Hivi vitabu vilivyoandikwa na Mzee Mwanakijiji vinapatikana ktk maktaba ipi vile au duka gani maana sikujua kama na yeye kaandika vitabu naomba mnijulishe vinauzwa au ni bure? ningefurahi sana kusoma vitabu ya mwandishi asiyejulikana hata kwa sura!
JokaKuu, unajua WARSHA baada ya kuasisiwa chini ya Maliki mpakistan haikuonekana kama kitu kikubwa. Ilikuwa kama kundi la dini linalotaka kufanya mambo yao kwa utaratibu tofauti. Serikali iliposhtuka ni pale walipotaka kufanya Kinondoni kama sehemu ya mambo yao hatari. Kama ulivyosema hilo lilipelekea serikali kuwa karibu sana na Kinondoni sec.Nguruvi3,
..kuna kisa kingine cha WARSHA nilimuuliza Mohamed Said lakini akakwepa kunijibu.
..yuko mtafiti wa kizungu ameandika kwamba Warsha walitengeneza education materials ambazo zilielekeza kwamba siasa ya Ujamaa ni "umajunun" [naomba nirekebishwe spelling hapo].
..mwandishi huyo anadai suala hilo ndilo lillosababisha Warsha waondolewe Kinondoni Muslim, na shule hiyo isiwe Islamic Seminary.
. Mohamed Said, definetely yeye ana story tofauti kuhusu Kinondoni Muslim akiuelezea mkutano uliofanyika nyumbani kwa Mzee Aboud Jumbe, wakati huo akiishi Laibon str, Oysterbay, bila kueleza nini haswa kilizungumzwa ktk mkutano huo.
Son of Alaska,
..IGP Hamza Aziz alikumbwa na kashfa ya kukanyaga raia kwa gari. Raia huyo alifariki dunia.
..kesi yake ilikwenda mahakamani, lakini ikamalizwa ktk namna ambayo imeacha maswali mengi kuliko majibu.
..baada ya hapo Mwalimu Nyerere akampa uhamisho kwenda kufanya kazi ubalozi wa Tz marekani.
..sasa kuna kipindi Mohamed Said alikuwa anapiga kelele kwelikweli kwamba Dossa Aziz, ndugu yake Hamza Aziz, alinyimwa nishani kwasababu ya Nyerere kutothamini mchango na hisani ya Waislamu kwake. Dossa alipewa nishani nadhani a week later. Sasa mimi nikajiuliza hivi Nyerere alipomhamishia Hamza Aziz ubalozini baada ya kashfa kubwa namna ile, haikuwa kulipa hisani?
..vilevile, Mohamed Said, anasema Nyerere hakuthamini mchango wa familia ya akina Sykes. Wakati huohuo tunaelewa kwamba kuna Abas Sykes, nduguye Abdulwahid Sykes, alikuwa balozi wetu kwa muda mrefu. Sasa kama Abas Sykes aliteuliwa kuwa balozi, what prevented Abdulwahid kuteuliwa ktk nafasi yeyote ile? Mimi kwa mtizamo wangu nadhani Abdulwahid aliamua mwenyewe kutojihusisha na mambo ya siasa na serikali. Lakini mwenzetu Mohamed Said yeye anaona hapo kuna udini.
..Pia nimemuuuliza Mohamed Said, kama Hamza Aziz na Abas Sykes walipewa nishani na Mwalimu Nyerere. Mimi nilitegemea Mohamed atakuwa na majibu on his finger tips lakini inaelekea labda hakufanya utafiti huo, au kuna kitu anaficha.
..Maoni yangu ni kwamba, Mohamed Said ana conclusions zake tayari kuhusu Mwalimu na historia ya Tanganyika, sasa yeye hukusanya data ambazo zita-prove conclusions zake tu. Jambo lolote lile ambalo linaweza kumpeleka nje ya conclusions zake hajishughulishi kulitafiti.
CC: gombesugu, Wimana, Nguruvi3, THE BIG SHOW, Ritz, Kadogoo
Kuna kitabu chake kimoja cha mapenzi kipo kinauzwa pale Mlimani City jina nimesahau kinafanana na kitabu cha Shigongo.
