Haaa! hapa ndipo nasema matatizo ya waislam mara nyingi baadhi yao huyakuza bila sababu za msingi.Sheikh Mohammed Said,Nalipatwa na "Duaa Al Mustaajaba" niliposikia at hata Mwai Kibaki nae kapewa jina la mtaa/barabara maarufu hapo Mzizima!? Hivi hiyo nchi ina wenyewe kweli!? Ama kwa hakika kuna mengi ndipo, Wazee wetu walinena; "kuwa uyaone"!
Geeky,
Salaam na nafurahi kufahamiana humu.
Hicho Kigoda cha Mwalimu,nasikia kuna wakati wanafunzi/waalikwa walimzoma pita kiasi Professor Ustaadh Malenga Dr. Abdilatif Abdalla,ati kisa ni kuwa alitoa mada yake kwa kutumia lugha ya Kiswahili!? Na mpaka ikalazim Professor Shariff AbdilRahman Babu aiiingile kati kuwatuliza. Hivi hiki kisa kilitokea kweli hapo "kigodani"!? Tafadhali nihadith japo kiduchu ndugu yangu.
Maana ya kukuuliza hivi ni kuhusu ule "mwaliko" ulotoa na kutaka kujua taratibu na usalama wa watu wenye majina kama yetu!? ahaha!!
But in a serious note,niliposikia kisa hicho nalisikitika mno. Laiti hao jamaa wangelijua mahaba na hishma kubwa alokua nayo Ustadh Latif kwa Bwana Nyerere tangia kipindi hicho basi wala wasingethubutu kufanza hayo!?
Abdilatif is one of the most distinguished Pan Afrikanists alive. Na kwa wale wajuvi wasotaka kujua kawaulizeni kina Professor Abdul Mutajuka,Dr. Zubeida Tumbo,Dr. Massamba,Professor Kezilahabi,Jenerali Twaha Khalfani Ulimwengu na Bwana Walter Bgoya. Maana wanamfahamu huyu mtu kwa umahiri na ustaarabu alonao.
Wale mlio nje mwaweza kumjua huyu mtu kwa Professor Ngungi wa Thiongo,Professor mwana Malenga Ali Mazrui,Dr. Yoweri Museveni,LSE-London School Of Economics na Leipzig University.
Kwa hiyo Bwana Geeky tutaufikisha mwaliko ulotoa kwa wanataaluma/ma-Professor lakini "pembuka" japo kidogo!(niwie radhi natuma "lugha ya JF"!)ahahaha!!
Ahsanta.
CC; Ritz,Ami,Sheikh Mohammed Said,Barubaru,Jasusi,Jokakuu,The Big Show,Kadogoo,Boko Haram,Mwanakijiji,Mfumo,Nguruvu3,Mag3,Wickama
Mwenyezi Mungu akujaze kila kheri na nia yako nzuri. This is one of the best statements ever made in this thread. I will also avail own resources for this noble goal.
gombesugu, how much I wish the above was true for, had it been so, the kind of discussion currently taking place in this thread, would never have seen the light of day. Kama nilivyosema mwanzo kuhusu post yako ya kwanza kabisa, mimi Mag3 niliipokea kwa moyo usio na doa and my greatest expectation was for you to be for real! Ungekuwa umeufuatilia huu mnakasha kwa umakini na ukomavu kama huu uliouonesha hapo juu, hungekuwa na shaka lolote kujua sisi wengine tunatetea nini na tunapinga nini.Bwana Mag3,
Salaam.
Naomba kuchukua tena fursa hii kuwaeleza na kuwathibitishia Wanajamvi wenzangu, kuwa pamoja na dhana nyingi nilizopewa tangia siku ya mwanzo kuingia humu, lakini hasha! Mimi si mdini/"mfia dini",wala sipendi kabisa kujali watu kwa urangi wao,u-Taifa wao,mtabaka au mila na dasturi. Insha Allah Bwana Mag3 siku moja nitapembuka vizuri na utajisikia vibayakwa kunizulia haya yoote. Ama kwa hakika I feel marginalised and terribly alienated! Maana kila kukicha hamwishi kunipa shutuma za Udini,je ushahidi uwapi au dhana tu!? Au labda lugha nnayotumia inaleta khitilafu humu jamvini!? Kwa hilo italazim nisamehewe na nipewe japo muda kiduchu wa kujirekebisha. Mimi ndo kwanza mgeni humu na najifunza hizi dialects na terminologies za hapa JF.
