THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mohamed Said mjadala umemuelemea, na ukweli umebaki huru, Ametangaza kutuingia tena katika uzi huu ilihali masaa yote anasoma uzi huu huu, Kweli mungu hamfichi mnafiki
Hebu uone haya kidgo,nani uliemuelemea mjadala hapa baina yake na wewe??
Hivi kweli huon uzito na ukakasi kutamka maneno hayo??
Una makusudi sana Yericko,,,
Pole sana,watu wamejionea ukweli wenyewe,wewe endelea na hicho ukiwazacho..
Last edited by a moderator: