Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Muongo mkubwa, wangoni walipigana na wahehe mara nyingi tu, Wahehe chini ya Mkwawa waliwashambulia wagogo na wakaguru mara nyingi tu! Mirambo na Wanyamwezi walijitanua na kuyasambaratisha makabila mengi tu... Rudi katika historia, achana na majungu ya Mzee Mohamed Saidi kijana!

Darasa hilo la historia iliyosahauliwa. Asante ndugu yangu Gwalihenzi.
 
Mohamed Said,tunaomba darsa zaidi kuhusu hii habari ambayo nimeiona katika one of your books

"waalimu wa kwanza katika shule za misheni walikuwa waislam"
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

..Wazungu wenyewe wala hawafichi kwamba walishiriki biashara ya Utumwa.

..Kama sijakosea Archbishop wa Cantebury alishaomba radhi kuhusu suala hilo.

..wako pia watawala wa Kiafrika waliokuwa wakishiriki ktk biashara ya kuuza wenzao Utumwani.

..Tatizo ni sisi Waafrika na Waarabu tumekuwa wabishi kweli kukiri kwamba tulishiriki, na baada ya hapo kuomba "radhi."

..Tena "radhi" yenyewe ni symbolic gesture tu kukiri kilichotokea, na kuazimia kisitokee tena.

NB:

..kinachonishangaza zaidi ni sisi Waafrika kwa defensive kwa Waarabu, au Wazungu.

..wouldnt it make more sense kuwatetea Waafrika wenzetu badala ya hao wageni???

cc: Nguruvi3, Ritz, THE BIG SHOW, Ngongo, Ami

Na kile kitabu alichoandika Mbotela wa Mombasa, "Uhuru wa Watumwa" kilikuwa riwaya tu. Hakuna mtumwa aliyepelekwa Arabuni wachilia mbali wale waliohasiwa ili wasihujumu "harems' za ma'ustaadh.
 
Mkuu Wickama, hapo kwenye rangi nyekundu, ndio lengo hasa la huyu mzee muovu Mohamed Said. Hebu yasome maneno yake hapa chini;Huyo ndio mzee bingwa wa HISTOHISIA mwenye wafuasi wanao shikwa kwa uislam wao na sio utaifa wao. Kwake yeye historia ya mapambano ya uhuru ilifanyika na wazee wake tu wa Tandamti, Kipata na Gerezani. Watanganyika wengine hawakushiriki kabisa na kwahiyo wajukuu wao hawana cha kuandika. Bahati mbaya sana ukimuita muongo, mzushi, mdini, mzandiki na mbaguzi atakuja na machozi ya mamba kuwa ametukanwa!

kama mzee MS anaelezea histohisia za wazee wake na wewe si ulete za wazee wako mbona bwana mkubwa unaakili za kikasuku kila unalosikia unalisema bila kufanya utafiti kwasababu akili ya kasuku iko masikioni kila analosikia analiropoka, lete na wewe historia ya kweli sio kutokwa na povu hapa.
 
Kama waarabu walishiriki ni wao kimpango wao,kwani waarabu ni nani??
Waarabu waarabu,waislam waislam,
Uislam ndio uliokuja kupiga BAN SLAVE TRADE,wenzako wanaolitambua hilo wanakucheka sana..
Na kituo cha Bagamoyo cha ku-rehabilitate former slaves nacho kilijengwa na Waislamu. Nimekitembelea pale na kuona historia yake.
 
kama mzee MS anaelezea histohisia za wazee wake na wewe si ulete za wazee wako mbona bwana mkubwa unaakili za kikasuku kila unalosikia unalisema bila kufanya utafiti kwasababu akili ya kasuku iko masikioni kila analosikia analiropoka, lete na wewe historia ya kweli sio kutokwa na povu hapa.
Boko, kwani hilo zee lako la hovyo limekuomba ulitetee hapa jukwaani kwa hoja za kipumbavu namna hiyo? Kwa taarifa yako Tanganyika ni moja na hakuna mtanganyika anayeweza kudai wazee wake ndio wenye haki miliki ya nchi hii. Wacheni mizaha nyie wapuuzi. Hapa mmekwama na hilo zee lenu, mmekwisha na haumfui dafu tumewanyamazisha mmebaki na makelele ya kitoto kama haya.
 
