Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Nguruvi3, swali lako lilikuja kujibiwa kama nitakavyomnukuu Son of Alaska, hapa chini;Still beating around the bush! Unachotakiwa ni kukanusha kwanza halafu ueleze unachokijua. Mag3 alisema nyumba hiyo ilitolewa na David Cameron ambaye wewe umemwandika kama liberal governor.
Kuhusu kuanzishwa kwa chama cha siasa TANU, historia yake kwa ufupi ni hii;son of Alaska said:On October 10, 1953, there was a T.A.A. meeting in the little house with the beautifully carved Arab door which Sir Donald Cameron had built in New Street. Because T.A.A. was very low in funds, one of its rooms had been rented to an Asian, who was running a laundry. The other was the T.A.A. office.
Ni Mwalimu Nyerere, kama Raisi wa TAA aliyetoa uamuzi tarehe 10 Octoba 1953 kwamba sasa TAA basi, muda muafaka kwa chama cha siasa kuzaliwa umewadia! Hizo longolongo zingine kuhusu nani alikuwa kinyozi mtaa gani, nani alikuwa mchuuzi sokoni au nani alikuwa shoga yake nani, hayo tuwaachie wapiga porojo mabarazani.In the small airless room Julius Nyerere sat on one chair at a decrepit desk, John Rupia on another chair, the Sykes brothers and Dossa Aziza perched on packing cases. Nyerere opened the meeting by saying that he had given much thought to T.A.A., but he could not transform it into a political organization. His friends were thrilled, as this meant that T.A.A. was finished and that they would now form a real political party.
Last edited by a moderator: