Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Content nzima ya majibu yako kwa Balozi inaanzia pale mwanzo alipokuwa "Akihutubia bunge" au "Akiongea na wabunge" ama "Akitoa semina kwa Wabunge.

Nafikiri wewe sasa Mtu mzima kwa makamo yako unapaswa ujue uzito wa kile unachokisema hata kama kipo kwenye
mstari mmoja. Na na imani unajua kabisa alichokifanya Balozi ni tofauti kubwa sana na wewe ulichoandika, na hapo
ndiyo akina siye wengine tunapokuwa tunajiuliza motives zako ni nini.

Ukisema tuliache hilo tutaacha mangapi ya Msingi ikiwa wewe mwenyewe hutaki kukubali umepindisha maana kwa
jambo kubwa kama hilo. Na utakapokubali hilo utakuwa umewasaidia Wafuasi wako pakubwa, maana kwa wao kila
unachokiandika hakina makosa, wanameza tu kama hilo la "Balozi wa Marekani kuhutubia Bunge"
 

Mwanakijiji.

Naona jambo au kosa dogo tu la kiuandishi wewe umelishikilia bango. Kumbuka kuwa mzizi mkuu hapa ni Balozi wa USA kuongea na wabunge katika ndani ya bunge kwa nia ya kufanya lobbing ili muswada wake wa Ugaidi upite. hakuna ziada ya hilo.

Mimi nina uzoefu mkubwa wa Bunge la JMTz kwani kwa zaidi ya miaka 3 nimekuwa nikiwa nao karibu wakti nipo wizara ya fedha kitengo cha bajeti. Na kwa upana mkubwa sana najua hicho kinachoitwa lobbing.

Kumbuka kuwa katika UANDISHI wa HABARI kuna wa aina nyingi ikiwemo kuna wanaobobea kuandika mas'hala ya bunge tu. Lakin huko Tanzania hawahishimu hizi taaluma na mara nyingi utawaona hapo reporters ndio wanaofanya kazi hizo.

Mimi nimemtuma mtu huko Tz anitafutie magazeti ya siku hiyo na wewe tusaidiane tuone yaliandika kitu gani katika kadhia hii.nafikiri sote tutacheka kwa watakavyo ripoti tukio hilo ambalo sasa ni story.

Mara nyingi kama mwandishi unatakiwa usome kiini cha habari na wala usiishie katika kichwa cha habari. sasa nakusihi usiitumie hii kama hoja bali angalia content zake je huyo balozi siku hiyo alifanya kweli na msingi mkubwa ni paper yake na hapo Al Akhiy MS alipomjibu hapo ndio tunaweza pambanua kisomi.Wazungu wanasema USIHUKUMU KITABU KWA JALADA LAKE.

Pole sana

 

Al aKhiy Moh'd Said.

Nakubaliana na wewe kabisa wanataka kujenga mlima kutoka kichuguu.

Au wanahukumu kitabu kwa jalada lake na sio content zake zilizomo ndanimwe. Kwani mpaka sasa sijapata kusikia mtu yoyote hapa jamvini akisema Balozi huyo hakuingia katika mjengo huo na kuongea na wabunge hao iwe katika semina au bunge na kufanya lobbing. LAKIN TULICHOKITAKA KATIKA HILI NI KILE ALICHOONGEA HAPO AMBACHO AHALI YANGU UMEKIJIBU KATIKA PAPER YAKO. Hicho ndio wengi tupo interested nacho na madhira yaliyokupata baadayni.

Ok ndio upembuzi huo.
 
Zali la Mentali ukitaka kuwa muongo mzuri jitahidi kutunza kumbukumbu. Naona kanuni hii wewe imekupita kisogoni. Kudhihilisha haya jaribu kurudia kusoma upumbavu wako hapo juu na huu uliopo hapa chini;

Wewe najua umefilisika kichwani. Kuna hoja yeyote uliyoileta hapa? Hayo maelezo yangu ya awali uliyo quote kama kuthibitisha upumbavu wangu yana uhusiano gani na mada niliyoiweka hapo juu?
Mimi nilisema nisihusishwe na dini yoyote ile kweinye comments zangu. NUKTA.
Sasa badala ya kujibu hoja nilizoziweka wewe unaleta historia ya posts zangu. Itakusaidia nini? Jibu hoja kama huna majibu kaa kimya.
 
