MITOCHONDRIA
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 147
- 34
mwandishi wa uzi huu udini na kutojua historia ya zanzibar ndio ulokupelekea kuandika pumba zako soma kitabu kinachoitwa uhasidi wa marekani kwa mapinduzi ya zanzibar. Kilichotungwa na giorgio galinoshadjivayansi na abdulrahman babu ndio utajua ukweli wote otherwise u havo no right to question any thng about zanzibar
Ami,Kote huko kuanzia Afrika Mashariki,kati na Afrika ya magharibi wazungu wakristo ndio waliokuwa wafanyaji biashara ya utumwa.
Kama una mfano wa muarabu au muislamu aliyefanya biashara hiyo toa hapa.
Mkuu Jokakuu, haya ndiyo madhara yatokanayo na kueneza uvumi na propaganda za vikundi kama vya Mohamed Said. Kama unavyoona Mohamed akiamini kuwa Ufisadi wa nyumba ulikuwa halali kwasababu ulifanywa na mwislam tena mzulu, kuna vijana wanaamini kuwa biashara ya utumwa ukibebwa na kupelekwa Uarabuni kuna thawabu.Ami,
..mimi ni Mwafrika.
..haijalishi kwangu ni nani alifanya biashara ya Utumwa.
..ninachoelewa mimi, na kinachosikitisha, ni kwamba Waafrika kwa kiwango kikubwa ndiyo tulikuwa wahanga wa biashara ya Utumwa.
..there is nothing we can do kwa hayo yaliyotokea, but in the future lazima tuseme NEVER AGAIN.
..wewe kama unaona Waarabu hawakuhusika that is fine with me, it seem we have different sources of information.
Mkuu Jokakuu, haya ndiyo madhara yatokanayo na kueneza uvumi na propaganda za vikundi kama vya Mohamed Said. Kama unavyoona Mohamed akiamini kuwa Ufisadi wa nyumba ulikuwa halali kwasababu ulifanywa na mwislam tena mzulu, kuna vijana wanaamini kuwa biashara ya utumwa ukibebwa na kupelekwa Uarabuni kuna thawabu.
Biashara ya utumwa ni ushetani uliovuka mipaka. Bila kujali ilifanywa na mtu wa aina gani,rangi gani na kutoka eneo gani biashara hiyo ilimdhalilisha sana mwafrika na ni moja ya ukatili mkubwa kufanyika duniani.
Hakuna kauli au maelezo yanayoweza kutetea biashara hiyo hata kwa nukta moja.
Mohamed ameaminisha vijana ukiwa mtumwa bara Arab wewe ni mtumwa bora kuliko wa bara Uropa!!
Mkuu Joka, nakuomba uangalie maana mwisho vijana watakukaribisha uoge nao mtoni kama Mo anavyooga nao.
Still beating around the bush! Unachotakiwa ni kukanusha kwanza halafu ueleze unachokijua.
Mag3 alisema nyumba hiyo ilitolewa na David Cameron ambaye wewe umemwandika kama liberal governor.
Nyumba hiyo ikafisadiwa na Klesit Sykes na kulikuwa na mzozo kuhusiana na hilo.
Unatakiwa ujibu swali, halafu kama una maelezo ndiyop yafuate.
So far hujajibu swali, umekata kipande cha kitabu chako na kutuaminisha kuwa Daisy anaweza kuandika kuhusu ufisadi wa K.Sykes Mzulu babu yake.
Nguruvi,
Ikiwa kweli Kleist kafanya uovu huo wa kufisadi mali ya AA hakuna wa kusema
vinginevyo.
Mimi ninachojua ni kuwa nyumba hiyo hakutoa Cameron bali imejengwa na hiyo
nimesoma katika nyaraka za Kleist na najua mmoja wa mjenzi wa nyumba hiyo
kwa kujitolea ni babu yangu pamoja na wazee wengine akina Plantan.
Ikiwa wewe una taarifa zinazosema vinginevyo hilo ni sawa wala si jambo la sie
kuvutana.
Wala mie sitadai uwakilishe hapa ushahidi, la hasha.
Kitu kimoja nakusihi.
Usinifundishe nikujibu vipi swali lako ila kama unaona sikujibu unavyopenda uliza
upya kwa kuweka wazi unachokitaka nikujibu.
Kote huko kuanzia Afrika Mashariki,kati na Afrika ya magharibi wazungu wakristo ndio waliokuwa wafanyaji biashara ya utumwa.
Kama una mfano wa muarabu au muislamu aliyefanya biashara hiyo toa hapa.
Mohamed Said,,
i can see them,they are crying..
lakini bakora bado,mwaga facts na darsa hapa.,
tambua wanaothamin uwepo wako hapa ni wengi sana,tafadhwali tunakusihi utoe elimu hii,Allah atakulipa kheir insha allah..
