Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

THE BIG SHOW, ndio umeandika nini? andika kiswahili au kiarabu,lugha ambazo you are comfortable with.English waachie akina Mohamed Said.

"but you cant even step into the pair of his shoes..! "
 
Last edited by a moderator:
Son of Alaska,

..nadhani gombesugu hajui kwamba kuna watu wamezaliwa na kukulia mzizima, yet they never consider themselves to be from the city.

Mohamed Said,

..mimi kuna machache yananitatiza kuhusu Prof.Malima.

..kwanza inasemekana wakati wa Mwalimu Nyerere aliandika waraka kwa raisi akidai wale waliokuwa wakipendekeza marekebisho ya uchumi ni wasaliti. Je, unao waraka huo, au una habari ni kina nao hao ambao Prof aliwalenga??

..pili, kuna hii habari ya Mzee Mwinyi kukabidhiwa madaraka huku hazina ikiwa hoi bin taabani. sasa mimi nimeangalia record nikakuta waziri wa fedha aliyekuwa in-charge mpaka hazina ikawa tupu alikuwa Prof.Malima. Je, kama mtu unayemfahamu vizuri Prof una utetezi wowote ule kuhusu suala hilo??
 
NDIO maana watoto wetu form 4 inawashinda,jitu kama wewe lina position au ni mwalimu alaafu lugha linai kanumba all the way-ukiliambia lina shrug shoulders

Imetosha,tusijaze mabandiko yasiyo na tija..
Mjadala una heshima kubwa huu,kwa wataalam wa communication skills wanatambua mambo kama hayo,by the way writting skills zako zanishawish niamin u-bado kijana mdogo sana,usipende kuoga na wakubwa wako Son.,
 
Nguruvi,
Hao hapo chini ndiyo waliohudhuria mkutano wa kwanza wa TANU.

Hebu yasome majina hayo na nipe uwezekano wa watu hao kumjua Nyerere:

TANU as a political movement had always existed in Abdulwahid's mind and he persistently and constantly worked for its realisation.

A party to unite allthe people of Tanganyika irrespective of their ethnic identity or religious affiliation was now a reality.
Abdulwahid and the TAA leadership had plantedthe seeds of unity in Tanzania.

If thatunity was to be destroyed soon after independence the founding fathers are not to blame.

The TANU inaugural meeting was attended by a small crowd of about twenty people, among them Julius Nyerere,Abdulwahid and Ally Sykes, Dossa Aziz, Rupia, Mshume Kiyate, Makisi Mbwana,Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Clement Mtamila, Rajab Diwani, Schneider Plantan, MarshaBilali, Rashidi Ally Meli, Frederick Njiliwa Idd Faiz Mafongo, Idd Tulio, DenisPhombeah and others. Abdulwahid, Ally,Dossa Aziz and Rupia were the main financiers of the movement in Dar es Salaam.

Hayo mengine sina haja ya kuyasemea.
 
Bwana mdogo umekurupuka, inaonyesha kuwa masuala ya hisabati na hasa takwimu ni tatizo. Haya twende hatua kwa hatua.
Nyambala afadhali hujakimbia kama ilivyokuwa kwa Nguruvi,huenda tukafaidika zaidi na historia ya sensa.Hata hivyo mimi si mtupu sana kuhusu takwimu na hisabati kama unavyodhani.Angalau naelewesheka.Usichoke.
Hiyo hapo juu sitajibu kwa kuwa haikuwa sehemu ya nilicho-present.

Kumbuka kuwa hatupo hapa kujadili ubora wa sensa bali uchochezi kutokana na dhulma alizoziorodhesha sheikh Mohammed katika historia.Chanzo chake ilikuwa ni takwimu ya 17/83 ya muslims v/s christians au non muslims
Hivyo katika kujadiliana halikwepeki

Hapo juu hiyo ni pumba pasee..

Sioni kwamba hiyo ni pumba.Yaani wapagani wote waligeuka kuwa wakristo?
Hebu soma sababu za http://xa.yimg.com/kq/groups/22136779/1282254023/name/CENSUS waislamu kutilia shaka takwimu hizo.
 
Joka Kuu,
Vuta subra.

Insha Allah tutakuwa na darsa ya Prof. Malima.
 
