Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #1,141
Ni muhimu hapa tulipofika serikali ikachukua hatua.
Mzee Mohamed,Bwana Nyerere,
Nimeshasema mara nyingi kuwa silazimishi mtu kuniamini.
Mimi siko humu kwa ajili ya kulazimisha mtu aniamini.
Nimeingia humu ili niifahamishe jamii historia iliyokuwa
imepotezwa.
Hii ndiyo imekuwa nia yangu na ninaamini hata wewe umenufuika
sana na historia hii ambayo hukupata kuijua.
Bwana Nyerere,
Nimeshasema mara nyingi kuwa silazimishi mtu kuniamini.
Mimi siko humu kwa ajili ya kulazimisha mtu aniamini.
Nimeingia humu ili niifahamishe jamii historia iliyokuwa
imepotezwa.
Hii ndiyo imekuwa nia yangu na ninaamini hata wewe umenufuika
sana na historia hii ambayo hukupata kuijua.
Na hatua hiyo nikudhibiti viashiria vya uchochezi vyote zikiwemo tungo tata zako mkuu
Utayakwepa vipi makanisa huku ukidai kwamba tumo ndani ya MfumoKristo? Historia ulioiandika umeihusisha na DINI. Tunachojaribu bila mafanikio kukusihi ukiondoe kwenye historia yako hii ni DINI yako. Wazee wako hawa hawakusahaulika kwa sababu ya imani yao kama ambavyo hawakutumwa na dini yao "kupigania" uhuru wa nchi hii.Umehama katika historia ya uhuru?
Uko kwenye historia ya makanisa.
Nimekuleza kuwa Sheikh Issa Amir hakuna anemjua.
Hukujibu.
Nadhani tumefika pazuri sasa tupumzike.
Najua fika kuwa ushanifahamu kama nilivyokufahamu wewe.
Historia inasomwa sasa mwaka wa 15 na imeamsha ari mpya
ya Waislam kujitambua.
Serikali imewasikia na haitachukua hatua yeyote kwa sababu madai yenu si halali. Kwa ufupi, serikali imewapuuza.Ni muhimu hapa tulipofika serikali ikachukua hatua.
Watu wenye elimu ndogo wanakusumbua wewe msomi uoni kama wewe ndiyo utakuwa na matatizo. Hivi duniani kuna msomi anaye muogopa mjinga. Waislam wana elimu ndogo kama unavyosema dawa yao kuwapuuza tu mkuu unatokwa na povu la nini wakati nyie ni wasomi mmekwenda shule.Mzee Mohamed,
Sisi tunaoelewa ulichokiandika hatuna tatizo nawe. Tatizo liko kwa wale "wafuasi" wako ambao kwa kiwango chako cha elimu umewazidi mbali mno. Na umejitambulisha kwao kwamba unatetea WAISLAM na UISLAM ndani ya mfumokristo wa nchi hii. Unaona hata Sheikh Ponda alivyo na wafuasi na anavyowaburuta kwenda kila anakotaka yeye. Hii haina salama ndani yake.
Hakuna HISTORIA iliyokuwa imepotea. Umekiri mara nyingi kwamba akina Sykes wametajwa na waandishi wengine tena wazungu bila shaka wakristo.
Mzee Mohamed Said, mpaka sasa hutaki kukubali kuwa umepotosha jamii, Ila bado unatulazimisha tukuamini tu
Me mwenyewe nasubiri kwa hamu hayo majina ya waliosamehewa na isitoshe wakapewa nyadhifa mbalimbali serekalini huko nje. Kaka Do Santos, akitaja naomba uni cc
Watu wenye elimu ndogo wanakusumbua wewe msomi uoni kama wewe ndiyo utakuwa na matatizo. Hivi duniani kuna msomi anaye muogopa mjinga. Waislam wana elimu ndogo kama unavyosema dawa yao kuwapuuza tu mkuu unatokwa na povu la nini wakati nyie ni wasomi mmekwenda shule.