Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hakuna cha ubishi ni hoja tu. Hilo la EAMWS tuliache maana huna hoja ya maana ya kujibu unafahamu kuwa ni uzushi tu kama ule wa Warioba na Kawawa. Tuliache lisije likawa la Warioba.

Hili la Sensa ya Mwaka 1957 unawajibika. Umeleta namba na umeonyesha kuwa Tanganyika ilikuwa ya pili kwa waislam wengi chini ya Sahara na baada ya Nigeria.

Haya ni madai mazito hivyo unapaswa kutueleza kama mwaka 1957 ilifanyika sensa na taasisi gani ilifanya kazi hiyo licha ya ukweli tulikuwa na Mkoloni. Hili huwezi kulikwepwa na wala halihitaji ubishi!

**Kumbu kumbu zinaonyesha Mohamed alishawahi kudai Nigeria ina waislam wengi Afrika
 
Ritz,

..hapo kwenye RED umenichanganya kidogo.

..manake nilishakubaliana na THE BIG SHOW, Ami, na Kadogoo, kwamba Waarabu hawakuhusika na biashara ya utumwa.

..wewe unadai Waomani walishiriki biashara hiyo. Hebu tueleze ni maeneo gani Waomani walikuwa wakifanya biashara ya Utumwa.

..pia naomba utueleze Wazungu waliokuwa wakishirikiana na Waomani ktk biashara ya watumwa walikuwa wafuasi wa dini gani. Zaidi, na Waomani nao walikuwa dini gani.

cc: Nguruvi3, Mag3, Jasusi
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Kama nimejichanganya basi vizuri uniweke sawa.
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu
SI vema kuongea uongo,hakuna sehemu ambapo mimi na wewe tumekubaliana ya kwamba waarabu hawaakufanya biashara ya utumwa,waarabu wameshafanya sana biashara ya utumwa,tena haikua tuh kwa waafrika pekee,bali biashara hiyo walishaifanya miongoni mwa wenyewe kwa wenyewe bi maana wale waarabu ambao walikua mafukara walikuwa wanatumwa na wale wenye nazo enzi hizo hata kabla biashara hiyo kuhamia pwani ya afrika mashariki.
Hoja yangu niliyosimamia ni kwamba Waarabu ambao ni waislam hawakufanya hiyo biashara,kwani uislam tokea aya za quran zinashuka zilishapiga marufuku biashara hiyo wazi wazi..
usipende kuangukia hoja kwa dezo dezo kama wale paka wapenda vya bwerere wanaopenda kushinda shinda kwenye kumbi za BAR huku wakiwaangalia wateja wanaokula nyama choma kwa kutia huruma ili wapewe makombo ya mifupa,acha hizo..
Hebu jifunze kujisimamia wewe mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha..
Umenichekesha sana,yule jamaa wa mkokoteni na matusi yake kama akili zimemruka vile.
Ngoja aje na mkokoteni wake aje kuchukua majeruhi wake hawa,Mufilisi kabisa..
Mmekwama nyie, zee lenu halibebeki, mmebaki kujifariji na vimaneno vya watoto, mpo hoi bin taaban!
 
HAPA tumepiga hatua,at least umekubali kiutu uzima

Son...

Nikubali kitu gani na hatua gani tumepiga mimi na wewe?

Inawezekana kwa kuwa hunijui ndiyo maana labda unajenga
fikra sizo kuhusu mimi.

Unadhani nitajua mtu kadhulumu halafu mimi niseme hakudhulumu?
Siko katika haya kwa kufanya mchezo.

Nadhani tumefahamiana.
 
Huyu mutu almanusura haifilisi nchi- many thanks he was nipped in the bud

Son...
Usiwe na haraka.

Kama vile historia ya TANU na yaliyotokea yalielezwa na mimi nikaja nikaeleza upande wa wazee wangu.
Wewe umesikia upande wa maadui wa Prof. Malima.

Insha Allah na yeye kwa idhini ya yule Hakimu Muadilifu na yeye nitamzungumzia upande wake na dunia
itamuhukumu.

Insha Allah vuta subira Malima atazungumza kutoka kaburini.
Acha nimalize darsa la Abdu Sykes na mgomo wa makuli 1948.
 