Jasusi,

Kabla ya Nyerere ajazaliwa na kuingia kwenye siasa Tanganyika hakujawahi kutokea vita vya kikabila wala vya kidini hii hulka ya Watanganyika.

Acha kudanganya,makabila yalipigana vita tena vita kali,

Mf: Mkwawa alipigana na makabila ya wasangu na wakisi na kisha kuyateka nakuwa himaya yake,

Mifano ipo mingi sana ukitaka utasomeshwa bila ada kabisa hapa hapa jamvini.
 
Kadogoo,
Naona bado mnaendeleza uwongo wa kumchafua Nyerere. Hakuna mahali hata siku moja ambako Nyerere alisema hakuna fikra sahihi zaidi yake. I challenge you to bring here that statement coming from Nyerere. Nyerere ameacha rekodi inayotukuka. Na hata mkijaribu kumchafua kiasi gani itakuwa kama mtu anayekimbiza kivuli chake.

Jamani! wapi mimi nimemtaja Mwalimu? nilimkumbusha RITZ kuhusu jamaa mmoja sasa wewe kwanini unashaka kuwa ni Julius? kuna huu ugonjwa unaoitwa Schizophrenia What is Schizophrenia? ni wa kuchunga sana la sivyo unaweza kutushambulia hata humu humu JF!
 
Kadogoo,

Bon Voyage,
Nilikuwa Cairo 1988 na 1991.

Bahati mbaya nilifika Egyptian Museum lakini ile chamber ya Firauni ilikuwa imefungwa na serikali
kwa kuwa watu walikuwa wakimfananisha Anwar Sadat na Firauni kwa hiyo sikubahatika kumuona
Firauni.

Nlikaa Cleopatra Hotel, Taharir Square.
Nimefika Giza na kutazama mapiramidi Alhamdulilah.

Wakati niko Cairo ndiyo wamefungua underground train yao.
Nadhani unajionea mwenyewe wazimu wa barabara za Cairo jinsi magari yalivyojaa na watu walivyo
wengi.

HQ yangu ilikuwa Alexandria nilikuwa nasoma hapo.

Ukifika Alexandria usikose Insha Allah kufika Montaza Palace yaliyokuwa mapumziko ya King Farouk
pana msikiti mzuri sana hapo.

Vilevile fika Greco Roman Museum kuna kasri la Warumi hapo na kila kitu chao kimo kama kimeachwa
jana.

Fika Port Said ni mji umefanana sana na Dar es Salaam.
Nilkaa hapa hotel moja Holiday Inn lakini kichekesho hilo ni jina tu siyo ile ''chain of hotels'' ya Wamerikani.

Nakumbuka jambo moja hapo Port Said.

Wakati huo kijana basi nimefungua radio napata stesheni moja kutoka Malta FM wanapiga muziki wa Motown:
Marvin Gaye, Tempations, Diana Ross...

Wakati umekwenda wapi?
Ala kuli hali nakutakia safari njema.

Ukipita Zamalek Street usisahau kuwarehemu Ahmed Rashad Ali na Abdulwahid Sykes.
Ofisi za Radio Free Africa ndipo zilipokuwa hapo pamoja na ofisi nyingine za wapigania uhuru.

MS,

Nashukuru sana kwa TIPS za maeneo hayo muhimu na ya historia! mimi kiarabu ni cha kuombea maji hivyo umenisaidia sana kunitaarifu maeneo hayo ambayo sijafika na inshaalah ntaenda! Kesho Allah akijaalia natembelea eneo la Salahu Diin mpiganaji na mwanaharakati wa Kurdi aliepigana na maadui wa Allah na kukomboa Misri na maeneo matukufu ya Jerusalemu!

MS kwa mara nyingine nakushukuru na kukuombea dua Allah akulinde na maadui na mahasidi!
 
