Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe mpumbavu ni kwambie mara ngapi kuwa mimi ni "adent atheist"? ebu niondolee hayo makonokono yako, kwangu mimi hayana nafasi na wala hayana umhimu wowote.

Ha ha haa nilijua utatokwa na povu nitafsirie hapo chini ya hayo makonokono kwasababu mimi kithungu sikijui hayo makonokono yangu niachie mwenyewe kwasababu uislamu ni hoja na dalili hatupelekwi kibubusa dingi la kinoma.
 
Nguruvi hawezi kujibu katika ule mfumo wake ....kadhalika Mwanakijiji.
Sasa wacha tumsubiri Yoso na habari zake za Utumwa.
Kama changamoto naanza kwa kumuuliza Nani wafanyabiashara wakubwa wa utumwa?
Ni waarabu au ni wazungu?
Ni waislamu au ni wakristo?.

Ami,
Naona jamaa wameghadhibika.

Tuwaombe watulie tuendelee na mnakasha bila matusi.
 
Gwalihenzi, Ami, Mohamed Said, THE BIG SHOW, Boko haram,

..kwa eneo la Afrika Mashariki, Muarabu/Muislamu ndiyo alikuwa kinara wa kukamata Watumwa.

..kwa eneo la Afrika ya Kati na Mreno/Mkristo ndiyo alikuwa ni kinara wa biashara ya Watumwa.

..kwa msingi mimi hata sijui mnapotaka kuanzisha mjadala huo ni kitu gani haswa mnajaribu ku-achieve.

..zaidi, naomba kuwauliza: hivi mnajitambua nyinyi kwamba ni WAAFRIKA, na kwamba ktk suala zima la utumwa, mababu zetu walikuwa ni victims??

..kama nyinyi mnafikiri si Waafrika, bali ni Waarabu, au Wazungu, basi endeleeni na mjadala wenu wa nani alikuwa kinara wa biashara ya Utumwa.
 
Last edited by a moderator:

Joka Kuu,
Fungueni uzi wa utumwa tuje.
 
Usitoke nje ya mada.Suali ilikuwa Ukristu na uislamu ni dini ipi iliyoitangulia mwenzake?.
Kuhusu Yesu (A.S) ni kuwa alikuwa muislamu.
Umeamua kunijibu hivyo ni muhimu usikimbie kwa kisingizio chochote kile.

Yeah; thats what I thought you would say. Yesu hakuwa Muislamu kama angekuwa Muislamu basi Wayahudi wote bado ni Waislamu! Na kila mtu asiye Muislamu ni Muislamu!
 
Gwalihenzi, Ami, Mohamed Said, THE BIG SHOW, Boko haram,

..kwa eneo la Afrika Mashariki, Muarabu/Muislamu ndiyo alikuwa kinara wa kukamata Watumwa.

..kwa eneo la Afrika ya Kati na Mreno/Mkristo ndiyo alikuwa ni kinara wa biashara ya Watumwa.

..kwa msingi mimi hata sijui mnapotaka kuanzisha mjadala huo ni kitu gani haswa mnajaribu ku-achieve.

..zaidi, naomba kuwauliza: hivi mnajitambua nyinyi kwamba ni WAAFRIKA, na kwamba ktk suala zima la utumwa, mababu zetu walikuwa ni victims??

..kama nyinyi mnafikiri si Waafrika, bali ni Waarabu, au Wazungu, basi endeleeni na mjadala wenu wa nani alikuwa kinara wa biashara ya Utumwa.

Wakati wa utumwa mwafrika alimuuza mwafrika mwenzake, kwahiyo yupo mwafrika aliyekuwa victim na mwafrika aliyekuwa beneficiary wa utumwa...
 
Nguruvi hawezi kujibu katika ule mfumo wake ....kadhalika Mwanakijiji.
Sasa wacha tumsubiri Yoso na habari zake za Utumwa.
Kama changamoto naanza kwa kumuuliza Nani wafanyabiashara wakubwa wa utumwa?
Ni waarabu au ni wazungu?
Ni waislamu au ni wakristo?.

Hilo ndilo tatizo la fikra dhaifu; uovu hauna rangi. Wakristu wamefanya maovu mengi tu mojawapo ni hilo la utumwa na ukoloni. Na hao hao wamefanya mengine mengi ikiwemo kupinga utumwa n.k. Huwezi kukataa historia kwa sababu ni ya watu wa dini yako au kutetea uovu kwa sababu ni watu wa dini yako. Ni udhaifu wa kifikra. Uovu hauna rangi, wala damu. Unataka mshindane nani kafanya uovu zaidi ili ujifariji kuwa uovu wa watu wetu ni kidogo? Ni dalili ya kutokomaa kifikra.

Unafikiri nikisema kwa jina la Kanisa uovu mwingi umefanyika katika historia najisikia vibaya kuwa nalituhumu kanisa langu? Well, historia ina ushahidi wa hayo! Sasa nikatae kuuzungumzia kwa sababu napenda Ukristu wangu kuliko ukweli wa historia? Inaonekana wewe uko tayari kufumbia macho uovu unaofanywa kwa jina la Uislamu ukifikiria kwa kufanya hivyo unaulinda Uislamu! Ukweli wa historia haujalishi nani anautetea au kuupinga. Uwe mkweli wa historia; ukiwa kama M. Said hapa ndio matokeo yake haya...
 
Changamoto yangu bado inasimama kwa wanaoamini uwepo wa mfumo kristu:

naomba nitoe changamoto kwa wale wanaoamini kwamba upo mfumo wa kibaguzi dhidi ya waislamu tanzania uitwao "mfumo kristu". nionesheni mahali popote duniani ambapo mfumo wa kibagozi (a discriminatory system) imeweza kutoa viongozi wa wale wanaobaguliwa na kuwapa nafasi mbalimbali hadi za juu kabisa wakati mfumo huo unafanya kazi!

naomba mfano mmoja tu.
 
