
[TD="width: 240"] Yahya E. Nawanda[/TD]
[TD="width: 177"] Iramba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 38.[/TD]
[TD="width: 240"] Ulega H. Abadallah[/TD]
[TD="width: 177"] Kilwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 39.[/TD]
[TD="width: 240"] Paul Mzindakaya[/TD]
[TD="width: 177"] Busega (mpya)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 40.[/TD]
[TD="width: 240"] Festo Kiswaga[/TD]
[TD="width: 177"] Nanyumbu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 41.[/TD]
[TD="width: 240"] Wilman Kapenjama Ndile[/TD]
[TD="width: 177"] Mtwara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 42.[/TD]
[TD="width: 240"] Joseph Joseph Mkirikiti[/TD]
[TD="width: 177"] Songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 43.[/TD]
[TD="width: 240"] Ponsiano Nyami[/TD]
[TD="width: 177"] Tandahimba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 44.[/TD]
[TD="width: 240"] Elibariki Immanuel Kingu [/TD]
[TD="width: 177"] Kisarawe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 45.[/TD]
[TD="width: 240"] Suleiman O. Kumchaya[/TD]
[TD="width: 177"] Tabora[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 46.[/TD]
[TD="width: 240"] Dkt. Charles O. F. Mlingwa[/TD]
[TD="width: 177"] Siha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 47.[/TD]
[TD="width: 240"] Manju Msambya[/TD]
[TD="width: 177"] Ikungi (mpya)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 48.[/TD]
[TD="width: 240"] Omar S. Kwaangw’[/TD]
[TD="width: 177"] Kondoa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 49.[/TD]
[TD="width: 240"] Venance M. Mwamoto[/TD]
[TD="width: 177"] Kibondo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 50.[/TD]
[TD="width: 240"] Benson Mpesya[/TD]
[TD="width: 177"] Kahama[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 51.[/TD]
[TD="width: 240"] Daudi Felix Ntibenda[/TD]
[TD="width: 177"] Karatu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 52.[/TD]
[TD="width: 240"] Ramadhani A. Maneno[/TD]
[TD="width: 177"] Kigoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 53.[/TD]
[TD="width: 240"] Sauda S. Mtondoo[/TD]
[TD="width: 177"] Rufiji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 54.[/TD]
[TD="width: 240"] Gulamhusein Kifu[/TD]
[TD="width: 177"] Mbarali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 55.[/TD]
[TD="width: 240"] Esterina Kilasi[/TD]
[TD="width: 177"] Wanging’ombe (mpya)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 56.[/TD]
[TD="width: 240"] Subira Mgalu[/TD]
[TD="width: 177"] Muheza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 57.[/TD]
[TD="width: 240"] Martha Umbula[/TD]
[TD="width: 177"] Kongwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 58.[/TD]
[TD="width: 240"] Rosemary Kirigini [/TD]
[TD="width: 177"] Meatu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 59.[/TD]
[TD="width: 240"] Agness Hokororo [/TD]
[TD="width: 177"] Ruangwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 60.[/TD]
[TD="width: 240"] Regina Chonjo[/TD]
[TD="width: 177"] Nachingwea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 61.[/TD]
[TD="width: 240"] Ahmed R. Kipozi[/TD]
[TD="width: 177"] Bagamoyo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 62.[/TD]
[TD="width: 240"] Wilson Elisha Nkhambaku[/TD]
[TD="width: 177"] Kishapu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 63.[/TD]
[TD="width: 240"] Amani K. Mwenegoha[/TD]
[TD="width: 177"] Bukombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 64.[/TD]
[TD="width: 240"] Hafsa M. Mtasiwa[/TD]
[TD="width: 177"] Pangani [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 65.[/TD]
[TD="width: 240"] Rosemary Staki Senyamule[/TD]
[TD="width: 177"] Ileje[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 66.[/TD]
[TD="width: 240"] Selemani Mzee Selemani[/TD]
[TD="width: 177"] Kwimba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 67.[/TD]
[TD="width: 240"] Lt. Col. Ngemela E. Lubinga[/TD]
[TD="width: 177"] Mlele (mpya)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 68.[/TD]
[TD="width: 240"] Iddi Kimanta[/TD]
[TD="width: 177"] Nkasi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 69.[/TD]
[TD="width: 240"] Muhingo Rweyemamu[/TD]
[TD="width: 177"] Handeni[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 39"] 70.[/TD]
[TD="width: 240"] Lucy Mayenga[/TD]
[TD="width: 177"] Uyui[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
M Si kweli. Umeficha ukweli hapa. John Garang alikuwa mwanafunzi wa UDSM. Alirejea kama Alumni wa UDSM ambaye wakati huo alikuwa katika conflict na alishakuwa mwanasiasa.
Ni sawa na wewe Mohamed ''mtafiti na Mwanadishi'' utakaporejea St Joseph Catholic school Dar es Salaam, shule ina kila sababu ya kukupokea kama ALUMNI wao. Kwahiyo si suala la Christians kuwa wengi. Ni suala la weledi. Mwaka jana wanasheria wakuu wa serikali za Uganda, Kenya na Tanzania walikuwa Alumni wa UDSM faculty of Law. Hivi leo Museven akirudi UDSM atakuwa anarudi kama Mkristo au Alumni! OMG! Yarabi!