Kadogoo,

Nakutakia safari njema bila shaka itakuwa safari ya UMRA bahati mbaya mwaka nilipanga kwenda UMRA nikapata mtihani kidogo kutoka kwa jamaa yangu Inshaalah mwakani na mie tafika hapo.

Tashukuru ukiniletea kanzu saizi 62 mwili mkubwa ndugu yangu na kitabu chochote cha historia.

Kama nakumbuka Abdulwahid walikutana Cairo mwaka 1964 na kina Ally Said, Ally Said Maswanya na Waziri wa mambo ya ndani kipindi kile Kitwana Luga.

Nakutakia safari njema.

Asante RITZ,

Kanzu umepata inshallah! ila wapenda rangi gani? halafu ziko za Oman Style, saudia, Masri(hizi ni kanzu nzito na ndefu mpaka kwatoni) na ziko za Morocco style hizi zimenivutia na nimejipatia kamoja maana zina kakofia upande wa nyuma! hapa Cairo ni mji wa kimataifa kuna kila aina ya watu wanaokuja kusoma na kutalii na kufanya biashara! kilicho nivutia zaidi ni mahusiano mazuri kati ya Waarabu Waislamu na waarabu Wakristo! wanaishi mitaani pamoja bila tatizo ila nimemhoji Bwana mmoja mkristo kuwa nani wanaochinja nyama na kusema tangu enzi na enzi ni Waislamu!

RITZ, huko kwetu kumeingia fitina kubwa na kama hatua za haraka na makusudi hazikuchukuliwa huenda tukaingia ktk machafuko ya kijinga kabisa na yasiokuwa na sababu!
 
Na kituo cha Bagamoyo cha ku-rehabilitate former slaves nacho kilijengwa na Waislamu. Nimekitembelea pale na kuona historia yake.

SISHANGAI WATU WA SAMPULI YAKO,
nitakupa kisa kimoja,mimi mjomba yangu ni mwanasiasa wa CCM japo siipendi CCM na naichukia lakini siwez kumchukia mjomba yangu..
yeye ni balozi wa Tanzania Oman,kuna siku alishawahi nipa kisa kimoja ya kwamba kuna siku wakati yupo zake uarabuni alitembelewa na rafiki yake mwenye iman ya kikristo,na alikaa nae kule takriban kama wk moja hivi..
ilifika jumapili siku ya kwenda kanisani sasa jamaa yule akamuomba uncle wangu ampeleke na kumwonyesha kanisa lilipo,uncle alimwongoza rafiki yake hadi kanisani na kumwacha hapo kisha yeye akaendelea na ratiba zake kisha baadae akaenda kumchukua pale misa zilipoisha,
Sasa yule jamaa alivorudi nyumbani akaanza kulalamika Dah Omary mimi nimekuomba unipeleke kanisani kwa nin wewe ukanipeleka msikitini??mimi nimeona kwa asilimia kubwa ibada zao wale jamaa zinashahabiana na waislam,
Uncle akamuuliza kwa nini unasema ivyo??
Jamaa akajibu kwanza nimekuta waumini mle ndan karibia wote wamevaa kanzu na wamefuga ndevu kama waislam..
Pili nimeona muongoz ibada anamtaja taja Allah Allah Allah huku ameshika biblia takatifu..!,,sasa kwenye biblia wapi Allah ametajwa?Allah si ni mungu wa waislam??
Akatoa duku duku zake nyingi sana,uncle alimwambia ya kwamba wewe unachanganya mambo,wewe ulidhan ya kwamba huku arabuni hakuna wakristo??na kama wapo unadhan lugha watakayotumia ni ipi kama si kiarabu??
kuvaa kanzu si uislam,kuvaa kanzu ni utamaduni wao..
na Allah ni jina ambalo hata wao wanalitumia,wewe lisikuchanganye sana..
Kwaiyo hao waarabu kufanya biashara ya utumwa ni wao,lakini hao si waislam,waarabu waliofanya hayo hawakuja kwa gia ya kueneza uislam,
Uislam ndio dini iliyokuja kupiga BAN SLAVE TRADE..
Usichanganye mambo..
 
