Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #13,801
Acha kuuliza masuali ya kijinga. Hoja hiyo iko wazi. Haihitaji mlolongo wa masuali ya kitoto ya kihistoria kujibiwa. Ni simple logic kwamba if A=B, B=C, then A=C. Nukta. Huitaji longolongo nyiiiiiiiiingi ku detach illogical pattern katika ubongo wake uliofilisika kwenye logical reasoning.
Sawa sheikh. Malipo yapo kwa Mungu. Kaza buti, na nia njema iwepo. Ila sasa, epuka kulazwa ICU yoyote katika hizi hospitali zetu. Sheikh, wajua tena umelazwa (pengine ajali-Mwenyezi Mungu akupishe nayo), kisha waungwana hawa na uniform zao wanakuwahi na mask ya oksijen, Wallah utatuwachia fadhaa kubwa hapa JF.......(hahahahahah).
Halafu you may not see my postings as often; Iam writing a paper (soil sciences) for publication into one of the journals (European Journal of Soil Science). Some deadline is attached kwa sababu tunakimbiza what they call a "special issue" Sasa hii shughuli may steal alot of my time and energy. Ila i will keep track.
with much love
cc. Nguruvi3, Mag3, Nanren, Gombesugu, Kadogoo, Boko Haram, Mwanakijiji, Platzoon, Jasusi, Ritz, Zali la Mentali, Barubaru, Son of Alaska.
Katika historia ya maisha ya siasa ya Mwalimu Julius Nyerere, ni aibu kwa mtu aitwae mwanahistoria kuiangalia historia ya Nyerere kwa mlingano wa A=B!
Inafedhehesha kwa mtanzania anaamini fika kuwa Julius Kambarage Nyerere ni rais wa Kwanza wa Tanganyika/Tanzania na kisha amtambue kwa aina hiyo ya historia!
Rejea maswali yangu hapo awali, yanalo jibu yakinifu la hoja mjarabu la mkanganyika wenu kwenye hotuba ya muago ya Mwalimu!
Sasa Zali la Mentali, ukishapitisha hukumu ya upumbavu wa kulithi una sababu gani kumuuliza maswali magumu mpumbavu? Nadhani wewe mwenye akili kama kipanga unaejua kila kitu ungetumia busara ya kawaida tu ya kumuuliza mwalimu wako mweledi Mohamed Said maswali hayo, yeye angekusaidia zaidi ya kukufunza matusi ya kumtusi Nyerere! au angekuelekeza vifo vya wasaliti wa uslam ambao maiti zao zilikunja nyuso na angekutabilia kwamba wewe kwa kutukana hapa kwa jina la uislam na kila tusi unalomtukana Nyerere basi ukifa maiti yako itavaa tabasamu la bashasha kama nguruwe anayefurahia muwa!Hivi wewe mbulula nawe unajiweka kwenye kundi la wasomi? Kama ni upumbavu basi wewe upumbavu wako utakuwa wa ziada na hivyo utakuwa umeurithi kwenye mnyororo mrefu wa kurithi damu ya wapumbavu kuanzia mababu na mababu zako.
Kama kweli wewe ndio msomi na sisi wapumbavu, jibu swali hili hapa. Aliporudi kutoka Uingereza kusoma, alienda Pugu kufundisha kwanza ndio akaja Dar es Salaam na kuanza kuuliza Kiongozi wa TAA ni nani? Kama alikuwa anafahamu kiongozi ni Dosa kama unavyodai, kwa nini aliuliza kiongozi wa TAA ni nani? Iweje kipindi chote hicho tangu kuwa kiongozi wa TAA Makerere, kuja kuwa kiongozi wa TAA Tabora na kuingia Pugu kufundisha wakati wote hou hamfahamu Abulwahid Sykes?
Usomi wako au upumbavu wako utategemea na jinsi unavyoweza kuelewa na kujibu hoja nyepesi nyepesi kama hizi kwa ufasaha.
Siwezi kujibu utumbo wa masuali yako kwa sababu hata nikiyajibu vipi hayawezi kuondoa ukweli kwamba Nyerere alijiunga na TAA bila kumfahamu Abdulwahid Sykes kama kiongozi wa juu wa TAA na hivyo alijiunga chama ambacho hawafahamu viongozi wake wa juu. Ndiyo maana nime i reduce hii simple fact kwenye simple logical formula. Huhitaji kukariri utumbo wa kumbukumbu ya mtu aliyefilisika kichwani kwako. For what?