Mohamed Said,
..Wazungu wenyewe wala hawafichi kwamba walishiriki biashara ya Utumwa.
..Kama sijakosea Archbishop wa Cantebury alishaomba radhi kuhusu suala hilo.
..wako pia watawala wa Kiafrika waliokuwa wakishiriki ktk biashara ya kuuza wenzao Utumwani.
..Tatizo ni sisi Waafrika na Waarabu tumekuwa wabishi kweli kukiri kwamba tulishiriki, na baada ya hapo kuomba "radhi."
..Tena "radhi" yenyewe ni symbolic gesture tu kukiri kilichotokea, na kuazimia kisitokee tena.
NB:
..kinachonishangaza zaidi ni sisi Waafrika kwa defensive kwa Waarabu, au Wazungu.
..wouldnt it make more sense kuwatetea Waafrika wenzetu badala ya hao wageni???
cc: Nguruvi3, Ritz, THE BIG SHOW, Ngongo, Ami
Mohamed Said,
..Wazungu wenyewe wala hawafichi kwamba walishiriki biashara ya Utumwa.
..Kama sijakosea Archbishop wa Cantebury alishaomba radhi kuhusu suala hilo.
..wako pia watawala wa Kiafrika waliokuwa wakishiriki ktk biashara ya kuuza wenzao Utumwani.
..Tatizo ni sisi Waafrika na Waarabu tumekuwa wabishi kweli kukiri kwamba tulishiriki, na baada ya hapo kuomba "radhi."
..Tena "radhi" yenyewe ni symbolic gesture tu kukiri kilichotokea, na kuazimia kisitokee tena.
NB:
..kinachonishangaza zaidi ni sisi Waafrika kwa defensive kwa Waarabu, au Wazungu.
..wouldnt it make more sense kuwatetea Waafrika wenzetu badala ya hao wageni???
cc: Nguruvi3, Ritz, THE BIG SHOW, Ngongo, Ami
THE BIG SHOW,Kama waarabu walishiriki ni wao kimpango wao,kwani waarabu ni nani??
Waarabu waarabu,waislam waislam,
Uislam ndio uliokuja kupiga BAN SLAVE TRADE,wenzako wanaolitambua hilo wanakucheka sana..
Kama waarabu walishiriki ni wao kimpango wao,kwani waarabu ni nani??
Waarabu waarabu,waislam waislam,
Uislam ndio uliokuja kupiga BAN SLAVE TRADE,wenzako wanaolitambua hilo wanakucheka sana..
Geeky,
Inaelekea umeingia katikati ya mjadala.
Swali hilo nimejibu mara kadhaa.
Hakika nilichoandika ni historia ya wazee wangu walivyopigania uhuru kama
walivyonieleza.
Toka awali nimesema si lazima ukubali niliyosema na kwa hakika una haki ya
kuikataa historia hii hata ukaiita ya uongo, porojo, hekaya nk.
Nasema hivi kwa sababu ikiwa mimi nimeikataa historia ya Chuo Cha Kivukoni
''Historia ya TANU 1954 - 1977'' kwa nini iwe mwao wewe utakapoikataa hii
historia niliyoandika mimi?
La mwisho ni kuwa ikiwa yuko mwenye historia ya ukweli basi na aandike Insha Allah
tutaisoma.
Mkuu JokaKuu swali la kichokonozi hivi wale watumwa wa kiAfrika waliopelekwa Uarabuni mbona hatuwaoni kwa wingi kama wale waliopelekwa Amerika !.
Nakala: Ritz THE BIG SHOW Ami Nguruvi3
Mkuu Wickama, hapo kwenye rangi nyekundu, ndio lengo hasa la huyu mzee muovu Mohamed Said. Hebu yasome maneno yake hapa chini;Tatizo langu na mtazamo huu ni kuwa ni matayarisho ya kuwabagua na hatimaye kuwashushia heshima baadhi ya wanajamii kuwa ama dini/kabila/rangi/koo zao hazikuchangia kuikomboa nchi hii. Hili likifanikiwa huwa linatumika kama "platform" ya kuwanyima "ambao hawakuchangia" heshima stahiki. Zipo nchi jirani yetu hili ni tatizo tayari. Au likawa pia ndio jukwaa la "sasa basi, liwalo na liwe".
Huyo ndio mzee bingwa wa HISTOHISIA mwenye wafuasi wanao shikwa kwa uislam wao na sio utaifa wao. Kwake yeye historia ya mapambano ya uhuru ilifanyika na wazee wake tu wa Tandamti, Kipata na Gerezani. Watanganyika wengine hawakushiriki kabisa na kwahiyo wajukuu wao hawana cha kuandika. Bahati mbaya sana ukimuita muongo, mzushi, mdini, mzandiki na mbaguzi atakuja na machozi ya mamba kuwa ametukanwa!The Big Show,
Unajua mimi nawaonea sana huruma hawa ndugu zangu.
