ni kweli usemayo mzee wangu
Mohamed Said,yaonekana imewauma sana ukweli kuwa wazi,kila kitu kukifanya ni cha nyerere.Sasa tumejua nyerere alikuwa 'mshamba' mbele ya wazee wetu na ndio waliomkaribisha mjini na kumfundisha kuvaa suruali.Pia tumejua hakuanzisha TANU.Waangalie wote wanaomtetea nyerere,angalia kwa nini kanisa linafanya kampeni awe mtakatifu,mchakato unaendelea na huchukua muda mrefu.Cheo hiki hupewa watu waliolifanyia jambo kubwa sana kanisa.Jiulize muda mrefu nyerere alikuwa madarakani,ni jambo gani kubwa amelifanyia kanisa mpaka litake awe mtakatifu? Kwanini ukitaja udhaifu wa nyerere au mabaya yake wakristo huja juu?Fatilia vizuri huu mjadala utaona hata hapa haya ninayosema