Nguruvi3,JokaKuu, unajua WARSHA baada ya kuasisiwa chini ya Maliki mpakistan haikuonekana kama kitu kikubwa. Ilikuwa kama kundi la dini linalotaka kufanya mambo yao kwa utaratibu tofauti. Serikali iliposhtuka ni pale walipotaka kufanya Kinondoni kama sehemu ya mambo yao hatari. Kama ulivyosema hilo lilipelekea serikali kuwa karibu sana na Kinondoni sec.
Hoja na mtazamo wao ulikuwa kuigeza seminary ili kkutumbukiza haya tunayoyaona leo.
Serikali ikampa PNG Maliki, kwabahti mbaya it was too late kwasababu tayari alishapanda mbegu hizi zinazotapanya chenga kila mahali.
Kundi hili limepata ngiuvu mpya miaka 5 au 6 iliyopita na sasa tupo hapa tulipo.
Nasema ni kundi hatari sana na kinga yao ni Uislam. Yaani agenda zao wamezifanya za waislam.
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.
Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri.
Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''.
Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani.
Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca.
Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.
Tushukuru Mungu kuwa hatimaye baraza la ulaghai wa historia lililoanzishwa na WARSHA miaka karibu thelathini na kitu iliyopita sasa limevunjwa. Kwa miaka 15 Mohammed Said aliamini kabisa kuwa histohisia yake haiwezi kukosolewa na wala haipaswi kukosolewa lakini hatimaye sasa inakosolewa hadharani na watu waliofungwa minyororo ya ulaghai huo wa historia minyororo hiyo inaachia; pingili, baada ya pingili!!
Na msemo kuwa kweli itawaweka uhuru una maana kweli kweli!!
Hizi habari za haluwa, kahawa na kashata kwetuwaswahili ni kitu cha kawaida tu.Pia usijali kuhusu kontena la Dr.Slaa.Weweendelea tu na kazi iliyokuleta hapa.Kila unachoona ni cha kitoto usijibu,achananacho.
Naomba kwa uchache kati ya zile tatu angalau tuwekee records straight kuhusu hii :
Sensaimesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?.
Tuletee na hiyo jedwali ya makabila na wingi wao.
Hayatwende kazii...!
Sikiliza busara za RitzNa unategemea mimi ntakuja kujadiliana nawewe huo utumbo, wewe unatakiwa uwe mtulivu mjadala unapoendelea kwa sababuhuna inputs zozote zaidi ya upambe kazi ambayo bado hujaimudu. Mimi najadilianana mwalimu wako ebo!!!!!!!!!
Nyambala atawezaje kupambana na hoja za sheikh Mohammed ikiwa mtu mdogotu kama mimi ameshaanza kususia kunijibu.Nyambala,
Mohamed Said siyo saizi yako kila mtu humu ajajifanya Mohamed Said ndiyo saiziyake.
Jitahidi hujibu hoja za Ami.
Mohamed Said ndiyo mwalimu anayefundisha humu.
Nyambalaitakuwa una jawabu hilo.According to the 1957population census, Muslims outnumbered Christians at a ratio of three to two.This means Tanzania is a leading Muslim nation in the region. But the 1967census the total figures for Tanzania Mainland are 32% Christian, 30% Muslimand 37% local belief. This shows Pagans as a leading majority. The 1967 census hasnot been able to show the reasons for the sudden decrease of Muslim populationnor the growth of Paganism. This was the last population census showing religiousdistribution. It is widely believed that the figures for the 1967 census weredoctored for political reasons to show Muslims were trailing behind Christiansin numerical strength. .
JokaKuu, hili la namba wameabaini Mohamed aliandika kutoka chumbani wala halikuwa na ukweli. Sasa hivi linabadilishwa na eti majina yaliambatana na namba. Wakati umma unafahamu hivyo leo nenda kijiweni utakutana na watu bado wanaamini ngano ilikuwa sahihi.Nguruvi3,
..kwa kweli hali ikiendelea namna hii, na haswa maisha yalivyo magumu kwa vijana, halafu uchanganye na ignorance, tunakoelekea si kuzuri.
..mimi nimesoma na Waislamu. tena nakumbuka kwa miaka miwili mfululizo mwanafunzi aliyeongoza ktk matokeo yetu alikuwa Muislamu.
..wanafunzi, waalimu, jumuiya nzima pale shuleni kwetu, tulikuwa tukijivunia achievements za vijana hao. kwasababu tuliona wametuwakilisha SOTE kutokana na umahiri wao wa kitaaluma.
