Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu Jasusi habari. Vipi umeshamsikia mwanajamvi mwenzetu Zomba. Ni siku nyingi sijamsikia.

Nimefurahi unapitia kitabu cha J. Illife. Tupe utakachobahatika nacho.
Mimi nilipitia kitambo kidogo.
 
Naona mnakasha umeshageuka kutoka wazee wa Gerezani hadi mapinduzi ya Zanzibar.
Watoto wa hasidi Mohamed Said wameamua kumuokoa mzee wao kwenye kibano. Walipoona kabanwa na ile longolongo ya balozi wa Marekani kuhutubia bunge, hawakuwa na jingine zaidi ya kuupotosha mjadala!
 
Duh! sasa hizo ndio hofu za kishirikina. Unasababu gani wewe kujiita Great Thinker kwa ushirikina huu?
 
Barubaru, mbona hujibu swali uliloulizwa na Jasusi? umeulizwa "mlitaka kumwambia nini Nyerere?"
 
Nyie mbona mmeungana kumshambulia Mohamed Said kutoka na dini yake. Umeishajiuliza kwa nini mmeungana Wakiristo wote na watu wa Musoma kumtetea Nyerere.
Ritz, wacha uongo, Mohamed Said hashambuliwi kwa sababu ya dini yake, bali anakosolewa hapa jamvin kwa mambo makubwa mawili, moja ni kutumia uislam kupotosha historia ya Tanganyika, ya pili ni kuandika uwongo kwa malengo ya uchochezi. Yote mawili yameoneshwa waziwazi hapa. Kwamba balozi wa Marekani alihutubia bunge ni uongo! kwamba Nyerere alikuwa adui wa waislam huo ni uongo na uchochezi!
 
Huu ni utetezi dhaifu sana katika nyanja za kisomi! "historical facts" zinabakia kuwa "fact" bila kujali zimesemwa au kuandikwa na nani, mzungu au mweusi. Kinachobadirika ni uchambuzi wa "facts" hizo. Kwamba Nyerere na watanganyika wenzake waliunda TANU na kudai uhuru ni "historical fact" iandikwe na Mohamed au Illife itabakia kuwa historical fact. Lakini kwamba katika mapambano hayo ya uhuru waislam ndio waliomsaidia zaidi Nyerere kuliko watu wengine na hivyo wanasitahili sifa na heshima kuliko watanganyika wengine, hiyo ni "Opinion" ambayo Mohamed na Illife watatofautiana. Na ni hapo ndipo Mohamed hatakubali kushindwa na Illife kwa sababu yeye ni muislam na Illife sio muislam!
 
Unajuaje kama yalikuwa mageni kwetu?Kwani wewe ndio mumiliki wa taaluma ya historia?
 
Bado unajiita Great Thinker!
 
Kwani hujui kwamba watu wamejificha kwenye majina ambayo sio halisi? Kwani Ritz ni jina lako halisi? kwa hiyo ulitegemea watu watataja kilahisi imani zao? kama wapo ni mimi na wewe tu.
 
Bravo mkuu.
 
Kwani hujui kwamba watu wamejificha kwenye majina ambayo sio halisi? Kwani Ritz ni jina lako halisi? kwa hiyo ulitegemea watu watataja kilahisi imani zao? kama wapo ni mimi na wewe tu.
Ni kweli bwana mkubwa hata wewe inawezekana umevaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui,wewe ni "ATHIEST KUMBE NI PADRI" Ha ha haa... mkuki kwa nguruwe.
 

Mohamed Said,

Wewe habari ingine kiboko umewafanya watu wazima waachane na historia ya kivukoni waanze kubukuwa vitabu vya kina Illife na Listowel leo hii.

Cha kuchekesha hawa watu wanataka eti wewe uwaamini hawa wazungu kuliko wazee wetu ambao tulikuwa tunakunywa nao gahawa na kashata huku tunacheza dhumna.

