Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Waislam duniani kote hata kwenye nchi zinazoongozwa kiislam wanalalamika wanaonewa..vitendo vya kujitoa mhanga ni dalili tosha ya kukata tamaa na kuona hamna njia zaidi.

Mtamaliza mda wenu mwingi kujenga hoja ila nawahakikishia hili ni swala la kiroho( spiritual) . Waislam walio salama na wanaoishi kwa amani ni wale waliopo kwenye nchi zenye wakristu wengi.

The same to palestina and israel. It will be like that till the end. Mpaka leo waislam hawajajua chanzo cha matatizo yao na solution ni nini.

Swali rahisi kwa waislam: Ni nani msemaji wa waislam duniani, ni nani msemaji wa waislam TANZANIA?
Maneno kama ya mlevi wa mbege aliyekurupushwa kichakani. Hovyo kabisa!!!
 
ni kweli usemayo mzee wangu Mohamed Said,yaonekana imewauma sana ukweli kuwa wazi,kila kitu kukifanya ni cha nyerere.Sasa tumejua nyerere alikuwa 'mshamba' mbele ya wazee wetu na ndio waliomkaribisha mjini na kumfundisha kuvaa suruali.Pia tumejua hakuanzisha TANU.Waangalie wote wanaomtetea nyerere,angalia kwa nini kanisa linafanya kampeni awe mtakatifu,mchakato unaendelea na huchukua muda mrefu.Cheo hiki hupewa watu waliolifanyia jambo kubwa sana kanisa.Jiulize muda mrefu nyerere alikuwa madarakani,ni jambo gani kubwa amelifanyia kanisa mpaka litake awe mtakatifu? Kwanini ukitaja udhaifu wa nyerere au mabaya yake wakristo huja juu?Fatilia vizuri huu mjadala utaona hata hapa haya ninayosema
naomba ututajie udhaifu/mabaya yote ya nyerere kwenye mjadala huu ambayo yamewafanya wakristo waje juu...
 
Last edited by a moderator:
mbona mengi yameshaelezwa ndani ya uzi huu.Kujaribu kuficha juu ya wapigania uhuru wengine na kujiweka yeye kama kiongozi na mwasisi wa TANU.Kushirikiana na kanisa kuwakandamiza waislamu nk yote haya na mengine yamewafanya mtoke povu wakristo

Hayo yote Mohamed Said na wewe mmeshindwa kututhibitishia
 
kusomeshwa kwa kitabu chako huko ughaibuni kwa wasiojua ukweli, sio turufu yako kwetu katika mnakasha huu mzee wangu

ajabu kubwa ilioje hii,kwa mtu leo kuja kubeza oxford,cambridge na havard??
Hizo ni s.i units za elimu ulimwenguni ndugu yangu
 
ajabu kubwa ilioje hii,kwa mtu leo kuja kubeza oxford,cambridge na havard??
Hizo ni s.i units za elimu ulimwenguni ndugu yangu

Kitabu kiitwacho Aya za Shetani kilichoandikwa na Suleiman Rudish kinauzika Ulaya na Marekani, Je Waislamu wanakikubali? Kama huamini kamuulize kiongozi wa kiroho wawaislamu Hayatolah Khaminey ni hukumu gani aliyompa Rudish mpaka akakimbilia uhamishoni Uingereza.

Kwahiyo kitabu cha Mohamed Said hakini tofauti na cha Aya za Shetani
 
nakushukuru sana yericko kwa kuanzisha uzi huu,pia nakushukuru mara dufu moh' said kwa elimu kubwa uliyoimwaga humu ndani,kama sio juhudi zako wewe ukweli ningeujulia wapi??kama sio juhudi zako wewe kutoa elimu hii kwetu upotoshaji ningeujulia wapi??kama sio juhudi zako wewe moh' said historia za wale waliofutwa na kusahaulika ningezijulia wapi,nakupongeza kwakuandika ujumbe wako na kutupatia walimwengu,ukweli huu utadumu mpaka kiama,mungu akulipemoh' saidi.
 
kitabu kiitwacho aya za shetani kilichoandikwa na suleiman rudish kinauzika ulaya na marekani, je waislamu wanakikubali? Kama huamini kamuulize kiongozi wa kiroho wawaislamu hayatolah khaminey ni hukumu gani aliyompa rudish mpaka akakimbilia uhamishoni uingereza.