I always believed in human fabric and above all I am a dreamer of Global villlage! Kwahiyo ndugu yangu ukiniona nakosea tafadhali saana naomba unirekebishe na nakuhakikishia takuomba radhi. I'm so proud to let you know that in My family tree we have people from almost all over the world with different backgrounds,cultures,customs and set of values. Infact, I find your comments quite laughable. Kwahiyo tafadhali saana usifikiri mimi ni mtu wa matabaka ya"wao na sisi". La hasha na shaka ondosha asilan! Tuacheni jokes za kitoto tuendelee na mnakasha,maana napenda pale unapouliza maswali yako ya nguvu.
Labda kama ile post yangu ya jana na majina ya wale Wazee wetu ndo imekukera basi pia nisamehe na sitarudia dasturi ile. Lakini mbona Bwana Nguruvi3 alipoweka hukumwambia kitu!? Mie nilikua namfatisha yeye,na kama uliisoma kwa makini utaona ujumbe mzito ndani yake,na pia nilijitahidi kutaja maeneo mengi mno ya Tanganyika na dini zoote kubwa watu walikuwemo mle!? Probably,you are just too sensitive on some issues and take things out of context quite easily!? If that's the case, then you may need to think again if you are at the right place/forum.
Nathamini saana michango na maarifa yenu makubwa humu. Na pia nafahamu kuwa mimi ni mgeni natakiwa niwe na staha kwa wenyeji na wakubwa zangu mlonitangulia hapa jamvini.
Ahsanta. Naomba tufurahi na tupendane soote kwa pamoja! Mimi binafsi tangu kujiunga humu,yaani nacheka mpaka jamaa hapa ofisini wanashangaa yamenisibu yapi. Ama kweli JF kuna vituko,najuta nilikua wapi siku zoote nikakosa raha na buraha za humu!?ahahaha!!!
CC:Ritz,Ami,Boko Haram,Kadogoo,Sheikh Mohammed Said,JokaKuu,Jasusi,Nguruvi3,The Big Show,Mfumo,Wimbi la Mbele
Wickama,
Hebu angalia hii hapa chini:
Kutoka "Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":
"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has
dispatched letters to all branches asking members for suggestions under
the following heads for a memorandum to be prepared for the Royal
Commission..."
"...Abdul Wahid Kleist Sykes, Secretary of the African Association who, as
reported in last month's summary (paragraph 20) was going on safari up
country, visited Mwanza, where he met Paul Bomani, President of the
Bukoba African Association, and accompanied him to Bukoba. Sykes then
visited Kampala alone.....on 8[SUP]th[/SUP] March, a secret meeting was held, attended
by leading members of the Mwanza Branch..."
(Hizi ni taarifa kutoka Rhodes House Library, Oxford kutoka majalada ya
kikachero ya Waingereza baada ya miaka 50 yanawekwa wazi kwa mtafiti
yeyote kuyasoma na kufanya nakala akipenda.)
Kuna mengi siwezi yote kuyaweka hapa.
Serikali inaongozwa na Muislaam lakini, kwa wafuasi wa Mohamed Said, madai kuhusu MfumoKristo yako pale pale...bila shaka, kwao, hii ina maana kwamba;Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Mohamed Said said:1. With time the problem of Muslim education waned as other Muslim issues took over public interest. But to the enlightened Muslims the problem remained simmering below the surface only to be brought back to life by Prof. Kighoma Malima in 1987. In 1987 Prof. Malima became the first Muslim Minister of Education. This ministry had consistently been under a Christian minister since independence in 1961.
Prof. Malima found out that the population of Muslim students in primary school was more than 50% but they were few in secondary schools. He realised something must be seriously wrong and he therefore directed that examinations numbers should be used in marking examinations. After these changes the number of Muslims students admitted to secondary schools increased by 40%. Prof. Malima's fears were confirmed that there was cheating in the ministry.
Prof. Malima was found to have overstepped the norms built in the ministry for many years and was therefore relieved of his post and President Mwinyi appointed the timid late Amrani Mayagila in his place. After the removal of Prof. Malima from the ministry the ministry reverted back into marking examination using names of candidates instead of numbers. Muslim student admission to secondary school once again dwindled.