..sasa leo hii Mohamed Said anapokuja hapa na kuleta mambo yake ya "namba za mitihani", kwamba Waislamu walikuwa wananyimwa elimu, I dont really understand him.
..I was there. The same way Mohamed says amesimuliwa na wazee wake kuhusu historia ya kugombea uhuru, mimi nimesoma na kufanya mitihani yangu kwa kutumia namba na siyo jina.
..Yaani nikisikia wanafunzi wa Kikristo na Kiislamu wanafarakana ktk sekondari zetu kama kule Ndanda na Kibiti, kutokana na hizi fitina za udini-udini, kwa kweli nashangaa na kusikitika sana.
CC: Nanren
Tunachoambiwa kutoka katika ngano ni ushujaa wa IGP kukataa kumkamata sheikh Amir, halafu akaendelea kuwa IGP baada ya kukaidi amri ya Amir Jeshi mkuu tena Nyerere!JokaKuu,tena hii ajali ilikuwa hit and run-Inspector General mzima anaua alaafu anakimbia na kukaa kimya-against his principles Nyerere akamlinda na kumpeleka nje kumuuondoa katika public eye. Sasa mtu anataka fadhila gani???? Hii ni mmoja ya decision kubwa ambazo zilimsumbua sana Nyerere
"IGP Hamza Aziz alikumbwa na kashfa ya kukanyaga raia kwa gari. Raia huyo alifariki dunia."
..kesi yake ilikwenda mahakamani, lakini ikamalizwa ktk namna ambayo imeacha maswali mengi kuliko majibu.
..baada ya hapo Mwalimu Nyerere akampa uhamisho kwenda kufanya kazi ubalozi wa Tz marekani
Huyo mwandishi wa vitabu vya mapenzi ndo huyu anayewafanya mkose raha hapa!?
Mlitaka aache kutetea Utaifa na kutetea Dini ndo mumuone kama ni mwandishi mzuri kama mwalimu wenu?,kwasababu inaonekana nyie mwandishi mzuri ni yule anayetetea Dini kwanza.
Watu wanapima hapa wanaona nani ni Mropokaji na nani anatoa point.
Tushukuru Mungu kuwa hatimaye baraza la ulaghai wa historia lililoanzishwa na WARSHA miaka karibu thelathini na kitu iliyopita sasa limevunjwa. Kwa miaka 15 Mohammed Said aliamini kabisa kuwa histohisia yake haiwezi kukosolewa na wala haipaswi kukosolewa lakini hatimaye sasa inakosolewa hadharani na watu waliofungwa minyororo ya ulaghai huo wa historia minyororo hiyo inaachia; pingili, baada ya pingili!!
Na msemo kuwa kweli itawaweka uhuru una maana kweli kweli!!
Tushukuru Mungu kuwa hatimaye baraza la ulaghai wa historia lililoanzishwa na WARSHA miaka karibu thelathini na kitu iliyopita sasa limevunjwa. Kwa miaka 15 Mohammed Said aliamini kabisa kuwa histohisia yake haiwezi kukosolewa na wala haipaswi kukosolewa lakini hatimaye sasa inakosolewa hadharani na watu waliofungwa minyororo ya ulaghai huo wa historia minyororo hiyo inaachia; pingili, baada ya pingili!!
Na msemo kuwa kweli itawaweka uhuru una maana kweli kweli!!
JokaKuu,tunapokuwa tunafanya analysis ya maandishi yake ni kujaribu kuuonyesha umma kile kilichofichika kama ulivyodadavua hapa. Hili la conclusion nadhani ndilo tatizo lake kubwa.
Mfano, yeye na WARSHA walikaa wakafikia conclusion kuwa wanafunzi wa kiislam wanaonewa.
Pakuanzia ni kutafuta takwimu za waliomaliza Darsa la saba. Zikatafutwa za miaka kadha zikapikwa pikwa matokeo yake ni yale ya kuwa na muslims vs christian na kisha kukimbia chumbani na kubadilisha muslims vs non muslim.
Pamoja na kupika bado ukweli unawakana akina Mohamed.
Ukisoma post yangu ya mwisho kabla ya hii utaona Mohamed alivyojaribu sana kumdhalilisha Nyerere, si kwasababu Nyerere ni mbaya bali ni kutaka kumkweza Abdul Sykes.
Ameandika kuhusu uchaguzi wa TAA kwakweli amejikanyaga ni aibu tupu.
