Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi,
Mimi si mtu wa ubishi na ndiyo maana nimejizuia kwa muda mrefu kukuuliza
nyumba ya African Association Kleist aliifisadi vipi?

Kuhusu utumwa wala si jambo mtu yoyote likampendeza ila ninachosema mimi
ikiwa tunataka kuuzungumza utumwa basi usiishie kwa Waarabu tuuzungumze
na ule wa Transatlantic.

Huo ndiyo uadilifu.

Ikutoshe tu katika meli za watumwa zilizokuwa zinakwenda Amerika moja ikiitwa
''Jesus.''

Ndio maana namlaumu mwalimu wako wa Mantiq! kwamba kama tunasema "Waislamu" walishiriki biahsara ya Utumwa basi ni lazima tuzungumzie Wakristu nao walivyoshiriki. Kwa kufanya hivyo tunakuwa 'fair' kwa Wakristu na Waislamu? What kind of reasoning is this; it is beyond pathetic. Uovu wa Utumwa haujalishi nani alikuwa anafanya! Lakini pia hata tukileta hoja ya TransAtlantic Slave Trade inahusiana vipi na Tanganyika? Idadi gani ya Watumwa kutoka maeneo ya pwani ya Bahari ya Hindi waliishia Americas?
 
Wenye hulka za kutwangana wanatoka maeneo anayotoka Mwalimu! angalia mara vita vya wakurya na watani wao!,
MM,
Tupe ushahidi kama unao kwamba Tanganyika tulitwangana sana ili tupate Ilm na darsa kama anavyofundisha mwenzako MS.

Nikifanya hivi nitakuwa nakusaidia kuendelea kuwa mvivu kufanya utafiti wako mwenyewe. Mambo mengine fanya utafiti tu mdogo tu wala hauendi mbali.

Clue: Tafuta kwanini baadhi ya makabila yanaitana Watani...
 
Ni Omary,sio Suleiman Saleh,,
Na ni Balozi wa Tanzania Saudi na sio DC,
Kama unatambua hilo mbona ulipotosha pale kwa kushadadia ya kwamba waislam walijusisha na biashara ya utumwa??
Waislam hawakujihusisha na biashara hiyo,kwa kuwa Dini yao imepiga marufuku biashara hiyo..

HIvi unazungumzia vitu gani? Sultani wa Zanzibar alikuwa dini gani?
 
Nyerere baada ya uhuru akageuka kuwa Religions chief na kupendelea dini lake. Nakumbuka Mzee Lilla Bori Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania alipohoji kwanini majina ya Wanafunzi wa Kiislamu yanatupwa kapuni nakujibiwa kwa Kebehi, hivi wewe hapa mgeni?, Matokeo yake sote tunayaona leo. Tanzania hata uchaguzi lazima ufanyike kwa religions alliances. Na udini sijui utatutafuna mpaka lini!.

Na wewe maskini wa Mungu unaamini kabisa hilo simulizi? isije kuwa unaamini kuwa kuliukwa na kikapu cha kutupia majina!! Porojo za mitaani zinapogeuzwa historia ndio matokeo yake haya...
 
Nikifanya hivi nitakuwa nakusaidia kuendelea kuwa mvivu kufanya utafiti wako mwenyewe. Mambo mengine fanya utafiti tu mdogo tu wala hauendi mbali.

Clue: Tafuta kwanini baadhi ya makabila yanaitana Watani...

Sisi watu wa vibarazani wanywa gahwa na kashata tumeshazoezwa kuwa wavivu tangu uhuru sasa utafiti huo mi taanzia wapi? nifanyie hisani MM kutuwekea hapa historia ya vita vya makabila ya Tanganyika kama anavyofanya mwenzangu mnywa gahwa na kashata MS! halafu MS na wenzake JK, Bilali, Saidi Mwema, Njozi inawezekana hawakuwa wanywa gahwa sana ndio maana leo wana position nzuri ktk nchi hii! halafu cha ajabu akina MS na wenzake wanalalamikia mfumo kristo wakati nyadhifa zote muhimu za juu wanazishika wao!
 
