Nguruvi ukicheka,ukilia hakuna atakayekuamini kuwa definition hii ya mfumokristo uliyoomba ni ya kuumba umba.
Unaitukana nafsi yako bure kwa kukanusha wataalamu wengi walioitayarisha.
Ami ndugu yangu,,
Muwie radhwi bure huyo Mzee Mwanakijiji,
Sisi tunamwita mzee mfia dini,mara nyingi utamuona anakuja na speed kali sana ya kuufanyia clarification uislam ili kututoa nje ya mada,mbaya zaid hakuna anachokifaham kuhus uislam wetu labda kwa kukariri anakofanya,,
Tulishampa rai mda mrefu Mwanakijiji achutame aficha tupu zake kwani si busara kwa mtu wa heshima kama yeye kwa jins alivojitanabaisha hapa jamvini kushadadia mambo asiyokuwa na ilm nayo,hataki,..!!
Anataka kujifanya yeye ni TABII TABIINA,Wapi na wapi??
Anazid kujidhalilisha tuh zomba alishamvua nguo huyo mda mrefu tuh..
Mohamed Said ni kiboko yao,Allah kamjalia kheri kuelezea mambo yaliyokafichikana,na sisi tunathamini uhalisia huu,sio kwa kuwa ni muislam mwenzetu au kwa kuwa anaelezea upande wa pili ambao unaakisi waislm na uislam la hasha,
Ila kwa kuwa anaueleza uhalisia ulivyo kwa maslahi ya taifa na tanzania ilivokawa hapo zamani,ilivyo sasa na jins itavyokuwa,ni jukumu letu sisi sote kupima na kuangalia wapi tulikosea na kuukubali ukweli na kuijenga nchi yetu,kuupinga hakutasaidia hata kidogo..
Na nihapo ujinga na uchochezi wako na kundi lako unapodhihiri. Ama kweli wewe ni mzee mbaya na muovu sana usielitakia mema taifa letu. Wala huna huruma na watoto ambao hawajafaidi matunda ya taifa lao kama ulivyofaidi wewe! Kwa umri wako mkubwa umekosa busara kabisa kwa kujaza hila na fitna moyoni mwako... Shame on you embicile old man!Ami,
Serikali tumewaeleza tatizo la mfumokristo.
Sheikh Ilunga katembea nchi nzima kuwaeleza Waislam
kuhusu mfumokristo.
Kipi kitushughulishe kwa Nguruvi?
Hakuna kitu hapo wewe unajidanganya, kwa hakika tunakuja kuona jinsi unavyoumbuliwa na kuachwa mtupu muovu wewe! hujaweka bandiko hapa ambalo lilikuwa sahihi, na ulipo kosolewa hukuwa na jingine zaidi ya kutoa majibu ya kitoto au kutojibu kabisa! Cha kushangaza huishi kujisifia eti wewe ndie unayesomesha hapa! loo! mzee huna aibu wewe.Nguruvi,
Hapana neno.
Tusibaki hapa hapa tuendelee na mnakasha.
Ila jisemee nafsi yako.
Unaetatanishwa ni maandishi yangu ni wewe na
wengine watatu au wanne.
Wengi wanaelewa.
Angalia uwanja unavyofurika.
Hawaji kusoma maswali kwani maswali siku zote
huwa kitu cha mwisho.
Wanakuja kusikiliza darsa langu.
Ami unajipa ushujaa usionao, wewe na huyo mzee wako tutusa hamtakaa muwaweze akina Nguruvi3, Mag3, Mnyambala, Mzee Mwanakijiji etc kwa hoja zao. Hata ninyi wenyewe kimoyomoyo mna kiri hayo. "Mbona hiyo definition" yako fyongo imechambuliwa kisomi na kutupiliwa mbali na msomi wa viwango Mzee Mwanakijiji. Kama hukuiona basi ichungulie hapa chini;Angalia hapo Nguruvi anaanza kuja na habari tofauti badala kukiri kuwa definition ya mfumo kristo ndiyo yenyewe na yeye kaikubali na kushindwa kuijibu.