Masimulizi ya hisia za mwandishi yanayohalalishwa kuwa ndio ukweli mkuu!
Ukiambiwa ulete ushahidi wa kipengele hadi kipengele utaanza kuweweseka!
Ngano juu ya ngano!
Nimeshaeleza saana na narudia. KAMA HUNA HOJA KAA KIMYA. Kama unazo basi jibu kipengele kimoja baada ya kimoja kwa hoja kuonyesha kwamba kwenye hoja hii sikubaliani na wewe kwa sababu moja, mbili, tatu, n.k. Ndivyo watu waliostaarabika wanavyofanya na sio kuweka posts kwa ajili ya kuuza sura.
Sasa Zali la Mentali, ukishapitisha hukumu ya upumbavu wa kulithi una sababu gani kumuuliza maswali magumu mpumbavu? Nadhani wewe mwenye akili kama kipanga unaejua kila kitu ungetumia busara ya kawaida tu ya kumuuliza mwalimu wako mweledi Mohamed Said maswali hayo, yeye angekusaidia zaidi ya kukufunza matusi ya kumtusi Nyerere! au angekuelekeza vifo vya wasaliti wa uslam ambao maiti zao zilikunja nyuso na angekutabilia kwamba wewe kwa kutukana hapa kwa jina la uislam na kila tusi unalomtukana Nyerere basi ukifa maiti yako itavaa tabasamu la bashasha kama nguruwe anayefurahia muwa!
Naomba jambo moja tu kutoka kwenye hoja zako zote!
Naomba rejea za makutano ya ikulu kati ya Mwalimu Nyerere na makasisi wa kikatoliki kama dai/hoja yako ilivyo!
Sikiliza dogo. Hapa hatupo kuelekezana mtu kasome pale au kakariri historia ya yule. Hapa tuko kuweka hoja na kuzijadili. Kama una hoja weka kama ulivyofanya kwa kuanzisha uzi huu ambao sasa tunajadili. Mbona hukututaka tukasome pale au turejee jambo fulani kabla hujaweka hoja yako? Tafuta njia zingine za kuuza sura lakini sio kwenye Mnakasha huu.
Jitahidi kuwa na adabu kujadiliana,
Mijadala ya lugha adhimu kama kiswahili yafaa adabu kuweka mbe!
Hivi unadhani mifumo ya harakati za ukombozi ilikuwa kama ilivyo mifumo ya siasa za leo?
Mwalimu alijuana na wahafidhina wa TAA tangu akiwa Makerere mwaka 1948, sasa mwaka 1952 ukihoji uhalali wa Mwalimu kuwauliza wenzeke aliowakuta TAA akitoka Scotland kuwa nani sasa hivi anakiongoza chama utakuwa na mapungufu ya Uelewa!
Kumbuka nyakati hizo upashanaji wa habari ulikuwa wa aina gani?
Nilikusihi kuwa na adabu hata kama ya malezi hakuna basi tumia ya kuzaliwa kijana!
Umeng'ang'ania kuwa unahoja ilihali HAKUNA hoja wala chembe ya hoja!
Ikiwa huoni sababu yakujibu maswali yangu hapo ni vema kujituliza na kuwa mtazamaji, utapata mafaa ya nera kwa darasa upatalo!
Nasikitika sana kujadiliana na wewe,
Ninakupuuza rasmi kuanzia sasa sitajadiliana na wewe ikiwa huna hoja za nguvu bali unanguvu za hoja!
gombesugu,Ritz,
Asalaam Alaykum Al Akhiy.
Hawa jamaa wameshindwa kabisa kujibu hoja kali na zenye minyambulisho na zilzala za nguvu. Labda yale mawe yamekua mazito mno sasa wanaona kimulimuli,kwa hiyo tusiwalaumu sana wanaposema ati hoja za Zali la Mentali a.k.a Mchimba Chumvi hawazioni!?ahaha!!