Hapa kwa vyovyote vile inaonekana vinara walioogopwa na Wakoloni ni wasomi Dr. Vadasto Kyaruzi na Hamza Mwapachu na madai kuwa kuwa TAA ilizorota kidogo hadi alipokamata uongozi Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1953 yakawa na ukweli. Pia yawezekana katika kipindi hicho Abdulwahid Sykes hakuwa tishio kwa serikali ya kikoloni kama Mohamed Said anavyotaka kuwaaminisha wasomaji. Lakini mshuhudieni hapa chini Mohamed Said anavyoelezea harakati za mwana masumbi Abdulwahid aliyekuwa tayari kutumia ubabe na ngumi kutwaa madaraka ...kila kitu ni Abdul!

Mtu ukisoma hizo simulizi za Mohamed Said bila shaka utajiuliza mambo kadhaa...Je ni nani alikuwa kiongozi mkuu wa TAA, Raisi wake Dr Vedasto Kyaruzi au katibu wake Abduwahid Sykes? Kwa nini vongozi watatu Abdul, Sheikh Hasan na Mwapachu wanatajwa na kuelezewa kwa dini zao? Hii ni moja katika tofauti kubwa kati ya Mohamed Said na waandishi wengine, yeye anatanguliza udini na ukabila mbele ya Utaifa, Utanganyika hata kama mhusika hakuwa Mtanganyika!. Sasa linganisheni na haya maandishi machache ya huyo Seaton anayetajwa na Mohamed Said kuwa alikuwa karibu na TAA na alisaidia sana katika kutoa ushauri wa kisheria!
Kusema kweli Mohamed Said namvulia kofia, ni mpiga stori mzuri tu na hasa katika kuelezea kwa njia ya mipasho ya mitaani...hapo wengine hatumwezi! Lakini tunapojadili mambo ya historia, upotoshaji anaoupamba kwa mipasho na hivyo kuwavutia na kuwapumbaza watu wasio makini, hapana, hapo tunampiga stop. Amb. Juma Mwapachu ameelezea historia ya baba yake bila ushabiki na bila kuwabagua wala kuwalisha maneno wapendwa waliokwisha kutangulia mbele za haki. Hakuna sehemu hata moja anapotaja dini wala kikundi cha kidini, no, anaongelea Watanganyika kama Watanganyika, period. Na ameeleza jinsi mzee wake alivyokuwa karibu na Mwalimu hadi mauti yalipomfika na Mwalimu hakumsahau! Lakini Mohamed Said anadai Mwalimu, baada ya uhuru, aliwasahau wazee wake wa Gerezani kwa sababu walikuwa Waislaam!
 
Last edited by a moderator:

Hiyo nukuu si ya Earle Seaton.
Huyo ni Judith Listowel.
 
"One of the founding members of TANU, Abbas Sykes said, "He came at the right time. Usuallyif a man went away to university when he came back he would not be one with us; he would bevery sophisticated. But here was a man who had the same kind of education -- higher in fact, because he had an M.A. instead of a B.A. -- who was willing to be with his people. Thishumility--- ‘I'm willing to serve you'--- made everyone forget that he was from up-country andthat he wasn't a Muslim."
 
Son of Alaska, pia maneno ya Mwalimu Nyerere yaliyowachoma wakoloni lakini yakawapa ujasiri wote waliokaa kwenye mkutano wa "saba saba" ni haya, "Tanganyika is not a colony...therefore it does not owe any allegiance to the Queen"
 
Last edited by a moderator:
The period of campaigning for independence was a very difficult time for Julius andMaria. Julius refused to take any salary from TANU. He said that the party needed all its fundsto gain independence. At the same time Oscar Kambona took a salary to support himself andhis family. Maria opened a smallduka
("shop") to sell soap, sugar, salt, cooking oil etc. in their small home in Dar es Salaam to earn a little money to support the family. She also had a heavy burden of cooking for the many African visitors that came to visit Julius. It is the custom tocook a meal for all visitors. In his position as President of TANU he received many visitorsevery day. Julius one day told me that any other woman other than Maria would have left himlong ago, but Maria stayed during this very difficult time

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]As TAGSA secretary Ally Sykes followed up with government issues that had been raised in the memorandum.

The most thorny at that time was the recruitment of Indians from the subcontinent, which as Ally Sykes pointed out to the Government, was uneconomic, since there were Africans within the region who could fill those posts.

