Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Gwalihenzi vipi na hapo MM alikuwa kwenye jukwaa la dini au ndio mkuki kwa nguruwe walamba buti bwana dah
 
Mohamed Said,,

Lipi unalolifahamu kuhusu UWAWARU??

One among the steps being taken to strengthen the CHRISTIAN SYSTEM and weaken islam in this country??

Tunakuthamin sana Ndugu Yetu..
 
Last edited by a moderator:
Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!

Mkuu walimwambia Mkuu wao kwamba wao ni KICHAA wako na VICHAA wenzao wanajadiliana(haya ni maneno yao sio yangu)
 
Gwalihenzi vipi na hapo MM alikuwa kwenye jukwaa la dini au ndio mkuki kwa nguruwe walamba buti bwana dah
Wacha machozi ya mamba wewe kituko, nenda kamfariji kizee wako aliyeingia chaka kiaina. Tulishawaonya mapema kwamba hilo zee lenu haliana hoja limejaa uzandiki na ufatani tu na mwisho litakimbia uwanja kwa visingizio vya kitoto... mara utalisikia likilia eti linatukanwa... na likibanwa kona na Nguruvi3, utalisikia... oh nimekusoma... amini unavyotaka... na uongo mwingi! na hata siamini kama kweli lipo kwenye uislam maana kwa uongo tu halijambo!
 
Geeky,
Umeshangilia goli kabla mpira haujagusa wavu.

Nimeweka kitu kuhusu sensa.
Kipitie Insha Allah.

Ingekuwa vizuri watu wangeweka stats kama huyu bwana inarahisisha mambo sana. Vp lakini unazikubali takwimu hizo? Mie nimeona breakdown inaleta maana na kuthibitisha ni genuine sidhani mtu unaweza pika twakwimu kwa kiwango hicho.
 
Mohamed Said,

Ndiyo maana FIFA wameweka kifaa mbira ukivuka mstari unaonyesha goli sasa huyu ndugu yetu anataka goli kwa nguvu hata mpira haujagusa mstari.

Leteni attachments zenye census statistics hapa hoja zenu zitaeleweka na kuwa na mashiko au uandishi wa historia una marufuku ya kurejea sensa. historia anayotoa Moh ina sources za kimazingira huyu mwenzake anastahili heko kwa kutuwekea attachment moja kwa moja inayojieleza. amefanya la maana. Kuhusu kuongezeka kwa wakristo sio siri uislam unakua kwa kasi ya multiplication by birth na shida hapo ni kipato wengi wetu hatuwezi kuoa wake wengi kwasababu ya kipato. ukristo unatumia zaidi evengelism na pia multiplication by birth ndio maana siku zinavyoenda madheebu ya kikristo yanaongezeka hadi vijijini huku ratio ya wasio na dini inapungua na ya wakristo inaongezeka. Umenierrrewa?!!
alafu Ritz punguza jazba tetea maandiko ya Moh zaidi tuyaelewe.
 
Yah,

naona sasa ni mwendo wa "Jesus had won,and Muhammad had lost",,

Lakin hawatutoi nje ya mada kuu,kwa ufupi VICTORY WON..!!
Hili ndo tatizo la mijadala hii lilipo, watu wamebase kwenye kutetea dini zao hata kama ukweli upo wazi, hata hivyo sio mbaya wacha wengine tuendelee kujifunza
 
Mohamed,'
Ingekuwa vizuri pia kama ungetuwekea hiyo sensa ya 1957. Nakumbuka wakati huo tulikuwa millioni 7 nadhani. Sasa kusema kuwa Waislamu walikuwa wana outnumber wakristo 3 -2 bila kutuwekea source inaleta mashaka. Nina hakika somewhere hizi figures zipo ama sivyo usingeandika hivyo bila kuwa na reliable sources
 

Imekuaje mkawa maskini wakati mlielimika? au nanyi mlipitia madrasa na kuishia kunywa gahwa na kashata vibarazani!
 
Naona sasa hivi ni vita baina ya Waislam na Waikristo.

Nimemuomba Mzee Ruksa aunde tume itakayo patanisha na kuzima vita hii! kwa upande wa Waislamu kawateua Mufti Chui, Alhaji Alhadu, S. Hega, R. Kundya na kwa upande wa pili Mzee Ruksa bado anasubiri majina yao! sijui kama watakubali! mimi nilimshauri badala ya kuunda tume mpya angeitumia UWAWARU ambao ni muungano wa dini mbili kutatua mzozo huu!
 