Anatuletea habari za Dosa na watu wawili watatu kuhusu nini kilitokea ndani ya Anatouglo.
Returning officer Phombeah hakuwasiliana naye kwasababu angesema kile Mohamed asichotaka kusikia.
Soma makala za akina MWapachu, utaona jinsi walivyokuwa karibu sana na Mwalim.
Hawa akina Sykes wanaosemwa wametupwa si kweli.
Hamza Azizi alipewa kwa sababu ya heshima ya mzee Dosa.
Hamza alipata ajali hilo Mo halisemi anachokisema ni sheikh Amir kufukuzwa bila sababu!!
Hakika uzi huu umefumua kitabu cha Mohamed vibaya sana, kwa mwenye kusoma kwa akili itamchukua miaka kufikiria kurudi dukani kununua toleo lingine. It's obvious habari hizi ni za kupika zimetafutiwa data za kupika halafu zinaletwa.
Majaribio matatu ya kutupa namba hapa yameshindwa. Failure, kwasababu hesabu hazina ujanja ni ima upo sawa au umekosea. Jaribio la Takwimu limefeli, Jaribio la sensa 1967 limefeli, Jaribio la sensa 1957 limefeli.
The bottom line hizi ni habari za kupika za WARSHA ya akina Mohamed, Dau na Njozi. No more no less, uchonganishi, fitna,farki na husuda wakitumia mwamvuli wa dini. Pathetic and immoral
Kundi hili ndilo linaanda umwagikaji wa damu nchini. Ni kundi hatari sana kwasababu lina wasomi wanaotumia elimu yao vibaya kuihujumu jamii wala si kuisadia. Kundi hili ni advance Boko au Alshaabab to be honest.
Hizi vurugu zote mnazoziona ni kundi la Mohamed, ndio maana huwezi kutenga umwagikaji damu na akina MO.
Umepanic man..
Tulizana kaa kitako kunywa maji ya baridi kiasi fundo tatu kisha rudi kwenye computer yako endelea na munakasha Inshaa Allah utarudi kwenye hali yako ya kawaida munkari utashuka.
Hakuna tukio muhimu katika historia ya Harakati za uhuru wa Tanganyika kama azimio la Mkutano mkuu wa TANU Tabora mwaka 1958 kushiriki katika uchaguzi wa kura tatu...azimio ambalo lilipitishwa kwa kupigiwa kura na wajumbe 60 kutoka majimbo yote ya Tanganyika. Kati ya kura hizo kura 60 zilizopigwa ni wajumbe 37 waliounga mkono azimio lililokuja kujulikana kama "decision of wisdom" na wajumbe 23 walipinga! Ni azimio hili lililomfanya Zuberi Mtemvu, publicity secretary wa TANU makao makuu, kuhama TANU na kuanzisha chama chake cha African Congress.
Pia ni mkutano huu wa Tabora uliowachagua wajumbe wanne kwenye baraza la LEGCO katika uchaguzi mwaka huo huo wa 1958. Hawa wajumbe walichaguliwa kuwawakilisha Watanganyika wenzao kwa uwezo na sifa zao na katu hawakuchaguliwa kwa misingi ya dini zao...Wajumbe hao ni;
Ni huo huo mwaka 1958, ndipo shaka na manung'uniko yalianza kujitokeza mioyoni mwa baadhi ya wana TANU, hasa wale wa dini ya Kiislaam kuwa Kanisa linaanza kuiteka TANU ambao ndio msingi wa madai ya Mohamed Said. ILI kukabiliana na hali hiyo chama cha Kiislaam, AMNUT, kikiongozwa na Chamwenyewe kilianzishwa kama LUKU dhidi ya spidi ya TANU. Ajabu ni kwamba mpaka kufikia hapo, kwa nini Abdulwahid Sykes, kiongozi asiye na mfanowe katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika, hatumsikii? Ni nani huyo, wakati huo, alizima ama kuficha habari/historia za wazee wake Mohamed Said wa Gerezani, Kipata na Kariakoo? Mohamed Said ni masalia tu ya AMNUT.
- Julius Nyerere - Jimbo la Mashariki na makao makuu ya TANU.
