Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Hoja? zipi hizo?Kama kawaida mtaalamu wa matusi anaendelea na kazi yake ya kumwaga matusi badala ya kujibu hoja za watu!!!!!!
Huyu jamaa ni wazi kabisa akipitisha siku bila kutukana atalazwa hospitalini.
Poor imbecile boy! how comes you don't comprehent small things! nobody asked anybody to stop your hooliganism as that is your inborn character! keep on exposing yourself here.Wewe umeshaonyesha dalili zote za kuwa mtoto si ridhiki kwa kulialia humu jamvini kuomba watu walewale unaowatukana wakusaidie kunidhibiti mimi. Sasa ndio maana naoengea kwa lugha ambayo utaielewa vizuri kwani ndio matendo yako.
Yericko,
Sasa huoni yakuwa kuna wakati unajichanganya mwenyewe!? Nahisi hii "definition ya matusi" ni pale tu inapoku-suit wewe!?
Nakukumbusha yakuwa; hapa baadhi yetu tunatoka katika matabaka,makabila,mila,dasturi na tamaduni tafauti.
Hapo awali hapa jamvini palikua na kishindo na kebehi kadhaa dhidi ya Sheikh Mohammed,yakuwa kwanini kataja kuwa Nyerere alikua akisaidiwa kitoweo na Mshume Kiyate na pia kwanini alitaja yakuwa Nyerere alikua hana pa kulala ikalazim asaidiwe chumba cha Abbas Sykes,alikua hana uwezo akitembea kwa miguu tokea Pugu mpaka Kariakoo,akasaidiwa baiskeli na mengineyo machache ambayo hata huyo Nyerere mwenyewe aliwahi kutamka hadharani. Wewe na jamaa zako wengi mlihamaki pasi mfano.
Kama una maarifa,hishma,na mapenzi makubwa mno kwa Nyerere kiasi cha kumnasibisha na Unabii... basi tafadhali nakusihi ndugu yangu punguza nyendo zako. Maana hapa dignity ya huyo Nyerere unazidi kuididimiza kila kukicha.
Unamzidisha ukiwa na machungu hata huyo Mama Maria. Maana hishma na mapenzi yoote alokua nayo kwa Mzazi mwenzie Nyerere,lakini sasa wewe umejitokeza na umeonyesha yakuwa Nyerere kumbe alikua si Mkristo mtiifu wala hakuwa mwanandoa muadilifu na pia alikua na Vimada na umezaliwa wewe mtoto wa nje ya ndoa!?
Ndugu yangu Yericko,kama utatumia ustaarabu japo kiduchu basi wahurumie ndugu zako wa Mama mwingine(Andrew Nyerere na wenzie). Najua wanateseka na kupata uchungu mkubwa kwa jinsi wewe unavyosababisha "kumuanika" Mzazi wao hapa jamvini.
Natumai utanifahamu japo kiduchu.
Tuendelee na mnakasha.
Cc;Ami,JokaKuu,Nguruvi3,Mag3,Barubaru,Jasusi,Boko Haram,Kadogoo,Zali la Mentali,Ritz,The Big Show,Sheikh Mohammed Said,Sideeq,Uthman
Ps; Nakuhakikishia wewe humjui Rais Nyerere kiundani kama wamjuavyo baadhi ya Wanajamvi hapa! Kumbuka yakuwa Nyerere alikua ni Rais wa nchi,kwa hiyo kuna vitu vingi mno wewe "mwanafamilia" huwezi kuvijua alotenda "Mzazi wako".
Nikuweke sawa kwenye maelezo yako,
Sio kwamba mwalimu aliishi Pugu ndipo akaenda masomoni, la hasha bali aliishi Tabora ndipo akaenda masomoni na aliporejea ndipo alifikia Shule ya Mtakatifu Frances pale Pugu na alidumu kwa mwaka mmoja tu na nusu kisha akaachana na kufundisha!
Akiwa pugu hajawahi kuwa kiongozi wa chama chochote bali alijihusisha na shughuli za kisiasa kwa kuja kuzifanyia Dar!
Hoja yako kuu ni kuwa iweje mwanachama na kiongozi kanda ya mashariki ya chama cha TAA aliyesafiri nje ya nchi ndani ya miaka mine tu aliporejea akaanza kuulizia wanaokiongoza chama chake kitaifa?
Jibu langu nikuwa, ndani ya kipindi ambacho Mwalimu yupo Masomoni, serikali ya kikolini ilikuwa inavisambaratisha vyama vya harakati za ukombozi,
Hivyo TAA ilikuwa imekumbana na zengwe hilo baada ya rais wake msomi na daktari wa kwanza kabisa Mtanzani Vedasto Kyaruzi kuhamishwa kituo chake chakazi na kupelekwa Kahama,
Katika anga za harakati za kimataifa TAA ilikuwa imeparaganyika.
Ndiomaana msomi na muhitimu wa kwanza wa PHD ya uchumi Tanganyika/Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliporejea ilikuwa kwanza kuulizia habari za chama alichokiacha miaka mitatu minne iliyopita!
Na katika kuuliza alianza na "nani wanakiongoza chama sasa hivi?"
Ndipo akaambiwa jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes,
Kumbuka katika kpindi hicho mtu huyu aitwae Abdul Sykes alikuwa si mzoefu kwa siasa za Nyerere zaidi ya Dosa Azizi na wengineo kama Dr Kyaruzi nk!
Bila shaka kwakifupi umenipata na ndio MANTIKI ya hotuba ya Mwalimu Nyerere.
Poor imbecile boy! how comes you don't comprehent small things! nobody asked anybody to stop your hooliganism as that is your inborn character! keep on exposing yourself here.
Intellectually dead bastard!Mtoto si ridhiki.
Swali lake halikuwa hivyo kwamba nani wanakiongoza chama sasa hivi. Lilikuwa nani wanaongoza TAA. Ni maswali mawili tofauti kabisa.
Sasa mimi nazungumzia kipindi kile alipokuwa Pugu akifundisha. Hakuwa mwanachama wa TAA? Hakuwa na mawasiliano yoyote na viongozi wa TAA mpaka aje kuuliza suali kama hilo wakati ameacha ualimu na kuja Dar?
Nasikitika sana tena sana!
Kwamujibu wa katiba ya nchi hii ninayo haki yakujadili masuala ya nchi yangu yakiwemo ya kisiasa, uchumi, afya nk!
Nimetumia haki hiyo hiyo kumkanya Mohamed Said na kuihabarisha dunia na watanzania wenzangu kile ninachokifahamu juu ya historia ya nchi hii na historia ya waasisi wa Taifa letu! Na kila mmoja wetu anayo haki yakukieleza kile akijuacho kwenye historia ya Uhuru.
Hakuna mwenye haki miliki ya historia ya uhuru wetu, tuulinde ukipotoshwa ama tukiona uchochezi tuukemee kwa nguvu zote!
Kusema ukweli kwenu ni kuwatusi hao wazee/waasi?
Je ni uongo?
Haya nitajie kati ya wanaoitwa wazee wenu ambae aliwahi kuongoza AA, TAA, TANU ama CCM katika ngazi ya Urais au Uenyekiti ambayo ndio ngazi kuu ya uongozi wa kichama!
Narudia tena kukwambia hao wazee walikuwa waasi wa serikali mpya ya Mwalimu Nyerere, na walionja nguvu ya dola huru ya Mwalimu!
Ngoja tumsome Nyerere mwenyewe mimi siwezi kutaja
Nyerere kaishakutajia labda kwa kukusaidia vyeo wakati huo vilikuwa ni viwili tu rais na katibu
Intellectually dead bastard!
A wise adage goes that "One ought not to argue with a fool as people may not notice the difference"Gwalihenzi unanifurahisha sana ha ha haa.... umekimbilia kwenye kithungu huyo ndio ZALI LA MENTALI a.k.a "MCHIMBA CHUMVI" anasema na usemi wa mbuzi,mbuzi akigoma kwenda unadhani anaambiwa kwa maneno anakula kiboko sasa zali anachapa viboko tu safari hii UTAONGEA MPAKA KICHINA!
Hivyo ndivyo tulivyofanya. Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.
Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
A wise adage goes that "One ought not to argue with a fool as people may not notice the difference"
Quote:
By Yericko Nyerere
Mkuu, huyo Ritz ni mfuta viatu wa mkombozi wao Mohamed Said, hawezi kukujibu zaidi yakumpigia makofi Mohamed Said
Haya ni Baadhwi ya matusi na kejeli kutoka kwa ndugu zetu.