Mimi awali nilipoingia sikujua hawa jamaa kumbe wamo hapa jamvini kwa ajili ya Crusade kama ndugunyao George Bush na wale virongwe ma-Neo Cons. Lakini kila siku zinapokwenda nabainisha mengi hapa.
Kuna wakti walikua haweshi kututajia mambo ya Tanga na Wazee wetu wa Tanga,sisi tukawa kimya tunawacheka tu...nilipowafuata kuwavuruga kila mmoja kaanza kutaja makwao na yule mwingine akaacha kabisa kumtisha Sheikh Mohammed na yale mambo ya Makorora,sasa kakimbilia kwao Kicheba na Magila.
Kwa wale wa Mara na Tarime,nanyi pia nakuja hukohuko na nitaanza kwa kukuonyesheni ya kuwa huyo Nyerere wenu kaanza kula fadhila za Wazee wetu toke pale Musoma kwa Mzee Makongoro na Masheikh wengine wengi tu huko mabara. Nina tambara chafu saana la Nyerere alowafanyia kina Issa Makongoro na Sheikh Abdallah Mwita. Kwa hakika yule mtu alikua hakumbuki kabisa fadhila. Kila nikisoma hiyo hotuba ya upuuzi aloiweka huyo Yericko hapo juu,basi Wallahi nakumbuka jinsi gani Nyerere alishindwa hata kwenda mazikoni/msibani kwa Sheikh mohammed Yahya Ramia pale Bagamoyo. Alipopashwa habari na AbdilRahman Ramia,akadai ati yuko very busy kwenye simu na yule "changumemenya" Samora Machel!? Sijawahi kusikia maongezi ya simu ya siku nzima!? Na kuwasahau walokuweka na kukufadhili kwenye hayo madaraka!?
Leo hao jamaa ati wanamzoma Rais Al Jamuhuriya Al Maaruf Mrisho Bin Khalfan Kikwete,ati anasafiri sana. Embu wajaribu kupiga hesabu ya trip za huyo "Mwalim wao"!? Kuna trip nyingine alikua analazimisha huku anaambiwa kuwa ndege bado iko Government Hanger ina khitilaf. Chief Engineer wa Serikali yake takriban miaka 20 Mohammed "Babu" Mwita(mnywa kahawa,mtoto wa Kariakoo,mtu wa akili za Madrassa),alikua analalamika kuwa huyu Mzee Nyerere,iko siku atatufanya tufie angani maana anaingilia sana mambo asoyajua na mkaidi wa kusikiliza Wataalamu. Kwa issue hii,wale wajuba na mpendao kujipunja kamuulizeni Mkristo mwenzenu mtiifu Mzee Newa maana ndiye aliekua Pale Civil Aviation miaka mingi .
Jamaa naona kila habari tukiwapa hawazikubali,ati kwa sababu tu kuwa wao walikua hawazijui na wanajaribu kuzitia tashtit. Ndo maana Sheikh Mohammed huwauliza ,haya mambo mtayajuaje kwani nyinyi ni wageni na pia Wazee wenu ni wageni?
Nipo hapa leo, napitia ule utumbo wao wa W'end. Naona hamna lolote la maana zaidi ya matusi ya yule Kiroboto wao. Najua wale Manyangumi wa hoja wametahayari,pale The Big Show a.k.a The King Of Kings alipowaambia kuwa wanashinda hapa na kulala hapa hapa jamvini!ahaha!!
Naona yule kunguni wa hoja a.k.a Abu Jahal,ati anahangika kuingia kwenye "google search" na kupata fadhaa mbona hizi details hazipatikani!?ahaha!!...hawa jamaa kweli hamna kitu!
Tuendelee na mnakasha.
Cc; Ami
Sitie shaka nakuwekea vitu vipya na vya ndani every time...I never break my promises.
Ni kwanini kila ukiandika ujinga na chuki zako zisizo na msingi wowote unaziita hoja? na hoja zenyewe zitaitwaje. When are you going to grow up? Nakushangaa sana unapoandika mlolongo wa tuhuma ambazo huwezi kuzithibitisha halafu kwa ukosefu wa akili unathubutu kuziita hoja. Ulisoma wapi wewe?Wewe najua hutaacha upumbavu kwa sababu uko kwenye damu yako. Wewe si ndio ulioanza kutuita sisi wapumbavu? Sasa usilielie kama mtoto si ridhiki. Mimi Mohamed Said sio mwalimu wangu hivyo usinihusishe naye wala sina mwalimu hata mmoja hapa kwenye huu Mnakasha. Ukiamua kupambana na mimi kwa mambo ya kipumbavu usitegemee huruma kutoka kwa mtu mwingine yeyote ila MIMI.
