Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


5. Lawi Sijaona

6. Poul Bomani

7. George Kahama

8. John Ketto

Funguka zaidi hapo wanajamvi wakusome na mimi takuja na mpini kuhusu hawa uliowataja na hawa wengine ulikuwa umewasahu nimekuongezea.
 
ari? yako Bwana ADOYA najalibu kupitia mjadala wenu na mohamed nimzuri kwa lengo la kujenga lakini maswali ya wasomali ni kumtoa nje ya mada.
hivi una jua kwamba 1992 wamarekani waliburuzwa kwenye mitaa ya mogadishu hakukua na matatizo haya unayo yaona pale hila kwa sababu mataifa ya maghalibi khasa AMERICA hile somalia ni HORN of AFRICA ukikamata ni nzuri kwa military base ndio kwa maana yamewafika haya unayoyaona HATA SISI KAMA TUTAKATAA MASILAI FURANI YA AMERICA BASI YATATUFIKA YA WASOMALI,,

Tangu mwaka 1992 wasomalia walianza kupata mazila america walitumia kila hila pamoja ya kupandikiza makundi ya kigaidi ndani ya somalia.mpaka serikali ya somalia hikapinduliwa na wanaoitwa wa babe wavita ambao wanafadhiliwa na AMERICA.wakitumia sera za mabeberu wote ya divide and rule. makundi mbali mbali ya kaanzishwa chini ya koooo mbalimbali za kisomali zenye uchu ya utawala.na wengine wakijalibu kuhikomboa somalia kutoka kwenye mzozo au vita hiyo iliyo leta wasomalia wengi Tanzania nA SEHEMU NYINGINE DUNIANI.


1997..mwaka huu wasomali waliochoshwa na vita na mapingano Viongozi wakimira,wakoo na kidini wakaona nibora kukaa chini na kuangalia kwanini wauane wao kwa wao ? wakapata jibu ni kule kungawanyika kwao nini kitawarudisha pamoja? wakapata jibu ni dini yao kumbuka somalia 100% waislam. wakakubaliana wote wawechini ya kaulimbiu ya umoja wa kiislamu,ndipo hikaanzishwa mahakama ya kislam..

1999-mpaka kufikia mwaka huu hakukua na shida kwa mahakama zakislamu kuwaludisha wasomalia katika umoja wao kwani kundi moja tu ndio lililokataa kujiunga na mahkama za kislamu nalo ni wababe wa kivita.linalofadhiliwa na America vita hikawa ni vibaraka wa America ambao ni THE LORD of War na wa somalia chini ya uongozi wa mahakama za kiislam Wakati huu eneo dogo tu ndio lilokua navita ambalo wababewakivita walikua wana tawala.

2000-mahakama za kiislamu hili chukua eneo lote la somalia na somalia hikawa chini ya utawala wa kiislamu na wasomali wote wakawa kitu kimoja taifa moja na wale wilokuanje wakimbizi wakaanza kurudi somaria Historia INAONENESHA hakuna kipindi ambacho wasomalia waliludi somalia na wageni kwenda somalia kama kipindi hiki cha 1999- 2001.

2001-RAIS wa AMERICA wakati huo GEORGE BUSH akatangaza kuamba kona ya AFRICA inakaliwa na Magaidi na wao hawapati usingizi kwa sababu magaidi wana shikilia sehemu furani duniani vikaanza vikwazo somalia. vikifwatia na vita kali baina ya wasomalia na VIBARAKA WENGINE ETHOPIA...kwa masilahi ya marekani droon zikatumika

2003-ETHOPIA wanaingia somalia wakisaidiwa na America wasomali wanapambana na wavamizi kwako wewe ni kosa hilo
ajabu kweli hii kutete Taifa lako nikosa???

2004 somalia haikaliki tena mahakama za kiislamu zina angushwa na baazi ya viongozi wao wanakamatwa baadhi yao wana kubali matakwa ya AMERICA wanaachwa hai na waliobaki na msimamo wao wana uwawa.