Cc. gombesugu,
Sina kinyongo na michango yenu hapa,
Kila hoja hapa inajibiwa sawa na ujazo wake!
Uchezi wa Mohamed Said upo wazi na tumeueleza tangu post ya mwanzo kabisa!
Ikiwa hujauona naomba nikupe kwakifupi tu!
1) AA iliasisiwa na Klest Sykes, Ni UONGO.
Ukweli nikuwa iliasisiwa na mwalimu Cesil Matola
2) Kuwa Mwalimu rejea kutoka Scotland alisema hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na cheo gani katika TAA, Ni UONGO.
Ukweli nikuwa mwalimu ameeleza wazi katika hotuba ya muago kwa wazee wa dar kuwa Abdul alikuwa katibu mkuu wa TAA.
3) Kuwa TANU iliasisiwa BAMA na Abdul Sykes, Ni UONGO,
Ukweli nikuwa TANU imeasisiwa tarehe 7/7/1954 pale Mtaa mpya leo pakiitwa Lumumba chini ya Julius Kambarage Nyerere
4) Kuwa Balozi wa USA aliwahi kulihutubia Bunge la Tanzania 2003, Ni UONGO
Ukweli nikuwa balozi wa USA nchini hajawahi kulihutubia bunge la nchi hii, zaidi ya kisemina cha wabunge wa CCM tu cha kushinikiza upitishwaji wa sheria ya ugaidi nchini kilichofanyika kwenye ukumbi mdogo wa Pius Msekwa.
Hayo bado hujaona uchochezi wa Mohamed Said?
Mkuu Ritz hapana si wote mimi niko Baraza kuu.
2) Kuwa Mwalimu rejea kutoka Scotland alisema hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na cheo gani katika TAA, Ni UONGO.
Ukweli nikuwa mwalimu ameeleza wazi katika hotuba ya muago kwa wazee wa dar kuwa Abdul alikuwa katibu mkuu wa TAA.
Ps; Nakuhakikishia wewe humjui Rais Nyerere kiundani kama wamjuavyo baadhi ya Wanajamvi hapa! Kumbuka yakuwa Nyerere alikua ni Rais wa nchi,kwa hiyo kuna vitu vingi mno wewe "mwanafamilia" huwezi kuvijua alotenda "Mzazi wako". Cc;Ami,JokaKuu,Nguruvi3,Mag3,Barubaru,Jasusi,Boko Haram,Kadogoo,Zali la Mentali,Ritz,The Big Show,Sheikh Mohammed Said,Sideeq,Uthman
Sio kwamba mwalimu aliishi Pugu ndipo akaenda masomoni, la hasha bali aliishi Tabora ndipo akaenda masomoni na aliporejea ndipo alifikia Shule ya Mtakatifu Frances pale Pugu na alidumu kwa mwaka mmoja tu na nusu kisha akaachana na kufundisha!
Akiwa pugu hajawahi kuwa kiongozi wa chama chochote bali alijihusisha na shughuli za kisiasa kwa kuja kuzifanyia Dar!
Hoja yako kuu ni kuwa iweje mwanachama na kiongozi kanda ya mashariki ya chama cha TAA aliyesafiri nje ya nchi ndani ya miaka mine tu aliporejea akaanza kuulizia wanaokiongoza chama chake kitaifa?
Jibu langu nikuwa, ndani ya kipindi ambacho Mwalimu yupo Masomoni, serikali ya kikolini ilikuwa inavisambaratisha vyama vya harakati za ukombozi,
Hivyo TAA ilikuwa imekumbana na zengwe hilo baada ya rais wake msomi na daktari wa kwanza kabisa Mtanzani Vedasto Kyaruzi kuhamishwa kituo chake chakazi na kupelekwa Kahama,
Katika anga za harakati za kimataifa TAA ilikuwa imeparaganyika.
Ndiomaana msomi na muhitimu wa kwanza wa PHD ya uchumi Tanganyika/Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliporejea ilikuwa kwanza kuulizia habari za chama alichokiacha miaka mitatu minne iliyopita!
Na katika kuuliza alianza na "nani wanakiongoza chama sasa hivi?"
Ndipo akaambiwa jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes,
Swali lake halikuwa hivyo kwamba nani wanakiongoza chama sasa hivi. Lilikuwa nani wanaongoza TAA. Ni maswali mawili tofauti kabisa.