This was causing great discontent and dissatisfaction among African civil servants.

No positive response came from the Visiting Mission and letters written to the government on those issues were ignored by the Chief Secretary, Bruce Hutt.

Following that impasse, Ally Sykes wrote a very strong letter and for the first time and without mincing words, questioned British jurisdiction over Africans of Tanganyika.

Ally Sykes told the chief secretary that following the failure by the government to find a solution to African problems brought to its attention by the memorandum to the Visiting Mission and by a subsequent letter from the TAGSA to the United Nations, Britain should abdicate and the United Nations should administer Tanganyika.
[1]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]The letter incensed the Chief Secretary and a few days later Ally received a letter from the government which was full of veiled threats, contempt, ridicule and intimidation.

The letter read in part: ‘There is of course, no question of the United Nations "exercising direct jurisdiction over the detailed administration" of the territory, either in regard to position, or otherwise.' [2]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] AllySykes, TAGSA Honorary Secretary, to The Honourable Chief Secretary to the Government; Ref. No.1/52/3 10 th January,
1952. Sykes' Papers.

[2] TheSecretariat Ref. 38515/265 8 th February, 1952. Sykes' Papers.
 
Son of Alaska,

..huyu ni Balozi Abas Sykes.

..alikuwa balozi wetu Italy, na mara nyingi balozi wa Italy anatuwakilisha Vatican.

..sasa sijui kwanini Abas Sykes aliteuliwa serikalini, lakini Adulwahid hakuteuliwa mahali popote.

..naomba Mohamed Said atufafanulie hapa kidogo, maana huyu lazima ni mtu wake wa karibu.

..pia naomba kujua kama Abas Sykes alipewa nishani na Mwalimu mwaka 1985.

cc😡Jasusi, Ritz, Mag3
 
Last edited by a moderator:
Son of Alaska, pia maneno ya Mwalimu Nyerere yaliyowachoma wakoloni lakini yakawapa ujasiri wote waliokaa kwenye mkutano wa "saba saba" ni haya, "Tanganyika is not a colony...therefore it does not owe any allegiance to the Queen"
Alaafu leo hii,hawa wafia dini wa gerezani wanataka kutuambia otherwise,labda wangefanikiwa iwapo hii world wide web isingekuwepo-its just a matter of thumping the keyboard and history unfolds
 
Alaafu leo hii,hawa wafia dini wa gerezani wanataka kutuambia otherwise,labda wangefanikiwa iwapo hii world wide web isingekuwepo-its just a matter of thumping the keyboard and history unfolds

Son...
Hebu soma na hii tafadhali:

[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]As TAGSA secretary Ally Sykes followed up with government issues that had been raised in the memorandum.

The most thorny at that time was the recruitment of Indians from the subcontinent, which as Ally Sykes pointed out to the Government, was uneconomic, since there were Africans within the region who could fill those posts.

This was causing great discontent and dissatisfaction among African civil servants.

No positive response came from the Visiting Mission and letters written to the government on those issues were ignored by the Chief Secretary, Bruce Hutt.

Following that impasse, Ally Sykes wrote a very strong letter and for the first time and without mincing words, questioned British jurisdiction over Africans of Tanganyika.

Ally Sykes told the chief secretary that following the failure by the government to find a solution to African problems brought to its attention by the memorandum to the Visiting Mission and by a subsequent letter from the TAGSA to the United Nations, Britain should abdicate and the United Nations should administer Tanganyika.
[1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]The letter incensed the Chief Secretary and a few days later Ally received a letter from the government which was full of veiled threats, contempt, ridicule and intimidation.

The letter read in part: ‘There is of course, no question of the United Nations “exercising direct jurisdiction over the detailed administration” of the territory, either in regard to position, or otherwise.’ [2]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1]AllySykes, TAGSA Honorary Secretary, to The Honourable Chief Secretary to the Government; Ref. No.1/52/3 10 th January,
1952. Sykes' Papers.

[2] TheSecretariat Ref. 38515/265 8 th February, 1952. Sykes' Papers.
 
first time kwa yeye Sykes kusema hivyo,Nyerere had been emphasising this all along.

"Following that impasse, Ally Sykes wrote a very strong letter and for the first time and without mincing words, questioned British jurisdiction over Africans of Tanganyika. "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…