Asante RITZ,

RITZ, huko kwetu kumeingia fitina kubwa na kama hatua za haraka na makusudi hazikuchukuliwa huenda tukaingia ktk machafuko ya kijinga kabisa na yasiokuwa na sababu!
Wakulaumiwa hapa ni huyo mzee wenu Mohamed Said aliyechochea chuki na uhasama wa kidini hapa nchini na haya ndio matunda yake. Cha ajabu nyie wafuasi wake mnajifanya hamnazo kutwa kuchwa mpo hapa kumpa masifa kem kem! Shame on you all!
 
SISHANGAI WATU WA SAMPULI YAKO,
nitakupa kisa kimoja,mimi mjomba yangu ni mwanasiasa wa CCM japo siipendi CCM na naichukia lakini siwez kumchukia mjomba yangu..
yeye ni balozi wa Tanzania Oman,kuna siku alishawahi nipa kisa kimoja ya kwamba kuna siku wakati yupo zake uarabuni alitembelewa na rafiki yake mwenye iman ya kikristo,na alikaa nae kule takriban kama wk moja hivi..
ilifika jumapili siku ya kwenda kanisani sasa jamaa yule akamuomba uncle wangu ampeleke na kumwonyesha kanisa lilipo,uncle alimwongoza rafiki yake hadi kanisani na kumwacha hapo kisha yeye akaendelea na ratiba zake kisha baadae akaenda kumchukua pale misa zilipoisha,
Sasa yule jamaa alivorudi nyumbani akaanza kulalamika Dah Omary mimi nimekuomba unipeleke kanisani kwa nin wewe ukanipeleka msikitini??mimi nimeona kwa asilimia kubwa ibada zao wale jamaa zinashahabiana na waislam,
Uncle akamuuliza kwa nini unasema ivyo??
Jamaa akajibu kwanza nimekuta waumini mle ndan karibia wote wamevaa kanzu na wamefuga ndevu kama waislam..
Pili nimeona muongoz ibada anamtaja taja Allah Allah Allah huku ameshika biblia takatifu..!,,sasa kwenye biblia wapi Allah ametajwa?Allah si ni mungu wa waislam??
Akatoa duku duku zake nyingi sana,uncle alimwambia ya kwamba wewe unachanganya mambo,wewe ulidhan ya kwamba huku arabuni hakuna wakristo??na kama wapo unadhan lugha watakayotumia ni ipi kama si kiarabu??
kuvaa kanzu si uislam,kuvaa kanzu ni utamaduni wao..
na Allah ni jina ambalo hata wao wanalitumia,wewe lisikuchanganye sana..
Kwaiyo hao waarabu kufanya biashara ya utumwa ni wao,lakini hao si waislam,waarabu waliofanya hayo hawakuja kwa gia ya kueneza uislam,
Uislam ndio dini iliyokuja kupiga BAN SLAVE TRADE..
Usichanganye mambo..

Aaah, kumbe Suleiman Saleh wa ubalozi hapa DC ni mjomba wako? Ni rafiki yangu mkubwa. Lakini sijachanganya mambo. Utumwa Uarabuni ulikuwepo kama vile ulivyokuwepo Uingereza, Marekani, Carribea, South na Latin America.
 
Ni Omary,sio Suleiman Saleh,,
Na ni Balozi wa Tanzania Saudi na sio DC,
Kama unatambua hilo mbona ulipotosha pale kwa kushadadia ya kwamba waislam walijusisha na biashara ya utumwa??
Waislam hawakujihusisha na biashara hiyo,kwa kuwa Dini yao imepiga marufuku biashara hiyo..
 