Wole Soyinka alipokuja UDSM hivi karibuni, mimi nilikwenda kumsililiza. Alikuwa na wenyeji wake akina Shivji. Ukumbi wa Nkrumah ulijaa si kwasababu Wole ni mkristo bali tunu ya kile alichopaswa kukieleza. Lazima ukubali kuwa katika maeneo ya UDSM ile ni sehemu ya Academic na hivyo mtu yoyote husikilizwa bila kujali ana itikadi gani kisiasa au kiimani. Ndivyo ambavyo Chuo kikuu kimoja cha Marekani kilikubali kumkarabisha Ahmadinajade licha ya kwamba serikali haikupendelea. Chuo kikuu ni academic arena siyo mahali pa kueneza unfounded allegation, mahali pa kuangalia nani kavaa msala mkubwa mkubwa nani ana msuli ay tarabushi inayong'ara. You ought to know this Mohamed! No excuse1 you ought to know this Mzee. Ukienda chuo kikuu leo wapo wanaomuona Ahmadinajade shujaa, wapo wanaomuona Ghadafi shujaa na wapo wanaopingana na hoja hiyo. Hiyo ndio maana ya kuwa na intellectual discourse na different opinion.
Kwa wale wa zamani UDSM ilikuwa ''centre for academic intelligence'' katika Afirika. Wote unaowasikia akina Olive Tambo, Tabo Mbeki, Yaser Arafat, Kahama n.k walikuwa hawaishi kutembelea UDSM kupata different opinion. Si kila mtu alikubaliana nao lakini hata kwa kutokubaliana hiyo ni sehemu ya academics na ndivyo chuo kinavyopaswa kuwa.

Hebu tembelea pale Kennedy institution uone jinsi watu wanavyocharurana kwa hoja. Utadhani si Waamerika.
Chuo kikuu ni sehemu ya fikra chem chem na huliangalia jambo kutoka angle zote. Si sehemu watu wanakaa katika mkeka kusikia hadithi bila kuhoji au wanapohoji maandishi na mitazamo kwa njia tofauti wanakuwa wamekufuru achilia mbali kuwa wajinga.

Umepataje ten percent. Takwimu zako za Christian vs Muslims ambazo pia zinaonyesha Christians vs non muslims zinaonyesha uwiano wa 20:80. Vipi umefikia 10%.
Lakini muhimu hapa ni kuwa kama hawakuwa na maswali je walipaswa kuuliza tu kwasababu ni waislam. Na pia ulitumika utaratibu gani wa ku-sideline waislam ambao unaweza kutueleza zaidi ya 10 %. Ni vema ueleze ili watu wajue hii ''systemic discrimination'' ilifanyika vipi. Vinginevyo hoja yako haina mashiko na wala haisimami yenyewe bila neno muslims au Christians. Ni hoja mfu.Mohamed, Yaser Arafat nao wanapata msaada wa serikali ya Tanzania kwa kutumia kigezo gani. Unakumbuka serikali ya Nyerere ilivunja uhusiano na Israel kwa sababu ya Palestina.
Tanzania inaunga mkono POLISARIO na ilismama kidete hadi China ikapewa hadhi UN sasa huko nako unasemaje?