Mkuu naona kuna mtu anamapenzi makubwa sana na wewe ni aibu tu anaona hapa kuusema ukweli kila akikuona humu lazima aku-quote!

Analalamika eti umemfungia simu.

Tafadhali mkuu mwache tu aendelee kukupigia wala usimfungie simu

Huyo ni STAN wako!

Jiheshimu ili upate heshima!
 
[h=1]Hivi huwezi kuongea bila ya matusi?[/h]
[h=1][/h]






 
Jiheshimu ili upate heshima!

Wewe wa wapi kwanza?

Ni neno gani hapo lililomvunjia mtu heshima??

Nilichokisema kuhusu huyo Stan ni uongo?

Na nani alikwambia mi nahitaji heshima yako?we ukinidharau mi napungua?

Unajifanya unabusara sana eeh!?

Jiangalie!
 
Wewe wa wapi kwanza?

Ni neno gani hapo lililomvunjia mtu heshima??

Nilichokisema kuhusu huyo Stan ni uongo?

Na nani alikwambia mi nahitaji heshima yako?we ukinidharau mi napungua?

Unajifanya unabusara sana eeh!?

Jiangalie!


By Rapherl
Mkuu naona kuna mtu anamapenzi makubwa sana na wewe ni aibu tu anaona hapa kuusema ukweli kila akikuona humu lazima aku-quote!

Analalamika eti umemfungia simu.

Tafadhali mkuu mwache tu aendelee kukupigia wala usimfungie simu

Huyo ni STAN wako!


Hapa tunaongelea uchochezi wa Mohamed said, mambo ya mapenzi na udaku peleka panapostahili!
 

Neno mapenzi hapo umelielewaje ndugu yangu!

Ndo aina ya wanafunzi wa Mohamed wewe hata sishangai

Subiri Mkuu Nguruvi3 kama akija 'labda'anaweza kukutafunia we umeze hiyo kazi mimi siwezi
 
Last edited by a moderator:
Ami,
Nakuvisha kilemba na nakuwekea kashda begani kwako.

Kilemba hiki na kashda hii nakutunuku kwa niaba ya marehemu
Sheikh Hassan bin Amir.
Mzee Said acha kuoga na watoto. Viporo vyao nitavijibu kama utaviweka wewe au wakakuomba wewe kwa niaba yao.Kiwango changu ni wewe.
Nimekupa prelude na naendelea kusisitiza acha kuoga na watoto watakimbia na nguo ulizoweka ufukweni.
 
Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!
Gwalihenzi, waulize lile la sensa limekwisha! hilo wanalosema mbona Mwanakijiji kaliandika kwa uyakinifu na uadilifu tena kwa lugha nzuri na rahisi sana wasichoelewa ni nini?
 

The irony is that with a christian hegemony in place (what they profess to be true) the very same people are up to the neck on the issue of population which is actually counter intuitive. Why? because of their sinister cause they know any census will prove christians and invalidate their claims because bigotry works well when the victims (christians) are a minority and the perpetrators majority then only the masses will be moved to accept their cause.

Tukikubali kuna mfumo kristo kwa miaka zaidi ya 50 tukubali pia mfumo huu umeongeza idadi yao kwani :
1) umewapa access ya huduma muhimu za afya hivyo kuwapa low mortality rate ikizingatiwa wana hospital za rufaa hii inawapa edge katika kudeal na terminal diseases, uwezo wa kliniki za uzazi n.k hasa katika mikoa yenye wakristo.
2) Pia mfumokristo effective utamaanisha wakristo wanasoma kwa wingi hivyo kuwa na uwakilishi mkubwa katika mashirika mbalimbali na wakawa na social class that's also above the rest lakini hili huwa ni tuhuma effectively pale tu ambapo population ya hao wanaotuhumiwa (here christians) ni ndogo significantly which is not true of christians here, wapo wengi kitu ambacho kina justify uwakilishi wao na kukinzana na dhana ya mfumo kristo ndio maana suala la sensa ni ishu.

Waanao lalamika mfumokristo wanapaswa kukubali moja, ila kutuambia wakristo wapo wachache na wehodhi kila kitu ni janja tuliyoishtukia. Hii inanikumbusha. "The protocols of the elders of zion".
 
Gwalihenzi, waulize lile la sensa limekwisha! hilo wanalosema mbona Mwanakijiji kaliandika kwa uyakinifu na uadilifu tena kwa lugha nzuri na rahisi sana wasichoelewa ni nini?

Hii imekaa vizuri ulizaneni wenyewe halafu mujijibu wenyewe ha ha haa mume buggie men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…