Yuko wapi Gwalihenzi aje na mkokoteni wake abebe watu wake awatoe nje ya ulingo?.
"Definition" ya Mfumo Kristo ina mantiq
Katika Posti ya ndugu yetu Ami hapo juu (akinukuu mwingine) aanasema nnini maana ya Mfumo Kristo: Kwamba,
Sasa kwa haraka haraka mtu anaweza kukubali hili. Na ninaomba kwa sekunde chache tukubaliane na tafsiri hiyo kabla sijaionesha kuwa haina ukweli na haitafsiri Mfumo Kristo ninavyouelewa mimi. Ukisoma maana hiyo Mfumo Kristu ni:
1. Hali - Ni "condition" au tuseme siyo kitu ambacho ni 'concrete'.
2. Wakristo wa Tanzania - ina maana Mfumo Kristu hauwahusu Wakristu wa sehemu nyingine duniani na inapozungumzia Wakristu wa Tanzania inazungumzia "Wakristu" wote.
3. Wamehodhi Madaraka - kwa maneno mengine "Monopoly of power". Kwamba hao watu wa kundi hilo hapo juu wamehodhi madaraka bila kutoa nafasi kwa watu wa dini nyingine.
4. Madaraka ya ngazi zote muhimu za serikali na maamuzi - Hii ni sifa muhimu sana ambayo tutakapoiangalia tutaona inavunja kabisa dhana ya uwepo wa "mfumo huu". Ikumbukwe 'operative word' hapa ni "zote". Nitarudia hili hapa chini kidogo.
5. Kutumia nafasi hizo kuendeleza Wakristu wenzao na Ukristo na kuwabagua Waislamu.
Sifa hizi tano kutokana na maana ya mfumo kama kina Ami wanaamini au wanataka tuamini zinafanya mfumo kuwepo na kutenda kazi. Lakini katika hayo matano ni hilo la nne ndilo HASA linafanya mfumo huu kuwepo kwani bila kushika madaraka yote muhimu hauwezi kuwa na nguvu.
Niwarudishe kidogo kwenye falsafa na hususan kwenye somo la Mantic (Logic). Mantik ni somo ambalo linamsaidia mtu kujenga hoja vizuri, kuepuka makosa ya hoja (fallacies) na wakati huo huo kuhakikisha anagundua makosa hayo kwa wengine. Ukisikia mtu anasema "hii haina mantiki" manake nikuwa kilichosemwa hakijakubaliana na fikra zake - hata kama anaweza asijue maneno yote ya logic.
Kosa la Kwanza la tafsiri ya "Mfumo Kristu" kama alivyoweka Ami iko kwenye kutokuelewa Mantiki na walioandika hilo wenyewe wanaweza kufikiri wamesema cha maana kumbe ndani yake imejaa makosa ya hoja. Nitoe mfano.
Mtu anakuja na kusema "Mimi ni Mtanzania" halafu anasema "Watanzania WOTE ni waongo" halafu akasema "Mimi sisemi uongo".
Sasa mtu mwingine anaweza kuamini hilo lakini mara moja mtu mwenye uelewa mdogo wa mantiki ataonesha "inconsistency" katika madai hayo. Ataonesha hivi:
Kama Wewe ni Mtanzania, na Watanzania wote ni waongo basi wewe huwezi kuwa unasema kweli. Kwa hiyo na huyo anayesema hivyo ama ni mwongo au si Mtanzania. Kama Watanzania WOTE ni waongo basi hakuna Mtanzania anayeweza kuwa anasema kweli.
Mtu akisema Viongozi "WOTE" wa ngazi za juu ni "Wakristu" basi ni lazima tuone kuwa ni Kweli viongozi wote ni "Wakristu". Ukifanikiwa kuonesha kuwa kiongozi mmoja tu ni Mpagani basi hoja kuwa "Viongozi WOTE" ni Wakristu inakufa pale pale.