Kambi za wakimbizi wa Msumbiji zilikuwa hapa Tanzania. Mreno ni mkatoliki kweli kweli sasa kwanini serikali ya Christian ilipiga vita wakristo wa ureno.
Kambi za akina ANC, PAC zilikuwepo hapa. Wote akina Mbeki, Khama n.k waliungwa mkono na Tanzania kupambana na mifumo ya utawala ambao ni wa kikristo pengine zaidi ya waislam. Hoja kwamba Garang alipewa mapokezi kwasababu ni mkristo is too low.

Unafahamu kuwa Henry Kissinger kutoka mfumo wa kikristo kwa maana yako aliwahi kupingwa na wanafunzi wa chuo kikuu.
Mzee Said hoja za namna hii next time ukifanya review ya vitabu na paper zako ziondoe maana hazina mashiko wala fikra
Untypical trait of journalist and researcher the least to say!

CC: Ritz, Big Show et al.

Sijui kama hiyo pinti Mzee Said anaweza kuijibu kwa hoja. Hapa ataleta stori nyingine mpya.
 
Ahaaaha nani tena huyo anakunyanyapaa na kiingereza maalim hana adab!!

Ukiwa mdau kama mwandishi husika
tunaomba urasimishe jopo lako hapa kwa kulitambulisha rasmi sasa wale walio katika baraza hii ili tutambue nani anahusika na hariri nani yupo ktk errata n.k (niwie radhi au nijuze maana eno ya kiswahili fasihi maana kiswahili sio lugha yangu ya kwanza wala kiingereza lugha ya mwisho kama ada ya waafrika wengi).
Naomba itifaki Ili tusiwe na gugumizi lolote katika muktadha wa baraza hili. Kwasababu mamalamiko ya wengi ni kwamba hi hali wewe ndiye muhusika wa maandiko tajwa huwajibiki kujibu maswali ya msingi ya wana jamvi hasa tulotatizwa nawe weye washughulika na kila anayekulisha maneno na kukupamba tu kucha kutwa na sie wasomaji tuliotatizwa watutupa namna hivyo.

Geeky,
Hayo yeshapita hapana haja ya kulikuza.

Charles Dickens wa JF nimemwekea chembelecho cha Zomba ''hints''
kumfahamisha kuwa nami nimo asibabaishwe na jina langu na kutoka
kwangu Gerezani.
 
Nguruvi,
Hakuna tatizo.

Kila jambo lina tafsiri yake kutokana na mtu linavyokugusa.
Nimeeleza yangu nawe umeeleza upande wako.

Kumbe madai ya mada ni sahihi.
Mzee Mo, jambo lolote lazima kwanza ulitazame kwa mlengo wa dini yako! Ni vema ujiruhusu kutazama kwa milengo tofauti tofauti ili tukuheshimu kama Mwandishi msomi mwenye weledi badala ya huu uandishi wa mlengo wa Kidini. Hapa tukikutuhumu kuwa wewe unapandikiza udini huwezi kuchomoka na ndio maana umeshindwa kujibu hoja ya Nguruvi.
 
WanaJF,

Lolote mnalobishania hapa nadhani ni kwa vile mnaipenda nchi yetu.

Naweka angalizo tu kuwa dini zililetwa na merikebu na zililetwa na wazungu kwa upande wa wakristo na waarabu kwa upande wa waislamu WAKARITHISHWA BABU ZETU.

Tupendane!
 
Ritz,
Sijawahi kuwaita Waislamu magaidi. And as far as I know, Mwanakijiji, au Nguruvi3 au Mag3 sijawasikia wakiwasweka waislamu wote kwenye kundi la magaidi.

Unadhani hajui basi; anajua ila ni hofu ya kivuli tu. Wanafikiria sisi tunatetea Wakristu au Ukristu! Wenzie tunagombania historia isipotoshwe. Mzee Mohammed amefanikiwa sana kupotoshahistoria na kaipotosha hadi unaweza kuiamini - kama huijui vizuri. Na ameipotosha kwa kuingiza dini tu katika historia.