Ni kweli kabisa Waarabu hawakushiriki katika biashara ya utumwa. Wenyewe walileta tu halua na kashata. Hata Zanzibar haikutumika kama kituo cha kupeleka watumwa Arabuni. Bagamoyo maana yake si kituo cha kubwaga moyo wako bara ili upelekwe utumwani. Ni wazungu ndio waliowapeleka watumwa Arabuni, India, ambako mpaka leo kuna kundi la waafrika. Saudi Arabia ndiyo usiseme. Wenyewe walinunua watumwa wao kutoka Uingereza na waliwatendea vizuri sana kiasi kwamba leo nusu ya population ya Saudi Arabia ni weusi. Naipenda historia hii.
Hii ni kama kebehi kwa waislamu kupitia waarabu.
Napenda unijibu kati ya Bakhresa na wauzaji wa mikate yake au icecream nani anayetajwa ndiye tajiri wa bidhaa hizi?.
Hii historia ya Bwagamoyo na Zanzibar ni sehemu ambayo kama kutakuwa na kuombana radhi kwa kuzushiana jambo basi waislamu na waarabu wangepaswa wafanyiwe hivyo.
Kumbuka kwamba anayekamatwa na kamba ndiye mwizi wa Ng'ombe.Ndani ya kanisa kuna kumbukumbu ya vigingi vilivyotumika kufungia watumwa.Sasa utasemaje waliofanya biashara hiyo ni waislamu na si wakristo.?

Mohamed Said,

..Wazungu wenyewe wala hawafichi kwamba walishiriki biashara ya Utumwa.

..Kama sijakosea Archbishop wa Cantebury alishaomba radhi kuhusu suala hilo.

..wako pia watawala wa Kiafrika waliokuwa wakishiriki ktk biashara ya kuuza wenzao Utumwani.

..Tatizo ni sisi Waafrika na Waarabu tumekuwa wabishi kweli kukiri kwamba tulishiriki, na baada ya hapo kuomba "radhi."

..Tena "radhi" yenyewe ni symbolic gesture tu kukiri kilichotokea, na kuazimia kisitokee tena.

NB:

..kinachonishangaza zaidi ni sisi Waafrika kwa defensive kwa Waarabu, au Wazungu.

..wouldnt it make more sense kuwatetea Waafrika wenzetu badala ya hao wageni???

cc: Nguruvi3, Ritz, THE BIG SHOW, Ngongo, Ami
Wazungu hufikia pahala wakasema na kukubali ukweli.Tatizo ni sisi waafrika.Hakuna siku tutakubali kwamba kweli waislamu wa nchi hii ndio walioongoza mapambano ya kudai uhuru na hatimae kufutwa.Wako watu wana nahau nyingi kung'ang'ania uongo.
Badala kuomba radhi au angalau kurekebisha kasoro ndio kwanza madhalimu wanakaza kamba kuwanyonga waislamu wakataraji ndio watawamaliza kabisa.
 
akina MO wanamwombea kikwete afilie mbali

"Ipo misikiti mitatu hapa Dar es Salaam wamenisomea itikafu nife. Katika itikafu hiyo wamewajumuisha Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Ndugu Suleiman Kova.
"Ndugu wananchi, napenda kuwahakikishia Watanzania wenzangu kuwa mimi na serikali ninayoiongoza, hatupendelei upande wowote. Hatufurahishwi na kitendo cha mtu kudhalilisha dini ya mwenzake ndiyo maana wapo wahadhiri wa dini ya Kiislam na wahubiri wa dini ya Kikristo wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa nyakati mbalimbali," alisema JK bila kuitaja misikiti hiyo.
Hata hivyo, kuna madai kwamba, misikiti hiyo, mmoja upo Temeke, miwili ipo Kariakoo ambapo waumini wake wamewahi kukesha kwa ajili ya dua ya Itikafu kwa viongozi hao jambo ambalo rais amekanusha kuangamiza imani yoyote nchini."
 
Hii ni kama kebehi kwa waislamu kupitia waarabu.
Napenda unijibu kati ya Bakhresa na wauzaji wa mikate yake au icecream nani anayetajwa ndiye tajiri wa bidhaa hizi?.
Hii historia ya Bwagamoyo na Zanzibar ni sehemu ambayo kama kutakuwa na kuombana radhi kwa kuzushiana jambo basi waislamu na waarabu wangepaswa wafanyiwe hivyo.
Kumbuka kwamba anayekamatwa na kamba ndiye mwizi wa Ng'ombe.Ndani ya kanisa kuna kumbukumbu ya vigingi vilivyotumika kufungia watumwa.Sasa utasemaje waliofanya biashara hiyo ni waislamu na si wakristo.?

