Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Uislamu umekuwepo kabla hata Yesu hajazaliwa.Uislamu ulianza na binadamu wa mwanzo duniani na unaendelea mpaka leo.
Qur'an 2:136 inaweka wazi hilo
قُولُواْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَى إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَى وَعِيسَى وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لاَ نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake
Hapo utaona Mitume wote tangu baba yetu Adam A.S ni waislamu pamoja na Yesu (Issa a.s).

Socratic method... sijui kama inasemaje kuhusu kukua na kusambaa kwa dini lakini sisi tujuavyo ni kuwa Uislamu tangu binadamu wa mwanzo huwa unakuwa na kuenea halafu watu huasi hasa Mtume aliyetangulia anapokufa.Baadae Mwenyezi Mungu hutoa Mtume mwengine miongoni mwa watu na kuwazindua tena watu kuufuata uislamu.
Baada ya kuondoka kwa nabii Musa A.S ilipita miaka mingi watu wakarudi kwenye ukafiri na dini zao za kishirikina mpaka alipoletwa Yesu a.s na kuendeleza ujumbe wa uislamu kwa watu wake.Na hivyo hivyo alipoondoka Yeye watu wakazidi kukufuru mpaka alipoteremshwa Mtume Muhammmad s.a.w na kuahidiwa kuwa huyu atakuwa ndiye Mtume wa mwisho kabla ya kiyama.
 
Ami,
Nakuvisha kilemba na nakuwekea kashda begani kwako.

Kilemba hiki na kashda hii nakutunuku kwa niaba ya marehemu
Sheikh Hassan bin Amir.
Sheikh wangu nimekwambia pumzika.Wewe pita kuchungulia tu.Nahisi kazi uliyofanya ni kubwa sana kuzungumza na watu waliopigwa muhuri tayari na Allah.s.w..Malipo yako inshaAllah ni makubwa na hayatapotea.
Uchochezi tumemaliza hakuna.Hapa tuwache wenyewe tu vichaa kwa vichaa ikibidi.
 

Nguruvi,
Sisi Waislam tunachotafuta ni haki.

Ndiyo maana unatuona tumo humu na lugha zetu ni za kistaarabu.

Ingekuwa kheri kama tunaowalalamikia wakatujibu lakini msiba ni
kuwa serikali ina hofu na somo hili wamekaa kimya badala yake
tunajibiwa na Wakristo wanaoishi mitaani kama sie.

Ahsante ndugu yangu nimerudi.

Nimekuambia Nguruvi hapa hakuna kitakachoingia ambacho mimi
sijakiandikia.

Kwa kweli nina mengi sana na nadhani hata wewe hilo ushatambua.
 

Ami,
Ahsante.

Wenzangu mko viwanja vya Badr.
Nimekusikia sitorudi tena humu Insha Allah.

Amin. Amin. Amin.
Kwa sote.
 
Ami,
Nakuvisha kilemba na nakuwekea kashda begani kwako.

Kilemba hiki na kashda hii nakutunuku kwa niaba ya marehemu
Sheikh Hassan bin Amir.

Mohamed Said,

Mvishe kama vile Mshume Kiyate alivyomvisha Nyerere.
 

Acha utoto ndo maana Nguruvi anakataa mijadala na nyie

Sio wewe ambae ulileta maana ya mfumo kristo na Mzee Mwanakijiji akaichambua hapa ukalala mbele?

Umeona uje upate maoni ya Nguruvi3 ha ha ha ha!

Alafu unaongelea Wajerumani waliwafanyia fitna?si hawa ndio wazee wa Mohamed wa Kiislam walienda kujiunga na jeshi lao huko Burma?ni nini kilitokea wakawageuka

Mzee wako anaenda kuhadhiri huko huko kwa waliowafanyia fitna

Hayo mengine ni ujinga ule ule mnaurudia

Naona ndugu yako anasema anakusoma hapo

Well,kaeni kitako Nguruvi anakuja kuwapa somo na muwe na shukurani sio mjibu kwa Matusi
 
Wapiga propaganda za mfumo kristu kama Mohamed Said wanatumia mwanya wa NECTA kupitisha agenda zao
 

Hakuna utoto hapo mipini ya Ami, inaitaji majibu.

Nguruvi3 akikataa mijadala ndiyo nini JF ni jukwaa huru yeye aendelee kukataa watu hawapo humu kwa sababu yake.

Wewe endelea na mapambio lakini Ami anaitaji majibu.

Ami, jamaa wanakuogopa sana huyu jamaa kaja na mpya eti uache utoto na matusi sijui matusi yapo wapi.
 


Ami,,

Unajua kwa hizo space ulizoziacha kwa Nguruvi3 aje azijaze huko aliko atakuwa analia na kusaga meno,anatetema kwa baridi kali sana,,

Nakusoma sana,hints zako nazifananisha zaid hata ya zomba,,

Bakora zako ni muruah kabisa,tandika bakora hao,usiwahurumie hata kidogo,hakuna uchochez hapa,,

Wanasema sana,tukisema sisi,eti wanasema tuna gubu,,

Mufilisi kabisa hao...
 