2004-2005 AL-SHABAB tafsiri hisio rasmi(vijana shupavu) Inazaliwa baadhi ya viongozi vijana waliobaki wanabakia na msimamo usioteteleka zidi ya wavamizi wote walioingia somalia kwa masilahi ya marekani

2004-2005-Burundi ,Rwanda Uganda zinaingia Somalia kwa masilahi ya marekani

2010-Kenya inaingia kwa masilahi ya marekani

WASOMALI MATATIZO YAO NI KWA SABABU YA UZALENDO WAO.KWA NCHI YAO

MWISHO
 
Kijana usipende kudandia mambo wewe unadhani kila mtu kaja humu kushindana hii ni minakasha tu, mie nimeeleza hicho kitabu ambacho ni kweli kakiandika wewe unaleta habari za kukosa raha.

Acha unafki wewe.nani hajakusoma humu wewe kwamba unapigania Dini kwanza

Mmekosa amani na Mwanakijiji alivyowapuuza ndio mnazidi kuumia

Ile post yako si ya kinafki tu.
 

Ha ha ha ha!!naona lile jibu limekuuma sana pamoja na wenzako...face it looser!!

Ushauri:
M-PM mwalimu wako hilo swali ndo amuulize Nyambala...nimekushauri tu sasa isije rudi na matusi
 

hii nimeipenda na takribani nchi zote za kiislam duniani zenye michafuko chanzo ni marekani lakini wale wasio kuwa waislam hupata la kusemea ati uislam dini ya vurugu na hutoa mifano kwa nchi zenye michafuko bila kujua chanzo cha mifarakano ni nini
 
Acha unafki wewe.nani hajakusoma humu wewe kwamba unapigania Dini kwanza

Mmekosa amani na Mwanakijiji alivyowapuuza ndio mnazidi kuumia

Ile post yako si ya kinafki tu.

Kauzu kama wewe upo humu kutetea Ukiristo wako hakuna cha zaidi mimi tena niwe mnafiki kwako? Wewe una nini humu zaidi ya kuimba mapambio.

Umeishajiuliza kwani hakuna hata Muislam mmoja anayekubaliana na hao watu wako unaowatetea, Mohamed ni mwiba kwenu wote nyie maadui wa Uislam na Waislam.

Na bado mtatokwa sana na mapovu, wewe endelea kuimba mapambio yako nimebebe nibembeleze, bomaee, bomaee, mnaitana majina mara google.

Mohamed Said habari ingine...
 
Kumbuka kuwa kitabu cha Mohamed Said ni cha kitaluma (academic). Hivyo kwa msomi yoyote anaelewa kuwa kitabu cha kitaluma uandishi wake natanguliwa na utafiti. Sasa kwa kukusaidia hapa NAKUELEZA KITU CHOCHOTE CHA KITAALUMA KINAPINGWA KITAALUMA kwa mana na wewe andika kitabu chako kupingana na hichi cha Mohamed Said kama unao uwezo lakin kukosoa hapa JF utakuwa uitendei haki jamii kama unahisi kuna pahala ailimpuruchuka. Tunasubiri kitabu chako kukosoa haya ya Ms
 
Nakubaliana na wewe kwa upande fulani kwani MS amesaidia sana kwa waislam kuweza kugundua hujma walizokuwa wanafanyiwa na wenzao wakristo. Lakin pia utafiti wake na kitabu chake kimewezesha wakristo nao kuweza kugundua waislam nao kumbe wamegundua na sasa kinachofuata ni kuwapaka matope wale wasomi wa kiislam wanaosema kweli. Jiulize nayo kadhia ya kuchinja ni MS pia kaipandikiza. Kwa wasomi tunaamini hakuna dhulma yenye kudumu suluhisho hapo ni kukaa pamoja kuunda tume ya maelewano na maridhiano ili msonge mbele salama kinyume chyake moshi mnaouficha moto utawaumbua
 