Siku zote walikuwa wanaamini kila kitu Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Hailet maan..UNDER 18 WANAZINI WATAKAVYO HAD WENGINE KUPATA MIMBA NA UKIMWI,LAKIN HAWAKATAZ ZINAA,WANANAHAMASISHA KUTUMIA KONDOM.UKITAKA KUMUA UNDER 18 UMEBAKA..MIAKA 30..DIGRII NYENGINE HIZI.....PUMBA
 
Ndugu Mohamed Said na wafuasi wako,

Kimsingi hoja yako ya Balozi kulihutubia bunge la Tanzania imethibitishwa kuwa ni UONGO tena ni uchochezi mbele ya uso wa kimataifa.


Sasa hebu jisomeeni hapo chini.




UGAIDI WA IRAQ.
Kwa wale wenye kufuatilia historia wataamini kuwa Iraq ni nchi iliyounga mkono vikundi vya kigaidi ulimwenguni na kwamba iliutumia ugaidi kama silaha ya kuwa kandamiza wananchi wake. Matumizi ya ugaidi wa taifa wa serikali ya Saddam Hussein yalikuwa ni suala kila siku la maisha ya Iraq, ambako uhuru wa kutoa maoni ulipingwa bila sababu maalum. Katika ripoti ya mwaka 2002 ya shirika la Amnesty International ilisema watu mbalimbali walikamatwa ikiwa ni pamoja na waliotetea haki za binadamu na maafisa wa jeshi waliotuhumiwa kutaka kuipindua serikali ya Saddam walinyongwa. Wapinzani wengi wa serikali ikiwa ni pamoja na vikundi vya upinzani vilivyo uhamishoni walikamatwa na kufungwa.

Hatima na mahali walipo wote waliokamatwa ni kitendawili. Watu kadha waliongezewa vifungo baada ya mwendo mrefu wa mashtaka katika mahakama. Mateso makubwa wafungwa wa kisiasa waliyapata. Hukumu ya kifo ilitiwa mkazo zaidi, Makosa yaliyostahili hukumu ya kifo ni pamoja na ukahaba, ushoga, mapenzi ya wanandugu na ubakaji. Sheria ya mwaka 2001 inasema wale watakao patikana na hatia ya kumiliki madanguro watauawa kwa upanga. Mateso yameenea! Amnesty inaripoti kwamba wafungwa wa kisiasa na mateka walikabiliwa na mateso makali, miili ya waliokufa ilionyesha alama za mateso makubwa. Mbinu rahisi ya mateso ya kimwili ni pamoja na kutumia umeme, kung'oa kucha au meno, kuchapwa, nk. Yote haya yalifanywa chini ya Saddam Hussen,

Mnamo September, 1971, makumi elfu walitimuliwa na kupelekwa Iran. Mapema mwaka 1973 jeshi la Iraq lilianza kuwahamisha Wakurd kutoka katika vijiji kwenye eneo la Kirkur na katika sekta mbalimbali katika mipaka ya Iraq, Uturuk na Iran. Katika mwaka 1971 na 1972 vyanzo vya usalama wa Taifa vya Iraq vilimuua kiongozi wa wakurd Mullah Mustapha Barzani. Taarifa zinasema kuwa Wakurd karibu 6,000 walikamatwa kufuatia kauli ya Saddam Hussen mwaka 1975, kwa kushukiwa kuwa ni wanachama wa Demokrasia cha Kikurd (Kurdish Democratic Part) na wakapelekwa kwenye kambi maalmu kusini mwa Iraq.

Mnamo mwaka 1976 Wakurdi 7,200 walikamatwa kwa tuhuma kwamba walijihusisha na vikundi vya upinzani na zaidi ya Wakurdi 786 waliripotiwa kukamatwa mwaka 1978. Hayo yote yalifanyika wakati Saddam hajashika hatamu za uongozi nchini Iraq lakini akiwa mstari wambele kuyatenda akiwa kama Luteni jenerali hadi kupewa nishani ya Rafidani (Rafidanian Order First Class) ya kijeshi. Sasa tuangalie alipokuja kushika madaraka na ndipo uthibitisho halisi kuwa utawala wa Sadam Hussein ulikuwa unamiliki silaha za kikemia, Biolojia na nyuklia.

Mwaka 1983 wakati Iraq ilipokuwa inakabiliwa na matatizo kutokana na vita dhidi ya Iran utawala wa chama hicho ukaamua kukaza kamba kuwabana Wakurdi, wakati vita dhidi ya Iran ilipopamba moto serikali iliona hakuna haja ya kuwaleta wakurdi na kuamua kuchukua miji na vijiji vyao hali iliyopelekea wakazi wengi kukimbia. Mnamo Aprili 1987 Wakurdi wengi waliokuwa chini ya Sheik Wasan waliuawa na wengine kujeruhiwa kutokana na gesi ya sumu. Mnamo Jun 1987 sehemu kubwa ya kusini mwa Iraq ambayo watu wengi walikuwa wamekimbilia ilishambuliwa kwa mabomu ya gesi yaliyoporomoshwa na midege ya Iraq.

Mnamo Machi 16/ 1988 mji wa Wakkurd wa Halabja ulishushiwa mvua ya mabomu ya gesi na kusababisha watu 50,000 kufa na wengine 1000 kujeruhiwa kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zilizotolewa na mashirika ya kimataifa. Mnamo Agosti 1980 majeshi ya serikali ya Saddam yaliripotiwa kuvamia vijiji kadhaa vya Wakurdi karibu na mji wa Duhok na kuwakamata watu 10,000 baadhi yao walikuwa na majeraha yaliyotokana na milipuko ya mabomu ya kikemikali na kibaiolojia.



Kutoka katika kitabu cha Vita Dhidi ya Ugaid

Na Yericko Nyerere
 
Kikwete ulimtoa wapi Hutu mtoto bwabwa? Au ulimuadapt? Maana anakutesa mno, madawa yeye , ufisadi yeye.. pia ni nanilii..ya waarabu..
 
Ni kweli bwana mkubwa hata wewe inawezekana umevaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui,wewe ni "ATHIEST KUMBE NI PADRI" Ha ha haa... mkuki kwa nguruwe.
Boko, ni lini utaipa akili yako nafasi kufanya kazi japo kidogo tu? Padri atakuwaje Atheist? au hujui Atheism ni kitu gani! hakika Mohamed Said hasidi mkubwa atakuua roho na akili mtoto wewe.
 
"Kuna tatizo moja kubwa sana ambalo wengi hawapendi kulisikia lakini ni vema kulisema.
Leo BAKWATA ikizikwa kabisa bado kutakuwa na migogoro ndani ya chombo kingine.

Hii inatokana na ukweli kuwa waislam wa Tanzania hasa wasomi wa kiislam wameacha mambo yanayowahusu kwa ima wasio na ufahamu au half baked kama tunaoona hapa.
Narudia tena wasomi na watu wenye weledi wamechukua back seat.

Endapo kungekuwa na wasomi walio mbele basi wangeshampiga break Mohamed na wafuasi wake kwa kumwambia aseme na awaambie watu ukweli wa matatizo yao na wala si kueneza usengenyaji, uongo na chuki.
Kwa bahati mbaya wanaogopa pengine kufanya hivyo ni kukufur"

hapa nguruvi1 kaelezea core ya tatizo-tutazunguka kote but hapa ndio alfa na omega Mohamed Said umewahi fikiria hii kitu??
 
Last edited by a moderator:
Boko, ni lini utaipa akili yako nafasi kufanya kazi japo kidogo tu? Padri atakuwaje Atheist? au hujui Atheism ni kitu gani! hakika Mohamed Said hasidi mkubwa atakuua roho na akili mtoto wewe.
Tatizo lako ukisoma post zangu unazisoma kwa ushabiki wewe umesema watu wameingia jf kwa majina ambayo sio halisi kwahiyo huwezi kujua imani yake na mimi nikakwambia hata wewe inawezekana unajifanya ni ATHIEST kumbe ni PADRI hebu jitahidi kuwa muungwana kuwa mstaarabu hivyo ufanyavyo sivyo :nono::nono::nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…