Mshushe K Malima katika kitimoto hapa,dhulmat mwingine huyo akiutumia uislam kama ngao
 

Huyu na wewe are just diffrent sides of the same coin
 


Haki ya nani mapigo yao ya moyo yashaanza kuwaenda kasi wanapoipata habari hiyo..
Na wakishaanza kumwaga machozi mimi nimeleta contena la leso za kufuta machozi yao kutoka dubai..
Mwaga nyuki wawashe moto hapa..
 

Nguruvi,

Habu soma hapo chini bold:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]About two-thirds of East African Muslims reside in Tanzania[1] which is the most populous of the East African countries, i.e. Kenya, Uganda and Tanzania. This includes Zanzibar-a predominantly Muslim country with a 99% Muslim population and once the centre of Islamic [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]learning in East and Central Africa. According to the 1957 population census, Muslims outnumbered Christians at a ratio of three to two. This, at that time, meant that Tanzania was a leading Muslim nation South of the Sahara. But in the first post-independence census of 1967 the total figures for Tanzania Mainland were 32% Christian, 30% Muslim and 37% local belief. These figures show Pagans as a leading majority in Tanzania. The 1967 census has not been able to show the reasons for the sudden decrease of Muslim population nor the growth of animists amidst believers in the span of the last ten years.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]This was the last population census showing religious distribution. It is widely believed that the figures for the 1967 census were doctored for political reasons to show that Muslims were trailing behind Christians in numerical strength. There is evidence that the government in 1970, having realised that Muslims were a majority in Tanzania, directed the Statistical Department to destroy all the 1967 census results. [2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Unfortunately power sharing in the political system in Tanzania is very much skewed against Muslims, although it is known that the stability of any nation depends on proper balancing of these facts. Different sources provide different Muslim-Christian religious distribution figures. These conflicting figures are as a result of sensitivity of the issue. Among African countries with sizable population of Muslims and Christians, like Tanzania and Nigeria,[3] the inquiry as to which faith commands a leading majority, is a source of potential conflict and controversy. Tanzania is of no exception. D.B. Barret[4] gives figures which show Muslims as a minority in Tanzania. The Muslim population is purported to be 26%, Christian 45%, local belief 28%. Tanzania National Demographic Survey figures for 1973 put Muslims in Tanzania slightly above Christians at 40%, Christians 38.9% and local belief 21.1%. But according to Africa South of The Sahara, [5] Muslims in Tanzania are a leading majority at 60%. This figure has remained constant in all its publications since 1982. Since research by Tanzanian Muslims on Islam is scant or almost non-existent, the issue of Muslim population has yet to be tackled from an Islamic point of view. [6] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Distribution of authority and power sharing is a factor which should not have been a cause of conflict in independent African countries. Ironically this has become a point of controversy only under indigenous governments. It is a sensitive issue because ethnicity, religious identity and clanship is an important factor in independent African states. Power distribution and numerical strength has also to be reflected in the sharing of political power along those lines. During colonial rule, distribution of power under ethnicity and religious bias in Africa by colonising powers were not perceived as so serious a breach of trust by subjects as to warrant civil upheavals. Fortunately tribalism is not pronounced in Tanzania, but religion has been a factor of discrimination since colonial days.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] August H. Nimtz Jr, Islam and Politics in East Africa, University of Miannapolis, 1980, p.11.

[2] See Family Mirror, Second Issue, November, 1994, p. 6.

[3] Ali A. Mazrui, ‘African Islam and Competititive Religion: Between Revivalism and Expansion', in Third World Quarterly Vol. 10. No. 2 April, 1988, pp. 499-518.

[4] D.B.Barret, Frontier Situations for Evangelisation in Africa ,Nairobi, 1976.
[5] Africa South of The Sahara, Europa Publication, London, No. 20, 1991, p. 1027.
[6]The only conclusive Muslim research is by Dar es Salaam University Muslim Trustee (DUMT), see 'The Position of Muslims and Islam in Tanzania', in Al Haq International (Karachi) September/October 1992.
 
Haki ya nani mapigo yao ya moyo yashaanza kuwaenda kasi wanapoipata habari hiyo..
Na wakishaanza kumwaga machozi mimi nimeleta contena la leso za kufuta machozi yao kutoka dubai..
Mwaga nyuki wawashe moto hapa..

Big Show,

Asiye na watu ana Allah.
Malima Insha Allah nitamzungumza hapa na watazamaji watamjua.

Ni ahadi ya Allah kuwa haki siku zote itasimama juu ya batil.
 
Big Show,

Asiye na watu ana Allah.
Malima Insha Allah nitamzungumza hapa na watazamaji watamjua.

