Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mwanakijiji kwanini unamchukia sana mzee MS wewe mbona kila analoliandika Nguruvi3 na Mag3 unalipa likes hata kama halina ushahidi mzee MS anahaki ya kusikiliza ya wazee wake kwasababu walikuwepo kipindi hicho sasa hawa jamaa zako walikuwepo kipindi hicho?mwanakijiji nakushauri usiwe fundi saa kwasababu fundi saa anatizama kwa jicho moja hebu tizama kwa macho mawili upo hapo mkubwa?
 
Ndio maana katika articles aliyotuma niliyosema ina matundu Mohamed amejicontradict sana. Kwabahati mbaya file limekuwa corrupted, nitaliweka tena mstari kwa mstari.

Kwa ufupi, Mohamed anasema Nyerere alikuwa ''stranger'' Dar es Salaam na kwa wapiga kura.Hakunjua Sykes labda kama alimsikia katika maongezi ya Mwapachu Uingereza.

Halafu anasema Nyerere alikutana na Denis, Kasella Bantu na Dosa Azizi katika national conference mwaka 1947.
Maana yake alisikia habari za Sykes kutoka kwa Aziz mwaka 1947 na si wakati akiwa Uingereza.

Akasema Nyerere alipopewa uongozi ndio ukawa mwanzo wa Political career. Amesahau kuwa aliashaanza mwaka 1947 alipokuatana na watu katika mkutano mkuu, alipokuwa Makerere n.k.

Akasema Phombeah alimpigia kampeni lakini hakukuwa na ulazima kwasababu wazee wake walishaamua awe kiongozi.
Cha kushangaza ni pale aliposema kura zilipigwa kwa kunyosha mikono. ''Inasemekana'' Nyerere alishinda kwa kura moja, wengine wanasema hakushinda kama alivyomkariri Dosa.

Sasa kama kura zilikuwa za kunyoosha mikono kwanini matokeo yake yajulikane kwa watu wawili watu na si washiriki wote katika mkutano ule wa wazi.

Akamnanga Nyerere kuwa alikuwa mzuri wa debate lakini si siasa kama Sykes. Sasa Nyerere alikuwa anafanya debate za shule au za kisiasa na kama ni hivyo kwanini wazee waliamua kumpa uongozi tena kwa kumuomba mara mbili.

Akasema hivi mikutano ya TAA ilikuwa inafanyika kwa Sykes,hapo ndipo mahali ambapo Nationalist walikutana.
Hapa alikuwa na maana uwepo wa Nyerere ulileta Nationalist na si waislam. Halafu akajisahau na kusema Nyerere alipokuwa anaaga mwaka 1985 aliwaita waislam exclusive, yaani mkutano ule ulikuwa si wa wazee wa Dar es Salaam au Nationalist bali waislam. Amesahau kuwa Nyerere alipokuwa na jambo aliongea na taifa kwa kupitia wazee wa Dar.

Article nzima ina back and forth kwasababu tu alisimuliwa na wazee tofauti tofauti na hakuchukua initiative za kuhakiki habari bali kuongozwa na ushabiki. Nitaiweka tena ili wasioamini kuwa hii ni simulizi na si tafiti waone.
 
Boko Haram.

Jamaa kajiumba mwenyewe, kuna jamaa moja pale upanga alikuwa naye kama huyu akapata maradhi ya moyo ukimkuta kitandani analia tu ovyo kama mtoto mungu nisaidie, mungu nisaidie.
We mjinga, mimi sikuumbwa nilizaliwa.
 
Nyerere akija Dar es Salaam, Mohamed alikuwa hajazaliwa. AMNUT wakileta fitna Mohamed alikuwa na miaka 5. Uhuru ukipatikana alikuwa na miaka 9.Abdul Sykes akifariki alikuwa na miaka 16.

Nyumba ikichukuliwa kutoka kwa D.Cameron Mohamed hakuwepo. Nyerere kipelekwa kwa Sykes Mohamed alikuwa na miezi si zaidi ya 9.
 

Na wewe unayosema humu ulikuwa na miaka mingapi.
 