- Solomon Eliufoo - Jimbo la Kaskazini
- John Mwakangale - Jimbo la Kusini
- Chief Abdalla Fundikira - Jimbo la Magharibi
Kwa namna yoyote mtu anayejaribu kuwaweka kwenye mizani sawa Mwalimu Julius Nyerere na watu kama hao wazee wa Gerezani ni wa kupuuzwa. Somo tunalopata hapa ni kuwa kuna watu walianza kuwabagua Watanganyika wenzao wasio wa dini yao toka kabla ya uhuru na hata baada ya kukataliwa waliendeleza harakati zao hata baada ya uhuru...ni hawa Mohamed Said anawalilia na kujaribu kuwakweza na sisi wengine tunamkatalia kata kata. Ndio maana msimamo wangu kwake haubadiliki wala hauyumbi, Mohamed Said ni mchochezi na mtu hatari ambaye kama serikali isingekuwa dhaifu, angeshashughulikiwa zamani. Lakini masikini Tanganyika, mbegu aliyoipanda imeanza kuwazaa akina Ilunga, Ponda na Uamsho na bado![/QUOTE]
Mimi najua hawa wazee unawachukia sana wala sio wewe umeanza hata huyo baba wako wa taifa alikuwa anawachukia sana alikuwa ana ng'ata na kupuliza kama panya na mimi ninaamini na nitaendelea kuaamini mkiristo na muislamu hawawezi kuwa kitu kimoja hata siku moja na ukiona mkiristo anamkubali muislamu ujue amefuata yale anayoyataka yeye haya sio maneno yangu nenda kamuulize sheikh wa mkoa wa Dar es salaam kwasababu ndiye mnaye mkubali akutafsirie hii aya hapa chini hayo makonokono yangu niachie mwenyewe soma hapo kwenye kithungu
Sahih International
And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, "Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance." If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.
JokaKuu, hili la namba wameabaini Mohamed aliandika kutoka chumbani wala halikuwa na ukweli. Sasa hivi linabadilishwa na eti majina yaliambatana na namba. Wakati umma unafahamu hivyo leo nenda kijiweni utakutana na watu bado wanaamini ngano ilikuwa sahihi.
Joka, ninaposikia vurugu za vijana huwa najisikia fadhaa sana. Nadhani unakumbuka nyakati hizo kwa mfano mwezi wa Ramadhan wanafunzi walikuwa wanaheshimiana utadhani shule nzima ni ya dini moja. Watu wote wanaheshimiana na kujiheshimu.
Siku hizi aah mbegu za kima Mod zimeingia kila mtu anazuka na tabia yake.
Hivi mwanafunzi wa form 1 akisikia Mohamed anadai eti wanafunzi 25 walipata div 1 na wakanyima nafasi ya highschool unadhani atajisikiaje. Masikini hajui haya ni majungu ya kawaida ya mzee Mohamed na timu yao.
Tena kwa kutaka kuungwa mkono, kitu cha kwanza walichotanguliza ni Uislam na kwamba kwenda kinyume nao ni kwenda kinyume na Uislam. Hapo wameshafunga watu mikono na miguu. Hata akina Big Show wanaona kabisa kuwa mzee kadanganya, kinachowatisha ni kuwa ukienda kinyume naye wewe ni kafir. Wanabaki watumwa wa nafsi zao.
Tip moja, hili kundi la WARSHA liliazimia kuchukua sekondari kwanza ili ziwe chem chem ya fukuto lao.
Ndipo serikali ilipobaini na kuweka pini. In fact ni kundi hili ndilo linatisha sana serikali hata kuifanya BAKWATA kuwa karibu nayo. Imagine kundi hili ndilo liwe la waislam nchi inaelekea wapi.
Jambo zuri na wengi wanajiuliza kwanini watu hawachoki na ngano?
Ukweli ni kuwa kama huielewi ngano na kama hakuna jitihada za kuonyesha siri ndani ya ngano basi kuna hatari kubwa kuliko kukaa kimya.Si unaona aliyepewa kazi ya mfumokristo na kusema fyeka vichwa, idea hiyo imetoka kundi la Mohamed.
Halafu nimekutana na mahoka jana eti Mohamed anaonya kuwa serikali isipofanya jambo tutaingia katika vurugu.
Tutaingia katika vurugu, zipi tena maana sasa ni fyeka kichwa kwa siri leo Mohamed umekuwa mwema kiasi cha kuona yale ya Ilunga ni uovu. Real ! Mohamed uliyeasisi msamiata wa mfumokristo unaona hatari kweli!