Your joined date, 4 April 2013, inaonyesha kuwa umetafuta ID mpya kwa ajili ya mnakasha huu tu, kwa makusudi ya kumwaga CHUKI yako dhidi ya Nyerere!

Hauna hoja dhidi ya hoja zangu? Kama huna hoja kaa kimya.

Mimi ndio Zali la Mentali. Niko kwenye Kitali. Ukimwaga mboga namwaga Ugali.
 


Tunakusoma Moh Said..
 
wewe mjinga, hakuna mtu yeyote anayekuhusisha ila wewe mwenyewe unajihusisha na kwa kuwa unauwezo mdogo wa kufikiri na umejazwa chuki na fitna unashindwa kujitambua.
 
Kitabu chako kipi kilichofanyiwa review na john illiffe??
Majeruhi wa mapenz kinachopatikana MLIMAN CITY?
Hebu zidisha vikorombwezo basi na chachandu mule,ama sivyo Shigongo atazid kukuharibia soko huku..
Inshort humuwez...
Jamani, mbona unachanganyikiwa vibaya! umeamua kumrudi hata mentor wako hivihivi bila huruma! Pole zako mkuu.
 
wewe mjinga, hakuna mtu yeyote anayekuhusisha ila wewe mwenyewe unajihusisha na kwa kuwa unauwezo mdogo wa kufikiri na umejazwa chuki na fitna unashindwa kujitambua.

Mjinga ni yule mtu anayeshindwa kujibu hoja zilizowekwa mezani kwake anakimbilia kumwita mtoa hoja ambazo kashidwa kuzijibu kwamba ndiyo mjinga. Nyinyi mnamwaga matusi kila sehemu kwenye mjadala huu na kuwadharau watu wanaotoa hoja zao. Hayo matusi yanatelezaje mdomoni kama sio chuki na fitna iliyowatambaa mwili mzima?

Mtakoma na mimi Mchimba Chumvi.
 

Barubaru,
Hawa ndugu zangu huwa wanakwepa pale ninapowawekea fikra zangu.

Bandiko hizo huzikwepa hawatii neno na kama watasema ni kejeli na
matusi.

Katika paper ya Ibadan hakika niliwakanyaga Wamarekani kwa udhalimu
wao dunia nzima.

Hawa ndugu zetu niliyosema Chuo Kikuu Cha Ibadan kwao si muhimu hata
kidogo.

Wao wameshughulishwa na je Balozi Royall kahutubia bunge au Kamati ya
Bunge.

Kama itakavyokuwa niko nao na taratibu tutafahamiana.
Leo huu mnakasha umefurtu ada.

Mimi ndie ninaezungumza hapa jamvini.
Wao ni Hakimu Nassoro Kiruka.

Kazi yao ni vitisho, kebehi, kejeli nk. nk.
Wakati mwingine ni vitish
 

Zali la Mentali
Humu ndani wameamua kutugawa 'sisi' na 'wao',,
Sasa huyo asikughulishe sana,au labda kama umeamua kutafuta uwanja wa kujistarehesha,kwa maana hata jamaa zake kina mwanakijiji,yericko,nguruvi3,mag3 etc wamemdharau na kumpuuzaa,so achana nae,
Kapotea njia huyo,
Anadhani hili ni jukwaa la mpenz au la jokes,hili ni jukwaa la siasa na kuna watu na heshima zao,
Tulishampa rai akienda kule jukwaa la mapenz na kubandika uozo wake,na hata kama akisema anatafuta NIKAHA,basi watatokea tuh wasamaria wema wa kuweza kumnusuru..
Tuendelee kumsoma mwalimu wetu Moh Said,nafasi adimu hii,tumshukuru Allah,wengine hawaipati kama tunavoipata sisi..
 
Last edited by a moderator:
Sina la kusema hadi uwasiliane na watu wa Ibadan, uwambie uliwadanganya kuwa Balozi wa Marekani nchini alilihutubia Bunge la Tanzania. Mtafiti mzuri kama wewe hakurupuki kuandika asichokuwa na uhakika nacho!
 
Hata Kenyatta aliwakuta Wakenya wakiishi kwa upendo lakini aliwaachia misingi ya ukabila. Na Kikwete ametukuta tukiishi kwa amani dini zote ataondoka ametuachia uhasama wa kidini. That is the difference.

Jasusi.

Mimi nilibainisha toka awali kuwa Huo ni urithi kutokana na utawala wa kikoloni. Unajua wakoloni hususan waingereza walitumia Devide and Rule ambako Kenya na Uganda alitumia UKABILA kwa sababu nchi hizo zina makabila machache sana. Kwa Upand e wa Tanganyika walishindwa kutumia ukabila sababu nchi ilikuwa na makabila mengi sana zaidi ya 75. sasa hapa walitumia UDINI. Sasa mas'ala haya ni ya kihistoria zaidi. Kwa kenya na Uganda waliyaweza kwa sababu waliyakubali kuyaongea hadhwarani. Lakin kwa Tanganyika mkafanya Siri ambayo sasa imedhihiri.

Sasa usimuhukumu Kenyata kuwa kawaachia Ukabila. Kwani unaweza sema hata Nyerere amewaachia UMASIKINI< UFUKARA NA ULANGUZI ambao sasa umekomaa na kuwa UFISADI mambo ambyo hayajawahi tokea tokea kuasisiwa kwa taifa la Tanganyika. yeye ndio aliasisi hayo.

Pole sana

 
Zali la Mentali, unapiga makelele kuwa umeweka hoja, mbona hoja hizo hatuzioni? Kumwita Nyerere CHIZI hizo ndo unaita hoja?Au kusema uwongo kwamba Nyerere aliwadhulmu waislam bila kuwa na ushahidi wowote ndio unaita hoja? Hata hivyo mimi sikulaumu wewe, tabu iko kichwani mwako ambako umejazwa chuki na huyo hasidi wenu Mohamed. Bwana mdogo, chuki haijengi, chuki itakuletea maradhi ya akili bure! huyo mzee wako anafanya chuki kwa kuwa anajua "life span" yake ndio inaishia ishia na hivyo hana cha kupoteza! lakini wewe kijana unavingi sana vya kupoteza! waachie hizo fitna akina Ritz, Barubaru na Mzee Mohamed kwani ujana wao hawakuutumia kujenga upendo bali chuki.
 

Huyo jamaa niachieni mimi. Mtu akileta usugu dawa yake ni kumsugua.
 
Huyo jamaa niachieni mimi. Mtu akileta usugu dawa yake ni kumsugua.


Sawa nakupa ruksa msugue vilivyo....!
Anaekutusi kilabuni nawe mtusi hapo hapo kilabuni isije kesho akasema alikuwa kalewa,mfunze adabu kisawa sawa..!
Pia mwambie hata kina mwanakijij na kina yericko nao wameoa na wana familia kama sisi pia,kwa ufupi tuna heshma kubwa tuh,kama anatafuta mwenza basi na aende jukwaa la mapenz,hapa hapamfai kabisa,jamii forum ni kubwa hii,na kina Invisible waliyaona haya yote ndio kwa maana wakaweka majukwaa mbali mbali..
hapa hatapata wa kumfaa...
 

Nimeshakueleza kama huoni hoja nilizoweka KAA KIMYA. Kama ni kusema uongo si uelezee kivipi nimesema uongo? Unashindwa nini kuthibitisha uongo wangu. Haya ya Mzee Mohamed Said kwani si mnayaona kuwa ni uongo. Mbona mnayajadili? Sasa mtu wa aina yako unaweza kunifundisha mimi maisha? Kama ni chuki nyinyi ndio wenye chuki iliyopitiliza. Nilishaeleza jinsi Nyerere alivyotumiwa na Kanisa kuwaua Wazanzibar kwa maelfu. Utawezaje kuuwa binadamu wenzako kiasi hicho bila ya kuwa na chuki nao?
Sasa unaleta habari za kupenda maisha hapa. Una akili timamu wewe? Mtu akikulazimisha kukutwanga TIGO kwa kukuwekea bastola utampa ili uendelee kufaidi maisha kwa sababu wewe ni kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…