Yeah; thats what I thought you would say. Yesu hakuwa Muislamu kama angekuwa Muislamu basi Wayahudi wote bado ni Waislamu! Na kila mtu asiye Muislamu ni Muislamu!

19_30.png
Sahih International
[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet.
19_36.png
Sahih International
[Jesus said], "And indeed, Allah is my Lord and your Lord, so worship Him. That is a straight path."
19_34.png
Sahih International
That is Jesus, the son of Mary - the word of truth about which they are in dispute.Haya Mwanakijiji jibu lako kuhusu yesu ni muislamu au si muislamu hilo hapo, sasa na wewe nithibitishie kwamba yesu alikuwa mkristo, ukitaka uthibitisho zaidi natakuletea mambo yako mengi mkuu.
 
Sahih International
[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet.
Sahih International
That is Jesus, the son of Mary - the word of truth about which they are in dispute.Haya Mwanakijiji jibu lako kuhusu yesu ni muislamu au si muislamu hilo hapo, sasa na wewe nithibitishie kwamba yesu alikuwa mkristo, ukitaka uthibitisho zaidi natakuletea mambo yako mengi mkuu.
Boko haram, usituharibie ukumbi...haya peleka jukwaa la dini. Huko nakuapia mimi sikanyagi wala sijawahi kukanyaga toka lifunguliwe, vichaa wote kama wewe utawapata huko.
 
Last edited by a moderator:
Boko haram, usituharibie ukumbi...haya peleka jukwaa la dini. Huko nakuapia mimi sikanyagi wala sijawahi kukanyaga toka lifunguliwe, vichaa wote kama wewe utawapata huko.
[/LEFT]
[/FONT][/LEFT]
[/FONT][/LEFT]
Mag3 nimekubali maneno ya Ritz kwamba wewe ni ignorant au hujui kwamba uislamu ni dini yenye kutaka hoja na dalili Mwanakijiji kabisha yesu hakuwa muislamu mimi nimemthibitishia kwamba yesu alikuwa muislamu na kiarabu ni lugha iliyoteremshiwa Quran sasa kunakosa gani? au wewe umeona kithungu ni lugha ya maana sana , Baba usivamie fani anza kwanza na mwanakijiji aliyebisha kabla ya mimi niliye jibu au ndio mambo ya mfumo K mpaka JF.
 
Unajua Mzee MS aliposema wawili watatu ndiyo hawamwelewi nilibaki kucheka tu, hiyo
wawili watatu ujue ina maana kubwa sana...Imemvua nguo. Nguruvi ukiona mtu
anayejinasibu kwamba hapa anatoa darsa tena akirudia rudia ujue ni pigo kubwa amepata.

Alikuwa amezoea kulisha watu pumba huku anawachanganyia maziwa kidogoo. Hapa watu wanapata
mchanganyiko maalum. Kwa ambao walikuwa wanameza tu sasa wataelewa MS anposema 20% au
10% ya utafiti fulani huwa ana malengo yake kichwani.

Sasa wanajua hila zake katika uandishi. Watu wanajua Garang alipokuja UDSM alikuwa ni alumni
kama yeye alivyo alumni wa ST Joseph, na kwa kweli Kardinal Pengo akiita Alumni wa St Joseph
Mzee MS atapewa kiti cha mbele kama ambavyo Garang alipewa.

Sasa sote tunajua 10% ya Waislam UDSM (source Daily news?) ambao hawakumuuliza maswali Garang ni takwimu zisizokuwana mtetezi (iko siku ataita vijana wake walielezee kwa sababu yeye hana ujuzi nalo!).

Sasa Watu wanajua wazi Warioba alikuwa anajulikana vizuri tu wakati wa uteuzi wake kuwa Waziri mkuu.
Sasa watu wanajua Muasisi wa dhana ya Mfumo Kristo ameshindwa kutupa maana yake ila anajua "unavyo
fanya kazi! Yaani kwa maneno mengine anaijua vizuri mitaa ya Gerezani na Kipata lakini hajui iko mkoa gani!!

Sasa wengine tunamjua ni mtu mwenye misheni zake na hila. Ukiona ameandika kitu kwa makosa ujue ana hila
zake. Ukiona anasema magazeti ya Africa Events yalikusanywa na kuchomwa moto msikilize vizuri sana, halafu
muulize ya kweli hayo? (atajua kuna kitu unajua) halafu atakwambia yaliondolewa kwenye News stand!!
Soma vizuri "News stand"!!

Kuna mengi yamenifanya nimjue huyu mtu. Na kwa kweli huu uzi umemwacha uchi. Na dalili zake ni hizi....
"Mimi ndiyo nayetoa darsa hapa" kuna watu 10K+ wanaonisoma mimi sio nyie"...Hah ha ha .

Aaaaaaah!!
Nguruviii!

Mi nitasema nini tena?
Unanikosha sana
Wewe ni Lulu
 
Fii'idhn LLAH..!!

Hata kichaa atashangaa,uchochezi hatuuoni sisi ATI..!
Mtauonaje na nyie mmeshalogwa akili? kwenu kila asemacho mzee wenu Mohamed Said mnaona ni sahihi kabisa, hata anapodanganya waziwazi kuwa Marmo alikuwa mbunge wa Monduli nyie mnashangilia kama mazuzu! poleni sana walevi wa falsafa za uwongo wa Mohamed.
 
Back
Top Bottom