THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Kadogoo;6206393]Big show, nisetirike na nini wakati nipo katika list ya ''shit'' ya Mohamed Said? Ninyi mnaolirudisha hili jambo ndio mnaokusudia kumvunjia heshima Maalim. Uzuri wa JF ni rekodi na hapa naweka rekodi bila kusema neno.
MZEE MWANAKIJIJI;Haya umepata jibu lako kuhusu Balozi wako! ndio ulitaka kusema nini vile
Nimekuelewa vema sana,nachotaka kukuambia ni kwamba hilo suala la balozi unalolishikia bango limekwisha eleweka,
tumeona tofaut kati ya kuhutubia bunge,na kuhutubia semina ya wabunge,lakin mantiki kuu imepatikana tayar,why unaendelea kulishikia bango?au umeishiwa hoja?
Pole sana,vip namimi nikuweke kwenye 'list' yangu kama nilivomweka yule msukuma mkokoteni?
Ha ha ha,lol,,just jokes,,
nakuheshim sana mkuu...