THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mohamed Said mjadala umemuelemea, na ukweli umebaki huru, Ametangaza kutuingia tena katika uzi huu ilihali masaa yote anasoma uzi huu huu, Kweli mungu hamfichi mnafiki
Ndugu yangu Yericko,
naona umekua mnyoonge,umechooka na kuishiwa nguvu kabisa,umeshindwa moja kwa moja kuuthibitishia umma hapa uchochez wa Mohamed Said ulipo,,sasa umeishia kuonekana kwa mang'amung'amu,,
Uchakubimbi umekuponza yericko,,namba yako hii 0715 865544 siku hizi umebadilisha??
najaribu sana kukupigia ili ikiwezekana nikutumie kias hata kwa TIGO PESA uende TBC kutuchukulia ile hotuba ya Julius hadi leo kimya,na simu hupatikan kabisa,au umeniwekea call-barrier??
Pole sana,naona mission yako imefeli vibaya sana,umebanwa hadi kwenye kona kaka..
Lakin wenzako sisi tunatunza kumbu kumbu za wazee wetu,iweje wewe ushindwe kuitunza hotuba ya marehem mzee wako,au kuifuatilia na kuwa nayo kwa maslahi yako binafsi??
Hadi uende TBC??
Aibu kubwa sana hiyo...
Hakuna anaemuogopa, ukiona watu wanamkwepa ujue hana hoja bali viroja.
Mdondoaji,
Tatizo ....
Hajui ukishasoma Qur'an hushindwi kujifunza lugha yoyote na
ukaisema kwa lafidhi ya kupendeza sana...../QUOTE]
Kauli kama hizi ndizo zinanifanya nijiulize kama kweli nia yako hasa ni kutoa darsa na elimu au kueneza Imani yako kwa kutumia ghilba, Mzazi.
Ama kweli Chui hawezi kubadili rangi ya ngozi yake.
Hivi Boko unaakili timamu kweli? sasa huyo mungu wako ananihusu nini mimi? na huo upumbavu wa Mohamed mnaouita ilm unamanufaa gani kwangu? Boko, ninaishi bila hayo matakataka yako naninaraha zangu. Taabu mnataka kuileta nyie wapuuzi na hilo zee lenu chochezi! mnataka tuanze kuchukiana watanzania kwa misingi yenu ya kipuuzi! na ndio maana nalichukia sana hilo zee lenu! Tuacheni tuishi kwa amani katikati ya umaskini wetu!Spike Lee bora hata weweunapata ilm kunawatu humu jamvini kazi yao ni kutukana tu lakini si makosa yao ni imani yao ni dhaifu mwenyezi mungu anasema vifua vyao amevipiga kufuli.Cc Gwalihenzi
Mkuu wanasema eti wameweka 'mipini' Nguruvi aje kujibu!!
Nguruvi anafanya hisani tu hapa kuwajibu
Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe ndo naona hapa Mwanafunzi akimfundisha Maana ya kitu flani Mwalimu wake na mwalimu akashabikia jibu la mwanafunzi!
Kibaya sasa ni kwamba Mwanakijiji alishawafunga mdomo sasa wana-appeal kwa Nguruvi3
Wanarudia maswali,inashangaza sana
Tunawasoma hapa tunawaona ni watu wa aina gani
Huyo ndiye Nguruvi3 aka GOOGLE ya JF....utaki unaacha.
Ndugu yangu Yericko,
naona umekua mnyoonge,umechooka na kuishiwa nguvu kabisa,umeshindwa moja kwa moja kuuthibitishia umma hapa uchochez wa Mohamed Said ulipo,,sasa umeishia kuonekana kwa mang'amung'amu,,
Uchakubimbi umekuponza yericko,,namba yako hii 0715 865544 siku hizi umebadilisha??
najaribu sana kukupigia ili ikiwezekana nikutumie kias hata kwa TIGO PESA uende TBC kutuchukulia ile hotuba ya Julius hadi leo kimya,na simu hupatikan kabisa,au umeniwekea call-barrier??
Pole sana,naona mission yako imefeli vibaya sana,umebanwa hadi kwenye kona kaka..
Lakin wenzako sisi tunatunza kumbu kumbu za wazee wetu,iweje wewe ushindwe kuitunza hotuba ya marehem mzee wako,au kuifuatilia na kuwa nayo kwa maslahi yako binafsi??
Hadi uende TBC??
Aibu kubwa sana hiyo...
Wameujua ukweli lakini wanaona haya kumuasi ndugu yao Mohamed Said
Sijachoka, Namba hiyo ipo hewani 24/7 hata dakika hii piga utanipata tu rafiki. Uchochezi wa Mohamed Said umejidhirisha wazi labda uwe na sababu zako za kuukataa tu. Kumbukumbu kila mtu anao wajibu wakuzitunza, Historia niliyokupeni hapo juu ni hazina tosha isiyo na mawaa ambayo usingeipata kokote duniani zaidi ya kwangu tu, hiyo ni sehemu ya hazina tosha.
Naona sasa hivi ni vita baina ya Waislam na Waikristo.
Wewe huwahutumii akili na huwa huna kumbukumbu. Kwa taarifa yako, ni Mwanakijiji huyo huyo aliyewashauri wapuuzi wenzako akina kadogoo, Boko na Ami wayapeleke maoni yao kuhusu Yesu kwenye jukwaa la dini. Wewe kwa kuwa unamhara sana Mzee Mwanakijiji hata hukusoma maandiko yake unakuja na lawama na vilio kama kawaida yako!Nyie watu wa ajabu sana Mwanakijiji akisema masuala ya dini mpo kimya watu wakimjibu eti mnawashauri waende jukwaa la dini...ha haa haaa haaaa!!
maneno ya kushindwa hayo kijana! njoo na jingine.Unameza mazima mazima sababu aliyekuletea ni dini mmojo huwezi kumpinga hata kama anakudanganya.
Naona sasa hivi ni vita baina ya Waislam na Waikristo.
Sijui kama ulipata nafasi ya kumsikiliza raisi Jakaya Kikwete kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi March 2013, ametoa majibu kuhusu mfumo wako kristo kwamba ni uwongo tu! na kwamba miskiti mitatu ya dar mumemuombea dua yeye Jk afe!Nguruvi,
Sisi Waislam tunachotafuta ni haki.
Ndiyo maana unatuona tumo humu na lugha zetu ni za kistaarabu.
Ingekuwa kheri kama tunaowalalamikia wakatujibu lakini msiba ni
kuwa serikali ina hofu na somo hili wamekaa kimya badala yake
tunajibiwa na Wakristo wanaoishi mitaani kama sie.
Ahsante ndugu yangu nimerudi.
Nimekuambia Nguruvi hapa hakuna kitakachoingia ambacho mimi
sijakiandikia.
Kwa kweli nina mengi sana na nadhani hata wewe hilo ushatambua.
Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!Ami,,
Unajua kwa hizo space ulizoziacha kwaNguruvi3 aje azijaze huko aliko atakuwa analia na kusaga meno,anatetema kwa baridi kali sana,,
Nakusoma sana,hints zako nazifananisha zaid hata ya zomba,,
Bakora zako ni muruah kabisa,tandika bakora hao,usiwahurumie hata kidogo,hakuna uchochez hapa,,
Wanasema sana,tukisema sisi,eti wanasema tuna gubu,,
Mufilisi kabisa hao...
Ondoa upumbavu wako hapa!Naona sasa hivi ni vita baina ya Waislam na Waikristo.