Sheikh Mohammed Bin Said Al Darisalama,
Asalaam Alaykum. Niwie radhi nilipotea kidogo maana nilikanyaga "chechere"!ahahaa!! Nimejaribu kupitia hapa na nimeona yaliyomo. Pole saana ndugu yangu,maana naona sasa imefikia unahusishwa na Muslim Brotherhood,ati muhamasishaji wa mauaji,mtamani damu za waTanzania,usopenda amani na kadhaa!! Insha Allah Mola takuongezea sabra!
Naona mpaka huu mpambano ukesha kila mtu atakua taabani kwa majiti ya roho na kuadhiriana kuso maana. Itakua kama ile "Thriller in Manila",baada ya ule mpambano kwisha ikawa woote Ali na Frazier taabani!ahaha!!

Ama kwa hakika,"usolijua litakusumbua". Maana jamaa wengine wana ile popular misconception kuhusu Hassan Al Bana na Muslim Brotherhood kwa ujumla. Lakini tusiwalaumu sana,maana hizo ndio athari na propaganda za Wikipedia,Google,CNN,Fox News,State Dept. British Council,Think Tanks za kina Neo-Cons,the so called "Orientalists",and many other western main stream-media.
Nafikiri utakumbuka Edward Said aliyaeleza yoote haya kwa undani na mpaka akataka kufumua ile myth ya Segmund Freud. Na ndipo pale Dershowitz na LOBBY wakaingilia kati na kuanza kumwandama! Insha Allah kuna mengi ya kunena penye majaaliwa!

Hao wanaokufananisha na Muslim Brotherhood au kukuita mfia dini,mbona hawayasemi machafu ya American Evangelism huko "Bible Belt" Amerika na connections zao kuanzia Uganda mpaka hapo Tanzania!? Basi wale ndo wafia dini na mwenzao "Nabii" Joseph Konyi!

Ile Visa yako ya Schengen ingekufikisha mpaka kizingitini pangu bila matata. Insha Allah nakukaribisha saana!!
Nilishakuhisi lazim utakua na maradhi ya Mozart!ahaha!! Penye uhai siku moja takupeleka pale "Mozarthaus Wienna".
Jana nalikua nikimsikiza mkongwe Abdilaalim Al Hafiz Shabana,basi nikamkumbuka Bwana Kadogoo na starehe zake pale Cairo!ahaha!!
Salaam saana mabwana Ami,Ritz,The Big Show na Boko Haram; waambie naviona virungu vyao humu, imekua hawakamatiki wala hawashikiki!ahaha!! Ile habari ya mapaka shume wa kwenye ma-Bar na Pubs na mambo ya Chakubimbi!ahaha!! Wallahi nimecheka pita kiasi maana kuna maneno mengine nilishayasahu miaka mingi!
Wallahi humu ndani kuna kadhaa na kidhaa!!
Ahsanta na ukae salama.
 


Anadhani tamthilia zake za mapenzi zinaweza kulandana na UTAFITI wa kihistoria uliotukuka wa Moh Said..
Mufilisi ni Mufilisi tuh..
 

Big show, siamini kama Mzee Ms ni mzushi per se, lkn ni hakika kuwa Mzee Ms hakufanya kazi yake kisomi,bali aliongozwa na chuki na udini.
Hatumtetei Nyerere kuwa hakufanya makosa, alijitahidi sana kwa maslahi ya Watanzania leo, alichukua maamuzi magumu dhidi ya Kanisa, lkn ajabu Mzee Ms hataki kukubali hili, anaona kuwa ni Waislamu pekee ndio waliolengwa na kuathiriwa na utawala wa Nyerere.
 
Unamuongelea Mzee Mwanakijiji!?mimi Mwanakijiji na wa aina yake ndo wanaonifanya niendelee kufatilia hii thread,nimejifunza mengi kwao

Na nilifikiri umenipuuza!?

Kinachonishangaza ni kuona jinsi Mzee Ms anavyoaminiwa kwa kila bandiko lake na jinsi ambavyo kuna wadau ambao wako tayari kumtetea hata pale alipopotosha!
Ujinga mtupu!
 


:nono::nono:

Si kweli Mohamed Said,hajamdharau wala kumdhalilisha,wala kubeza juhuzi za nyerere,fuatilia kuanzia mwanzo wa page ya kwanza hadi sasa page ya 565 utaona ya kwamba alichokifanya Moh said ni kueleza historia ya wale waliosahaulika..
Sasa kwa kuwa wale waliosahaulika wengi wao wameonekana kuwa ni waislam kwa namna moja ama nyingine,na yeye Moh said kuonekana kuwa ni muislam basi nyinyi mkalibatiza hili moja kwa moja kama ni jihad kubwa inafanyika hapa..
Lakini katika kuongezea hapo hapo,Moh Said haongei hayo bila ushahid,bila rejea,ameweka rejea nyingi kwa watu wafanyie utafiti wao binafsi na wajirizishe lakini walichoambulia ni kuona uchochez na maneno ya kupikwa..
Ndio tukawaambia sasa kama hao wanaona ni upotoshaji basi wapuuze ama waandike maandiko yao ili jamii ielewe uhalisia,kukaa kutegemea JF haisadii kwani ni wachache wenye kuweza kufatilia minakasha kama hii na kuelewa uhalisia ulivyo,utafit hupingwa kwa utafiti..
wao wanadhani kwa kukaa hapa jukwaani 24/7 and 365,basi watasaidia kuufanya ukweli huu usisemwe au jamii isisome kilichoandikwa na Moh Said,wanajidanganya sana..
Sisi tusharidhika kwa tulichokifaham,na tumepima ukweli na uhalisia wa pande zote,uchochez hatuuoni,na udini haupatikani kwa kusemwa kwa ukweli hata kidogo,hata siku moja..
 
Last edited by a moderator:
Nyambala,
Nashukuru kwa yale maelekezo yako. Na muhimu ni jinsi unavyojitahidi to see things outside the box,I'm also impressed with the way you try to apply critical thinking in a broader perspective.
Picha uloambatanisha,ama kwa hakika zimenitia jakaroho na simanzi nyingi.

However,I still believe that Mohammed Said has a right here, firstly as a Scholar/Historian(I also appreciate that right comes with responsibility and I'm sure Mohammed Said is more than aware of that) to share his findings which so far I have no doubt been thoroughly researched and closely scrutinized. Also he has similar right to express his feelings honestly as a Tanganyikan/Tanzanian.

I entirely agree with your suggestion that,moving forward we should try and create positive atmosphere for dialogue and engagement as well as to have that sense of responsibility as individuals! I don't wanna go too much and sound bit patronising!ahaha!! But seriously, is vital that we recognise and appreciate our many differences. I hope that pretty soon we reach a desireable solution. Which must be suitable and beneficial to both/all waTanganyika and waZanzibary. Any solution,recommendations,proposal or advice must comprise among many other things;respect to our set of values and faith,elders and disability rights, implementation of equal rights to all without discriminating against tribal/political affiliations,skin colour,creed,gender also equal access to quality education,equal social and economic mobility for all!! I know the list is never ending!!ahaha!!

I think,thus why most of us are here,and probably this is just one of many positive initiatives currently undertaken!? I always believe that it is a blessing to mould together different opinions,ideas,set of skills,thoughts and values.

Furthermore,I appreciate and reliaze that some people in here don't agree with Mohammed Said,or for some reason/s seems to have different opinions(not concrete facts though!). Great!!
This is the best possible outcome for any healthy,mature,civilized and constructive argument/dialogue au mnakasha.

Tusisahau tulikotokea,maana wakti ule midahala kama hii ilikua ni kama ndoto tu!

As I mentioned before,I still agree with many aspects of Mohammed Said's writtings and findings but not blindly though, as you once suggested in one of your comments. I can assure you that I am not easily conviced person.
So for some people to try so hard just merely denounce him without any credible evidence,historical connection or proven/researched writtings. I find it very cheap,barbaric propaganda,social and historical illiterate and above all preposterous!

