Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasusi,unamsoma between the lines MS!!!!!!
"Sawa mie na wewe ni watu wa tamaduni tofauti sana.
Wewe unatoka Musoma mimi nimezaliwa Dar es Salaam.
Makuzi yetu ni tofauti sana."
Ni kweli, lakini habari za WARSHA zilikuwa ndani ya Annur baadaye. Nakumbuka sana tahiriri zile zilizokuwa kama kurasa mbili.
Mmh...we nawe bana; sijui ndio reasoning gani hiyo; basi Nyerere kutokujibu nako ni kujibu!
Well my mistake. Nilidhani unataka Tolerence kwenye Dini.
Ubishani huu hana mwisho trust me, Imani ni more than what is written in the Books.
Halafu unaona alivyokwepa hoja yangu ya yule mama wa Songea kiaina?
Ninasema hivi, makala zote za WARSHA zilikuwa zinarudiwa ndani ya Annur. In fact baadaye member wa WARSHA walikuwa na mkono mkubwa sana ndani ya gazeti hili. Na hadi leo kundi la iliyokuwa WARSHA linatumia sana Annur. Kuna mengi katika hili. Naomba ''tusimgeuze geuze nyoka sana tunaweza kuona miguu''Nguruvi,
Warsha haipo hapo.
Mohamed, hivi kwa mtazamo wako gazeti la Annur linakidhi viwango? hii ni by the way
Ninasema hivi, makala zote za WARSHA zilikuwa zinarudiwa ndani ya Annur. In fact baadaye member wa WARSHA walikuwa na mkono mkubwa sana ndani ya gazeti hili. Na hadi leo kundi la iliyokuwa WARSHA linatumia sana Annur. Kuna mengi katika hili. Naomba ''tusimgeuze geuze nyoka sana tunaweza kuona miguu''
Turudi kwenye baibui
hapa MS is only beating around the bush,ukimsoma kwa makini yeye ni the invisible hand behind this paper
Mohamed hivi yule Sheikh akigutiwa Rukara wa Muslim agency ni seneta wa bunge kule kule Burundi, huyu akijulikana sana kama mzawa wa kariakoo.
Mohamed,Hivi si wewe ulienza uzi huu kwa kuonyesha Nyerere alivyopewa pesa na Mshume Kiyate wakati anaelekea kuomba mboga Kariakoo.
Tena ukasema pesa aliyompa wakati huyo ilikuwa inatosha kujenga nyumba.
Mohamed, si wewe uliyeeleza jinsi Nyerere akiwa kwa Bi Mluguru alivyougua tumbo la kuhara.
Leo la baibui unaona halina tija, kwamba hayo uliyoyaeleza kuhusu Nyerere yalikuwa na tija ipi.
Tadhali Mohamed, mbona unatufanya sisi wasahaulifu kiasi hicho. Au ni wewe unayesahau ulichosema!
Jasusi ukiona anatoa kona ujue kipo kitu nyuma yake. Ilikuwa hivi hivi kwa ticket ya Maryknoll, Cecil Matola, mjengo wa Cameron, Ali Ramdhani,Hamza Aziz n.k.
Mohamed,Hivi si wewe ulienza uzi huu kwa kuonyesha Nyerere alivyopewa pesa na Mshume Kiyate wakati anaelekea kuomba mboga Kariakoo.
Tena ukasema pesa aliyompa wakati huyo ilikuwa inatosha kujenga nyumba.
Mohamed, si wewe uliyeeleza jinsi Nyerere akiwa kwa Bi Mluguru alivyougua tumbo la kuhara.
Leo la baibui unaona halina tija, kwamba hayo uliyoyaeleza kuhusu Nyerere yalikuwa na tija ipi.
Tadhali Mohamed, mbona unatufanya sisi wasahaulifu kiasi hicho. Au ni wewe unayesahau ulichosema!
Jasusi ukiona anatoa kona ujue kipo kitu nyuma yake. Ilikuwa hivi hivi kwa ticket ya Maryknoll, Cecil Matola, mjengo wa Cameron, Ali Ramdhani,Hamza Aziz n.k.
Mimi nilishangaa mahali fulani alipokataa kwamba tiketi ya Shirika la Meryknol haina maana yeyote lakini
wakati huohuo akielezea hisani zoote alizofanyiwa Nyerere mpaka za kupikiwa chapati. Na nikamwambia
kuna mambo mengine kama hayo ni kawaida mwenyeji kumkirimu mgeni kwa taratibu za Jamii zetu za Ki-tanzania.
