Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed Said, mpaka sasa hutaki kukubali kuwa umepotosha jamii, Ila bado unatulazimisha tukuamini tu
 
Bwana Nyerere,

Nimeshasema mara nyingi kuwa silazimishi mtu kuniamini.

Mimi siko humu kwa ajili ya kulazimisha mtu aniamini.
Nimeingia humu ili niifahamishe jamii historia iliyokuwa
imepotezwa.

Hii ndiyo imekuwa nia yangu na ninaamini hata wewe umenufuika
sana na historia hii ambayo hukupata kuijua.
 
Bwana Nyerere,

Ikiwa unafanya kwa makusudi kuniudhi nitakwambia kuwa hivyo
ufanyavyo si uungwana.

La kama unafanya hivyo kwa kutokujua.
Nimekusamehe.

Mimi sijatunga kitu.
Kutunga wanatunga watu wa ''fiction.''

Mimi naandika vitabu na research papers.
Hizi mahali pake ni vyuo vikuu.
 
Bwana Nyerere,

Nimeshasema mara nyingi kuwa silazimishi mtu kuniamini.

Mimi siko humu kwa ajili ya kulazimisha mtu aniamini.
Nimeingia humu ili niifahamishe jamii historia iliyokuwa
imepotezwa.

Hii ndiyo imekuwa nia yangu na ninaamini hata wewe umenufuika
sana na historia hii ambayo hukupata kuijua.
Mzee Mohamed,
Sisi tunaoelewa ulichokiandika hatuna tatizo nawe. Tatizo liko kwa wale "wafuasi" wako ambao kwa kiwango chako cha elimu umewazidi mbali mno. Na umejitambulisha kwao kwamba unatetea WAISLAM na UISLAM ndani ya mfumokristo wa nchi hii. Unaona hata Sheikh Ponda alivyo na wafuasi na anavyowaburuta kwenda kila anakotaka yeye. Hii haina salama ndani yake.

Hakuna HISTORIA iliyokuwa imepotea. Umekiri mara nyingi kwamba akina Sykes wametajwa na waandishi wengine tena wazungu bila shaka wakristo.
 
Umehama katika historia ya uhuru?
Uko kwenye historia ya makanisa.

Nimekuleza kuwa Sheikh Issa Amir hakuna anemjua.
Hukujibu.

Nadhani tumefika pazuri sasa tupumzike.
Najua fika kuwa ushanifahamu kama nilivyokufahamu wewe.

Historia inasomwa sasa mwaka wa 15 na imeamsha ari mpya
ya Waislam kujitambua.
 
Mimi sijampita mtu yoyote kwa elimu.
Sheikh Ponda mimi kanizidi.

Nimeswali mara nyingi sana nyuma yake
tena katika misikiti mikubwa ya Dar es
Salaam.

Mimi nikiwa maamuma wake.
Sheikh Ponda mie simfikii.
 
Bwana Nyerere,

Nimeshasema mara nyingi kuwa silazimishi mtu kuniamini.

Mimi siko humu kwa ajili ya kulazimisha mtu aniamini.
Nimeingia humu ili niifahamishe jamii historia iliyokuwa
imepotezwa
.

Hii ndiyo imekuwa nia yangu na ninaamini hata wewe umenufuika
sana na historia hii ambayo hukupata kuijua.

mzee wangu kwa umri nilionao hakika najisikia aibu kukukosoa;

hivi historia iliyopotezwa ni ya hao wazee wa gerezani kariakoo tu!?
Ok umesema ni wazee wako=UMIMI

sasa usitake kutuaminisha kuwa hiyo ndio historia sahihi.
Itakuwaje na kama jamii nyingine nazo zitafanya kama wewe.

Umejiuliza tutakuwa na historia ngapi?
Na je huko ni kujenga au kubomoa..

Ningeona maandishi yako ya msingi iwapo yasingekuwa BIASED Kwa msingi wa dini (dhidi ya ukristo na ukatoliki wa nyerere).

Badala yake ungejumuisha historia kamili pasipo ku'base na dini na kusema eti hawa ni wazee wangu hapo ungesaidia au tuseme ndio ungekuwa umefanya counter ya historia ya kivukoni.
 
bado tunasubiri,kama ulikuwa unazuga tutajua tu.Hii ndo raha ya mijadala.Kama hujui unasema sijui sio kila kitu uwe unajua.Tunasubiri cc Ritz Barubaru
Waliofungwa ni waliokuwa jeuri tu, wapo (wakuu wa maasi) waliojirudi na kuomba msamaha hasa walipopelekwa IKULU, Nitakujuza wote subiri...
 
Last edited by a moderator:
Anything published in the world of academia is counter argued with a published piece. Mpaka sasa tunaona mapovu tu. Hatuoni chochote cha maaana.

Mmepewa miaka 15 kubadilisha historia aliyoiandika mzee wetu na hamjaja na lolote, mmebaki kulalama.

"Tunaamini" kuwa wakristo ndo wasomi nchini. Basi ndo iwachukue miaka yote hii msijibu? amakweli mnabebwa na mfumo wenu uitwao mfumokiristo lkn hambebeki!!
 
bado tunasubiri,kama ulikuwa unazuga tutajua tu.Hii ndo raha ya mijadala.Kama hujui unasema sijui sio kila kitu uwe unajua.Tunasubiri cc Ritz Barubaru

Me mwenyewe nasubiri kwa hamu hayo majina ya waliosamehewa na isitoshe wakapewa nyadhifa mbalimbali serekalini huko nje.

Kaka Do Santos, akitaja naomba uni cc
 
Last edited by a moderator:
Umehama katika historia ya uhuru?
Uko kwenye historia ya makanisa.

Nimekuleza kuwa Sheikh Issa Amir hakuna anemjua.
Hukujibu.

Nadhani tumefika pazuri sasa tupumzike.
Najua fika kuwa ushanifahamu kama nilivyokufahamu wewe.

Historia inasomwa sasa mwaka wa 15 na imeamsha ari mpya
ya Waislam kujitambua.
Utayakwepa vipi makanisa huku ukidai kwamba tumo ndani ya MfumoKristo? Historia ulioiandika umeihusisha na DINI. Tunachojaribu bila mafanikio kukusihi ukiondoe kwenye historia yako hii ni DINI yako. Wazee wako hawa hawakusahaulika kwa sababu ya imani yao kama ambavyo hawakutumwa na dini yao "kupigania" uhuru wa nchi hii.
 
Ni muhimu hapa tulipofika serikali ikachukua hatua.
Serikali imewasikia na haitachukua hatua yeyote kwa sababu madai yenu si halali. Kwa ufupi, serikali imewapuuza.
Lile tamko/hotuba aliyoisoma Kikwete(mkuu wa nchi) kule dodoma kwenye baraza la eid, lichukulie kama tamko la serikali. MoU siyo ufisadi na taasisi mbalimbali zikiwemo za dini na binafsi zinahimizwa sana tena sana kushirikiana na serikali kwenye kutoa huduma za jamii. Hoja yenu moja ya kuwa MoU ni ufisadi na hizo pesa zinakwenda kwenye makanisa imeshakufa hapo. Serikali ichukue hatua gani zaidi ya kuwahamasisha na nyinyi mjenge miundombinu ya kutolea huduma za jamii?
Tukija kwenye elimu ndiyo kabisa...hamna tangible evidence inayoonyesha dhulma wanayofanyiwa waislam kwenye elimu.
Walilalamika wale wa Zanzibar kwamba wamefutiwa majibu kwa sababu ni waislam lakini Dr Ndalichako alifanya nini? Aliwazukia hukohuko Zanzibar na ushahidi wa kutosha kuonyesha ni kwanini wale wanafunzi walifutiwa mitihani. Nani alithubutu hata kuappeal. Wewe section fulani kwenye mtihani unatakiwa ujibu maswali matano lakini kwa sababu aliyewaandikia desa amejibu yote saba basi darasa zima mnakopia maswali yote saba. Ushahidi ulikuwa ni mwingi mno mpaka wazeee wa watu wakapata aibu.
Mbona mlivyolalamika kukusu matokeo ya Islamic Knowledge malalamiko yenu yalifanyiwa kazi?
Kwenye ajira huko unatakiwa urudi nyuma tu kwenye mwamko wa Elimu. Kilwa shule ilifungwa kwa kukosa wanafunzi. Uliza wakina nani wapo wengi huko.
Kwa ujumla madai yenu ni hisia tu. Hakuna kitu hapo.
 
Mzee Mohamed,
Sisi tunaoelewa ulichokiandika hatuna tatizo nawe. Tatizo liko kwa wale "wafuasi" wako ambao kwa kiwango chako cha elimu umewazidi mbali mno. Na umejitambulisha kwao kwamba unatetea WAISLAM na UISLAM ndani ya mfumokristo wa nchi hii. Unaona hata Sheikh Ponda alivyo na wafuasi na anavyowaburuta kwenda kila anakotaka yeye. Hii haina salama ndani yake.

Hakuna HISTORIA iliyokuwa imepotea. Umekiri mara nyingi kwamba akina Sykes wametajwa na waandishi wengine tena wazungu bila shaka wakristo.
Watu wenye elimu ndogo wanakusumbua wewe msomi uoni kama wewe ndiyo utakuwa na matatizo. Hivi duniani kuna msomi anaye muogopa mjinga. Waislam wana elimu ndogo kama unavyosema dawa yao kuwapuuza tu mkuu unatokwa na povu la nini wakati nyie ni wasomi mmekwenda shule.
 
mbona wajitia hamnazo,mara ngapi Mohamed Said amesema hamlazimishi mtu kuamini kile alichoandika.Tayari mjadala umeshakushinda watafuta chokochoko.Nilishawaambia huyu 'mume' ni mkubwa mkabisha.Sasa hata mkilia hata waachia mpaka mkiri wenyewe kwamba kweli huyu 'mume' ni mkubwa
Mzee Mohamed Said, mpaka sasa hutaki kukubali kuwa umepotosha jamii, Ila bado unatulazimisha tukuamini tu
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Nasubiri majibu yako mkuu wangu ni muhimu sana kujua mkasa wote wa uasi wa mwaka 1982.
 
Last edited by a moderator:
Watu wenye elimu ndogo wanakusumbua wewe msomi uoni kama wewe ndiyo utakuwa na matatizo. Hivi duniani kuna msomi anaye muogopa mjinga. Waislam wana elimu ndogo kama unavyosema dawa yao kuwapuuza tu mkuu unatokwa na povu la nini wakati nyie ni wasomi mmekwenda shule.

Imam Shafi akiwaogopa wajinga.

Akisema yeye kwa hoja anaweza kusimama hata
na watu mia moja.

Lakini mjinga mmoja tu anamshinda.
 
kinachonistaajabisha ni kuwa imepita miaka 15, na hakuna kitabu au hata journal article inayopingana na yote yaliyotajwa na mzee wetu Mohamed Said. Hili tu pekee halitoshi kusema kuwa kinachosemwa ni kweli?

Au labda niulize, research huwa inachukua muda gani? labda wenzetu mpaka leo wanafanza hiyo research

Kaka Do Santo, tupo pamoja kumsahihisha huyu kijana
 
Back
Top Bottom