Nahisi kama tutaendelea hivi isijetokea kama yale yalowakuta wenzetu wa Sudan.
Nchi yao kukatwa mapande mawili ati kumaliza "mgogoro",ilihali hao mahasidi wa "mataifa ya magharibi" na baadhi ya mashoga zao kutoka baadhi ya nchi "fulani" za kiarabu wakijua kuwa issue yenyewe iko very complex(more than just what an eye can see!). Zikafanyika ila,fitna,uchochezi,ghilba na mengineyo mengi kuonyesha kuwa tatizo ati ni baina ya Uislamu/"Waarabu" na Ukristo/"Waafrika"!? Hebu fikiri mpaka leo hii karne ya 21 mabaradhuli wa kizungu ndo wanatupangia definition na interpretation of being Black and/or an Afrikan!? They always seems to forget that as non white ,we are blessed with different skin complexions and shades.
"Mgogoro" wa Sudan hakufuatilia vipengele kadhaa na muhimu in International Conflict Resolutions and Mechanism. Lakini haya tuyaache maana si yeetu,lakini ni mfano ulotokea hivi karibuni. Na mindhali hapo pashaambiwa pana Gas na Oil,inalazim tujihadhari saana na kushikamana na kumaliza migogoro iliyopo baina yeetu kwa ustaarabu ndo vyema!
The truth is Sudan mpaka leo pana matata(japo kwa sasa yametulia kidogo!?),huko South Sudan,Darfur na kwingineko. Sheikh Dr. Hassan Al Turabi mpaka leo analia maskini kwa machungu!!
Ma-Cooperate Bankers na makampuni kadhaa ya wale wahuni wa Wall Street ati ndo wamekua wanunuzi wa maelfu ya hekari za ardhi huko South Sudan. Wanajiita ati wawekezaji,wengine hawajawahi hata kutia mguu kwenye hiyo nchi!?ahaha!! Hao Natives wenyewe walopata huo "uhuru" hali zao taabani wanaishi kwa dhiki kwa "misaada" ya Makanisa/NGOs,na wengine mpaka leo bado wamo misituni. Kuna wachache ndo wananeemeka na shughuli zao kubwa ni kusaini mikataba ya kunakamisha nchi yao(social engineering in the making;class system/elitism).

Kwa mfano huo mdogo na uchechefu wangu,nashauri nasi tujihadhari na hasama zisizo tija wala busara. Tusikizane malalamiko yetu yoote yaliyopo na tujaribu kuyatatua kwa pamoja,amani na utulivu kama tulivyorithi toka kwa Mababu zeetu!

Ps: Kwa wale wenzangu kama mimi wa Madrasa na wavivu wa kusoma tafadhali mniwie radhi maana khutba imekua ndefu mno!ahahaha!!

JokaKuu: Wewe mkorofi saana,nilihisi lazim wewe ndio ungekuja na ile habari ya Hamza Aziz!ahaha!! Tafadhalini jamani haya mambo si mazuri,maana tunatia walokuwamo na wasokuwamo na kuvunjia hishma ndugu,jamaa na wazee wetu soote!!

Wickama: Thanx I noted your little comment on me,but I felt little bit violated for that "queer" thing!?ahaha!! Never mind tuko pamoja!

cc; Sheikh Mohammed Said,Ritz,Boko Haram, Ami,JokaKuu,Kadogoo,The Big Show
 
Acha unafki wewe.nani hajakusoma humu wewe kwamba unapigania Dini kwanza

Mmekosa amani na Mwanakijiji alivyowapuuza ndio mnazidi kuumia

Ile post yako si ya kinafki tu.