Na nikamwambia wazi Ni aibu tu inayomzuia angeweza hata kuelezea Nyerere alikuwa anakula kilo ngapi kwa
siku akiwa kwa Abdu. Na ukimsoma between the lines unaona dharau fulani hivi, sijui kama ingekuwa yeye
ndiye aliyekuwa anamkirimu Nyerere masimango yake yangekuwaje!
Nilipouliza tena vipi hisani alizowafanyia Wazee wako mbona yeye alikuwa kimya. MS anadai kwa taratibu
za Pwani Mgeni anakirimiwa siyo yeye kumkirimu mwenyeji, apparently anamaanisha Nyerere hajawafanyia
chochote wazee wake!
Nguruvi,
Warsha tuwe tusiwemo katika Annuur si jambo la siri.
Nilikuwa nakupa taarifa tu.
Kuhusu baibui...
Kwangu hilo si muhimu.
Hutaki nikupe ''Reflections...?'
"modus operandi" ya Nyerere ilikuwa na kujua what is happening-intelligence walikuwa everywhere-huyo Sykes kama alikuwa shadowed-he was one of the many,kwa hiyo hakuna cha ajabu hapa
Dr. Slaa alikwishatoa ufafanuzi juu ya MOU. Na nadhani uzi huo umo humu ndani ya mnakasha huu. Hakuna fedha za walipa kodi zilizochotwa ila naona wewe ni mmoja wa wale wanaoamini kuwa uwongo ukirudiwa mara kwa mara watu wataamini kuwa ni ukweli.Lowassa ndie aliesaini mkataba wa MOU mwaka 1992 na kubariki kuchota fedha za walipa kodi wa nchi hii ili Kanisa linufaike! Leo anatoa sh. Milioni 5 kwa Misikiti! anatoa fedha hizo ili kuweka uwiano sawa kati ya Kanisa wanaochotewa mabilioni kila mwaka au ni takrima kwa uchaguzi wa 2015?
Ushauri wangu kwa Waswahili wenzetu walakashata na gahwa pokeeni hizo fedha za vigogo ama wawe CCM, Chadema au CUF lakini wa kumpa kura maelekezo tunangoja toka kwa Amiri wetu wa Shura ya Maimamu TZ! Hakuna kulala na kudanganywa tena mpaka kieleweke!
aPlatozoom,
Unataka kujadili ni mie habari ya ''chapati...''
Kwahiyo baada ya mkataba wake kwisha alirudi Burundi. Kuna mahali anaunganishwa unganishwa sana na harakati za waasi. Anyway sijui. Sasa ilikuwaje huyu alikuwa anaratibu shughuli za ndani za misikiti kupanga mikakati akiwa mfanyakazi tu wa washirika la ''Kimataifa''.Nguruvi,
Sheikh Rukara wala si mtu wa Dar es Salaam.Alikuja Tanzania kama mfanyakazi wa World Muslim League.
Nguruvi,
Warsha tuwe tusiwemo katika Annuur si jambo la siri.
Nilikuwa nakupa taarifa tu.
Kuhusu baibui...
Kwangu hilo si muhimu.
Hutaki nikupe ''Reflections...?'
"modus operandi" ya Nyerere ilikuwa na kujua what is happening-intelligence walikuwa everywhere-huyo Sykes kama alikuwa shadowed-he was one of the many,kwa hiyo hakuna cha ajabu hapa
Son...
Kwa Nyerere Abdu hakuwa ''huyo Sykes...''
Wala Abdu si '' one among many...''
Kisa cha Abdu na Nyerere ni kisa kingine.
Ni kisa cha udugu...mama zao wakaja kuwa mashoga.
Wakikesha pamoja Stanley Street nyumbani kwaa Abdu
wakisuka mbinu za kuisukuma TANU mbele...
Wake zao wakaja kuwa mashoga wakiongozana madukani
kununua khanga na vitambaa vya kushona sare za taarab za TANU...
Son...
Unajipunja...
Nami nakuacha hivyo ulivyo ya nini nikupe faida?
Baki hivyo hivyo.
Historia ya uhuru wa Tanganyika ina mengi, mengi, mengi mno.
Lakini huenda vilevile unatishika unaogopa kuniisikiliza.