Na wewe unayosema humu ulikuwa na miaka mingapi.
Boko Haram keshanitazama kwa jicho la fundi saa na kunisomea mashtaka, kuendesha kesi na hukumu hapo hapo. Hukumu hakuwepo!
 
Sasa kama ulitaka kuwasiliana na huyo Mohamed wako siunge mu PM tu?likuwa na sababu gani ya kuweka hadharani mambo yenu binafsi?
 
Ushabiki wako na ujinga wako ni janga kwako na jamii yako. Hivi unaamini Mohamed huwa hakosei, na akikosolewa basi anachukiwa? Wewe mtoto, mchukulie Mohamed kama mtu wa kawaida sana na mbaya zaidi ana malengo mabaya dhidi ya amani ya nchi yetu!
 

gombesugu,

Wewe ni Great Thinkers karibu sana jamvini.
 

kAZI kwelikweli wewe umejiunga jana tu,leo ushakuwa authority humu-anyway sijui hizi multiple identities zitatupeleka wapi
 

Wickama,
Msome Ali Migeyo wangu na Ali Migeyo wa Mzungu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]In the Lake Province in 1950s Mwanza was the most active TAA branch. Its leaders, a Manyema poet, Saadani Abdu Kandoro and Bhoke Munanka were in the black books of the colonial administration. Kandoro and Munanka were trying to give support to Ali Migeyo who single handedly was trying to establish TAA branches around Bukoba. [1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]In Bukoba Migeyo, a senior politician then fifty-three years old, was single-handedly trying to establish TAA branches in West Lake Province. He was once attacked with three tear gas canisters by the police at Kamachumu while addressing a public meeting campaigning for TAA. Migeyo was a fiery orator who could easily arise the passions of his audience. On that fateful day he was in Kamachumu preparing the groundwork for TANU and addressing the people, when the police came to disperse the crowd. Tear gas canisters were fired at the crowd and Migeyo was arrested. The colonial government tactically opened charges against Migeyo as an individual, not jointly charging him with TAA. Iliffe has captured the mood in the Lake Province:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]'The danger-at the height of Mau Mau-was that the unsophisticated militants of the Lake Province might provoke disorder and thereby either break TAA's unity-carrying out a ‘green revolution' against established political leaders such as happened in Kenya, Senegal, and Sierra Leone-or embroil TAA in open confrontation with government, thereby enormously complicating the nationalist task.' [2]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Dr Lugazia, hailing from Bukoba, had taken special interest to see that his home area was represented at the TANU founding conference. Dr Lugazia therefore took the initiative to send the draft constitution to TAA Bukoba branch. After the arrest of Migeyo, TAA in Bukoba was as good as dead. Nothing could rekindle the fire left behind by him. An important letter of invitation to Bukoba written by Dr Lugazia, enclosing the TANU constitution to be tabled at the forthcoming delegate's conference in Dar es Salaam, did not receive any attention.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Felix Muganda reflecting the problem in Bukoba wrote to Nyerere to appraise him of the situation: ‘I have called the whole executive leadership of the Buhaya to raise their morale so that they don't despair as a result of what has happened to Migeyo.' [3]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]The TAA leadership at the headquarters saw Migeyo's arrest as direct intimidation and harassment of its leaders, given the fact that the people had assembled peacefully for the meeting. The incident was a clear message from Governor Twining that the government was not ready to accept mass mobilisation of the people against the state. Abdulwahid got in touch with Seaton to represent Migeyo who was standing trial on criminal charges in Bukoba. The TAA Meru Land Case Commitee which was touring the Lake Province at that time went to Bukoba to make on the spot assessment of the Kamachumu incident. Soon after, Abdulwahid, Nyerere and Rupia visited Migeyo's home village Bugandika in April, 1954.[4] On 14 th April, 1954 Migeyo was imprisoned for three years for holding a meeting without permit from the District Officer. When TANU was founded on 7 th July, 1954, Migeyo was at the notorious Butimba Prison in Mwanza serving his sentence. [5]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] See G.Mutahaba, Portrait of a Nationalist: TheLife of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969, p. 21.
[2] Iliffe,A Modern History...p. 510.
[3] FelixMuganda to Julius Nyerere, 18 th August, 1954, TANU 10 CCM Archives.
[4] Mutahaba,ibid. p. 21.
 
