Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Barubaru; on the contrary humtukuzi mtu kwa kuwaambia umati mdogo wake nani au shangazi yake nani alimpisha alale. Address yourself to the reality here. Huku ni kusengenya na kudhalilisha kwa dhahiri!!!!! na kurani unaijua kama anavyoijua huyu anayesimulia haya kuwa inakataza tabia hii. Hii ni private information ya mwenyeji (Sykes) na mgeni wake (Nyerere) which MS has no room right to disclose here except for blind hatred over Nyerere. Sykes alienda Mwanza, alienda Kampala (MS showed that one day here) and many other places, have you ever seen a description ya mdogo wake Bomani au Bhoke Munanka walimpisha alale?
 

Yericko,
Tujaalie ilikuwa semina ya wabunge na Balozi Robert Royall hakuhutubia Bunge.

Tatizo liko wapi?

Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''

Sheikh wangu Maalim Haruna akiniasa kuwa siku zote nitakapokuwa katika
mnakasha basi azma yangu iwe kutoa ilm kwa yule mpinzani wangu na mimi
kuteka ilm kwake.

Maalim Haruna alikuwa akisema mjadala wa ubishi na kutaka kuoneshana nani
mjuzi zaidi hauna baraka bora usifanye.

Mie kama ingelikuwa ni semina ningelisema alihutubia semina ya Wabunge lakini
nyaraka nilizopitia wakati naandika ile paper zimesema kama nilivoonyesha hapo
juu katika bold.
 

Mag3; This is good. To the point. In the final analysis akikuweka mtu kwenye SHIT LIST dont even waste your sleep. Yeye ndiye atakayekuwa na dhamana ya kutunza hiyo list sio wewe. Take it easy. Congratulations, this is really good stuff.
 
The Big Show, vipopoo vinasubiri Mfungo.
Dhambi ya kusema uongo ni kama ule wa mlevi wa pingu na kama unao mashabiki, kama hao hapo juu, kwa muda utaishi, utastawi na kunenepa, lakini mwisho wake, lahaula...hiyo harufu!

gombesugu, kama hata kwa jambo obvious kama hili ambalo linahitaji tu kuangalia hansard ya bunge Mohamed Said anathubutu kusema uongo, hebu fikiria yale yote anayodai kusimuliwa barazani mtaa wa Kipata! Cha kuhuzunisha wapo wanaomeza tu bila hata kutafuna...tarehe 15 May 2003 hapakuwepo na kikao cha bunge! Endeleeni kunywa pingu ila hakikisheni suruali zenu zimetiwa pingu watu wasije wakawakimbia!
 
Wala hapajapata kutokea Balozi yeyote anayeiwakilisha nchi yake hapa Tanzania akapewa heshima hii nzito ya kulihutubia Bunge la JMT pamoja na ubovu wa Spika na baadhi ya Wabunge wa sasa!
 

Wickama,
Hiyo ni hofu tu na ndiyo tatizo la kuandika historia hii.
Ili historia ya TANU iwe sawa kuna mambo yasiandikwe.

Jaribu kusoma ''biographies'' za watu wengine na hapa
nitakupa baadhi.

Hapana chuki yoyote katika uandishi wangu na kuna wasomi zaidi
ya wanne wamefanya pitio kitabu changu.

Neno chuki sikuliona.

Soma ''Ghandi'' na Robert Payne,
Soma ''Up From Slavery'' ya Booker T. Washington.
Msome Mandela ''Long Walk to Freedom.''

Pita humo kuna mengi ya kujifunza.
 
Wala hapajapata kutokea Balozi yeyote anayeiwakilisha nchi yake hapa Tanzania akapewa heshima hii nzito ya kulihutubia Bunge la JMT pamoja na ubovu wa Spika na baadhi ya Wabunge wa sasa!

Wild Card
Tujaalie ilikuwa semina ya wabunge na Balozi Robert Royall hakuhutubia Bunge.

Tatizo liko wapi?

Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''

Sheikh wangu Maalim Haruna akiniasa kuwa siku zote nitakapokuwa katika
mnakasha basi azma yangu iwe kutoa ilm kwa yule mpinzani wangu na mimi
kuteka ilm kwake.

Maalim Haruna alikuwa akisema mjadala wa ubishi na kutaka kuoneshana nani
mjuzi zaidi hauna baraka bora usifanye.

Mie kama ingelikuwa ni semina ningelisema alihutubia semina ya Wabunge lakini
nyaraka nilizopitia wakati naandika ile paper zimesema kama nilivoonyesha hapo
juu katika bold.
 
Kwa Kiingereza chako kizito na kizuri ulipaswa kujua kuwa kuhutubia Wabunge na kulihutubia Bunge ni vitu viwili tofauti kabisa. Humu JF inabidi uwe jasiri sana ukitaka kuongopa!
 

We mzee kuwa na soni basi wakati mwingine khaa, yaani bado unaleta ligi wakati ulishawaongopea watu huko Nigeria, ukadhani na hapa utafanya hivyo! Walamba viatu wako nao wakakurupukia mada bila hata ku-fact check. Na hawa eti ndiyo wanasema anaosema mwamedi i kweli tupu!
 
Angeandika Mwalimu mwenyewe na kuyataja haya ya kupewa malazi kwa Abdu, kupewa hela njiani na Mshume Kiyate,..., isingekuwa taabu. Umeyaandika wewe yamebadilika kabisa kuwa udhalilishaji, kumuadhiri Mwalimu kwa kukosa shukrani,..., watu wangapi umesaidia Mzee Mohamed kisha ukatangaza?
 

Heshima yako Mzee MS. On the contrary sina cha kuhofu. Nahofu nini? Mzee MS, nimefundishwa kuwa kusengenya ni kuelezea watu wengine habari ya mtu kiasi kwamba mwenyewe isingemfurahisha au tuseme ngemuudhi, hata kama unachosema ni kweli. Wewe ndio umezungukwa na maustadh wazito wazito wanajua mambo haya. Waulize. Unasengenya sheikh wangu. Zisikudanganye "likes". Mimi siogopi kukwambia. Na hata marehemu Abdul angekuwako asingefurahishwa na tabia yako. Nyerere alikuwa mgeni wake. Ilikutosha kuishia hapo. Yupi alihamia chumba gani ilitakiwa yeye Nyerere aseme kama aliona ina manufaa sio Sykes wala wewe. Sykes hakulisema kwa vile alilijua kidini ni dhambi sheikh. Hayo uliyoyakomalia ya Ally kuhamishwa ampishe ni masengenyo baba yangu. Kwenda sokoni hana senti ya kununua chochote ni masimango ustadh na hayana uhusiano na muslim struggle against the british. Na hata kama uliambiwa, nini maana ya hekima ya kuchuja mambo MS? Bora anayekwambia ukweli. Nilishaweka hapa aya husika inayokataza kusengenya lakini naona gari yako iko kwenye over-drive. Uliiruka. Wachana na ma-book ya kina Mandela, wewe umeshajivalia uislamu katika kusimulia mada zako, lazima usimulie mambo ndani ya stara ya kiislamu.
 
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina


Son of Alaska,
Ubishani wetu haukupata kuwa heshima ya Nyerere duniani.
Hili halina ugomvi kabisa.

Wala maandishi yangu hayajapatapo kuwa na ubishi katika hilo.
Tatizo letu ni katika historia ya uhuru wa Tanganyika na uasisi
wa TANU.

Hapa ndipo palipotuweka hapa JF sasa mwezi wa tatu na watazamaji
wanakimbilia 200,000.

Je inawezekana kuandika historia ya TANU bila kueleza mchango wa
Abdu Sykes?

Je inawezekana kuandika historia ya TANU bila kutaja mchango wa
Waislam?

Na hayo niliyosema ndiyo yaliyomo katika kitabu changu.