HIvi unazungumzia vitu gani? Sultani wa Zanzibar alikuwa dini gani?
Na huyu je??
Slavery always existed in Africa as part of a social system but trade started with Arab raiders arriving around the 9th century to take Africans to markets in Mesopotamia, India, Persia and Arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by Arab slavers helped by local tribes such as the Nyamwezi who became their redoubtable partners. The most renowned Arab trader was Tippu Tip (Hemedi bin Muhammad el Marjebi), born in Zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the Upper Congo, Lake Tanganyika and Bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to Zanzibar for sale to foreign merchants. In East Africa all the main routes, such as the above, lay in Tanganyika: a route in the North passed through Karagwe and North of Lake Victoria and divided to head north to Bunyoro and north-east towards Buganda. A less frequented route in the south exploited by the Yao, led from Lake Nyasa to Kilwa.
The movement to abolish the slave trade started in England after publication of John Wesley's Thought upon Slavery in 1774 followed by Scottish economist Adam Smith's work The Wealth of Nations published in 1776. The latter laid to rest once and for all the 200 year-old economic belief that slave labour was cheaper than free men's work.
It still took more than a century for Slavery to be totally abolished. The Moresby Treaty in 1822, the Hamerton Treaty in 1845 and finally on 5th June 1873 the treaty signed between the British Consul in Zanzibar, Sir John Kirk, and Sultan Barghash made slave trading illegal. By 1889 all former slaves were declared free men and the status of slave was abolished in 1907 in British East Africa. Compensation claims, the last step to offset the intricate human-economic impact brought about by the abolition, were not considered after 31 December 1911.
In Tanganyika the status lasted another 15 years until the end of German rule when the country became a British Protectorate in 1922
 
Na wewe maskini wa Mungu unaamini kabisa hilo simulizi? isije kuwa unaamini kuwa kuliukwa na kikapu cha kutupia majina!! Porojo za mitaani zinapogeuzwa historia ndio matokeo yake haya...

Mbona wewe uliamini porojo za mitaani kuwa Slaa alishinda urais mwaka 2010?
 
Mohamed Said,tunaomba darsa zaidi kuhusu hii habari ambayo nimeiona katika one of your books

"waalimu wa kwanza katika shule za misheni walikuwa waislam"

Son...
Umesoma hii kutoka kitabu cha Sykes:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]''This group of migrant labourers was looked down upon by the locals, and in return the Makonde with no religious belief whatsoever kept to themselves.

There was no interaction between the Makonde from the Portuguese colony of Mozambique and the Muslim Makonde of Tanganyika.

Being far from home where life under the Portuguese was harsh this immigrant labour force fell under the influence of the Church.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Missionaries had built a very big church on a hill top a few miles from Mikindani to avoid antagonizing the Muslim majority.

Near the church they had built a mission school where at one time Alfred Omari, a baptised son of a Muslim, Makua, taught.[1]

It is of interest to note that the first African to go to a mission school in the south was probably Charles Suleiman.

He was a Muslim boy who was converted to Christianity by missionaries.
He came to be the first qualified African teacher in the late 1800s.''

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

1] The son of Alfred Omari, Dunstan Omari went to study in Britain and was the first African District Officer in 1955 and the
first African District Commissioner in 1958.

Son...

Kuna hii paper: ''The Question of MuslimStagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper
presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian
Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).''

Insha Allah nikiitia mkononi nitakuwekea.
 
