Hakuna tukio muhimu katika historia ya Harakati za uhuru wa Tanganyika kama azimio la Mkutano mkuu wa TANU Tabora mwaka 1958 kushiriki katika uchaguzi wa kura tatu...azimio ambalo lilipitishwa kwa kupigiwa kura na wajumbe
60 kutoka majimbo yote ya Tanganyika. Kati ya kura hizo kura
60 zilizopigwa ni wajumbe
37 waliounga mkono azimio lililokuja kujulikana kama "
decision of wisdom" na wajumbe
23 walipinga! Ni azimio hili lililomfanya Zuberi Mtemvu,
publicity secretary wa TANU makao makuu, kuhama TANU na kuanzisha chama chake cha
African Congress.
Pia ni mkutano huu wa Tabora uliowachagua wajumbe wanne kwenye baraza la
LEGCO katika uchaguzi mwaka huo huo wa 1958. Hawa wajumbe walichaguliwa kuwawakilisha Watanganyika wenzao kwa uwezo na sifa zao na katu hawakuchaguliwa kwa misingi ya dini zao...Wajumbe hao ni;
- Julius Nyerere - Jimbo la Mashariki na makao makuu ya TANU.
- Solomon Eliufoo - Jimbo la Kaskazini
- John Mwakangale - Jimbo la Kusini
- Chief Abdalla Fundikira - Jimbo la Magharibi
Ni huo huo mwaka 1958, ndipo shaka na manung'uniko yalianza kujitokeza mioyoni mwa baadhi ya wana TANU, hasa wale wa dini ya Kiislaam kuwa Kanisa linaanza kuiteka TANU ambao ndio msingi wa madai ya
Mohamed Said. ILI kukabiliana na hali hiyo chama cha Kiislaam,
AMNUT, kikiongozwa na Chamwenyewe kilianzishwa kama LUKU dhidi ya spidi ya TANU. Ajabu ni kwamba mpaka kufikia hapo, kwa nini Abdulwahid Sykes, kiongozi asiye na mfanowe katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika, hatumsikii? Ni nani huyo, wakati huo, alizima ama kuficha habari/historia za wazee wake
Mohamed Said wa Gerezani, Kipata na Kariakoo?
Mohamed Said ni masalia tu ya
AMNUT.
Kwa namna yoyote mtu anayejaribu kuwaweka kwenye mizani sawa Mwalimu Julius Nyerere na watu kama hao wazee wa Gerezani ni wa kupuuzwa. Somo tunalopata hapa ni kuwa kuna watu walianza kuwabagua Watanganyika wenzao wasio wa dini yao toka kabla ya uhuru na hata baada ya kukataliwa waliendeleza harakati zao hata baada ya uhuru...ni hawa Mohamed Said anawalilia na kujaribu kuwakweza na sisi wengine tunamkatalia kata kata. Ndio maana msimamo wangu kwake haubadiliki wala hauyumbi, Mohamed Said ni mchochezi na mtu hatari ambaye kama serikali isingekuwa dhaifu, angeshashughulikiwa zamani. Lakini masikini Tanganyika, mbegu aliyoipanda imeanza kuwazaa akina Ilunga, Ponda na Uamsho na bado![/QUOTE]
Mimi najua hawa wazee unawachukia sana wala sio wewe umeanza hata huyo baba wako wa taifa alikuwa anawachukia sana alikuwa ana ng'ata na kupuliza kama panya na mimi ninaamini na nitaendelea kuaamini mkiristo na muislamu hawawezi kuwa kitu kimoja hata siku moja na ukiona mkiristo anamkubali muislamu ujue amefuata yale anayoyataka yeye haya sio maneno yangu nenda kamuulize sheikh wa mkoa wa Dar es salaam kwasababu ndiye mnaye mkubali akutafsirie hii aya hapa chini hayo makonokono yangu niachie mwenyewe soma hapo kwenye kithungu
Sahih International
And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, "Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance." If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.