Ami ametuletea bandiko ambalo tafsiri ya Mfumo Kristu inadai kuwa Wakristu wameshika "nafasi ZOTE MUHIMU". Sasa hii ni rahisi kuonesha; ukionesha Wakristu wameshika nafasi zote muhimu za serikali na "za Maamuzi" basi unathibitisha uwepo wa Mfumo Kristu at least kwa suala la idadi kabla hatujaangalia ile element ya mwisho (ya tano). Lakini ukifanikiwa kuonesha kuwa mojawapo ya nafasi muhimu zinashikiliwa na Muislamu au mtu asiye Mkristu basi hoja kuwa Wakristu wanashika nafasi zote muhimu inakufa. Ukiweza pia kuonesha kuwa zipo nafasi muhimu zinazoshikwa na Waislamu basi HOJA KUWA NAFASI ZOTE ZIMEHODHIWA NA WAKRISTU nayo inakufa.
Hapa inabidi nilete zile orodha alizozileta Ritz kwa fahari kubwa akiamini kuwa anasema kitu very profound:
Ametuwekea 'composition' ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:
Sasa, kitu cha kwanza kuangalia ni kuwa mawaziri wote na manaibu wao wameteuliwa na Rais Kikwete ambaye ni Muislamu. Nafasi kubwa kabisa nchini ya serikali na ya kimaamuzi nchini Tanzania inaongozwa na Muislamu. Ni Muislamu ndiye mtu mwenye nguzu zaidi ya maamuzi Tanzania. Hii ni KWELI (its a Fact). Kikwete akihutubia Bungeni miaka michache nyuma alitamba kuwa ana madaraka makubwa kiasikwamba akitaka Dr. Slaa akamatawe anaweza akakamatwa! HUYU NI MUISLAMU. Hakuna Mkristu yeyote anayempita au kumkaribia kwa madaraka.
Nafasi Muhimu:
Kina Ami wanasema nafasi "Muhimu" zimeshikiliwa na Wakristu hebu tuangalie:
Urais - Jakaya Mrisho Kikwete - Muislamu
Makamu wa Rais - Ghaibu Bilal - Muislamu
Waziri Mkuu - Mizengo PInda - ni Mkristu - aliyeteuliwa na Muislamu!
Waziri wa Mambo ya Nje - Bernard Membe - Mkristu - kateuliwa na Muislamu
Waziri wa Ulinzi - Vuai Nahodha - Muislamu
Waziri wa Viwanda na Biashara - Abdallah Kigoda - Muislamu
Waziri wa Maliasili na Utalii - Khamis Kagasheki - Muislamu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Shukuru Kawambwa - Muislamu (ikumbukwe wote waliofanya mtihani wa kidato cha nne kufeli waliingia kidato cha kwanza hadi cha nne chini ya uongozi wake- NECTA iko chini yake)
Waziri wa Maji - Jumanne Maghembe - Muislamu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii - Hussein Mwinyi - Muislamu
Waziri wa Nchi TAMISEMI - Hawa Ghasia - Muislamu
Sasa hizo ni nafasi "muhimu" za kutosha tu. Nafasi nyingine zote za Mawaziri Wakristu wote wameteuliwa na Rais Muislamu na yeye ndiye mwenye madaraka juu yao.
Je ni kweli "nafasi zote muhimu" zimehodhiwa na Wakristu? kina Ami na Ritz na vijana wengine humu wasiojua mantiki wanasema kwa haraka "ndio"!!
Mfumo Kristu - kwa maoni yao - ndio umewaweka Waislamu hawa kwenye madaraka makubwa hivyo!
Tujiulize mahali pengeine ambapo pamewahi kuwa na mifumo ya kibaguzi:
Utawala wa Makuburu wa Afrika ya Kusini ulitukuza rangi nyeupe kwa muda wa karibu miaka mia nne. Je, ulitengeneza weusi wangapi kwenye nafasi muhimu? NI vipi mfumo wa kibaguzi ulifanya kuwepo Rais Mweusi, mawaziri weusi wakautumikia? NI mweusi gani aliyekuwa na nafasi ya juu kabisa katika serikali ya utawala wa makaburu?