Hapa hatubishani heshima ya Nyerere katika uwanja wa siasa hapa
nyumbani na ulimwenguni kote.

Kwa hakika sifa zake Nyerere ni kubwa mno.
 
Mag3, hebu ongeza katika ile orodha yako maarufu ya ''uongo wa Mohamed''. Yaani kila bandiko analonukuu lina chumvi, hamira, magadi soda ili mradi ngano iumuke.

Mo mpotoshaji mzuri sana, vijana wake walitoka mbio wakijua wamempata Nguruvi3. Kila siku huwa tunasema mtu akiuliza swali si kuwa hajui, ana sababu na ufahamu mzuri, hamezi tu kama makinda ya ndege tunduni.

Semina ya bunge ni kuwa sensitize wabunge na jambo fulani kabla ya mjadala. Yaani ni kukutana na wabunge kwa pamoja na hilo si Bunge! Kama ni bunge basi Dau naye keshahutubia Bunge kama alivyofanya A.Mpaunda na wengine wengi sana.

Sasa huwa sijui kama Mohamed ana ufahamu wa mambo haya kweli au anafanya makusudi kupotosha tu.
Halafu hana hata chembe ya aibu wakati anawaingiza ''kingi'' wasomi ! hapepesi macho! Mohamed alivyojaaliwa.
Ndani ya JF anatupa kila taka, hana wasi wasi na kumbu kumbu hizi zinazobaki hapa.
Kitu cha ajabu ana uwezo na anawapata hata watu wenye weledi bila wasi wasi. Wengi tu wanaunga mnyororo.

Mohamed, umeongopa hakuna kitu kama balozi kuhutubia bunge!

Gombe,Big,Baru, Mheshimiwa Ritz, kaeni chini pata funda tatu za maji, nyanyueni nyuso mumuombe mola msaada.
Poleni kwa kujeruhiwa tena. Sio suala la fuata nyuki ule asali, kuna nzi wanafanana na nyuki

Mohamed, usirudie tena!
 

Wickama,
Uislam hakika umeeleza ubaya wa kusengenya na umetoa maana ya kusengenya.
Ukitaka habari kamili ya somo hilo rejea Riadh Salihin mlango wa kusengenya.

Hapo utapata maana yake kamili.
Kwa mukhtasari kusengenya ni kusema neno mwenyewe hayupo na akilisikia atakasirika.

Mimi nimeeleza historia na nimelileta hilo baada ya kubanwa kuhusu historia ya Abdu
Sykes.

Ama kuchuja...
Mengi sana sikuona lazima ya kuyaeleza si hapa wala katika kitabu.
 

JF kiboko,mtu mzima anachomoa kiutu uzima-kanasa kwenye corner-anatumia sweet talk kuukusanya mtama alioumwaga kwenye kuku wengi
 
Wakati mwingine uwe unaandika kama mtu wa hadhi ya PhD. na wala sio mtu wa kawaida tu!unakuja na chuki zako badala ya uchambuzi wa kisomi! hebu basi tuletee hao wasiomi wakujiamini ambao Nyerere aliwatupa!
 

Wanajamvi,
Hebu tusaidiane:

Tujaalie ilikuwa semina ya wabunge na Balozi Robert Royall hakuhutubia Bunge.

Tatizo liko wapi?

Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''

Sheikh wangu Maalim Haruna akiniasa kuwa siku zote nitakapokuwa katika
mnakasha basi azma yangu iwe kutoa ilm kwa yule mpinzani wangu na mimi
kuteka ilm kwake.

Maalim Haruna alikuwa akisema mjadala wa ubishi na kutaka kuoneshana nani
mjuzi zaidi hauna baraka bora usifanye.

Mie kama ingelikuwa ni semina ningelisema alihutubia semina ya Wabunge lakini
nyaraka nilizopitia wakati naandika ile paper zimesema kama nilivoonyesha hapo
juu katika bold.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…