Harakati za Uhuru kageuza kuwa harakati za Uhuru wa Waislamu
Uongozi wa TANU kageuza kuwa ni uongozi wa TANU ya Waislamu
Wapigania Uhuru kawageuza - wapigania Uhuru wa Waislamu
Migongano ya kiuongozi baada ya uhuru - imekuwa ni dhidi ya Waislamu
Matukio ya uhalifu anayaangalia kama ni Waislamu Vs. Wakristu
Umaskini nchini kaugeuza kuwa ni "Umaskini wa Waislamu"
Utawala mbovu wa CCM kageuza kuwa ni tatizo la Wakristu


Lakini huyu huyu na wenzie ndio wale wale ambao waliipigia debe CCM irudi madarakani; ni hawa hawa hutawasikia wakimlalamikia Kikwete ambaye kwa maoni yao ni mtumishi wa Mfumo Kristu (angalia mifano ya Ritz hapo). LEo hii Muislamu asiyekubaliana na narrative yao hii mpya ya histohisia anaonekana siyo Muislamu mzuri. Muislamu wa kweli (ukimsoma Mohammed Said) ni yule ambaye anakubaliana na simulizi la kudhulumiwa Waislamu na uadui dhidi ya Wakristu na hujuma dhidi ya makanisa. Muislamu asiyefanya hivyo haitwi hata MUislamu anaitwa "Kibaraka'.

Hawa kwao Uislamu siyo Imani tena ya Mungu Mmoja na Utume wa Mohammed; Uislamu kwao ni vipi mtu anakubaliana masimulizi ya Mohammed Said. Kama Muislamu anaamini katika Mungu mmoja, Unabii na Sunna ya Mtume na anatekeleza nguzo zote tano za dini na sunna si Muislamu mzuri na si Muislamu wa kweli hadi awe anaamini katika mafundisho potofu ya Mohammed Said. Utaona kumbe Mohammed Said ameingiza katika dini kitu kisichokuwepo - historia potofu. Ametengeneza 'litmus test' kwa tu kuwa Muislamu. Ukimsoma utaona kuwa:

a. Asiyekubali simulizi la MS hawezi kuwa Muislamu mzuri
b. Ambaye anakubali BAKWATA kama chombo cha Waislamu - si Muislamu
c. Aneyeshirikiana vizuri na Wakristu na haoni mfumo Kristu - si Muislamu (Waislamu wanatakiwa waone Mfumo Kristu)
d. Asiyechukia Kanisa na kuona lina nguvu sana - si Muislamu (Muislamu lazima achukie Kanisa)
e. Shehe ambaye anahubiri amani na umoja na haki na upendo baina ya Watanzania (si Shehe Mzuri, shehe mzuri ni dizaini ya Ilunga)


Kwangu mimi hii ndio tragedy kubwa kabisa ya mafundisho potofu ya Mohammed Said ambaye tunapambana nayo. Siyo tu yamewagawa Waislamu na Wakristu kama alivyotaka bali yanalenga kuwagawa Waislamu wenyewe. Na bahati mbaya sana wapo Waislamu walioingia katika mtego huu ukamatao na sasa wanawaangalia Waislamu wenzao ambao hawakubaliani na histohisia hii kuwa si Waislamu wazuri au wa kweli.

Na cha kusikitisha zaidi ni kuwa wapo Waislamu ambao kutokana na kutotaka kujiletea matatizo na wenzao wameamua kukaa kimya kwa sababu wanajua wakisimama kumpinga Mohammed Said na kukataa mafundisho yake au kumhoji ukweli wa madai yake wataiwa "vibaraka wa mfumo Kristu"!

Mada hii tumetoa somo zuri ambalo limewafungua wengi kuweza kuona na kutambua jinsi gani masimulizi ya Mohammed Said hayana msingi katika ukweli, hoja dhake ni dhaifu na yamejaa hisia ya kutukuza. Nina bahati ya kujifunza kidogo kinachoitwa "Elimu ya Nafsi" na "Elimu ya Roho". Kuna roho fulani inatenda kazi hapa ambayo haiwezi kuondolewa kwa kukaa kimya bali kwa kupingwa waziwazi bila kuionea haya. Ndio maana nimesema huko nyuma utawala wa ulaghai wa histohisia ya Mohammed Said umefikia kikomo baada ya kutamalaki kwa karibu miaka 20 sasa. Wakati wa kuwavunjia minyororo wale wote waliofungwa minyororo ya porojo na Bw. Said umefika na minyororo hiyo kama iliyotiwa mafuta na kugongwa na nyundo ya ukweli inaanza kuachia - pingili baada ya pingili.