Hili ni kweli hata Marekani wakati wa mfumo wa ubaguzi wa rangi (segregation). Ni vipi mfumo ule uliwezesha kutoa nafasi kwa weusi kushika madaraka ya juu?
Kimsingi mfumo wa kibaguzi wa kundi hautoi nafasi kwa wanaobaguliwa kushika madaraka mazito. THIS HAS NEVER HAPPENED BEFORE ANYWHERE IN THE WORLD! Hakuna mahali duniani ambapo mfumo wa kibaguzi (sifa ya tano ya tafsiri ya Mfumo Kristu kama alivyotuwekea ndugu yetu Ami) umewapa madaraka ya juu wanaobaguliwa. Ila wanatuambia Tanzania hili linawezekana. Kwamba Mfumo Kristu katika Tanzania unatupatia viongozi wa Kiislamu!!
Hii tunaweza kusema ni oxymoronic!!
Naomba nitoe changamoto kwa wale wanaoamini kwamba upo mfumo wa kibaguzi dhidi ya Waislamu Tanzania uitwao "mfumo Kristu". NIONESHENI MAHALI POPOTE DUNIANI AMBAPO MFUMO WA KIBAGOZI (A DISCRIMINATORY SYSTEM) IMEWEZA KUTOA VIONGOZI WA WALE WANAOBAGULIWA NA KUWAPA NAFASI MBALIMBALI HADI ZA JUU KABISA WAKATI MFUMO HUO UNAFANYA KAZI!
Naomba mfano mmoja tu.

Ritz, wewe ni mshereheshaji na mfariji wa mzee wako mchochezi Mohamed Said, hivyo hatutegemei kipya kutoka kwako zaidi ya kumsifia na kusifia kazi yake ambayo imepoteza "credibility". Wewe mwenyewe unakiri moyoni mwako kwamba hiyo sio kazi inayowea kuitwa HISTORIA labda HISTOHISIA. Hivi Ritz unafahamu kuwa kuna watu waliwahi kuwa waislam na baadae wakabadiri dini na kuhamia dini nyingine? Sasa mzee wako anapoanza kulia kilio cha mbwa kukalia mkia kudai waislam wa Tanzania ni wananchi wa tabaka la 3, ankusudia nini?anataka wabadiri dini ili waende tabaka la ngapi?Wakati mwingine huwa nacheka sana kuna watu wanajidanganya na kujifariji kuwa kitabu cha Mohamed Said wao ndiyo wamekipinga baada ya miaka 15, ha haa haaa!!
Kwa kuwafahamisha tu baada ya miaka 15 tena kupitia huu uzi kitabu cha Mohamed Said kinazidi kununuliwa bahati mbaya mikoani kilikuwa hakipatikani saizi watu wanakitafuta.
Watu wanakisoma kitabu cha Mohamed Said wanakutana na vitu ambavyo hawajawahi kuvisoma popote pale katika historia ya Tanganyika.
Hata hawa wapingaji wa kitabu cha Mohamed Said hawaji na historia yeyote uhuru wa Tanganyika wanayoifahamu zaidi ya kupinga hapo ndiyo wasomaji wanapojionea wenyewe makundi mawili kuna la kwanza la Mohamed Said ambaye anakuja na historia halafu kundi la pili la wapingaji ambalo linakuja na meneno matupu.
Mohamed Said fanya mpango uongeze machapisho ya kitabu chako Watanzania wanakitafuta mashubaka yao yanaitaji kitabu chako.
Mohamed Said endelea kutoa darsa Watanzania wanakusoma Watanzania wa sasa siyo watu wakushikiwa akili tumshukuru sana Allah kwa kukupa fursa hii ya kuja JF kutoa darsa la historia ya Tanganyika katika harakati za uhuru.
Hawa wapingaji napenda waongezeke wanafichuwa mengi yaliokuwa yamejificha chini ya kapeti.