Kwahiyo kitabu cha mohamed said hakini tofauti na cha aya za shetani

tofautisha baina ya vitabu vya propaganda na vitabu vyenye kutoa maarifa,naomba unihakikishie kama kitabu kiitwacho aya za shetani kama kinapatikana cambridge,havard na oxford,pia khayatola al khaminey si kiongozi wa waislam dunian,ni kiongozi wa kiimani wa dola ya kiislam ya kishia ya irani,yani kama baba wao wa taifa kiimani,kama wewe unavomuita julius baba wa taifa,usichanganyen ndugu yericko
 
Kabla sijakujibu naomba ujibu swali hili:

1. Ili kitu chochote kiwe cha PROPAGANDA kinatakiwa kiweje?

2. Je cambridge, havard na oxford hutupangia watanzania vitabu vyakuamini na vyakubeza?

3, Kitabu chake kukubalika cambridge, havard na oxford ndio kimetufunga watanzania tusikikane nakukemea uhujumu
amani alioufanya Mohamed Said?
 
:nono: :nono: :nono: :nono:

SIYO HAKI KWA MUJIBU WA MNAKASHA HUU HATA KIDOGO NDUGU YERICKO,MIMI NDIYE WAKWANZA KUKUULIZA MASWALI YANGU,KWAKO WEWE KUPANCHI MASWALI YANGU NA KUNIULIZA YAKWAKO KISHA NDIPO UNIJIBU YANGU UNAKUWA HAUJANITENDEA HAKI,NAOMBA KWANZA UNIJIBU KISHA NDIPO UNIULZE,TAFADHALI NASUBIRI MAJIBU YANGU KISHA NAMI NITAKUPA YAKO YERICKO.
 
Maswali niliyokuuliza ndio majibu ya maswali yako mkuu.
 
Maswali niliyokuuliza ndio majibu ya maswali yako mkuu.

EEEEEH??
:confused2:
WEWE UNASEMA
KITABU CHA AYA ZA SHETANI>>>KINASOMWA ULAYA NA MAREKANI KWA WINGI.

NGANO ZA MOH' SAID>>>ZINASOMWA ULAYA NA MAREKANI KWA WINGI.

MIMI NASEMA NGANO ZA MOH' SAID>>>ZINAPATIKANA CAMBRIDGE,OXFORD NA HAVARD PIA,
JE,AYA A SHETANI PIA ZINAPATIKANA OXFORD,CAMRIDGE NA HAVARD??

RAHA YA MNAKASHA NI KUPEANA MAJIBU YENYE TIJA MKUU.
 
Mjadala wa namna hii hauna tija.

We utasema mimi nimeshindwa nami nitakujibu sijashindwa.
Hatufiki popote.

Tusikwamishwe na vitu vidogo kama hivi.
Tusonge mbele.
 
Kitabu cha Aya za Shetani si kitabu unachoweza kufananisha
Na kitabu changu.

Ile inaitwa ''fiction''kitabu changu ni 'ácademic.''
Hivi ni vitu viwili tofauti sana.

Hadi leo ''The Godfather''cha Mario Puzo ni kati ya vitabu mashuhuri
Lakini bado ni fiction haviingizwi katika ''journal''za vyuo vikuu.

Natumaini umeelewa.

Sikukujibu hilo la ngano kwa kuogopa kukufedhehesha.
Inaelekea wewe ni mchache wa elimu.
 
Elizabeth.
Tafadhali nipe hicho alichosema.

Ikiwa nina jibu Insha Allah nitalitoa.
 
Back
Top Bottom