Wazungu hufikia pahala wakasema na kukubali ukweli.Tatizo ni sisi waafrika.Hakuna siku tutakubali kwamba kweli waislamu wa nchi hii ndio walioongoza mapambano ya kudai uhuru na hatimae kufutwa.Wako watu wana nahau nyingi kung'ang'ania uongo.
Badala kuomba radhi au angalau kurekebisha kasoro ndio kwanza madhalimu wanakaza kamba kuwanyonga waislamu wakataraji ndio watawamaliza kabisa.

Unawaweka kwenye Kona sana..
Naomba uwapatie na leso wafute machozi yao..
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Hii ni kama kebehi kwa waislamu kupitia waarabu.
Napenda unijibu kati ya Bakhresa na wauzaji wa mikate yake au icecream nani anayetajwa ndiye tajiri wa bidhaa hizi?.
Hii historia ya Bwagamoyo na Zanzibar ni sehemu ambayo kama kutakuwa na kuombana radhi kwa kuzushiana jambo basi waislamu na waarabu wangepaswa wafanyiwe hivyo.
Kumbuka kwamba anayekamatwa na kamba ndiye mwizi wa Ng'ombe.Ndani ya kanisa kuna kumbukumbu ya vigingi vilivyotumika kufungia watumwa.Sasa utasemaje waliofanya biashara hiyo ni waislamu na si wakristo.?

Wazungu hufikia pahala wakasema na kukubali ukweli.Tatizo ni sisi waafrika.Hakuna siku tutakubali kwamba kweli waislamu wa nchi hii ndio walioongoza mapambano ya kudai uhuru na hatimae kufutwa.Wako watu wana nahau nyingi kung'ang'ania uongo.
Badala kuomba radhi au angalau kurekebisha kasoro ndio kwanza madhalimu wanakaza kamba kuwanyonga waislamu wakataraji ndio watawamaliza kabisa.

Hakuna mahali nimesema utumwa ulifanywa na Waislamu. Na ndugu yangu The Big Show amenionyesha kuwa hata Uarabuni kuna Wakristo. Nilichosema ni kuwa utumwa wa Afrika mashariki ulifanywa na Waarabu. Naweza kuongezea kuwa ule wa Afrika magharibi, kati na Congo ulifanywa na wazungu. Umenipata?
 
Mwanakijiji,
Huhitaji kwenda mbali kuona matunda ya kazi aliyofanya Mwalimu. Nchini Kenya, wakati wa harakati za kupigania uhuru, kulikuwepo mshikamano mkubwa baina ya makabila kiasi kwamba Jaramogi alikubali kumwachia Kenyatta uongozi wa nchi. Lakini sote tunajua kilichotokea. Kenyatta baada ya uhuru akageuka kuwa tribal chief na kupendelea kabila lake. Nakumbuka mwaka 1973 ukipiga simu kwenye ofisi ya serikali Nairobi ama wanakujibu kwa Kikikuyu, aterere, au kama husemi Kikikuyu ni Kiingereza. Matokeo yake sote tunayaona leo. Kenya hata uchaguzi lazima ufanyike kwa tribal alliances. Na ukabila utawatafuna mpaka siku ya kiyama.

Na ndipo Mohamed Said, Wasomi na wanaharakati wa Kiislamu hivyo hivyo wanadai wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kulikuwepo mshikamano mkubwa baina ya Waislamu na Wasio Waislamu kiasi kwamba Abdu Syke na akina Sheikh Hassan Bin Amir kumkubali Nyerere na kumwachia uongozi wa nchi. Lakini sote tunajua kilichotokea.
Nyerere baada ya uhuru akageuka kuwa Religions chief na kupendelea dini lake. Nakumbuka Mzee Lilla Bori http://www.islamtanzania.org/mwembechai/ alipohoji kwanini majina ya Wanafunzi wa Kiislamu yanatupwa kapuni nakujibiwa kwa Kebehi, hivi wewe hapa mgeni?, Matokeo yake sote tunayaona leo. Tanzania hata uchaguzi lazima ufanyike kwa religions alliances. Na udini sijui utatutafuna mpaka lini!.
 
Back
Top Bottom