Sasa mimi nazungumzia kipindi kile alipokuwa Pugu akifundisha. Hakuwa mwanachama wa TAA? Hakuwa na mawasiliano yoyote na viongozi wa TAA mpaka aje kuuliza suali kama hilo wakati ameacha ualimu na kuja Dar?
Soma maelezo halisi ya NyerereSwali hilo aliliuliza pindi tu yakurejea kutoka masomoni Scotland sio baada ya kuacha ualimu,Isome kwa makini hiyo hotuba utabaini kuwa mwalimu alikuwa akisimulia mapito yake kisiasa na aliposema kuwa aliporejea kutoka masomoni aliuliza nani wanakiongoza TAA?
Hiyo inamaanisha kuwa ni baada tu yakurejea kutoka ughaibuni!
MANTIKI imefanya kazi yake!
Tuendelee mkuu!
Mwishowe Yerico akajaribu mbinu za akina Mwanakijiji na Nguruvi kujinasua na kibano bila mafanikioHivyo ndivyo tulivyofanya. Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.
Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
Some kwaumakini swali langu,
Nimeuliza na mkuu Nguruvi3 aliuliza kuwa ni nani kati ya wanaoitwa wazee wenu aliwahi kuongoza AA,TAA,TANU ama chama chochote kile Tanganyika/Tanzania kwa nafasi ya Urais ama Uenyekiti na akaitwa kiongozi wa uasisi?
Lakini unajibu kwakusema nafasi ya Katibu?? Kweli umelielewa swali mkuu?
Yericko,
Ukiwa utajituliza na kuacha jeuri tunaweza tukafanya mnakasha mzuri
wenye adabu na heshima.
Bahati mbaya naona mjadala umeteka hisia zako pakubwa sana.
Suala AA kuasisiwa na Kleist si mimi nilosema hilo.
Hilo kalisema yeye mwenyewe Kleist katika kumbukumbu alizoacha na
baadhi ya nyaraka hizo zimehifadhiwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam,
East Africana.
Ikiwa utapenda fika hapo chuoni kasome ''The Life of Kleist Sykes,'' pia
ukipenda soma Iliffe (ed) ''Kleist Sykes The Townsman,'' katika Modern
Tanzanians.
Yote hayo kaandika mjukuu wa Kleist, Daisy Sykes akisaidiwa na baba yake
Abdu Sykes kabla hajafariki mwaka 1968.
Hilo la Nyerere kusahau cheo cha Abdu tulikubaliana kuwa utaleta audio.
Mimi nitazungumza kuhusu hilo In Shaa Allah baada ya kusikiza hiyo audio.
Nilikuwa sitaki kusema lakini nitakupa kitu kidogo.
Shariff Attas na Nyerere wakifahamiana vyema pale Sokoni Kariakoo na hadi
nyumbani kwa Abdu Sykes pale Mtaa wa Aggrey.
Walikuwa na kawaida ya kula chakula cha mchana pamoja Shariff Attas na Nyerere
nyumbani kwa Abdu.
Abdu alikuwa harudi nyumbani kula kwa hiyo Shariff Attas na Nyerere kila siku walikuwa
wakiongozana kwenda kula chakuka cha mchana pamoja nyumbani kwa Abdu.
Baada ya uhuru kupatikana iko siku Nyerere akakutana na Shariff Attas pale New
Street Ofisi ya TANU.
Nyerere katika kusalimiana na Shariff Attas alimuuliza Shariff Attas ikiwa wanafahamiana.
Shariff Attas alimjibu Nyerere kuwa hawajapatapo kukutana.
Nyerere alikuwa kamsahau rafiki yake wa zamani Shariff Attas.
Ni kisa kirefu lakini hapa hakuna haja ya mimi kukieleza.
Ama hilo la kuwa Nyerere ndiye aliyeasisi TANU New Street na kuwa TANU haina historia
yoyote na Abdu na Vita Kuu Vya Pili mimi halinipi tabu wala sitakubishia una haki ya kusema
unachoamini.
Hilo la Balozi wa Marekani na kuhutubia Bunge unaweza kufanya tafsiri upendayo lakini ukweli
ni kuwa alikuwapo bungeni na aliwasilisha mada juu ya ugaidi.
Mwisho nakusihi uwe mtulivu tufanye mnakasha wa heshima.