gombesugu-yaani wewe ni typical over and out madras cream

" Leo unapokuja wewe Sheikh Mohammed kueleza habari huku ukitaja mitaa ya kariakoo na unakunywa togwa na vitumbua hata kama ni za kweli lakini itakua ngumu mno ku-penetrate kwenye skull ya watanganyika wenzio!....Japo hao hao unaowaeleza inawezekana wakati ndo kwanza walikua Kwimba,Magu, Tandahimba au ngara wakinywa mataputapu na kutafuna senene/panzi!....Hii ndo faida/hasara mojawapo walotuachia wazungu! Na hapa ni hao hao wazungu ndo wanaofaidi na kuneemeka! Wametufanzia mengi saana machafu,leo wametuacha na hasama na kutoaminiana pita kiasi!
Kwa kumalizia Sheikh Mohammed natumai utalikubali ombi langu na kufungua thread/kibaraza chengine ili na sisi wengine tuweze kukuuliza masuala ya kina na labda Insha Allah tujadiliane na kufahamiana"
 
Last edited by a moderator:


You real wish to be Historian like Mohamed Said,but you cant even step into the pair of his shoes..!
You think small and you remain small for the rest of your life,
Oldman without wisdom,what a shame..!
 
Last edited by a moderator:
Boko Haram keshanitazama kwa jicho la fundi saa na kunisomea mashtaka, kuendesha kesi na hukumu hapo hapo. Hukumu hakuwepo!
nguruvi usilie
Vumilia tuh ndugu yangu,au nikupe leso??ufute machozi..
 
Last edited by a moderator:
kAZI kwelikweli wewe umejiunga jana tu,leo ushakuwa authority humu-anyway sijui hizi multiple identities zitatupeleka wapi

Son...
Rafiki yangu nidokeze basi...

Nilikuonjesha kitu kutoka kumbukumbu zangu za Prof. Malima.
Huna la kusema?
 

gombesugu,

..hapo kwenye RED naona kuna dharau kwa mbaaali.

..ndugu yangu, all of us, bila kujali ni wenyeji wa wapi, can learn from one another.

..kwamba fulani kazaliwa Tandahimba, Ngara,etc na anakula senene haimaanishi kwamba hana la maana analoweza kumfunza yule aliyezaliwa na kukulia Kariakoo, Mzizima.

cc: Mohamed Said, Jasusi, Ritz, Mag3, Nguruvi3



 
Last edited by a moderator:
Son...
Rafiki yangu nidokeze basi...

Nilikuonjesha kitu kutoka kumbukumbu zangu za Prof. Malima.
Huna la kusema?


Alitoe wapi??akiongea sana la maana basi itakuwa ni kejeli au viroja...
Lakini usiwamalize mapema,tandika kombora za kichwa taratibu taratibu,hizo data naona wengine zishaanza kuwalevya,,
Go easy,wengine tunasoma na kupata ilmu huku tunastareheka nao hawa,tusiwapoteze hadi mwisho wa darsa hili..
Ndugu zetu hawa,sema tuh jeuri na ngebe zimewaaja,ila believe me Moh,wanakusoma sana..
 
Lest he forgets,We came,we saw,we conquered
 
Hii njia yako ya kuandika historia haiwezi kuleta tija.Inabidi uripoti kama ulivyopokea kwa kadri inavyowezekana hata kwa lugha ya mzungumzaji.Unaweza ukajitia ufundi wa kutumia akili yako kumbe umewacha kitu muhimu chenye uhusiano na kitu kingine.Ikiwa ni kuhoji ni afadhali wafanye wengine baadae.Cha kupunguza ni matusi na kashfa za nguoni tu.
Hata katika uandishi wa habari mhariri anayetia ya kwake mengi hatimae huharibu stori yote na aliyeshuhudia hukaribia kujuta kumpelekea mhariri wake.
Umeambiwa Zanzibar kumetokea maandamano na watu wameumia unachukua picha za watu waliomia kwenye ajali unaunganisha ukidhani umetumia akili yako na kupamba stori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…