Wapo wenzetu tunaposema Mohamed Said anatumia ulaghai katika uandishi wake kwa lengo la kuleta chuki katika jamii kwa mgongo wa dini, wapo wanaodai tunatukana. Katika post hii naanza kuleta nukuu za uongo ambazo Mohamed Said amezitumia kupotosha ukweli na hivyo kuwalaghai vijana kuamini kwamba ni kweli kuna MfumoKristo unafanya kazi kuwabagua Waislaam. Naanza na madai yake kuhusu Marehemu Profesa Kigoma Malima;
Wanajamvi naanza mjadala ndani ya mjadala...naomba tuanze kwa kujadili ukweli wa madai yake hapo juu, karibuni. Gwalihenzi, @Wickam, gombesugu, Ritz, Nguruvi3, THE BIG SHOW, Ngongo, Jasusi, Mzee Mwanakijiji, Nyambala, Son of Alaska, Ami, Kadogoo, platozoom, mfumo, Boko haram na wafuatiliaji wote wa huu mjadala.
Mag3, wakati mjadala ndani ya mjadala unaanza, napenda kuweka nukuu za watu hao wawili ambao wanatetea kitu kimoja.wimbi la mbele;5435506]iii. Huko nyuma kabla ya wanafunzi kupangiwa shule za sekondari namba zao za mtihani ziliambatanishwa na majina ili kujua nani Mkristo apendelewe na nani siyo awachwe iv. Kuhakikisha kwamba viongozi na watendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wote ni Wakristo. Aidha kwa asilimia kubwa kabisa watungaji wa mitihani na wasahihishaji pia ni dini hiyo hiyo.By Mohamed Said1. With time the problem of Muslim education waned as other Muslim issues took over public interest. But to the enlightened Muslims the problem remained simmering below the surface only to be brought back to life by Prof. Kighoma Malima in 1987. In 1987 Prof. Malima became the first Muslim Minister of Education.
Prof. Malima found out that the population of Muslim students in primary school was more than 50% but they were few in secondary schools. He realised something must be seriously wrong and he therefore directed that examinations numbers should be used in marking examinations. After these changes the number of Muslims students admitted to secondary schools increased by 40%. Prof. Malima's fears were confirmed that there was cheating in the ministry.
Prof. Malima was found to have overstepped the norms built in the ministry for many years and was therefore relieved of his post and President Mwinyi appointed the timid late Amrani Mayagila in his place. After the removal of Prof. Malima from the ministry the ministry reverted back into marking examination using names of candidates instead of numbers. Muslim student admission to secondary school once again dwindled
Mag3;6117470]Wapo wenzetu tunaposema Mohamed Said anatumia ulaghai katika uandishi wake kwa lengo la kuleta chuki katika jamii kwa mgongo wa dini, wapo wanaodai tunatukana. Katika post hii naanza kuleta nukuu za uongo ambazo Mohamed Said amezitumia kupotosha ukweli na hivyo kuwalaghai vijana kuamini kwamba ni kweli kuna MfumoKristo unafanya kazi kuwabagua Waislaam. Naanza na madai yake kuhusu Marehemu Profesa Kigoma Malima;
Wanajamvi naanza mjadala ndani ya mjadala...naomba tuanze kwa kujadili ukweli wa madai yake hapo juu, karibuni.
Mag3, wakati mjadala ndani ya mjadala unaanza, napenda kuweka nukuu za watu hao wawili ambao wanatetea kitu kimoja.
Tafadhali msomaji naomba upitie mistari ya Wimbi la Mbele na Mohamed Said kwa umakini sana halafu uniambie kama kuna consistency ya madai.
Mag3, kwa assumption naomba tukubaliane kuwa namba ya watoto wa kiislam ilikuwa zaidi ya 50%.
Madai haya yametolewa na'' marehemu profesa'' Kuna mambo ya kujiuliza.
1. Idadi hiyo aliipata vipi? Je ni kweli kuna mahali Malima ali document habari hizi.
Je, hakuna uwezekano Mohamed alipika data kama alivyopika za nyuma?
Nasema hivyo kwasababu kuna mahali Mohamed kasingizia UDSM kuwa kati ya mwaka 1970-1980 kuna miaka miwili ambayo chuo kikuu hakina takwimu za watu waliosajiliwa(Ushahidi upo).