Kwa hizi historia zenu za kizushi ipo siku mtakuja na madai ya kuwa waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa na zanzibar haikuwa soko la watumwa kwa kutetea "Arabism" na Uislamu wenu.
Ritz, wewe ni mshereheshaji na mfariji wa mzee wako mchochezi Mohamed Said, hivyo hatutegemei kipya kutoka kwako zaidi ya kumsifia na kusifia kazi yake ambayo imepoteza "credibility". Wewe mwenyewe unakiri moyoni mwako kwamba hiyo sio kazi inayowea kuitwa HISTORIA labda HISTOHISIA. Hivi Ritz unafahamu kuwa kuna watu waliwahi kuwa waislam na baadae wakabadiri dini na kuhamia dini nyingine? Sasa mzee wako anapoanza kulia kilio cha mbwa kukalia mkia kudai waislam wa Tanzania ni wananchi wa tabaka la 3, ankusudia nini?anataka wabadiri dini ili waende tabaka la ngapi?
Yoso,
Tuanze na Transatlantic Slave Trade.
Je una ubavu ufungue uzi wa historia ya utumwa tuje?
Ami unajipa ushujaa usionao, wewe na huyo mzee wako tutusa hamtakaa muwaweze akina Nguruvi3, Mag3, Mnyambala, Mzee Mwanakijiji etc kwa hoja zao. Hata ninyi wenyewe kimoyomoyo mna kiri hayo. "Mbona hiyo definition" yako fyongo imechambuliwa kisomi na kutupiliwa mbali na msomi wa viwango Mzee Mwanakijiji. Kama hukuiona basi ichungulie hapa chini;
Wewe Ami, hiyo hoja huiwezi kaa pembeni, mwachie aliyeanzisha hiyo "concept" ya mfumo "kiristo" aucheze huo mdundo. Kama alivyosema mkuu Nguruvi, wewe Ami acha kuoga na mkubwa utasababisha mkubwa(Mohamed Said) asitakate kwani unatibua maji na kuyafanya yawe na tope!
Nguruvi hawezi kujibu katika ule mfumo wake ....kadhalika Mwanakijiji.Yoso,
Tuanze na Transatlantic Slave Trade.
Je una ubavu ufungue uzi wa historia ya utumwa tuje?
Nguruvi hawezi kujibu katika ule mfumo wake ....kadhalika Mwanakijiji.
Sasa wacha tumsubiri Yoso na habari zake za Utumwa.
Kama changamoto naanza kwa kumuuliza Nani wafanyabiashara wakubwa wa utumwa?
Ni waarabu au ni wazungu?
Ni waislamu au ni wakristo?.
Sahih International
And when it is said to them, "Believe as the people have believed," they say, "Should we believe as the foolish have believed?" Unquestionably, it is they who are the foolish, but they know [it] not.

Take your fanaticism to your naive belivers young foolish man! Sahih International
And when it is said to them, "Believe as the people have believed," they say, "Should we believe as the foolish have believed?" Unquestionably, it is they who are the foolish, but they know [it] not.
Wewe mpumbavu ni kwambie mara ngapi kuwa mimi ni "adent atheist"? ebu niondolee hayo makonokono yako, kwangu mimi hayana nafasi na wala hayana umhimu wowote.Na hii lugha usipoielewa basi moyo wako utakuwa umepgwa kufuli Sahih International
And those who disbelieve and deny Our signs - those will be companions of the Fire; they will abide therein eternally."
Maana yake tunafungua chapter mpya.Ile ya Uchochezi imeisha.Hakukuwa na uchochezi bali ni ukweli tu.Hapo sasa...!!
WACHA PARTY LIANZE,NA ASIKIMBIE MTU HAPA..
Watu wenye Elimu ya kukariri utawajua kwa maswali yao yasiyo na akili! labda mie nikuulize, "Ni nini kilisababisha biashara ya utumwa kuwepo?"Nguruvi hawezi kujibu katika ule mfumo wake ....kadhalika Mwanakijiji.