na huyu je??
slavery always existed in africa as part of a social system but trade started with arab raiders arriving around the 9th century to take africans to markets in mesopotamia, india, persia and arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by arab slavers helped by local tribes such as the nyamwezi who became their redoubtable partners. The most renowned arab trader was tippu tip (hemedi bin muhammad el marjebi), born in zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the upper congo, lake tanganyika and bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to zanzibar for sale to foreign merchants. In east africa all the main routes, such as the above, lay in tanganyika: A route in the north passed through karagwe and north of lake victoria and divided to head north to bunyoro and north-east towards buganda. A less frequented route in the south exploited by the yao, led from lake nyasa to kilwa.
The movement to abolish the slave trade started in england after publication of john wesley's thought upon slavery in 1774 followed by scottish economist adam smith's work the wealth of nations published in 1776. The latter laid to rest once and for all the 200 year-old economic belief that slave labour was cheaper than free men's work.
It still took more than a century for slavery to be totally abolished. The moresby treaty in 1822, the hamerton treaty in 1845 and finally on 5th june 1873 the treaty signed between the british consul in zanzibar, sir john kirk, and sultan barghash made slave trading illegal. By 1889 all former slaves were declared free men and the status of slave was abolished in 1907 in british east africa. Compensation claims, the last step to offset the intricate human-economic impact brought about by the abolition, were not considered after 31 december 1911.
In tanganyika the status lasted another 15 years until the end of german rule when the country became a british protectorate in 1922

source?
 
Mr. Gwalihenzi, shukrani sana. Awali ya yote haipo nchi duniani iliyoweza kuiandika historia yake YOTE ikionesha kila mtu nchini humo hiyo alifanya nini na lini na wakati gani ili kuikomboa au kuiangamiza. HAIPO. Kwa hiyo siyo kila unalolichangia eti liwe kwenye mitala ya nchi. Marekani wanafunzi wa historia hawamsomi Collin Powells kama mitaala. Suluhisho huwa ni wahusika kuandika memoirs zao katika taasisi zao. Memoir ya daktari bingwa wa KCMC itaisaidia KCMC kihistoria na kitaaluma itawasaidia madaktari wengine pia. Kwenye siasa hali kadhalika, Memoirs za wazee wa TAA, TANU, AFRO SHIRAZ, AMNUT, leo zingefurika idara za siasa za vyuo vikuu vyetu na vyama vya siasa; jeshi (k.m. memoirs za majenerali waliopiganisha vita); dini (masheikh, maaskofu). Na hata vitabu kabisa. Kinachotokea hapa ni kuwa kwa vile wazee wa TAA na TANU hawakuandika kumbukumbu zao, wameuacha mwanya ambao kina SISI sasa tunajaribu kuuziba lakini kwa kudai haki kwa niaba yao. Hii pekee yake sio tatizo. Tatizo ni pale unapohuisha fikra kuwa watu fulani waliwahujumu baadhi ya wazee hawa au hata wewe kwa vile wanaokuhujumu wanaabudu kitofauti na wewe au tofauti na hao unaowatetea. Au tena ukataka sote tukubaliane na wewe eti kutokana na baadhi ya wazee wetu kutokuwapo Dar enzi hizo za harakati (wengine walikuwa Mubondo, Shirati,Mbozi na kwenye mikonge Tanga nk),au eti kwa vile baadhi yao hata dini hawakuwa nazo basi haiwezekani wakawa waTanganyika kama wewe uliyekuwapo Dar na dini yako huku hukatai kupokea michango yao ya pesa toka bara ili kisiasa usikwame. Hii haikubaliki.
 
Na huyu je??
Slavery always existed in Africa as part of a social system but trade started with Arab raiders arriving around the 9th century to take Africans to markets in Mesopotamia, India, Persia and Arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by Arab slavers helped by local tribes such as the Nyamwezi who became their redoubtable partners. The most renowned Arab trader was Tippu Tip (Hemedi bin Muhammad el Marjebi), born in Zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the Upper Congo, Lake Tanganyika and Bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to Zanzibar for sale to foreign merchants. In East Africa all the main routes, such as the above, lay in Tanganyika: a route in the North passed through Karagwe and North of Lake Victoria and divided to head north to Bunyoro and north-east towards Buganda. A less frequented route in the south exploited by the Yao, led from Lake Nyasa to Kilwa.
The movement to abolish the slave trade started in England after publication of John Wesley's Thought upon Slavery in 1774 followed by Scottish economist Adam Smith's work The Wealth of Nations published in 1776. The latter laid to rest once and for all the 200 year-old economic belief that slave labour was cheaper than free men's work.
It still took more than a century for Slavery to be totally abolished. The Moresby Treaty in 1822, the Hamerton Treaty in 1845 and finally on 5th June 1873 the treaty signed between the British Consul in Zanzibar, Sir John Kirk, and Sultan Barghash made slave trading illegal. By 1889 all former slaves were declared free men and the status of slave was abolished in 1907 in British East Africa. Compensation claims, the last step to offset the intricate human-economic impact brought about by the abolition, were not considered after 31 December 1911.
In Tanganyika the status lasted another 15 years until the end of German rule when the country became a British Protectorate in 1922
Asante mkuu,
 