Sasa kama aliweza kufanya hivyo kwa chuo kikuu kilichopo hadi leo atashindwaje kumsingizia marehemu Malima!
2. Endapo Malima kweli alitoa data hizo basi kuna uwalakini katika uwezo wake wa kufikiri kama profesa.
(nasema endapo alisema hayo Mohamed anayosema leo)
Uwalakini ni kuwa ametafuta chanzo cha tatizo kana kwamba tayari alikuwa na ''clue''.
Upo uwezekano kabisa kuwa shule au darasa linaweza kuwa na wanfunzi 100 na wote wakafeli.
Tumeona Morogoro ambako baada ya miaka 20 shule moja ya msingi imefaulisha kwa mara ya kwanza.
Hadithi kama hizo zipo katika sekondari n.k.
Kwa mtazamo huo 50% si kigezo cha kuonyesha kuwa mbele ya safari lazima representation ya 50% iwe 50%.
Lakini basi Profesa alipaswa atueleze kama aliondoa (rule out other factors) vigezo vingine kabla ya kurukia NECTA.
Kwa mtu anayetaka kufanya utafiti kama huo, NECTA ingekuwa sehemu ya mwisho kabisa baada ya kumaliza sehemu nyingine. Kwahiyo enrollment haina maana kuwa lazima outcome yake iwe sawa unless alikuwa na hint kuwa tatizo lipo NECTA. Na kama hivyo bado swali linabaki ni kigezo gani kilitumika kumpa hint na je alitumia uwezo wake wa kitaaluma kujua ukweli kabla ya kuingia katika sakata hilo?
Sasa hili la namba za mitihani, nadhani Mohamed anajua kuwa si kweli, hata ''Wimbi la mbele'' amethibitisha hilo kwa kusema namba zilianza kutumika na majina huko nyuma kabla ya Malima, akimaanisha kuwa namba zilikuwepo kuanzia huko nyuma. Kama ni kweli au la, ukweli unabaki kuwa namba za mitihani hazikuja na Malima.
Vinginevyo Mohamed aje akanushe. Ikumbukwe Mohamed aliunga mkono hoja ya ''wimbi la mbele'' sasa tunashindwa kuelewa anasimama wapi!
By the way Mohamed, hili la WML bado lipo ukirudi tutaendelea nalo sambamba na hili la Mkuu Mag3.[/COLOR][/COLOR]
Mag3 that will be exteremely nice na Mwenyezi Mungu akujaze afya ya kufanya jambo hili. Good Luck, am listening. Somebody should tell me; Nyerere was the most educated in the TANU leadership, infact the 1st Masters degree in the country. He was the most skilled debater of his time hadi kupata respects za kina Sykes, Rupia, Bhoke Munanka, Seaton, Amir Jamal, Kambona, Lord Twining etc. We also saw the then Governor of Tanganyika complaining kuwa uchache wa wajumbe wa kiafrika kwenye Legco ilichangiwa pia na wao kutomudu ku-debate kwa Kiingereza. Hali wa watanganyika wetu kwa kiingereza tangu enzi hizo haikuwa nzuri. It beats all logic kuwa wanakamati wa TANU, far inferior in education to Julius eti wamwandikie Nyerere hotuba ya kupeleka UNO. Some birds can believe that. But surely not all. Kama walichangia mawazo yao kama TANU (which is normal and commendable) does that amount to the level ya kuhangaika kumdhulumu Nyerere haki uandishi wa hotuba hii? Nawakumbusha TENA wanajamvi maana ya MDINI; Mtu yeyote anayetoa au kumnyima mwingine fursa/haki yake kwa kigezo kuwa mlengwa wanafanana au wanatofautiana kwa imani ya dini. Somebody is lying!!!!!
No no Mzee MS, I love your posting. Ujazwe Kheri. This is what we have all along said. Look, this movement to Mwanza, Kampala, meeting Bomani, Lake zone officials, hii ni very good news. These people worked as Tanganyikans and Christians or Moslems later. Many thanks
Mohamed Said-kumbe hii african association ni product ya mission quarter?
"Rupias house, situated at Likoma Street and Magila, is where the African Association was founded in 1929. The house still stands today though not in its original structure"