Last edited by a moderator:

Hakuna anaemuogopa, ukiona watu wanamkwepa ujue hana hoja bali viroja.
 
Wapiga propaganda za mfumo kristu kama Mohamed Said wanatumia mwanya wa NECTA kupitisha agenda zao


Ndugu yangu Yericko,

naona umekua mnyoonge,umechooka na kuishiwa nguvu kabisa,umeshindwa moja kwa moja kuuthibitishia umma hapa uchochez wa Mohamed Said ulipo,,sasa umeishia kuonekana kwa mang'amung'amu,,

Uchakubimbi umekuponza yericko,,namba yako hii 0715 865544 siku hizi umebadilisha??

najaribu sana kukupigia ili ikiwezekana nikutumie kias hata kwa TIGO PESA uende TBC kutuchukulia ile hotuba ya Julius hadi leo kimya,na simu hupatikan kabisa,au umeniwekea call-barrier??

Pole sana,naona mission yako imefeli vibaya sana,umebanwa hadi kwenye kona kaka..

Lakin wenzako sisi tunatunza kumbu kumbu za wazee wetu,iweje wewe ushindwe kuitunza hotuba ya marehem mzee wako,au kuifuatilia na kuwa nayo kwa maslahi yako binafsi??
Hadi uende TBC??

Aibu kubwa sana hiyo...
 
Last edited by a moderator:

THE BIG SHOW wazee wako ni wakina nani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!!!!!!!! mzee Saidi bana, hii wewe si ndiyo unaita historia ya kweli??????? Ungekuwa muungwana namna hii wala tusingefika mbali hivi. Vipi kuhusu ile 10% pale mlimani katika mapokezi ya Garang umeiderive kutoka wapi?
Ni dhahiri kabisa kuwa Mzee Said, wakati anaandika kitabu hiki alikuwa na agenda mbili- moja: kumpomda Nyerete, mbili: chuki.dhidi ya Ukristo. Hoja kuu ni kuwaaminisha Waislamu kuwa adui wao ni Nyerere na 'Mfumo Kristo" aliouasisi.
Nathubutu kusema kuwa ingawa kwangu Mzee Said ni rika la Mzazi wangu, kama angenipa muswada wa kitabu chake kabla ya kukichapisha
, angekuja na kitabu kizuri sana
 


Sawa sawa kabisa,

Hawa jamaa wanachofanya kwa sasa ni kujiandaa kurusha TAULO ULINGONI,,

Haya MASUMBWI yameshawashinda tayari,wamepigwa ile kitu "chini ya kidevu",,na wamekubali kukaa chini huku mpiganaji wetu akiendelea kudance dance kwa madaha huku akisubiri opponet wako ainuke amalize ubish moja kwa moja,,

Opponent kagoma kabisa kuinuka,wanatia huruma sana..
 
Mohamed Said mjadala umemuelemea, na ukweli umebaki huru, Ametangaza kutuingia tena katika uzi huu ilihali masaa yote anasoma uzi huu huu, Kweli mungu hamfichi mnafiki
 
Huna mpya mpuuzi wewe, hilo zee lako halifai kwa chochote katika nchi yetu. Kwa visa vya kipuuzi kama hivi wewe kwa ujinga wako unadhani ndio historia ya Tanzania! mpumbavu, hizo ni stori za wavuta unga mitaani tu.
 
Hahahaha!!!!!!!!! mzee Saidi bana, hii wewe si ndiyo unaita historia ya kweli??????? Ungekuwa muungwana namna hii wala tusingefika mbali hivi. Vipi kuhusu ile 10% pale mlimani katika mapokezi ya Garang umeiderive kutoka wapi?
Ni dhahiri kabisa kuwa Mzee Said, wakati anaandika kitabu hiki alikuwa na agenda mbili- moja: kumpomda Nyerete, mbili: chuki.dhidi ya Ukristo. Hoja kuu ni kuwaaminisha Waislamu kuwa adui wao ni Nyerere na 'Mfumo Kristo" aliouasisi.
Nathubutu kusema kuwa ingawa kwangu Mzee Said ni rikta la Mzazi wangu, kama angenipap muswada wa kitabu chake kabla ya kukichapisha, angekuja na kitabu kizuri sana maana ningemsaidia kuyaepuka makosa ya dhahiri ambayo yameshusha hadhi ya kitabu chake. Lakini kwa kuwa alikuwa na lengo
, hakutaka muswada wake upitiwe na mtu mwenye mawazo huru ili apenyeshe hisia binafsi kwa Watanzania na Waislamu.
Haishangazi kuwa hakutaka kitabu chake kichapwe Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…