Ni ahadi ya Allah kuwa haki siku zote itasimama juu ya batil.


Naam..
"Inal batwil kanna dhahuuqa"
hakika batwil ni yenye kujitenga..
hebu dance dance hapa kwa facts zako,ulingo wako huu,unatupa ilm huku unatustarehesha kama mwanamasumbwi Muhammad Ally awapo ulingoni..
Opponents dhaifu hawa,mda si mrefu watarusha taulo kati kati ya ulingo..
Ila tembea nao pole pole,bado tunawahitaji sana,ndugu zetu hawa..
 

Hapa Mzee Mohamedi unachotuambia ni kuwa sensa ya mwaka 1967 ilifanyika kwa umakini zaidi na ndiyo iliyokuwa sahihi. Kama unapinga hilo tuletee methodology zilizotumika kwenye sensa hizo mbili tuzifanyie critique hapa.
 
Huyu na wewe are just diffrent sides of the same coin

Son...
Usiwe hivyo utajipunja.

Jifunze kuweka ubongo wako wazi kusikiliza kile usichojua.
Binafsi nimefaidika sana na hilo.

Ngoja usikie kisha utaamua lakini isiwe vinginevyo.

Malima ndugu yetu mshatakie Allah Hakimu Muadilifu ahukukumu:

''He told Prof.Malima that he knew in his heart of hearts that all that was said about him were lies
but the pressure upon him was unbearable.

Prof. Malima had enough of the president.
He handed him his letter of resignation and copy of the Press statement.

President Mwinyi refused his letter of resignation and would only accept it minus the Press statement.
President Mwinyi was shocked by what he found in Prof. Malima's statement to the press.

Prof. Malima was opening a new front.
If that information becomes public he would have to form a probe committee to investigate the facts.''
 

The Big Show,
Aya za mwisho za Bani Israil...
 
THE BIG SHOW,

..binafsi siamini kama zilikuwa harakati za Waislamu dhidi ya Wakoloni.

..hivi umeona wapi harakati za Waislamu zikaongozwa na Mkristo??

..harakati zile zingekuwa za Waislamu basi Mwalimu Nyerere asingepata nafasi ya uongozi, nafasi hiyo angepewa Shekhe fulani, au Amiri fulani.

..Pia harakati zile had very little to do with Ukristo, na Uislamu, kwasababu tumeelezwa mara kadhaa kwamba zilihusisha hata mambo ya MATAMBIKO. kwa uelewa wangu dini hizi mbili zinakataza matambiko na makafara.

..kuhusu suala wa Nyerere kuitwa Baba wa Taifa, hilo lisikushangaze sana. Kila nchi inaye kiongozi anayetambulika kama baba wa taifa, mara nyingi huwa ni Raisi wa kwanza wa nchi husika. Lakini hata kabla Nyerere hajaitwa Baba wa Taifa, wananchi wa D'Salaam kwa mapenzi yao kwake, walimpachika jina "BABA KABWELA", sasa unashangaa nini baadaye akija kuitwa baba wa taifa??

..sidhani kama historia imefutwa. kwa mtizamo wangu historia haijaandikwa vya kutosha, na zaidi wa-Tanzania hatuna utamaduni wa kupenda kusoma na hata kuandika.

..kwa mfano, ungetegemea ktk wale waasisi 17 wa Tanu, kila mmoja awe ameshaandikiwa biography yake, na maisha yake na mchango wake kuwekwa wazi. zaidi, vitabu hivyo ilitakiwa viwe widely available.

..hata historia ya makabila mbalimbali nayo haijawa documented vya kutosha. tena vilikuwepo vyama vya kikabila ambavyo ndiyo vilikuwa transformed na kuwa integrated into Tanu. historia ya vyama hivyo haijawa documented.

..tuna historia ya jeshi letu, na ushiriki wake ktk vita vya ukombozi wa kusini mwa Afrika. historia hiyo nayo haijaandikwa mpaka hivi tunavyozungumza.

..kulingana na Mohamed Said, wengi "waliofutwa" , "waliopuuzwa", "walioteswa", ni Waislamu. Lakini ukichunguza zaidi utakuta wapo watu wa imani nyingine, hata Wakristo wamo pia. Wapo wakina Kassanga Tumbo, Joseph Kasela Bantu, David Kidaha Makwaia, John Rupia, Oscar Kambona, etc etc ambao Mohamed Said hawapambi katika kitabu chake kama anavyofanya kwa watu wa dini yake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…