Mzee Said amebaki kurudia rudia yale yale ambayo yameshaoneshwa kuwa si ya kweli; haamini kuwa minyororo yake aliyoidhania kuwa ni ya chuma kumbe ya ukoka! Ukweli hata ukicheleweshwa bado unabakia kuwa ukweli; uongo unaweza kukaa kwenye kiti cha enzi kwa miongo lakini ukweli ukija uongo unavuliwa taji!
 
Mdondoaji,
Tatizo la ndugu zetu ni adab.

Mimi nimejiuliza sana kwa nini wanakuwa hivi.
Wakizungumza ni jeuri, kebehi, dharau nk.

Labda ni kwa kuwa hawana asili ya barza kuwa
watu mtakaa na kuzungumza na mkabishana mengi
lakini kwa adabu na heshima.

Hapakuwa na haja ya yeye kukukebehi.

Labda sasa amekujua umesoma Marekani ataweka
heshima.

Kuna Charles Dickens humu ndani kaniandikia Kiingereza
cha Victorian England.

Fikra yake ni kunitisha mimi kwa Kizungu.
How I wish he knew.

Nashindwa kumwambia nishawafedhehesha wengi kama yeye
kwa lugha hiyo hiyo kwa kunidhania mimi Mswahili wa Kariakoo
ntajua nini?

Hajui ukishasoma Qur'an hushindwi kujifunza lugha yoyote na
ukaisema kwa lafidhi ya kupendeza sana.

Ahsante kwa jibu la kiungwana ulompa.
Hakika hawawi sawa wenye kujua na wale wasiojua.
Kama vile unavyofedheheshwa wewe hapa kwa kutoa taarifa na takwimu za kizushi! Mzee kubali yaishe kwakweli huna jipya umekwama waacha visingizio. unngekuwa muungwana kama unavyojinasibu ungekuwa umeondoka hapa jamvini kwa adabu na heshima huku ukikiri kwamba malengo yako yameshindwa kabisa.
 
Kumbe madai ya mada ni sahihi.
Mzee Mo, jambo lolote lazima kwanza ulitazame kwa mlengo wa dini yako! Ni vema ujiruhusu kutazama kwa milengo tofauti tofauti ili tukuheshimu kama Mwandishi msomi mwenye weledi badala ya huu uandishi wa mlengo wa Kidini. Hapa tukikutuhumu kuwa wewe unapandikiza udini huwezi kuchomoka na ndio maana umeshindwa kujibu hoja ya Nguruvi.

Winama,
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika na tafuta nani
kaingiza sumu ya udini katika taifa hili.

Kwangu mimi Uislam ndiyo maisha yangu wala sioni aibu.
Uislam unafunza uadilifu.

Uislam unahimiza udugu baina ya Waislam na wasiokuwa
Waislam.

Uislam unafunza: Usidhulumu wala usikubali kudhulumiwa.
Haya ndiyo baadhi ya mafunzo ya Uislam.

Je, kuna ubaya wowote unaouona katika mafunzo haya?
 
Ndio maana kama nilivyoonesha kwenye zile facts nyingine nasema hujaandika historia; Unafika mahali you start making up your own history na kutaka watu wengine waamini. Philip Marmo hajawahi kuwa MBunge wa Monduli!! Mzee Said una haki ya kuwa na maoni yako lakini hauna haki ya kuwa na ukweli wako. You have the right to your own opinion but not your own facts!

Nyundo nyingine hiyo Mwanakijiji, ndio maana Mzee Mo amefanikiwa kuwadanga Wamarekani na Waghaibu wengine ambao hawaijui historia yetu. Hata mimi wa juzi tu najua Philp Marmo alikuwa Mbunge wa Mbulu!
Huyu Mzee aendelee kuwa mwalimu wa kina Ritz na Big Show, wafunzi wa aina hiyo wakifeli wanazingizia Mfumo Kristo! Very shame!!
 
Back
Top Bottom