Juzi nimemsikia mzee wa upako anasema wachungaji kumi wameacha kazi ya uchungaji kwa kuwa hakuna waumini wanaowasapoti. Pia kuna kanisa moja mwenyewe kaliuza kakimbia nchi. Nimefurahi watu wanaamka sasa, wanayakimbia makanisa. Nadhani Ukristo unaelekea kuzama/kufa tanzania kama ilivyo nchi za ulaya. Lakini uislamu unazidi kukuwa.Muislamu yoyote kwanza dini yake. Dini kwa muislamu ni muhimu sana kuliko chochote.Hii ni kwa sababu dini ndio itakayomuokoa na adhabu za allah huko twendako kwenye maisha ya kudumu/milele. Naomba kufikisha ujumbe wangu kwa wasiokuwa waislamu wote. Akhera hamtatambulika na dini zenu hizo. Ni kuchomwa tu ambapo mtakuwa kuni nyinyi na mawe. nishafikisha ujumbe. Jisalimisheni kabla ya kifo.
 
THE BIG SHOW.
Hawa watu wana matatizo sana hata uwaeleze vipi hawaelewi mara mzee MS mchochezi mara mnafiki mara mpumbavu na siku zote ukimuona mtu anatukana katika mazungumzo ujue huyo mtu kashindwa kwahiyo anataka na wewe umtukane ili wote muonekane ni majahil juhal, lakini mzee MS kwa busara zake wala hawajibu anawamaliza kwa ukweli wa mambo japo kuwa hawataki kwamfano kuna mtu unaweza kumwambia lile ni jua na anaona lile ni jua lakini kwa upumbavu wake na ubishi wake na ushabiki wake anakwambia ile ni nyota na povu linamtoka mtu kama huyo unatakiwa umpuuze kama kwenye huu mnakasha kuna kina ABUU JAHAL wengi sana!
 
Ha ha ha ha!!naona lile jibu limekuuma sana pamoja na wenzako...face it looser!!

Ushauri:
M-PM mwalimu wako hilo swali ndo amuulize Nyambala...nimekushauri tu sasa isije rudi na matusi
Akili gani hiyo rako ya kushikiwa!.
Yaani Nyambala kakimbia kwa kushindwa kuendelea na hoja halafu wewe unataka mimi nimPM sheikh Mohammed ili amuulize tena hilo swali ambalo tayari ameliona.Itasaidia nini?.
Kama unaweza jibu wewe au muombe Nyambala arudi ajibu kuweka
records straight.
Waislamu tumesema tunataka mahakama ya kadhi na nchi ijiunge na OIC lakini serikali inasema waulizwe na maaskofu wanasemaje.Mzunguko wote huo wa nini? wakati kitu kiko wazi kila mmoja anakiona.
 

Mkuu Barubaru hapo umeongea point na huyu MM anakitabu chake cha mapenzi kiko sokoni sasa namshangaa anapambana na mtu ambae ameandika kitabu chenye historia sahihi sasa mwandishi wa historia na mwandishi wa kitabu cha mapenzi wapi na wapi, umbali kati ya Mwanakijiji na mzee MS ni sawa na umbali kati ya mchanga na nyota.
 
Wana jf,

Moh Said anapindisha wazi ukweli wa mambo,

Hapo awali hapa na kwenye kitabu chake amesema wazi kuwa kanisa lilipinga waamini wake kujiunga na tanu,

Kumbuka wazi kuwa TANU imezaliwa 1954, ikiwa ni mwaka mmoja tangu Julius Nyerere akutane kwa faragha na kasisi Maranta,

Na mwaka uliofuata kanisa likaisaidia TANU kumsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO akipitia Londan,

Lakini Mohamed kadiri tulivyombana amebadili maneno yake na kusema kuwa kanisa liligharimia safari ya pili ya Mwalimu kwenda UNO,

Zingatieni kuwa Moh alishasema kuwa kanisa lilikuwa adui wa TANU, hii akimaanisha kuwa TANU ilikuwa ya wenyewe (waislam).

Vuta picha adui anageuka kuwa msamaria na kumsaidia TANU apate uhuru?


Lakini yote kwa yote, Mohamed hajautaja mchango huo wa kanisa wala hakumtaja Shehe Issa bin Amir mmoja wa viungo muhimu vya mapambano ya watanganyika kudai uhuru, huyu alikuwa bega kwa bega na Padre Maranta.


Je lengo la Mohamed ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…