Kadogoo, THE BIG SHOW,

..Wakristo, Waislamu, etc etc kufanya maovu haimaanishi kwamba imani/dini zao zimehalalisha uovu huo.

..kuna kipande nimekutana nacho kinaeleza kwamba hata Wahindi walikuwa na mkono wao ktk biashara ya utumwa ktk eneo letu la Afrika Mashariki.
 
Last edited by a moderator:
HIvi unazungumzia vitu gani? Sultani wa Zanzibar alikuwa dini gani?

Mzee Mwanakijiji
Hitler alikuwa dini gani??
mimi nadhani unapojaribu kuongea vitu ni vema sana ukatuliza fikra na medulaoblangata yako ili uzid kuilinda reputation yako ulijiwekea tokea miaka nenda rudi humu mitandaoni,pia jaribu kucontrol mihemko yako na kuepuka kuzungumzia iman za watu ambazo huzijui,
unaomuita mtu fulani ni muislam ni lazima uangalie ni kwa nini huyu ni muislam,je ni muislam kwa kuwa huyu anaitwa ni sulatan said barghash?ni muislam kwa kuwa huyu anaitwa Abdallah?ni muislam kwa kuwa huyu anafuga ndevu na kuvaa kanzu??na ndio kwa maana nikakwambia hata uarabuni mabedui na wakristo pia wapo..
Ngoja nikupe definition ya nani ni muislam;
Muislam ni yule aliekiri ya kwamba hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa mola mmoja,muumba wa mbingu na ardhi,yule mpweke,mola ambae hakuzaa wala hakuzaliwa,mola yule ambae hakuna hata kiumbe anaefanana nae,mola yule asie na utatu,kisha baada ya kumuamin mola huyo akajiweka katika kufuata maamrisho yake na kuyaacha makatazo yake,na katika umma huu wa mwisho tunaongezea ya kwamba na ni yule aliekiri ya kwamba muhammad ni mtume wa mwenyezmungu na kufuata maamrisho yake na kuyaacha makatazo yake yaliteremshwa kupitia kitabu chake cha Qur an..
kama sultan wa zanzibar alifanya hiyo biashara ya utumwa kama unavoclaim na una uhakika na hicho basi huyo hakuwa muislam,bali alikuwa ni mtu kama alivyo mtu mwingne,uarabu wake usimjumuishe kuwa huyo atakuwa ni muislam,hapo utakuwa umevua nguo zako na kukimbilia kwenye swimming pool ya watoto wa kindagarten kuoga nao,bila shaka watastaajabu pale watapokushuhudia kwa macho yao nawewe utakuwa umejifedhehesha sana,usifanye hivyo sasa,si vema hata kidogo,sawa??
 
Last edited by a moderator:
Kadogoo, THE BIG SHOW,

..Wakristo, Waislamu, etc etc kufanya maovu haimaanishi kwamba imani/dini zao zimehalalisha uovu huo.

..kuna kipande nimekutana nacho kinaeleza kwamba hata Wahindi walikuwa na mkono wao ktk biashara ya utumwa ktk eneo letu la Afrika Mashariki.

JokaKuu
Tupo pamoja Mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Kenyatta alikuwa Mkikuyu lakini Arap Moi hakuwa Mkikuyu!
Kadogoo,

..miaka ya mwanzo Moi alikuwa amedhibitiwa na Wakikuyu kama Charles Njonjo.

..baadaye ndiyo alikuja kuachana nao na kuanza kuwapendelea Wakalenjin bila aibu wala kificho.

..kwa upande wa Mwalimu Nyerere, watu wake wa karibu aliowaamini na kuwapenda ni Rashidi Kawawa, na Salim Ahmed Salim.