Wewe umekazania kwamba mimi ninamtukana Nyerere. Neno kutukana amekufundisha nani? Neno matusi kakufundisha nani? Kama matusi yapo basi ni nani anayestahili kutukanwa na nani asiyestahili kutukanwa? Wewe kwa mfano bila shaka utakuwa umelelewa kwenye familia ambayo matusi nyumbani ni jadi, kutwa mara tatu. Hivyo kila ukiweka post yako lazima utukane tu bila hata kuhalalisha matusi yako unaoamua kuwatukana hao wahusika kama kweli wana haki ya kutukanwa matusi yale. Mimi nimeweka hoja ya msingi ya ku categorize Nyerere ama MNAFIKI au CHIZI. Nimefanya hivyo baada ya kujenga hoja. Sasa neno Mnafiki au Chizi ni matusi tu kama unamwita mtu ambaye hana sifa ya kuwa Mnafiki au Chizi. Kama ana sifa hiyo hilo sio tusi bali ni ukweli. Otherwise tufute maneno Mnafiki au Chizi kwenye matumizi yetu kwani ni maneno ya matusi na hivyo hayafai kutumiwa kwenye jamii.
Sasa hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya na sio kuwaambia watu wakasome kitu fulani au warejee jambao fulani. Liweke hapa lijadiliwe. Mimi huwa siumagi maneno. Kama kitu ni utumbo nitakiita hivyo hivyo. Hii ndio njia bora ya kuwafundisha watu ambao wagumu kuelewa au wanajifanya hawaelewi kumbe wanajua nini wanachokifanya.
Sasa turudi kwenye suala hilo la Nyerere. Unadai alikuwa anawafahamu tangu 1948 wakati akiwa Makerere. Aliporudi kwa nini asiwasiliane na wahusika aliyowaacha kujua kama bado wanaongoza chama au vipi akaamua kuuliza mitaani? Na tena anaeleza kwamba alifahamishwa "kuna mtu anaitwa Abdul Sykes". Kama kweli alikuwa anamfahamu Abdulwahid Skyes tangu zamani na alikuwa Katibu wa TAA tangu enzi zile za yere kuwa Makerere, kwa nini amu address kama "kuna mtu" kama vile hamjui? Kwa nini aseme Abdul ndiye alikuwa ndio Katibu wa wakati huo wakati huo wakati huyu alikuwa katibu tangu yeye yuko Makerere? Ni wazi kwamba amejenga taswira hii ili kulalalisha kwamba alikuwa hamfahamu Abdulwahid Sykes mpaka pale alipopelekwa na Kasanga Tumbo ndipo akamjua. Hii ndio taswira aliyokuwa anaijenga na ndio ninayomuhukumu nayo kwamba ama alikuwa MNAFIKI au CHIZI.
Ni kwanini kila ukiandika ujinga na chuki zako zisizo na msingi wowote unaziita hoja? na hoja zenyewe zitaitwaje. When are you going to grow up? Nakushangaa sana unapoandika mlolongo wa tuhuma ambazo huwezi kuzithibitisha halafu kwa ukosefu wa akili unathubutu kuziita hoja. Ulisoma wapi wewe?
Nafurahi kuona sasa umerejea kwa adabu!
Angalau sasa tunaweza kujadiliana!
Kwanza hoja yako unaibadili ama kwa maksudi ama kwakutokujua,
Katika hotuba hiyo mwalimu hajasema kuwa aliuliza "mtaani" kuwa nani anakiongoza chama,
Kwauelewa wangu wa hotuba hiyo nikuwa aliwauliza wanachama wenzie wa TAA.
Pili umekengeuka kwakutojua ama kwa maksudi,
Umehalalisha kuwa Abdul Sykes alikuwa katibu tangu mwalimu akiwa Makerere hadi anarudi kutoka masoni Scotland, hii si kweli.