Kwa hakika wazee wao hawana historia ambayo wanaweza nao
wakaiandika na ikasomeka kama historia katika kudai uhuru wa
Tanganyika.
Na hili si kosa kwani hawakuwapo Dar es Salaam ambako ndipo
palikuwa chimbuko ya yote haya nielezayo hapa jamvini.
Bahati mbaya wao kitu hiki kimejenga chuki na hasad dhidi ya
historia hii.
Kila ukiwasoma ni jeuri, kejeli, ghadhabu matusi nk.
Mimi nilikuwa nikikaa darasani UDSM na walimu wanasomesha historia
ya uhuru.
Nikiwaambia hiyo haiwezi kuwa historia ya TANU.
Mwalimu atashtuka na ataniuliza historia ya TANU ni ipi?
Hapo namfungulia habari za wazee wangu.
Namwambia Nyerere alikuja kufahamika khasa kwa watu baada ya safari
ya UNO...
Mimi nikawa nasema lile ninalolijua na kwa hakika wakawa wanatatizika sana
na majina kama ya Schneider Abdillah Plantan, Mashado Ramadhani Plantan,
Idd Faiz Mafongo, Idd Tosiri, Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir
nk.
Na nikiwaambia hawa ndiyo TANU yenyewe...
Ndipo Mwamerika mmoja akanambia nikiwa Amerika kuwa ikiwa wewe Mohamed
una uwezo wa kutunga mambo kwa kiasi cha jinsi nilivyosoma katika kitabu chako
basi wewe nakutia katika mawanda ya akina Irving Wallace.
Na huyu ni prof. wa historia ya Afrika.
Mzee Mohammed Said, shukran kwa darsa lako na article ya Sykes na Mr Hamilton. Ongeza dozi ulioahidi, nitaisoma inshallah. Sasa, believe me, sina tatizo na juhudi za Mzee Sykes tangu alipoenda vitani na kurudi(Burma??? not sure, kitabu kinachoelezea maisha yake sikusafiri nacho)na chimbuko la jina la TANU (huko huko kutokana na kitabu hicho pia) na kadhalika. Tofauti zetu zipo kwenye mtazamo. Mimi nikiangalia naona kuwa alipokaa na Mr Hamilton kwa ajili ya haki za wafanyakazi wa Bandarini alikaa kama kiongozi wa Trade Union aliyekuwa na uchungu wa dhulma wa wakati huo. Kwangu mimi, naamini tu kama kweli alihisi uchungu wa dhulma kwa anaowaongoza,yeye kama kiongozi wao bado aliwajibika kuwatetea hata kama asingejua kushahadiah ni nini!!! Sasa, baadhi yetu kule yeye kukaa na Mr. Hamilton wao wanaona Mwislamu akidai haki za wafanyakazi bandarini!!! Njia panda iko hapo. Na ndio maana nadhani bora kukubali kutofautiana. Tatizo langu ni moja tu; Mimi sijauona ushahidi humu eti Sykes, Bibi Titi, Karume, Nyerere, Shamte, na wazee wengine walipoitisha mikutano au migomo waliitiisha kama waislamu au wakiristo na sio kama viongozi wa jamii zao. Tatizo langu na mtazamo huu ni kuwa ni matayarisho ya kuwabagua na hatimaye kuwashushia heshima baadhi ya wanajamii kuwa ama dini/kabila/rangi/koo zao hazikuchangia kuikomboa nchi hii. Hili likifanikiwa huwa linatumika kama "platform" ya kuwanyima "ambao hawakuchangia" heshima stahiki. Zipo nchi jirani yetu hili ni tatizo tayari. Au likawa pia ndio jukwaa la "sasa basi, liwalo na liwe".
Ni kweli kabisa Waarabu hawakushiriki katika biashara ya utumwa. Wenyewe walileta tu halua na kashata. Hata Zanzibar haikutumika kama kituo cha kupeleka watumwa Arabuni. Bagamoyo maana yake si kituo cha kubwaga moyo wako bara ili upelekwe utumwani. Ni wazungu ndio waliowapeleka watumwa Arabuni, India, ambako mpaka leo kuna kundi la waafrika. Saudi Arabia ndiyo usiseme. Wenyewe walinunua watumwa wao kutoka Uingereza na waliwatendea vizuri sana kiasi kwamba leo nusu ya population ya Saudi Arabia ni weusi. Naipenda historia hii.Kote huko kuanzia Afrika Mashariki,kati na Afrika ya magharibi wazungu wakristo ndio waliokuwa wafanyaji biashara ya utumwa.
Kama una mfano wa muarabu au muislamu aliyefanya biashara hiyo toa hapa.