SISHANGAI WATU WA SAMPULI YAKO,
nitakupa kisa kimoja,mimi mjomba yangu ni mwanasiasa wa CCM japo siipendi CCM na naichukia lakini siwez kumchukia mjomba yangu..
yeye ni balozi wa Tanzania Oman,kuna siku alishawahi nipa kisa kimoja ya kwamba kuna siku wakati yupo zake uarabuni alitembelewa na rafiki yake mwenye iman ya kikristo,na alikaa nae kule takriban kama wk moja hivi..
ilifika jumapili siku ya kwenda kanisani sasa jamaa yule akamuomba uncle wangu ampeleke na kumwonyesha kanisa lilipo,uncle alimwongoza rafiki yake hadi kanisani na kumwacha hapo kisha yeye akaendelea na ratiba zake kisha baadae akaenda kumchukua pale misa zilipoisha,
Sasa yule jamaa alivorudi nyumbani akaanza kulalamika Dah Omary mimi nimekuomba unipeleke kanisani kwa nin wewe ukanipeleka msikitini??mimi nimeona kwa asilimia kubwa ibada zao wale jamaa zinashahabiana na waislam,
Uncle akamuuliza kwa nini unasema ivyo??
Jamaa akajibu kwanza nimekuta waumini mle ndan karibia wote wamevaa kanzu na wamefuga ndevu kama waislam..
Pili nimeona muongoz ibada anamtaja taja Allah Allah Allah huku ameshika biblia takatifu..!,,sasa kwenye biblia wapi Allah ametajwa?Allah si ni mungu wa waislam??
Akatoa duku duku zake nyingi sana,uncle alimwambia ya kwamba wewe unachanganya mambo,wewe ulidhan ya kwamba huku arabuni hakuna wakristo??na kama wapo unadhan lugha watakayotumia ni ipi kama si kiarabu??
kuvaa kanzu si uislam,kuvaa kanzu ni utamaduni wao..
na Allah ni jina ambalo hata wao wanalitumia,wewe lisikuchanganye sana..
Kwaiyo hao waarabu kufanya biashara ya utumwa ni wao,lakini hao si waislam,waarabu waliofanya hayo hawakuja kwa gia ya kueneza uislam,
Uislam ndio dini iliyokuja kupiga BAN SLAVE TRADE..
Usichanganye mambo..