Kwanza nikufahamishe tu kuwa wakati Mwalimu Nyerere anarejea kutoka Scotland TAA ilikuwa inaongozwa na Abdul Sykes akishikilia wadhifa wa urais wa mda baada ya Dr Vedasto Kyaruzi kuhamishwa kazi kwenda Kahama na mkoloni wa kiingereza kwa lengo la kuua nguvu za TAA!
Narudia ni kuwa ALISHIKILIA nafasi ya urais tu, yeye alikuwa ni katibu!
Hivyo kwa mtu ambae alikuwa ughaibu ambapo mfumo wa mawasiliano ulikuwa ni wa nukushi tu ni lazima akirejea aanze kufuatilia kujua habari za chama chake kwakuuliza wenzake aliowakuta/aliowaacha
Mwalimu aliuliza ilikujua mwenendo wa chama na nguvu za chama ambapo inaelezwa wazi kuwa kilizorota na kuuitwa cha walevi!
Andika vyovyote, ukweli unabakia kuwa unamakelele yasiyo na maana na kwa kuwa kichwani ni mtupu kuliko kawaida unabaki kulialia kama watoto wa nguruwe(piglets) ati watu wajibu hoja zako! Onesha hizo unazoziita hoja basi, huna ubavu, unakuja na visa vya wavuta bange... Nyerere aliuwa watu... Ukiulizwa thibitisha, huna na majibu... unakuja na upuuzi mwingine...oh! Nyerere aliwauwa waislam! Bado unaita huu ujinga wako ati ni hoja! Kaa kando, wachie wenye hoja waendelee na mnakasha wao, wewe umekosea njia hapa, hapa huwa hatujadili majungu na stories za vijiweni, huwa tunajadili mambo ya maana yenye ushahidi thabiti na sio hisia za kipumbavu kama unazozileta wewe mpumbavu uliyekubuhu!Sasa wewe hapa umekuja kukata viuno kwenye huu Mnakasha? Kwani kuna hoja yoyote uliyozungumza kwenye huu utumbo wako? Au nionyeshe post moja tu ambayo wewe uliiweka ikiwa na hoja bila kujibiwa. Kwa nini ushindwe kujibu hoja zangu halafu useme hazipo kama wewe sio taahira?
Andika vyovyote, ukweli unabakia kuwa unamakelele yasiyo na maana na kwa kuwa kichwani ni mtupu kuliko kawaida unabaki kulialia kama watoto wa nguruwe(piglets) ati watu wajibu hoja zako! Onesha hizo unazoziita hoja basi, huna ubavu, unakuja na visa vya wavuta bange... Nyerere aliuwa watu... Ukiulizwa thibitisha, huna na majibu... unakuja na upuuzi mwingine...oh! Nyerere aliwauwa waislam! Bado unaita huu ujinga wako ati ni hoja! Kaa kando, wachie wenye hoja waendelee na mnakasha wao, wewe umekosea njia hapa, hapa huwa hatujadili majungu na stories za vijiweni, huwa tunajadili mambo ya maana yenye ushahidi thabiti na sio hisia za kipumbavu kama unazozileta wewe mpumbavu uliyekubuhu!
Wapi Nyerere aliuliza ni kweli hakutaja sehemu aliyoulizia. Lakini maudhui ya maneno yake inaonekana wazi hakuuliza viongozi waandamizi kama kina Abdulwahid Sykes aliowaacha. Badala yake akawauliza watu wengine ambao sio viongozi waandamizi wa TAA. Hii yote ni kutaka kuhalalisha kwamba alikuwa hawafahamu viongozi waandamizi wa TAA. Sasa suala la Abdulwahid kuwa rais na sio katibu wakati Nyerere anarudi kutoka Scotland hilo sio muhimu sana kwangu. Mimi si mwanahistoria. Kichwa changu hakijazoea kukariri matukio. Lakini ukweli unabaki kuwa palepale kwamba Abdulwahid Sykes alikuwa kiongozi mwandamizi ndani ya TAA tangu Nyerere yuko Makerere. Kusema kwamba "kuna mtu anaitwa Abdul Sykes" kunaonyesha wazi kwamba yeye alikuwa hamfahamu Abdulwahid Sykes. Kwa mantiki hii anabakia kuwa ama MNAFIKI au CHIZI. Nukta.