..inaeleweka kwamba Mwalimu alitaka mrithi wake awe Salim Salim. Katika hatua za mwisho kabisa mipango yake ikavurugwa na wahafidhina wa Znz waliomshawishi Mwinyi asiondoe jina lake. Maalim Seif amekielezea vizuri kisa hiki.
 
Last edited by a moderator:
Na huyu je??
Slavery always existed in Africa as part of a social system but trade started with Arab raiders arriving around the 9th century to take Africans to markets in Mesopotamia, India, Persia and Arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by Arab slavers helped by local tribes such as the Nyamwezi who became their redoubtable partners. The most renowned Arab trader was Tippu Tip (Hemedi bin Muhammad el Marjebi), born in Zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the Upper Congo, Lake Tanganyika and Bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to Zanzibar for sale to foreign merchants. In East Africa all the main routes, such as the above, lay in Tanganyika: a route in the North passed through Karagwe and North of Lake Victoria and divided to head north to Bunyoro and north-east towards Buganda. A less frequented route in the south exploited by the Yao, led from Lake Nyasa to Kilwa.
The movement to abolish the slave trade started in England after publication of John Wesley's Thought upon Slavery in 1774 followed by Scottish economist Adam Smith's work The Wealth of Nations published in 1776. The latter laid to rest once and for all the 200 year-old economic belief that slave labour was cheaper than free men's work.
It still took more than a century for Slavery to be totally abolished. The Moresby Treaty in 1822, the Hamerton Treaty in 1845 and finally on 5th June 1873 the treaty signed between the British Consul in Zanzibar, Sir John Kirk, and Sultan Barghash made slave trading illegal. By 1889 all former slaves were declared free men and the status of slave was abolished in 1907 in British East Africa. Compensation claims, the last step to offset the intricate human-economic impact brought about by the abolition, were not considered after 31 December 1911.
In Tanganyika the status lasted another 15 years until the end of German rule when the country became a British Protectorate in 1922

Sasa katika hii copy and paste yako wapi kwenye unganiko linalousiana na uislam??
Akili za kuchoka sana hizi,
The moresby treat ya 1822 na Hamerton treat ya 1845 zilizofanyika kwa ajili ya abolition of slave trade unajua wahusika?je walikuwa waislam??na unajua kwa nini waliamua kufanya abolition?unajua sababu zake??au umefanya kucopy na kupaste tuh..
Walionzisha utumwa walipoona mambo yanawaelemea ndio hao hao walionzisha hiyo mikataba ya kuutokomeza,
Na hawakuwa waislam,unawajua ni kina nani,na walishaomba radhi tayari..
Unaijua NGOME YA YESU??UNAIJUA HISTORIA YAKE??
Unasikitisha sana..
 
Mzee Mwanakijiji
Hitler alikuwa dini gani??
mimi nadhani unapojaribu kuongea vitu ni vema sana ukatuliza fikra na medulaoblangata yako ili uzid kuilinda reputation yako ulijiwekea tokea miaka nenda rudi humu mitandaoni,pia jaribu kucontrol mihemko yako na kuepuka kuzungumzia iman za watu ambazo huzijui,
unaomuita mtu fulani ni muislam ni lazima uangalie ni kwa nini huyu ni muislam,je ni muislam kwa kuwa huyu anaitwa ni sulatan said barghash?ni muislam kwa kuwa huyu anaitwa Abdallah?ni muislam kwa kuwa huyu anafuga ndevu na kuvaa kanzu??na ndio kwa maana nikakwambia hata uarabuni mabedui na wakristo pia wapo..
Ngoja nikupe definition ya nani ni muislam;
Muislam ni yule aliekiri ya kwamba hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa mola mmoja,muumba wa mbingu na ardhi,yule mpweke,mola ambae hakuzaa wala hakuzaliwa,mola yule ambae hakuna hata kiumbe anaefanana nae,mola yule asie na utatu,kisha baada ya kumuamin mola huyo akajiweka katika kufuata maamrisho yake na kuyaacha makatazo yake,na katika umma huu wa mwisho tunaongezea ya kwamba na ni yule aliekiri ya kwamba muhammad ni mtume wa mwenyezmungu na kufuata maamrisho yake na kuyaacha makatazo yake yaliteremshwa kupitia kitabu chake cha Qur an..
kama sultan wa zanzibar alifanya hiyo biashara ya utumwa kama unavoclaim na una uhakika na hicho basi huyo hakuwa muislam,bali alikuwa ni mtu kama alivyo mtu mwingne,uarabu wake usimjumuishe kuwa huyo atakuwa ni muislam,hapo utakuwa umevua nguo zako na kukimbilia kwenye swimming pool ya watoto wa kindagarten kuoga nao,bila shaka watastaajabu pale watapokushuhudia kwa macho yao nawewe utakuwa umejifedhehesha sana,usifanye hivyo sasa,si vema hata kidogo,sawa??
THE BIG SHOW,

..sasa na hawa wazee wa gerezani mnaodai walikomboa Tanganyika na wenyewe mliwapitia mmoja mmoja na kuwahakiki na kuwathibitisha kwamba ni Waislamu??

..kuna mahali nimesoma kwamba kulikuwa kunafanyika mpaka matambiko ya kimila. tena kuna kisa cha tambiko moja ambapo walitaka kumvika Mwalimu Nyerere ngozi mbichi ya mbuzi. inasemekana Mwalimu alikataa kutokana na imani yake. kisa hicho nimekisoma ktk gazeti la raia mwema.

..pia kuna tambiko lilifanyika kwa Mzee Jumbe Tambaza. hili Mwalimu alilisimulia mwenyewe kwenye ile hotuba yake kuwaaga wazee wa Dsm.

..ndiyo maana wengine tunasema harakati zile zilisukumwa na suala la UZALENDO kuliko imani za kidini.

cc: Nguruvi3, Jasusi
 
Kadogoo, wakati mwingine huwa unanishangaza kweli kweli...sijui kama ni ubishi tu wa kitoto ama ni ukosefu wa elimu tosha. Kweli hujui historia ya utumwa? Utumwa wa bahari ya Atlantic uliendeshwa na Wazungu lakini utumwa wa bahari ya Hindi uliendeshwa na Waarabu na ndio uliodumu kwa kipindi kirefu hata baada ya kupigwa marufuku...ilibidi nguvu za ziada zitumike kuwabana mamwinyi wa Kiarabu kuachana na biashara ya utumwa. Source, kama unataka zimejaa mtandaoni na wala si siri...kwa mfano bonyeza hapa;

The Indian Ocean slave trade was as in the Atlantic, primarily ended by British diplomats and the Royal Navy. This was primarily the result of the British abolition movement which grew out of the Christian churches. Unlike Christianity there was no abolitionist movement which developed out of Islam in Arab or other Muslim countries. In fact, slavery continued in Muslim, mostly Arab countries, into the 20th century. From a very early point, the British realized that the key to ending the Indian Ocean slave trade was Zanzibar. Unlike the Atlantic slave trade which was conducted along the lengthy African coast, a very large part of the Indian Ocean slave trade was conducted through Zanzibar. This gave the British who could use the powerful Royal Navy a great advantage. Zanzibar became important because it was an island. Thus the Arabs could easily defend it. Trading outposts on the mainland were vulnerable to African attacks. While the island location was relatively safe from Africam attack, it was particularly vulnerable to the Royal Navy. Thus British diplomats were able to exert considerable influence in Zanzibar. The first diplomatic success was the Moresby Treaty (1822). From that first success, the British gradually pressed the Sultan of Zanzibar for more restrictions. Royal Navy patrols at sea also pressed the Sultan and slave traders.
Kadogoo, kuna mambo ya kuweza kuzua mjadala lakini kwa hili la utumwa nakuomba uanzishe mada ya peke yake uweze kupewa darasa. Ila hapa kwenye mada hii tutaendelea kukosoa maandiko potofu ambayo mhusika, Mohamed Said, kwa hila aliamua kuipotosha sehemu ya jamii akiwalenga wale wenye uelewa duni.
 
Back
Top Bottom